- 726
- 404 438
Uhuru FM Digital
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 9 มี.ค. 2022
Uhuru FM Official TH-cam Account.
95.7 Dar/Pwani/Zanzibar/ Tanga/ Mbeya | 99.7 Arusha | 92.9 Mwanza | 88.2 Dodoma | 107.7 Mtwara | 94.8 Tabora
95.7 Dar/Pwani/Zanzibar/ Tanga/ Mbeya | 99.7 Arusha | 92.9 Mwanza | 88.2 Dodoma | 107.7 Mtwara | 94.8 Tabora
SUREBOY AMKOSHA HUYU DADA | RAHA ANAYOPATA SIO POA AKIMWONA SUREBOY PALE CHAMAZI
SUREBOY AMKOSHA HUYU DADA | RAHA ANAYOPATA SIO POA AKIMWONA SUREBOY PALE CHAMAZI
มุมมอง: 64
วีดีโอ
WACHEZAJI WA JKT TANZANIA AZIZ KADAR , SHIZA KICHUYA WAKIZUNGUMZIA MCHEZO DHIDI YA YANGA TAZAMA
มุมมอง 2216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WACHEZAJI WA JKT TANZANIA AZIZ KADAR , SHIZA KICHUYA WAKIZUNGUMZIA MCHEZO DHIDI YA YANGA TAZAMA
SHABIKI WA SIMBA ACHACHAWA KIWANGO CHA YANGA | AKATAA USHINDI WA DABI | YANGA WAMJIBU
มุมมอง 6416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHABIKI WA SIMBA ACHACHAWA KIWANGO CHA YANGA | AKATAA USHINDI WA DABI | YANGA WAMJIBU
KIPA WA JKT TANZANIA ASEMA HAKUUDAKA KAMA AMBAVYO MWAMUZI ALIVYOONA AELEZA ILIVYOKUWA
มุมมอง 116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KIPA WA JKT TANZANIA ASEMA HAKUUDAKA KAMA AMBAVYO MWAMUZI ALIVYOONA AELEZA ILIVYOKUWA
ALLY KAMWE AWAJIBU WAZEE WA SIMBA | ASEMA WAMEONGEA JAMBO LA HOVYO | ATAKA MCHEZO WA KUWAAGA WATANI
มุมมอง 1316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ALLY KAMWE AWAJIBU WAZEE WA SIMBA | ASEMA WAMEONGEA JAMBO LA HOVYO | ATAKA MCHEZO WA KUWAAGA WATANI
KILIO CHA WAZEE SIMBA KIFIKE KWA RAIS DKT SAMIA WAMECHOKA MANYANYASO TAZAMA HAPA
มุมมอง 4119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KILIO CHA WAZEE SIMBA KIFIKE KWA RAIS DKT SAMIA WAMECHOKA MANYANYASO TAZAMA HAPA
WAZEE SIMBA WATANGAZA KUJITOA KWENYE LIGI KUU | GSM NDIO SABABU KUBWA | KAYOKO HAPENDWI MSIMBAZI
มุมมอง 27419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAZEE SIMBA WATANGAZA KUJITOA KWENYE LIGI KUU | GSM NDIO SABABU KUBWA | KAYOKO HAPENDWI MSIMBAZI
WAZEE WA SIMBA WATOA TAMKO WAMUOMBA RAIS DKT SAMIA AINGILIE KATI
มุมมอง 17621 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAZEE WA SIMBA WATOA TAMKO WAMUOMBA RAIS DKT SAMIA AINGILIE KATI
SIASA YAMWEKA ALLY KAMWE HATARINI | WAAMUZI HAWA MARUFUKU | KISA MKE KARIA GSM KUDHAMINI VILABU 8.
มุมมอง 35521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIASA YAMWEKA ALLY KAMWE HATARINI | WAAMUZI HAWA MARUFUKU | KISA MKE KARIA GSM KUDHAMINI VILABU 8.
