Jsy jumaa
Jsy jumaa
  • 220
  • 20 996
USTAADHUNA
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
มุมมอง: 2

วีดีโอ

SIMU NI FITNA
มุมมอง 619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
MANENO YA SHAYKHUL ISLAM IBN TAYMIYYAH (Rahimahu LlaaH)
มุมมอง 3628 วันที่ผ่านมา
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
KAULI TATU JUU YA SALA YA JAMA'A
มุมมอง 37หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
INASEMEKANWA KATIKA MAISHA YA BARZAKH
มุมมอง 96หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
KUWA MAKINI SANA KWENYE MASAAIL YA NDOA
มุมมอง 89หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
KINACHOZINGATIWA NI HEDHI, WALA SIO MIEZI•
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
MADHARA YA KUDHARAU HAKI
มุมมอง 13หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
HII NDIO DA'WA YETU
มุมมอง 58หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu Sakiyna حفظه الله تعالى ورعاه
DA'WATU SALAFIYYAH
มุมมอง 87หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
KALIMA YA SHAHADA SIO DUA YA KULALA
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
HAWA NAO NI MATAPELI TU
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
MASIKITIKO MAKUBWA WALLAAH!
มุมมอง 13หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu ZayD حفظه الله تعالى ورعاه
TAHDHIYR..
มุมมอง 11หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu Zayd حفظه الله تعالى ورعاه
MAHIZBI WANAMATATIZO MAKUBWA MATATU
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
Ustaadh: Abuu Haatim حفظه الله تعالى ورعاه
KATIKA WALE MALA'ABU
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
KATIKA WALE MALA'ABU
SUNNAH KUWASALIA HAWA
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
SUNNAH KUWASALIA HAWA
HADITH DHAIFU No 16
มุมมอง 12หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 16
RADDI NYEPESI
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
RADDI NYEPESI
TANBIHU KIDOGO
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
TANBIHU KIDOGO
BIDHRU
มุมมอง 172 หลายเดือนก่อน
BIDHRU
HADITH DHAIFU No 15
มุมมอง 72 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 15
HADITH DHAIFU No 14
มุมมอง 92 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 14
HADITH DHAIFU No 13
มุมมอง 82 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 13
HADITH DHAIFU No 12
มุมมอง 92 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 12
HADITH DHAIFU No 11
มุมมอง 92 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 11
HADITH DHAIFU No 10
มุมมอง 32 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 10
HADITH DHAIFU No 09
มุมมอง 62 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 09
HADITH DHAIFU No 08
มุมมอง 72 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 08
HADITH DHAIFU No 07
มุมมอง 132 หลายเดือนก่อน
HADITH DHAIFU No 07

ความคิดเห็น

  • @sadikiissa7756
    @sadikiissa7756 หลายเดือนก่อน

    Udhaifu mkubwa wa baadhi ya wanaojiita Masalafi ni kuhubiri utengano kitu ambacho ni kinyume na Quran na Sunna. Kanuni ni kwamba mtu akikosea jambo moja haimaanishi kakosea yote hivyo hapaswi kutengwa kwenye mambo mengine bali ni kuwa wamoja.

    • @Jsyjumaa
      @Jsyjumaa หลายเดือนก่อน

      @@sadikiissa7756 na hiyo ndio sababu bid'a zimekuwa nyingi kwa kufumbia macho ambayo yamekatazwa kisha hatuambiani ukweli na tunakumbatiana, dawa kubwa ni kufuata alichosema Mtume Muhammad (ﷺ). La sivyo hakuna ataesalimika kweli hayo mambo Akhuy: baaraka llaahu fiyka

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 หลายเดือนก่อน

      @@Jsyjumaa Kukataza Bidaa si kosa bali kosa ni ninyi kuvuka mipaka ktk kukufurisha watu endapo wakionekana hawafuati fatwa zinazoendana na ninyi hali ya kuwa zipo fatwa nyingi ktk Wanazuoni wa Kisalafi. Kingine ni kwamba mnahimiza Sana utengano badala ya mshikamano. Yaani kosa moja tu ni rahisi kukufurishwa na kutolewa ktk Uislam na ninyi kitu ambacho si Sahihi.

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 หลายเดือนก่อน

      @@Jsyjumaa Kiujumla daawa ya salafiya ni nzuri na ubaya wake ni kule kuhimiza utengano.

    • @Jsyjumaa
      @Jsyjumaa หลายเดือนก่อน

      @@sadikiissa7756 si kweli juu ya hili Akhuy: kaa darsani kwanza utaenda elewa inshaa Allah.

    • @Jsyjumaa
      @Jsyjumaa หลายเดือนก่อน

      @@sadikiissa7756 Da'watu salafi wala haiihimizi utengano, bali mtu mwenyewe ndio anajitenga na da'wa ssalafiyyah cause hii da'awa haijajengwa juu ya kubebana bali ni kuambizana ukweli na ikiwa umenasihiwa na hutaki elewa watu wanakuRaddi na ikiwa bado huelewi basi ndipo wanakunyamazia na wala hawakufatilii wala kukuskiza hadi utaraaja'

  • @fawaaidzakielimu4858
    @fawaaidzakielimu4858 2 หลายเดือนก่อน

    Jazakallāhu khayran

  • @IddyToken
    @IddyToken 2 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheik jazaaka Allahu khayran Mm nina swali je msafirivaliyesafi mahala akaa huko miaka 3 au 2 je huyu anawajibika kupunguza swala ?

  • @Kambamediaonline7316
    @Kambamediaonline7316 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kila ambacho Mtume hakukifanya ndio haifai kufanywa?

