- 27
- 3 742
Apostle John Assani yoba
เข้าร่วมเมื่อ 8 ส.ค. 2023
Mungu njo chefu
วีดีโอ
Dunia inafika mwisho ndugu zangu, tumuogope Mungu
มุมมอง 14หลายเดือนก่อน
Dunia inafika mwisho ndugu zangu, tumuogope Mungu
Mungu nimwema sana Mungu njo chefu APOSTLE JOHN ASSANI JOHN NA BABA YAKE SENIOR PROPHET DAVID
มุมมอง 4หลายเดือนก่อน
Mungu nimwema sana Mungu njo chefu APOSTLE JOHN ASSANI JOHN NA BABA YAKE SENIOR PROPHET DAVID
NYENYEKEYA NA MUNGU ATAKUINUWA MUNGU NJU CHEFU
มุมมอง 52 หลายเดือนก่อน
NYENYEKEYA NA MUNGU ATAKUINUWA MUNGU NJU CHEFU
MWEZI WA 9 NI MWEZI WA BARAKA PATA SIRI YA BARAKA YAKO
มุมมอง 52 หลายเดือนก่อน
MWEZI WA 9 NI MWEZI WA BARAKA PATA SIRI YA BARAKA YAKO
watu wa Mungu wanajisaau sana Mungu tusaidiye
มุมมอง 8ปีที่แล้ว
watu wa Mungu wanajisaau sana Mungu tusaidiye
Amen
Mshirikina wewe, kunawatumishi wangapi wamewahi kukataliwa, tena anasema nimemisi hela zawatanzania, wajinga nyiee, asema tanzania ndiyosehem yakwenda vichwamaji wengi
Kachanjwe nawrewe
Wewe umefanya nini jihurumie wewe unaye sengenya
Skupendi wewe unamchafuwa nabii kiboko yawachawi WE muongotu
More grace man of God
Hata usemeje mimi na kiboko ya wachawi simdharsu hata kidogo aliko kutoa naapa jua
Pole sana. Mfuate kule Congo.
Warumi 14:4 (NEN) [ 4 ] we ni nani hata umhukumu mtumishi wa mtu mwingine? Ni bwana wake tu awezaye kuamua kama amesimama au ameanguka. Naye atasi mama kwa sababu Bwana anaweza kumfanya asimame. Warumi 14:10-12 (NEN) [10] Basi kwa nini wewe wamhukumu ndugu yako? Au kwa nini wewe unamdharau ndugu yako? Kwa kuwa sote tutasimama mbele ya kiti cha Mungu cha hukumu. [11] Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Kama vile niishivyo,’ asema Bwana, ‘kila goti litapigwa mbele zangu, na kila ulimi utakiri kwa Mungu.’ ” [12] Hivyo basi kila mmoja wetu atatoa habari zake mwenyewe kwa Mungu. [13] Basi, tuache kuhukumiana. Badala yake tuamue kuwa hatutamkwaza ndugu kwa kitu cho chote. Warumi 14:19 (NEN) 19 Kwa hiyo basi, tufanye kila juhudi tutimize yale yaletayo amani na kujengana. Wagalatia 6:1-10 (NEN) 6 Ndugu zangu, mkimwona mtu amenaswa katika dhambi fulani, basi ninyi mnaoongozwa na Roho, mrejesheni mtu huyo kwa upole. Lakini mjihadhari, ili na ninyi msije mkajaribiwa. 2 Chukulianeni mizigo yenu; na kwa njia hiyo mtaweza kutimiza sheria ya Kristo. 3 Mtu akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe siyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe. 4 Lakini, kila mtu apime mwenendo wake, ndipo anaweza kuwa na sababu ya kujisifu bila kuwa na sababu ya kujilinganisha na mtu mwingine. 5 Kwa maana, kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. 6 Basi, mwanafunzi na amshirikishe mwalimu wake vitu vyote vilivyo vyema. 7 Msidanganyike, Mungu hadanganywi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda. 8 Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele. 9 Basi, tusi choke kutenda mema, kwa sababu kama hatukuchoka tutavuna kwa wakati wake. 10 Kwa hiyo basi, kadiri tunavyopata nafasi, tuwa tendee mema watu wote, na hasa wale tunaoshiriki imani moja. Warumi 14:1 (NEN) [ 1 ] Kama mtu ana imani dhaifu mkaribisheni bila kubishana naye kuhusu maoni yake. Warumi12:3 Kwa sababu ya neema niliyopewa nawaambia kila mmoja wenu: Msijifikirie kuwa watu wa juu kuliko mlivyo. Badala yake, muwe na kiasi katika mawazo yenu, 1Wakorintho 8:2-3 Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa. 3 Lakini kama mtu anam penda Mungu, mtu huyo anajulikana na Mungu. 1 Wakorintho 10:12. 