MAWAZIRI 6 WATUHUMIWA MATOKEO YA SIMBA NA YANGA | WAAMUZI , ALLY KAMWE WASHIKWA PABAYA. WAZEE SIMBA
มุมมอง 10221 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAWAZIRI 6 WATUHUMIWA MATOKEO YA SIMBA NA YANGA | WAAMUZI , ALLY KAMWE WASHIKWA PABAYA. WAZEE SIMBA
MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA KAYOKO NA KOCHA WAO | WANYIMWA PENATI REFA ALIPENDELEA | TAZAMA HAPA
มุมมอง 37วันที่ผ่านมา
MASHABIKI WA SIMBA WALIA NA KAYOKO NA KOCHA WAO | WANYIMWA PENATI REFA ALIPENDELEA | TAZAMA HAPA
ALLY KAMWE AIKATAA SIMBA KUWA MSHINDANI WAO | BONAS YA WACHEZAJI BALAA | ATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA
มุมมอง 34วันที่ผ่านมา
ALLY KAMWE AIKATAA SIMBA KUWA MSHINDANI WAO | BONAS YA WACHEZAJI BALAA | ATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA
MASHABIKI YANGA WATAMBA NA USHINDI WASEMA SIMBA NI RAFIKI NA MWEMBE WA UWANI WANAKULA DODO KIULAINI
มุมมอง 7วันที่ผ่านมา
MASHABIKI YANGA WATAMBA NA USHINDI WASEMA SIMBA NI RAFIKI NA MWEMBE WA UWANI WANAKULA DODO KIULAINI
GAMOND ASIFU WACHEZAJI WAKE A YANGA IKIITANDIKA SIMBA MECHI 4 MFULULIZO | ASEMA MECHI ILIKUWA FAIR
มุมมอง 343วันที่ผ่านมา
GAMOND ASIFU WACHEZAJI WAKE A YANGA IKIITANDIKA SIMBA MECHI 4 MFULULIZO | ASEMA MECHI ILIKUWA FAIR
FADLU DAVIS AELEZA SABABU ZA KUFUNGWA | MECHI YA PILI AKIPOTEZA MBELE YA GAMONDI | AIKUBALI YANGA
มุมมอง 42วันที่ผ่านมา
FADLU DAVIS AELEZA SABABU ZA KUFUNGWA | MECHI YA PILI AKIPOTEZA MBELE YA GAMONDI | AIKUBALI YANGA
MKOPO WA MKE,MUME ANARUHUSIWA KUJUA ? | MIKOPO ISIWE SIRI KWA WENZA
มุมมอง 160วันที่ผ่านมา
MKOPO WA MKE,MUME ANARUHUSIWA KUJUA ? | MIKOPO ISIWE SIRI KWA WENZA
GAMOND: AKIRI UGUMU UTAKUWA MGUMU | HANA HOFU NA SIMBA | MECHI YA DABI KESHO MKAPA YANGA KIBOKO
มุมมอง 61วันที่ผ่านมา
GAMOND: AKIRI UGUMU UTAKUWA MGUMU | HANA HOFU NA SIMBA | MECHI YA DABI KESHO MKAPA YANGA KIBOKO
MSEMAJI SINGIDA BS AWAJIA JUU MASHABIKI NA WANASINGIDA KISA SIMBA NA YANGA
มุมมอง 29วันที่ผ่านมา
MSEMAJI SINGIDA BS AWAJIA JUU MASHABIKI NA WANASINGIDA KISA SIMBA NA YANGA
MABONDIA WAPIMA AFYA JIJINI DAR ES SALAAM HOMA YA SGR MORO YAPAMBA | TAMBO KAMA ZOTE
มุมมอง 1014 วันที่ผ่านมา
MABONDIA WAPIMA AFYA JIJINI DAR ES SALAAM HOMA YA SGR MORO YAPAMBA | TAMBO KAMA ZOTE
WAZIRI MKUU ATINGA KAMBINI KWA TAIFA STARS | AWAPA UJUMBE MZITO DHIDI YA DR CONGO | WAPEWA NDEGE
มุมมอง 12621 วันที่ผ่านมา
WAZIRI MKUU ATINGA KAMBINI KWA TAIFA STARS | AWAPA UJUMBE MZITO DHIDI YA DR CONGO | WAPEWA NDEGE
SHABIKI WA YANGA AZUILIWA KUONGEA KISA SARE | MASHABIKI SIMBA WAMJIA JUU
มุมมอง 14421 วันที่ผ่านมา
SHABIKI WA YANGA AZUILIWA KUONGEA KISA SARE | MASHABIKI SIMBA WAMJIA JUU
SARE YA DHIDI YA COASTAL MASHABIKI SIMBA HOFU MECHI YA MTANI | LEO WAMETELEZA | MOTO KUWAKA OCT 19
มุมมอง 8721 วันที่ผ่านมา
SARE YA DHIDI YA COASTAL MASHABIKI SIMBA HOFU MECHI YA MTANI | LEO WAMETELEZA | MOTO KUWAKA OCT 19
KOCHA COASTAL UNION ASEMA SIMBA WQLIJICHANGANYA KUFIKIRIA WANGEWAFUNGA NNE | WAMEINGIA KWENYE MTEGO
มุมมอง 10521 วันที่ผ่านมา
KOCHA COASTAL UNION ASEMA SIMBA WQLIJICHANGANYA KUFIKIRIA WANGEWAFUNGA NNE | WAMEINGIA KWENYE MTEGO
