- 256
- 560 326
AFRICA ONE TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 14 ส.ค. 2016
G. O. A. T
NEWS, ENTERTAINMENT, POLITICS, RELIGION, CELEBRITIES
GOSP, YOU WILL FIND US HERE FOR YOU.
WE ARE ONE
NEWS, ENTERTAINMENT, POLITICS, RELIGION, CELEBRITIES
GOSP, YOU WILL FIND US HERE FOR YOU.
WE ARE ONE
DR.SULLE SASA UZALENDO UMEMSHIDA APASUKA HASWA HAKUNA WA KUNITISHA DUNIA HII//SIOGOPI CHOCHOTE
#live #africa
มุมมอง: 217
วีดีโอ
DR.SULLE AFICHUA BILA KIFICHO P DIDY AMEKULA MPAKA VIONGOZI//AWATAJA
มุมมอง 108K2 หลายเดือนก่อน
#live #africa #football
Alikiba alivyo mkataa mtanzania mwenzake Amèrica uko
มุมมอง 115K3 หลายเดือนก่อน
Alikiba alivyo mkataa mtanzania mwenzake Amèrica uko
VUNJA BEI AMCHANA MWIJAKU "nakuonya mara ya mwisho koma!! " acha kuharibu brand za watu
มุมมอง 1133 หลายเดือนก่อน
#fredvunjabei na #Mwijaku warushiana maneno makali #Etrending
MAKUBWA! WANAUME MNAO NUKA MDOMONI MNATUKATA SITIM WAKATI WA KUFANYA.........!
มุมมอง 653 หลายเดือนก่อน
MAKUBWA! WANAUME MNAO NUKA MDOMONI MNATUKATA SITIM WAKATI WA KUFANYA.........!
DR.SULLE ALIVYO WAKA MOTO KWA WANAO MSEMA RAIS SAMIA//NAKUFA NAYE
มุมมอง 123 หลายเดือนก่อน
DR.SULLE ALIVYO WAKA MOTO KWA WANAO MSEMA RAIS SAMIA//NAKUFA NAYE
EXCLUSIVE:MREMBO HUYU AFUNGUKA MAZITO//MKOJANI ALINITAKA ILA SIKUA TAYARI//TABIA SI NZURI
มุมมอง 934 หลายเดือนก่อน
EXCLUSIVE:MREMBO HUYU AFUNGUKA MAZITO//MKOJANI ALINITAKA ILA SIKUA TAYARI//TABIA SI NZURI
MWL.NDACHA AKATAA UTUME WA MTUME MUHAMMAD S.A MBELE ZA WAISLAMU
มุมมอง 844 หลายเดือนก่อน
MWL.NDACHA AKATAA UTUME WA MTUME MUHAMMAD S.A MBELE ZA WAISLAMU
MASHABIKI WAMNYEA MBOVU MSANII HARMONIZE ZUCHU KUMPA GARI ANJERA
มุมมอง 104 หลายเดือนก่อน
MASHABIKI WAMNYEA MBOVU MSANII HARMONIZE ZUCHU KUMPA GARI ANJERA
SHEIKH SULLE ZUCHU ANAZALILISHA UISLAM KUVAA UCHI
มุมมอง 154 หลายเดือนก่อน
SHEIKH SULLE ZUCHU ANAZALILISHA UISLAM KUVAA UCHI
K.MZIWANDA AWAWASHIA MOTO TFF//WANA MAKANDOKANDO SANA
มุมมอง 64 หลายเดือนก่อน
K.MZIWANDA AWAWASHIA MOTO TFF//WANA MAKANDOKANDO SANA
MORISON AFURAHISHWA NA MANURA KUREJEA SIMBA ONA HAPA
มุมมอง 644 หลายเดือนก่อน
MORISON AFURAHISHWA NA MANURA KUREJEA SIMBA ONA HAPA
LION FEMALE DRINKING WATER IN NGORONGORO PARK TANZANIA
มุมมอง 225 หลายเดือนก่อน
LION FEMALE DRINKING WATER IN NGORONGORO PARK TANZANIA
DOTO MAGARI APATA MACHAWA ONA ANAVYO MWAGA PESA
มุมมอง 106 หลายเดือนก่อน
DOTO MAGARI APATA MACHAWA ONA ANAVYO MWAGA PESA
MWANZO MWISHO DOTTO MAGARI NA MWIJAKU WAZICHAPA HADHARANI
มุมมอง 12K6 หลายเดือนก่อน
MWANZO MWISHO DOTTO MAGARI NA MWIJAKU WAZICHAPA HADHARANI
WAKRISTO WANAMPACHIKA YESU UUNGU KWA NINI?//UPANGA WA RADI
มุมมอง 686 หลายเดือนก่อน
WAKRISTO WANAMPACHIKA YESU UUNGU KWA NINI?//UPANGA WA RADI
MZEE SIMBA ULANGA ALIVYO WABANANISHA WAISLAM KWENYE 18/MDAHALO WA KWANZA DUNIANI...