12Kwa hiyo mtu anayejidhania kwamba anasimama, awe na tahadhari asije akaanguka. Kua Mwangalifu Unapowakosoa Wengine ukajikuta unahukumu Biblia inakionya kwanza kabla ya kukosoa ujichunguze wewe kama na wewe ni Msafi Na biblia ilisha tuambia kuwa hakuna Mtu mtakatifu hapa Duniani. Mathayo 7:1-6. Msiwahukumu wengine, ili Mungu asiwahukumu ninyi pia. 2 Mtahukumiwa jinsi ile ile mnavyowahukumu wengine. Mungu atawatendea kama mnavyowatendea wengine. 3 Kwa nini unaona vumbi iliyo katika jicho la rafiki yako, na hujali kipande cha mti kilicho katika jicho lako? 4 Kwa nini unamwambia rafiki yako, ‘Ngoja nitoe vumbi lililo katika jicho lako wakati wewe mwenyewe bado una kipande cha mti katika jicho lako?’ 5 Ewe mnafiki! Ondoa kwanza kipande cha mti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utaweza kuona vizuri na kutoa vumbi katika jicho la rafiki yako. 6 Msiwape mbwa kitu kitakatifu, watawageuka na kuwadhuru. Na msiwatupie nguruwe lulu zenu kwa kuwa watazikanyaga tu. Yohana 8:7 7 Walipoendelea kumwulizauliza akainuka, akawaambia, “Asiyekuwa na dhambi kati yenu awe wa kwanza kumtupia jiwe. 1 Samueli 2:2 Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu 1Yohana1:8-10 (TKU) 8 Kama tukisema kuwa hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe na tumeikataa kweli. 9 Lakini kama tukiungama dhambi zetu, Mungu atatusamehe. Tunaweza kumwamini Mungu kufanya hili. Kwa sababu Mungu daima hufanya lililo haki. Atatufanya tuwe safi toka kila dhambi tuliyofanya. 10 Kama tukisema kuwa hatujafanya dhambi, tunasema kuwa Mungu ni mwongo na tumeyakana mafundisho yake. Na wala Hakuna Sehemu yoyote katika Biblia ina Kupa Mlaka ya kukosoa kwa Kuhukumu kama unavyo fanya Kutaja majina ya watumishi wa Mungu ambaye yeye ndiye amewapa vipawa na anawaona na ajua kila wanacho kifanya. Wewe ni Nani uingilie kazi yakutoa maonyo kwa watumishi ambao sio wako na wala wewe Hukuwapa hizo huduma na Vipawa. Najua wewe na watu kama wewe ni Kichwa ngumu mmesha kengeuka na kuachia ile roho ya mpinga kristo iwatawale kujifanya kondoo eti mnarekebisha kumbe shetani yupo nyuma yenu kazi yake ni kuharibu na kutawanya na kuleta konfusheni ili watu wachanganyikiwe wale wadhaifu waiache Imani kwa kuto amini manabii na watumishi wa Mungu. Na wengi kuacha kuamini Makanisa na wachungaji ili wasiende kanisani kupata msaada. Wewe mwenye huna hata kanisa na wala sio mchungaji huna msaada wowote kwenye mwili wa LKristo kazi yako ni kuharibu na kutawanya. Fungua kanisa lako mwenyewe tuone litafikia wapi kama kweli Mungu amekuita. Matayo 13:30 Acheni ngano na magugu yakue pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavu naji wayang’oe magugu kwanza wayafunge katika mafurushi tayari kwa kuchomwa moto, lakini wavune ngano na kuikusanya ghalani mwangu.’ ”
Amina 😂😂😂
NAKUOMBA ACHANA MTUMISHI WA MUNGU ILI MUNGU AENDELEE KUMTUMIA KAMA ATAKAVYO.
Hatadomo lake linaonyesha lina kula nyama zawatu.
Asante sana mtumishi kwa kutufimbua juu ya star
Unapotisa muda wako
Hata ukisema bado tunmpenda
Huyu mtumishi feki wengi aliwadanganya. Uzuri wake wa Tanzania hwawezi kwenda haraka lakinibsi uliona walimgundua wakamfukuza kama panya anafukuzwa kwenye mahidi? MWENDA POLE HAJIKWAI. ( YEYE NI MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE sasa tuko kwao anawsema vibaya Wa TZ ETI AWAOMBEE BURE. WAENDE WAKAOMBEWE NA WAZAZI WAO THATS NOT FARE
Mungu njo chefu
Usiwe nawasi nitakupa sababu ata kumi 10 yake
Wewe una uhakika gani kama nimchawi tupatie sababu 5