- 123
- 115 258
Zanzibar Post
เข้าร่วมเมื่อ 30 มิ.ย. 2017
News Clips from and on Zanzibar
JUSSA AUCHAMBUA UHURU WA ZANZIBAR NA NAMNA ULIVZOPOKWA MIKONO MWA WAZANZIBARI
Mjadala katika siku ya uhuru wa Zanzibar
มุมมอง: 40
วีดีโอ
Rahatuzaman yaburudisha ufukweni Stone Town
มุมมอง 512 หลายเดือนก่อน
Bendi ya muziki wa asili ya Rahatuzaman ikiwa kwenye ufukwe wa Mji Mkongwe kutoa burudani.
OMO hapowi hapunguwi, awapa tena za uso CCM
มุมมอง 5185 หลายเดือนก่อน
OMO hapowi hapunguwi, awapa tena za uso CCM
TAMTA wamlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
มุมมอง 895 หลายเดือนก่อน
TAMTA wamlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Viongozi hawafai kuwa na siasa ya maji machafu - OMO
มุมมอง 775 หลายเดือนก่อน
Viongozi hawafai kuwa na siasa ya maji machafu - OMO
Acheni kusema kwa mafumbo, kutaka mamlaka kamili si kosa kwa Wazanzibari
มุมมอง 835 หลายเดือนก่อน
Video from Mohammed Ghassani
Bi Mariam Hamdani, miaka 80 na bado anadunda
มุมมอง 935 หลายเดือนก่อน
Bi Mariam Hamdani, miaka 80 na bado anadunda
Bajeti ya Zanzibar na ya Mauritius kama mbingu na ardhi | OMO ashusha nondo
มุมมอง 755 หลายเดือนก่อน
Video from Mohammed Ghassani
Huu Muungano tayari Tanganyika walishauvunja - OMO
มุมมอง 575 หลายเดือนก่อน
"Hatuwezi kuukubali muundo wa Muungano uliopora Mamlaka ya Zanzibar." Othman Masoud Othman Mwenyekiti wa Taifa ACT-Wazalendo, Magogoni - Mwanakwerekwe, Juni 23, 2024.
Mahujaji wa Zanzibar wakiwa Arafa na Jumarat
มุมมอง 4735 หลายเดือนก่อน
Mahujaji wa Zanzibar wakiwa Arafa na Jumarat
Angalia mahujaji wa Zanzibar, tayari kwa ibada ya Hijjah
มุมมอง 1546 หลายเดือนก่อน
Angalia mahujaji wa Zanzibar, tayari kwa ibada ya Hijjah
Hii sasa haivumiliki, mkuu wa mkoa ahusishwa uhuni kwenye uchaguzi Pemba
มุมมอง 996 หลายเดือนก่อน
Hii sasa haivumiliki, mkuu wa mkoa ahusishwa uhuni kwenye uchaguzi Pemba
Wakaazi wa Wete wamueleza Makamu wa Kwanza wa Rais madhila wanayotendewa na serikali
มุมมอง 956 หลายเดือนก่อน
Wakaazi wa Wete wamueleza Makamu wa Kwanza wa Rais madhila wanayotendewa na serikali
OMO amedhamiria, asema hakuna kulala mpaka Ikulu 2025
มุมมอง 946 หลายเดือนก่อน
OMO amedhamiria, asema hakuna kulala mpaka Ikulu 2025
Jussa azungumzia mustakabali wa mageuzi Zanzibar
มุมมอง 756 หลายเดือนก่อน
Jussa azungumzia mustakabali wa mageuzi Zanzibar
Dhamira ya harakati lazima irithishwe kila kizazi
มุมมอง 576 หลายเดือนก่อน
Dhamira ya harakati lazima irithishwe kila kizazi
Tupo kwenye mapambano kwa ajili ya umma na si vyeo - OMO
มุมมอง 896 หลายเดือนก่อน
Tupo kwenye mapambano kwa ajili ya umma na si vyeo - OMO
Othman Masoud ashuhudia madhara ya mazingira Pemba
มุมมอง 1056 หลายเดือนก่อน
Othman Masoud ashuhudia madhara ya mazingira Pemba
Othman Masoud apewa uchifu wa Wanyamwezi
มุมมอง 2157 หลายเดือนก่อน
Othman Masoud apewa uchifu wa Wanyamwezi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akutana na viongozi wa Kanisa Katoliki Kigoma
มุมมอง 997 หลายเดือนก่อน
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akutana na viongozi wa Kanisa Katoliki Kigoma
Wapemba wamkalia kooni Othman Masoud, wataka kujuwa kwa nini ACT bado imo serikalini?