มุมมอง 11K6 หลายเดือนก่อน
MZEE SIMBA ULANGA ALIVYO WABANANISHA WAISLAM KWENYE 18/MDAHALO WA KWANZA DUNIANI...
HIZI NI DALILI 67 ZA MAJINI WACHAFU/THESE ARE 67 SYMPTOMS OF DIRTY WATER
มุมมอง 566 หลายเดือนก่อน
HIZI NI DALILI 67 ZA MAJINI WACHAFU/THESE ARE 67 SYMPTOMS OF DIRTY WATER
ZIJUE DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME BY DR.MICHAEL EVARIST MAGOTI
มุมมอง 850ปีที่แล้ว
ZIJUE DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME BY DR.MICHAEL EVARIST MAGOTI
IMMUNEGENTZ OIL FAIDA ZAKE (BY "DR. MICHAEL EVARIST MAGOTI")
มุมมอง 989ปีที่แล้ว
IMMUNEGENTZ OIL FAIDA ZAKE (BY "DR. MICHAEL EVARIST MAGOTI")
HII NDIO DAWA ITAKAYO KUSAIDIA KAMA UNA CHANGAMOTO ZA MAGONJWA
มุมมอง 1812 ปีที่แล้ว
HII NDIO DAWA ITAKAYO KUSAIDIA KAMA UNA CHANGAMOTO ZA MAGONJWA
MWENYE KISUKARI,PRESHA,KIHARUSI,SARATANI TAZAMA HII HABARI NJEMA BY.DR.EVARISTI MAGOTI
มุมมอง 1842 ปีที่แล้ว
MWENYE KISUKARI,PRESHA,KIHARUSI,SARATANI TAZAMA HII HABARI NJEMA BY.DR.EVARISTI MAGOTI
STEM CELL AU SELI SHINA NI NINI? by Dr.Michael Evarist Magoti
มุมมอง 7242 ปีที่แล้ว
STEM CELL AU SELI SHINA NI NINI? by Dr.Michael Evarist Magoti
LEO TUONGEE KUHUSU MAGOJWA HAYA/KANSA,SUKARI,SELEMUNDO,BP NA DR,MICHAEL EVARISTI MAGOTI
มุมมอง 5842 ปีที่แล้ว
LEO TUONGEE KUHUSU MAGOJWA HAYA/KANSA,SUKARI,SELEMUNDO,BP NA DR,MICHAEL EVARISTI MAGOTI
KAMA UNA MATATIZO YOYOTE YA KIAFYA TAZAMA HII UNAPONA (By.Dr.Michael Evarisiti Magoti
มุมมอง 5502 ปีที่แล้ว
KAMA UNA MATATIZO YOYOTE YA KIAFYA TAZAMA HII UNAPONA (By.Dr.Michael Evarisiti Magoti
PATA KUJUA MAANA YA KIFURUSHI CHA AFYA (CI)NA FAIDA ZAKE
มุมมอง 8392 ปีที่แล้ว
PATA KUJUA MAANA YA KIFURUSHI CHA AFYA (CI)NA FAIDA ZAKE
HIVI NDIVYO DR.MICHAEL EVARISTI MAGOTI ALIVYO GUNDUA TIBA HII IMMUNEGENTZ
มุมมอง 3272 ปีที่แล้ว
HIVI NDIVYO DR.MICHAEL EVARISTI MAGOTI ALIVYO GUNDUA TIBA HII IMMUNEGENTZ
JITIBU UGONJWA WA KISUKARI HAPA NA DR.MICHAEL EVARISTI MAGOTI
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
JITIBU UGONJWA WA KISUKARI HAPA NA DR.MICHAEL EVARISTI MAGOTI
True
Mbona hujasema na Masheikh pia wapo
Tunawapenda saasa bukobaaaa
Siwezi kumulaumu Alkiba sababu pia nae yuko ugenini kwa shuuli ya haraka,ombi langu kama nikweli ndugu yetu anateseka huko Ameica na hataki kuishi huko serikali ya tanzania iko wapi itetee huyu mtanzania mama samia afikishiwe hi tarifa,sababu kama huyu mtu atapatikana na makosa nirahisi serikali kutatua na serikali ya Amerika lkn sio Alkiba
Huyu si shemeji😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nafarijika sn kwakuwaonanduguzangu dah mahisha nikombali nipo kenya nikawafatria
Ah kama kafanya hivi cio ubinadamu kabisa
Nmecheka tu huyu jamaa hazijuh ndege sjuh 😂😂😂km
Professor você falou bem muito obrigado dr:sule fala com zuchu
Dr: umesema kwel mpaka hawataki kukoment na kulaik na kushea Mimi nipo pamoja na wewe 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ Allahu akbar.akbar.
