Pastor Sylvia Ntamuti
Pastor Sylvia Ntamuti
  • 22
  • 3 787

วีดีโอ

MAISHA YAKO NI UTUMISHI - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 692 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAISHA YAKO NI UTUMISHI - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
USIONE AIBU KUANZA - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 634 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USIONE AIBU KUANZA - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
FUATA UTARATIBU - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 11912 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FUATA UTARATIBU - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
AMUA HATIMA YAKO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 18414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
AMUA HATIMA YAKO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
Matamko ya baraka 2025 - Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 14719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Matamko ya baraka - Pastor Slyvia Ntamuti
VUMILIA MCHAKATO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 7521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VUMILIA MCHAKATO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
MAUMIVU HUZAA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 266ปีที่แล้ว
#PastorSylviaNtamuti #MaumivuHuzaa #KusudiLaMungu
WATU WASIOFAA KITU KWAKO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 258ปีที่แล้ว
Watu wasiofaa kitu kwako ni watu ambao hustahili kuwapa maana. Ndiyo kila mtu asiyeamini katika kile Mungu ameweka ndani yako na kukufanyia dhihaka,kejeli,dharau au kukubeza biblia imetambulisha mtu au watu hao kama watu wasiofaa kitu. Usiyape nafasi maneno yao,mitazamo yao kukuhusu au kile Mungu alichoweka ndani yako. Maana biblia imekutambulisha hawakufai hao,usiwape maana katika yote wasemay...
PASTOR SYLVIA NTAMUTI - UMEZUNGUKWA NA WATU WA IMANI?
มุมมอง 232ปีที่แล้ว
Ayubu alipitia yaleyale hakumtenda Mungu dhambi kwa kulaani siku aliyozaliwa. Ila walipoenda rafiki zake wasio na imani katika Mungu wao waliangalia hali halisi na wakaingiwa na huruma ya kibinadamu,wakasikitika,huzunika tafsri sahihi wakaenda kumuongezea tatizo Ayubu akaanza kujiona kumbe nimepoteza sana,kumbe naumwa sana ndipo ayubu akalaani siku yake ya kuzaliwa. Siyo kwamba Ayubu alilaani s...
LINDA MTU WA KARIBU YAKO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 211ปีที่แล้ว
Usichukulie kawaida,neema uliyoipata kuwa karibu na huyo mtu uliyenaye karibu. Ukaribu wa aina zote,awe ni mme/mke,mtoto/mzazi,rafiki,jiran,boss,mfanyakazi wako n.k Huyo mtu anakusudi la Mungu kwenye maisha yake,ndiyo maana anaishi mpaka sasa. Mlinde mtu huyo na vyote ndani yake. Ruhusu Mungu tuu kukutumia kulikamilisha kusudi la huyo mtu hapa Duniani na usimruhusu shetani kukutumia kuua kusudi...
KUNA SABABU YA WEWE KUUMBWA - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 249ปีที่แล้ว
Haujaja Duniani kusindikiza watu wengine. Kabla ya hata wewe hujaumbwa,Mungu kuna jambo alitaka litokee Duniani,ndiyo akakutengeneza wewe na kuuweka huo uwezo ndani yako. Mungu hakuna aliyemleta kwa hasara hapa duniani. Cha muhimu sana tambua kusudi lako,Muombe Mungu kulijua kusudi lako hapa duniani #PastorSylviaNtamuti #Tambua #KusudiLako
NI LAZIMA KUMUOMBA MUNGU KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 290ปีที่แล้ว
Ni lazima kumuomba Mungu,kabla ya kuanzisha mahusiano. Kwasababu hakuna bjnadamu yeyote anayemjua binadamu mwingine kwa asilimia zote zaidi ya Mungu. Ni Mungu pekee,Unapomuomba Mungu anamfichua huyo mtu,hata zile tabia ambazo alificha ili usijue Mungu ataziweka wazi. Utafanya maamuzi kwa unachokifahamu kwa uhalisia. Mungu awabariki sana. #PastorSylvia #Maombi #Mahusiano
MWANZO WA MWAKA WAKO UMEUKABIDHI WAPI - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 1402 ปีที่แล้ว
Neno la Mungu limewekwa wazi kabisa,kama huo mwanzo haukutokana na Mungu,Mbele zako na wanadamu utaonekana umefanyika ila mbele za Mungu hakuna kilichofanyika,maana yake Mungu anatambua tuu lile yeye alilokabidhiwa mwanzo wa hilo jambo,maana yake Mungu mwenyewe atahusika na mwaka wako wako wote unapomkabidhi mwanzo wa mwaka kwa Mungu na kila eneo la maisha yako na yote kwa Mungu mwanzoni mwa mw...
ALIZALIWA KUOKOA - PASTOR SYLVIA NTAMUTI
มุมมอง 1082 ปีที่แล้ว
Sababu pekee Mungu aliyomleta Yesu hapa duniani ni kuyabadilisha maisha yako,akutoe kwenye dhambi na yote yaliyo nyuma ya kashetani. Usimkimbie Yesu eti kwasababu ya dhambi zako au kujiona hufai,wewe ndiyo sababu ya yeye kuja Duniani,anakupenda sana na amekuja kukukomboa katika hilo na vyote vilivyo nyuma yake shetani alivyokubebesha navyo. Wewe usiyefaaaa Yesu amezaliwa kwa ajili yako ili ufae...
DHAMIRA NJEMA. Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 2083 ปีที่แล้ว
DHAMIRA NJEMA. Pastor Sylvia Ntamuti
MWANZO. Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 1263 ปีที่แล้ว
MWANZO. Pastor Sylvia Ntamuti
MAUMIVU YANAZAA. Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 2933 ปีที่แล้ว
MAUMIVU YANAZAA. Pastor Sylvia Ntamuti
HUJACHELEWA. Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 2323 ปีที่แล้ว
HUJACHELEWA. Pastor Sylvia Ntamuti
ONDOA WASIOAMINI PAMOJA NAWE. Pastor Sylvia Ntamuti
มุมมอง 2703 ปีที่แล้ว
ONDOA WASIOAMINI PAMOJA NAWE. Pastor Sylvia Ntamuti

ความคิดเห็น