KOCHA FADLU DAVIS AKIRI ANAKAZI NZITO KUMKABILI YANGA BAADA YA SARE DHIDI YA COASTAL UNION. MTAZAME
มุมมอง 9521 วันที่ผ่านมา
KOCHA FADLU DAVIS AKIRI ANAKAZI NZITO KUMKABILI YANGA BAADA YA SARE DHIDI YA COASTAL UNION. MTAZAME
BOSHOO HAPINDISHI MANENO | AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU WASANII WA HIP HOP
มุมมอง 10428 วันที่ผ่านมา
BOSHOO HAPINDISHI MANENO | AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU WASANII WA HIP HOP
MUCHACHU KIBOKO | SHABIKI YANGA BADO AIKATAA SIMBA KUFIKIA UBORA WAKE |UBAYA UBWELA KWENYE MAKUNDI
มุมมอง 499หลายเดือนก่อน
MUCHACHU KIBOKO | SHABIKI YANGA BADO AIKATAA SIMBA KUFIKIA UBORA WAKE |UBAYA UBWELA KWENYE MAKUNDI
BAO LA BALUA LILIVYOMCHANGANYA AHMEDY ALLY | AFRIKA INGELIA MACHOZI KUJAZA BAHARI SIMBA IKITOLEWA
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
BAO LA BALUA LILIVYOMCHANGANYA AHMEDY ALLY | AFRIKA INGELIA MACHOZI KUJAZA BAHARI SIMBA IKITOLEWA
UHURU FM WAVUVI FESTIVAL KUBAMBA SANA | UTAMBULISHO WA DJS NI WA KIBABE | MWENDO WA BURUDANI
มุมมอง 24หลายเดือนก่อน
UHURU FM WAVUVI FESTIVAL KUBAMBA SANA | UTAMBULISHO WA DJS NI WA KIBABE | MWENDO WA BURUDANI
TUMEBAINI MIKAKATI YA CHADEMA KUTAKA KUHARIBU AMANI-CPA MAKALA.
มุมมอง 3.9Kหลายเดือนก่อน
TUMEBAINI MIKAKATI YA CHADEMA KUTAKA KUHARIBU AMANI-CPA MAKALA.
NASAHA ZA SHEIKH HEMED JALALA KUHUSU KUMJUA MTUME MUHAMMAD S.A.W
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
NASAHA ZA SHEIKH HEMED JALALA KUHUSU KUMJUA MTUME MUHAMMAD S.A.W
Tulia mkandwe bana. Achen kurukaruka mnatukosesha target. Mkihama tunafuata hukohuko had mfe wote hahahaha
Hapa bro tunapoelekea siyo
Mpira ni Burundi siyo siasa mzee ongea ukweli
Du!kufungwa kubaya sana kunauma sana mashabiki wa simba niwashauli msiingize timu yenu kucheza na yanga wapeni point 3 muendelee kucheza na timu nyingine za ligi kuu sababu hata hiyo mechi ya marudiano yanga itawafunga tena
Ata mukiamia kwenye ngumi tunawafuata uko uko shenzi sana
MNAONDOKA LINI..........????
Hamna used hapa! Kundi la Wahuni
ilobakia mfungue kilinge cha uganga Anna jipya
Fulana IMEPAUKAA. PAMBAF WAHED.
Wanajitahidi Sana kutuheshimisha
Ndio ukashinde na mechi zinazofuata
Hongera shekhe kwa darsa ulilolitoa.pam9ja duwa kutuombea...allwah akujaalie kheri daima.
Aaaaamin rabill aaalamina
Tumeni no kitokana wengine tupo mbali
C CM mnatuhudhunisha sana . Watu wamepotea,kutekwa na kuuwawa . Uongo ni upi ?
Jibu hoja za Chadema, Usitegemee nguvu za polisi
Ngonjera hatutaki lazima tuwaangushe ccm 2025
❤tunaoumia ni sisi wananchi ambao mnatumia kodi zetu kujineemesha matumbo yenu.....ipo siku siku nitakuwa rais sure nawaahid nitawaburuza nyie mafisadi hadi mjutie kwannn mlifanya ufisad hapa nchini
Kwenda huko tumewachoka
Yaan majitu yanakaa kulinda badala ya kulinda na kujenga nchi kumamae zenu
Yuko wapi mtekaji mbona hatumuoni akikamatwa au kutambulika wananchi tuwajue
Hofu ya uchaguzi
Sasa huyu si. Yule boss wa kile chombo cha mashitaka sijui ni mtoto au mdogo wake kwaiyo kwa nini asitetee mauchawa yake kuleni mshibe nchi itabaki tu nyinyi mtapita either kwa kufo au kwa uzee.hakuna mtu asiyependa amani. Na maendeleo hauna hoja.