มุมมอง 5037 หลายเดือนก่อน
Wapemba wamkalia kooni Othman Masoud, wataka kujuwa kwa nini ACT bado imo serikalini?
Watumishi wa SMZ waongezewa elfu 50 za nauli
มุมมอง 277 หลายเดือนก่อน
Watumishi wa SMZ waongezewa elfu 50 za nauli
OMO na Jussa waendeleza bandika-bandua Pemba
มุมมอง 1.8K7 หลายเดือนก่อน
OMO na Jussa waendeleza bandika-bandua Pemba
Lissu achanganya mambo miaka 60 ya Muungano
มุมมอง 5717 หลายเดือนก่อน
Lissu achanganya mambo miaka 60 ya Muungano
Kafariki lini
Ikiwa unasema Yesu hivyo je Nabii Adam utamuitaje maana yeye Hana baba wala mama
Omo kama omo
Anajizimua baada ya kipigo
Tuko pamoja. Ochuu. Omo
Kweli hawayataki sijui nyinyi mutafanya nini kuwaondoa hawa madhalimu
Ahsante
Maalim alisema mpk povu lilimtoka hapakua kitu sasa na wewe zamu yako kupiga kelele ccm hawasikii maneno wala hawajui kufuata sheria
Ahsante mwinyi
Nimekumiss Mwinyi.. siku nyingi sijakusikia
Wazanzibar wapo macho tangu 1995 tatazo kupewa serekali baada ya ushindi hapo mmejipanga vp au kelele za mlango tu ........
Mtangazaji hufai hujaelekea kuwa mtangazaji
Asante mnyamwezi
Kwanini msiwashtaki masheha kama kumnyimwa mwananchi kitambulisho ni kosa la jinai?...
Inaskitisha wallahi
Mr Omo ❤❤❤
Mashaallah Mh OMO awesome!!!
Wantanganyika,hawautaki,Tanganyika,Yao,ndiomaana,wanalazimisha,muungano
Hata uwongeze milioni lakini ccm hatuitaki tena Zanzibar
We mshamb kwel eti unalalamika nini sasa hapo wakati hio ni seem ya biashar na wew ukitak utaend kununua acheni kila kitu kulalamik na kuona wenzenu kam.wamekosea vile mnajion nyny nd mpo saw kwa kila kitu
Anasema uongo uso mkavu ... anasema tokea alipochaguliwa ... sijui nani kamchagua labda maiti
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Muheshimiwa hongera, Zanzibar nilazima na mvuto, lakini bado wale wanao Fanya biashara holela hasa mida ya jioni maeneo ya pale jumba la train na sehemu yengine sizo rasmini munawaachia Sasa hapo huoni itakua kama vile west meet east or mambo jambo
Elimu ndogo sana bar wanajua ni nini
Wazanzibar bana
Hawandio waongoze nchi amani itatoeka kabisa
Shoga yoyote huwa ana maneno ya kuhudhi sana
TUNAWEZA KUGEUZA KIBAO LEO .TUKIMREJESHA JEMSHID. .. yoooote haya.ni.kuuwa uislam. ZANZIBAR kama si yale mauwaji yalopangwa na waengereza kwa kumtumiya NYERERE. .basi tungekuwa sasa hivi tunarusha satalait angani.. eny way Kaburini kuna NYOKA
Unamaanisha Mapinduzi yaliyomwondoa Mwarabu kutoka Oman kwenye utawala na kuwapa Uhuru Wazanzibar?
BANDIKA BANDUA MPENI VIGAE ACHUKUWE MKURANGA
Mbona fupi vipi?
Subhanallah inatisha. .. kama wameweza kutoa million 100 moja kuleta fitna?
❤
domo la jamaa kama la afande wa zanz au ndo kazi yao ile ile
SUBHANALLAH INALILAH WAINAILAH RAJIUN 😢😢😢😢 SUBHANALLAH UNATETEA DHULAMA NA UKANDAMIZAJI SUBHANALLAH
Huwo ni udongo ila mipaka ya udongo huwo unajulikana
Nyinyi mmeliona hilo tu la Mama samia kwan kipindi cha maguful zanzibar kulikuwa na machafuko na aletowa amri yakuja majeshi ni nan kuja zanzibar?