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga wewe mzembeee...kwanza tafuta vitabu uwendelee kusoma kwa Mashekhe na sio ujisomeshe kwa Google

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

    Sasa kwa maelezo hayo ya kunyanyua mikono baada ya swala jee ni kunyanyua kwa sababu ya uchizi au kitu gani kama si kuomba dua?

  • @khamisjuma5344
    @khamisjuma5344 2 ปีที่แล้ว

    sheikh as.alaykum nauliza inapopanda muhutubu si in atakiwa mtu asiseme wala kuzungumza jee mbona hawa watu walimuliza muhutubu

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 2 ปีที่แล้ว

    Wapi kakatazwa kunyanyua mkono kuitikia dua baada ya Salah...

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 2 ปีที่แล้ว

    Dua ni muhimu, Salah ni ibada baada ya ibada omba mola wenu bila khofu

  • @mariamwaabdul773
    @mariamwaabdul773 2 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah vizuri kwa mafudisho nzuri sana may Allah grant u much bless

  • @dulaseif5001
    @dulaseif5001 3 ปีที่แล้ว

    KAMA DUA NI BAADA YA SALA IWEJE UKATAZE ?

    • @neemafatu471
      @neemafatu471 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo inachoangaliwa ni vile mtume alivyofanya ibada Fulani,tunatakiwa KUFUATA kama ilivyo.sio kubuni TU.hiyo ndio shida

  • @dulaseif5001
    @dulaseif5001 3 ปีที่แล้ว

    UNATOA HADITH UNAZOTAKA WEWE NA AMBAZO HUZITAK HUZISOMI ETI KUSOMA DUA BAADA YA SALA ZA SUNNA YAFAA BAADA YA SALA Y FARADH HAIFAI HUO NI UJUHA

    • @mariammohd3515
      @mariammohd3515 3 ปีที่แล้ว

      Unajua kunyanyua shekhe kasome ndipo upinge hii dini huyu anasomesha kama hutaki wewe acha

    • @mariammohd3515
      @mariammohd3515 3 ปีที่แล้ว

      Iyo swala no duwa viti tena usome duwa wapi IPO kw

    • @neemafatu471
      @neemafatu471 2 ปีที่แล้ว

      @@mariammohd3515 KABISA,unajia watu Huwa hawaoni haya KUPINGA uhalisia, duu! Allah ATUONGOZE sote

    • @ahmadzubeir3363
      @ahmadzubeir3363 2 ปีที่แล้ว

      Ni ujinga mkubwa mnoo. Yaani hawa wazungumzaji wa sikuhizi wapumbavuu

  • @dulaseif5001
    @dulaseif5001 3 ปีที่แล้ว

    HADITH SWAHIHI RASULULLAH AMESEMA MNAPOKUSANYIKA MMOJA AKAOMBA DUA WENGINE WAKAITIKIA AMIN MOLA HAIREJESHI DUA HIYO

  • @dulaseif5001
    @dulaseif5001 3 ปีที่แล้ว

    Unatoa hadith y kuthibiti kunyanyua mikono halafu unaleta Rai zako ambazo hazinamsingi

  • @abdallahomaryjemkeohawezik8940
    @abdallahomaryjemkeohawezik8940 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo witiri inasomwa sura gani

  • @yusreyyusuph8369
    @yusreyyusuph8369 4 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @abdillahisultani7355
    @abdillahisultani7355 5 ปีที่แล้ว

    Jazaakallahukhayra

  • @ashaali5773
    @ashaali5773 6 ปีที่แล้ว

    asante kwaujumbe muzur mashall

  • @pilyngozi758
    @pilyngozi758 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah nmepata ufahamu leo

  • @daleylahdaleylah2018
    @daleylahdaleylah2018 6 ปีที่แล้ว

    Baraka Allah fiq

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 7 ปีที่แล้ว

    Kwa ninavoyahamu maelezo ni kwamba sehemu kubwa ya shekhe katumia raii

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 7 ปีที่แล้ว

    Shekhe nataka kujua hizo fatwa umezitoa katika kitabu gani? naomba kujua in shaa Allah.

    • @jumaaibrahim8305
      @jumaaibrahim8305 6 ปีที่แล้ว

      Omar Ameir Salum kwahyo hujatosheka na hoja hzo

  • @naimasafia7508
    @naimasafia7508 7 ปีที่แล้ว

    Barak'Allah fiq

  • @faizunmohd9572
    @faizunmohd9572 7 ปีที่แล้ว

    shukran jazakallah kheri

  • @allyamru7370
    @allyamru7370 7 ปีที่แล้ว

    Jo

  • @yunussaidy1800
    @yunussaidy1800 7 ปีที่แล้ว

    jazakallah kheir

  • @yusuphmtwale2106
    @yusuphmtwale2106 7 ปีที่แล้ว

    Allaah amuhifadhi shaykh abuu zayd.

  • @piiisule8035
    @piiisule8035 7 ปีที่แล้ว

    Mashallah ,Allah grant you janah Firdaus Al Akhy

  • @aishamaulid533
    @aishamaulid533 7 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @aishamaulid533
    @aishamaulid533 7 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @jumanuhu1237
    @jumanuhu1237 7 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah

  • @jumanuhu1237
    @jumanuhu1237 7 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @piiisule8035
    @piiisule8035 7 ปีที่แล้ว

    mashallah,Allah akuhifadh Ostadh

    • @Jsyjumaa
      @Jsyjumaa 7 ปีที่แล้ว

      Kitwana Kalwa Amiin