Dr. Mungu hakujalie uzidikusema
Dr : umesema kwel kabisa wambiye wahache na kama awawezi kuacha basi wapunguze tabiyazao
Dr: asalamu hallaikumu shekhe wangu.swadakta.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Allahu akbar. Alhamdu llhai
Suleha poumelmi sha
Dr.nikuwa defend na sio kuwa defence,lakini samahani kama itakuwa nimekukwaza Dr.
Allah akulipe
Mtu anawahi ndege halafu uanze kumwambia mrudi wote! Yaan akuweke kwenye bag au!
At lazima agongwe na atagongwa tu umenifurahisha
Apana apo wanaigiza tu ALLY KIBA ana roho ya namna iyo kabisa nawaambia ukweli, kuna watu wapo ivyo lakini sio king kiba
Asiemjua Ali,cku akutane nae,nakumbuka kitambo sana nikiwa Geita migodin kama mfanyakaz wa pale,so kuna dogo mmoja alishoboka ivo ivo tena kamsemesha kiluga cha hko kigoma ,alooo kilichotokea, alimapa makavu live..
Hiyo hadithi ndo leo naisikia ipo kwenye kitabu gani ya mtu akifa anapelekwa jordan kwa kaumu lut
Hii acting
Mungu skufunike nulinzi wake uwejuu Yako mtumishi wa mungu
Niwakati wa mungu sasa tegeni masikio msikie kwa umakini
That man he's the comedian 🤣🤣🤣
Apo utagundua tatzo lugha
yooh pabliii 😂
Huyo ni Tundu bin lissu
Heshima kubwa dr.sure tunashukulu Kwa elimu bora
Uwongo tu Ali kiba hana ayo.iyo ni comedy t
Wakati mwingine Tumia mbinu ya kumuelewa MTU,amekupigia Magoti hata haraka ya namna gani ẞikiliza Watu.
Alisikilize nonsense anamwambia ampeleke Africa kwani yeye ndio ubalozi wa Africa. labdao kama hujaelewa anach mwambia.
afu mwamba hana mambo mengi yupo simple katupia kawaida tu hana bodgurd afande wala mpambe ypo yy km yy hivi ndivo binadam unatakiwa uishi sio km yule domo ndani anajckia anaona dili kutembea na wanaume wenzie mtt afu unaringia wanaume wenzio ndio nn ss mwamba uyooooo apo simple and clear
Haya ndugu yangu tengeneza Akhera kwa Malighafi za Dunia Wakati huu ambapo walio.wengi wakiikarabati Dunia kwa kuirarua Akhera yao
Angekua D mkristo ungeongea sana , ila umemtetea mpaka umemwita dogo,umeogopa kumtaja dogo😂😂😂
Nilijua sule uwezi ongea bila kutaja kanisa,wakristo kwako ndio wenyedhambi ,dunian,japo umefundisha vizuri
True. Stor
Aluminati ni nani
Watanzania tumekuwa haongo sana, yani mtu anaongea kiingereza cha kinijeria huko lakini mnasema mtanzania
Huyu jamaa ni comedian
Bora umesakrifai maisha yako. Kwa kuongea ukweli. Najua ukitoka hapo utaanza kufatiliwa na huna muda watakukausha
Tnadanganywa2 kba akienda marekani ni kama ngosha kaingia dar 😂😂😂 hamna kitu hapo
😂😂😂😂
😂😂😂
Watu wako bize kama wadudu wa chuga
Kuna maana gan ya kuongea kizungu pumbavu zenu onyeshen uzalendo wenu mngebonga kibongo ndo tungeona sasa
Huyo sio mtz ila anapenda tz
Hacheni kucomments mambo ya uongo shekh hajasema watu wote wenye pesa ni mashoga au wanapata hela kwa njia za shetani na kuhusu papa kuruhusu kubariki ndoa za jinsia moja ni kweli usipinge unadai papa watu hawajamuelewa haya wewe tueleweshe alikua na maana gani kusema barikini ndoa za jinsia moja tueleze
Dr sule Asante sana Mungu akubariki sana unatuelimisha sana Mungu akubariki sana
Acha ujinga na aliesema fanyaneni wakubwa Kwa wakubwa acheni watoto alikua nani
Mc rajiii na kiba ilikuwa ni comedy hii bhanaa
🎉🎉🎉🎉chukua maua yako sheikh sule banda mbegunitakayoota itaota
Pasua babaa
Mwenyezi Mungu amewalaani wanaume wenye kuwaendea wanaume wenzake kinyume na maumbile, na wanawake wenye kusagana matendo hayo yamekemewa na Mwenyezi Mungu na wenye kuyafanya hayo wamelaaniwa