Mbona nyie mnajifanya watakatifu sana wakati uko Zanzibar mnaongoza kwa kugeuzana wanawake kwa wanaume hayo SI mabaya zaidi kaka pepoyako Iko mkoni mwako kaka acha ushabiki acha ngano na magugu vikuwe pamoja
Kwahiyo unatetea uovu?
atar mambo bdo kabisa tutayaona mengi
Tundu una Chuki. But hizo Chuki zako zaweza kuleta habari njema kwa Wazanzibari. Waambie Viongozi wa CCM na Watu wa Tanganyika wawe na Serikali yao. Wazanzibari wamesha bariki kitambo
WATANGANYIKA NI WALEMAVU WA AKILI, NDIO MAANA WANAHITAJI KUSAIDIWA NA WAZANZIBARI. MAANA WATANGANYIKA HATUJITAMBUI TUPO KAMA MADUDU TU😂😂
Kabisa wautafutie jina jengine huu si muungano. ... shukran Mh OMO
Kumbaro huna jipya, Sultani hatarudi tena Africa hata usemeje 😂
Nitasikitikasana Kama wewepia Unajiita mzanzibar Halafu haikumi Ila kama simzanzir Nisawa kwaunacho sema
KUHALALISHWA KWA POMBE BAADA YA KIFO CHA RAIS KARUME Rais wa Mawakala wa Ukoloni alichaguliwa na Rais Pombe kuzambaza Pombe kunufaisha Makafiri kwa Kusingizia Utalii. Hatoki Misikitini kutoa Khutba na kuombewa. Bali anarukhusu Pombe inohalalisha Malaya na Madanguro Nchi ya Waislam. Wakati wa Raisi Abeid Karume Pombe hata kwenye Mahoteli ya Bwawani na Africa House, ilikuwa Marufuku na Tangazo: HAPA SIO PAHALA PAKULEWA Baada ya Rais Karume kuuliwa, Pombe ikahalalishwa na kazi ya Mashekhe ni kuwaombea Dua Madhalim na Wauwaji wa Waislam wa Zanzibar.
UNAFIKI WA NYERERE KWA UMOJA WA AFRIKA (PAN-AFRICANISM) Kama Nyerere alivamia Zanzibar na kuitawala kutekeleza Umoja wa Afrika, kwa nini wa Kwanza kuwaunga Makatoliki Wenzake wa Biafra kujitenga na Nigeria?
UKOLONI WA TANGANYIKA NA CHAMA CHA MAPINDUZI✝️ Watanganyika wengi wenye akili kama Mwanasharia Tundu Lissu wanajuwa kuwa Zanzibar ni Koloni ya Tanganyika. Na khutuba ya Waziri William Lukuvi Kanisani ilithibitisha Muungano uko Mikononi mwa Kanisa. Wazanzibari walitaka Profesa Muhammed Gharib kuwa Raisi, lakini Wakoloni walimkataa na kumweka Amani Abeid Karume. Marais huchaguliwa Dodoma na hupeleka Zanzibar Jeshi la Chama Cha Mapinduzi: 1) Kuwauwa Waislam ni Mbinu ya kupuguza idadi ya Waislam wa Zanzibar na kuleta Makafiri. 2) Kutekeleza LENGO la Nyerere alilosema kabla ya Uhuru ni kuiburura Zanzibar kutoka Bahari ya Hindi. 3) LENGO la Baba wa Chama Cha Makanisa (CCM) ni ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Tanganyika. 4) Bila ya Muungano Maskofu wasingempendekeza Nyerere awe Mtakatifu kama Paulo, Mwasisi wa Ukiristo. 5) Ndio maana Kauli Mbiu ya Wakiristo, Muungano lazima Ulindwe Miaka 60 ijayo✝️
hatu utakiiiiih
Wazanzibari tuachekulalamika tupiganie uhuru wetu
Sasa haoo ccm wanaelewa vp haya masuala na wanayachukulia vp ukweli wote uko wazi kwanini wasi waulize wanaanchi wa nchi mbili ama vp jamani nyinyi ccm wa zanzibar tunakuulizeni mukoje katika hili kama ndio siri zenu ziko wazi zote vo munajificha wakati nguo zimewavuka
Ccm wa zanzibar ni madalali tu
Military force cantry
Mimi maoni yangu nikua wazanzibari tayari kwa umri huo wa miaka sitini umri wa mtu mzima kuelekea uzeeni hata kusstaafu inakulazimu kwa umri huo hivyo muungano pia unalazimika kustaafu ili tu kuiicha zanziba iwe huru sasa kwa wazanzibari muda umefika uchaguzi unakuja inshaaallahu tuiiondoshe ccm katika madaraka ili yu wasiendelee kuiumiza zanzibar na kuikalia kimabavu THIS IS MILITARIY CANTRIY
Ndioik mungano umekuja kuidhibiti zanzibar kwenye mambo muhimu mpakufikia hatua ya kuimeza kabisa Kisiasa Kiuchumi Kielimu Mifumo ya kiutawala Mahkama Ulinzi/usalama