Sio kweli wewe mtu mzima uongo wa nini. Hata sura yako inaonysha uongo wako. Nyinyi maccm mtatuaribia nchi. Uchawa. Unawasumbua amani ya nchi inalindwa na utamaduni wa watanzania tu. Kuna watu walitamka hadharani wana ccm kuwa watawateka wakosoaji mbona amjwatia nguvuni.hotuba tuliisikua live bro shame upon you
Kifuteni nyie si mna mamlaka
😢j Huna hoja
Hiviiii!! Kama polisi wataongoza kwa amani maandamano hayo kwa imoja na nia moja je! Hayo machafuko ya tatoka wapi? Au nimatumizi tu mabaya ya uongozi na kutaka jeshi lifanye yale mnayo yataka ninyi na si sheria?? Maaaana sheria hairuhusu jeshi kuzuia maandamano badala yke linatakiwa kutoa ulinzi ili maandamano yawe salama🤔🤔🤔mungu ibariki tz💤💤💤
MFANO MDOGO UKIENDA KWENYE MASHULE MADARASA NI MAZURI NA YA KISASA..WAZAZI WA WANAFUNZI HASA SEKONDARI NI MASHAHIDI .......HAYA SIO MAENDELEO??? WA TANZANIA TUSIDANGANYIKE...maandamano hayana mafanikio zaidi kuharibu maendeleo yaliyopo na vifo..mifano ipo ukitumia akili vizuri
WENGI TUNAWAAMINI VIONGOZI WETU MTULINDIE AMANI..CHADEMA BADO SANA
Hizi ni siasa za watu wavivu! Toeni majibu ya watu waliotekwa, waliouwaa na halii mbaya ya maisha
Wambie,watanzania,wengi,wamepoteza,funguo,za,ufaham
Wewe,unae,lalamika,swala,lakushiba,wewe,uliwahi,kumkumbuka,nan?
Sasa mwenezi mwenye uchu wa madaraka chadema au ccm, watanzania wana shule yakutosha,mje mtuuwe tu
Kuandamana,ni,utumwa,wenyehera,wamelala
Nyie ccm mnajua wananchi niwale wa 90 au 80 mjitafakali nchi inavyo ilekea
Ukosawa,mwenezi
Mapolisi Wanini kutumia nguvu kubwa
Ndio ccm itazidi kua juu, shida iko wapi
Sawa awakubaliki, sawa chama kimeshuka, sawa wana wanachama, wachaacheni waandamene peke yao
Okkkk kumbe kunachama cha matukio eeeeh na nyie chama chenu cha kusababisha matukio hamkion pumbahuuu ipo siku tu!!!
Ni sahihi kuwaita chama cha matukio kwa kuwa ndio wanaopiga kelele kwa niaba ya wanaichi
Sasa kama chadema wameshindwa kwa nin mnapindisha sheria za uchaguz ili kuwe na uchaguz huru afu tuone maana mafisad unaosema wapo ccm
Duh
Sasa ndgu yangu Makala kama watu wamepotosha na/au kumsingizia aliyosema rais, kwa nini msiwapeleke mahakamani walofanya dhihaka hizo ili kukomesha tabia hii? Msipofanya hivyo hakika mtaonekana ni waoga wa kuumbuliwa mahakamani na hivyo waliochambua hotuba ya rais wanasema kweli! Ni mahakamani pekee ataonekana nani mkweli/mnafiki kwa marumbano haya! Atakayethibitika mnafiki/ mdhihaki, ashitakiwe.
Mtahaha sana ila msipiangalia mnaipeleka nchi yetu pabaya.
Kwan kwny ktb mliweka mandamano ili yafanyke wp nchi h c y ccm bl kl mtu ana hk ya kutetea nchi yk
Sahihi sana Mwenezi
Majinga haya,yanaharibu nchi yenyewe yanaisingizia chadema,kwahio kudai haki ni kuharibu amani,ila kunyima watu haki zao huko ni sawa!pia adolf hitler hakuwa muovu kuwazidi nyinyi waovu
Mvua ikinyesha vizuri ardhi utapa maji na mimea kuchipua na kutoa maua ila siku zinakuja haya maneno yasemwayo msikate miti akakaidi na sasa wajuta kwann walikata walikata miti na sasa tumekosa mvua na ukame umetukuta sasa imefika wakati tunatumia chemchem kumwagilia mazao yetu yasikauke kwasababu kuna majinga yamekata miti sasa jua limewawakia heri akae kimya kuliko .......
Viongozi wa ccm mnawafanya laia hawana akili
Wewe tetea na sematuuuuu rakin boss kakwaza wengi kafurahisha wachache
Mwamba anamtete boss ,,anaongea uongo kwa tahazali
Chadema Wana jeshi ? Nyie ndo mnakosha amani nchi yetu kwakutumia majeshi yetu
Kwani Redbriged...ni kundi la kufagia Barabara ?