- 171
- 35 077
MERU DISTRICT COUNCIL
เข้าร่วมเมื่อ 12 ก.ย. 2019
วีดีโอ
MILIONI 908.6 MIKOPO YA ASILIMIA 10 IMETOLEWA KWA VIKUNDI MERU DC
มุมมอง 112หลายเดือนก่อน
MILIONI 908.6 MIKOPO YA ASILIMIA 10 IMETOLEWA KWA VIKUNDI MERU DC
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MWL. MAKWINYA AELEZA MCHAKATO MZIMA UNAVYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA MERU.
มุมมอง 364หลายเดือนก่อน
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MWL. MAKWINYA AELEZA MCHAKATO MZIMA UNAVYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA MERU.
WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 900 WAPATIWA VITAMBULISHO HALMASHAURI YA MERU.
มุมมอง 422 หลายเดือนก่อน
WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 900 WAPATIWA VITAMBULISHO HALMASHAURI YA MERU.
MERU DC WAZINGATIA SUALA LA LISHE MASHULENI
มุมมอง 83 หลายเดือนก่อน
MERU DC WAZINGATIA SUALA LA LISHE MASHULENI
HAMASA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
มุมมอง 2643 หลายเดือนก่อน
HAMASA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
TAMASHA LA KUHAMASISHA UCHAGUZI WA SERIKALI MITAA
มุมมอง 414 หลายเดือนก่อน
TAMASHA LA KUHAMASISHA UCHAGUZI WA SERIKALI MITAA
SHULE YA MSINGI SURA YAKARABATIWA KWA SHILINGI MILIONI 90
มุมมอง 765 หลายเดือนก่อน
SHULE YA MSINGI SURA YAKARABATIWA KWA SHILINGI MILIONI 90
UKARABATI WA SHULE YA MSINGI MIEMBENI WAKAMILIKA
มุมมอง 385 หลายเดือนก่อน
UKARABATI WA SHULE YA MSINGI MIEMBENI WAKAMILIKA
KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA UFUGAJI WA KUKU ZINALIPA - DC KAGANDA
มุมมอง 555 หลายเดือนก่อน
KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA UFUGAJI WA KUKU ZINALIPA - DC KAGANDA
MERU YAONDOA NYEKUNDU NA KIJANI KUTAWALA TATHMINI YA LISHE
มุมมอง 445 หลายเดือนก่อน
MERU YAONDOA NYEKUNDU NA KIJANI KUTAWALA TATHMINI YA LISHE
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI WAJIFUNZA YANAYOFANYWA MERU DC
มุมมอง 635 หลายเดือนก่อน
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI WAJIFUNZA YANAYOFANYWA MERU DC
MAKWINYA AELEZA KIKAO ALICHOITISHA CHA WENYEVITI WA VIJIJI NI KWA LENGO LA KUKOSOANA
มุมมอง 665 หลายเดือนก่อน
MAKWINYA AELEZA KIKAO ALICHOITISHA CHA WENYEVITI WA VIJIJI NI KWA LENGO LA KUKOSOANA
WENYEVITI WA VIJIJI WAMWOMBA MAMA AMUONGEZEE MKURUGENZI MAKWINYA MIAKA MITANO MERU.
มุมมอง 265 หลายเดือนก่อน
WENYEVITI WA VIJIJI WAMWOMBA MAMA AMUONGEZEE MKURUGENZI MAKWINYA MIAKA MITANO MERU.
DED MERU ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WENYEVITI WA VIJIJI
มุมมอง 125 หลายเดือนก่อน
DED MERU ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WENYEVITI WA VIJIJI
MKURUGENZI MERU AMUAGIZA MGANGA MKUU WILAYA KUKAA KIKAO NA WANANCHI WA KIJIJI CHA KALOLENI
มุมมอง 495 หลายเดือนก่อน
MKURUGENZI MERU AMUAGIZA MGANGA MKUU WILAYA KUKAA KIKAO NA WANANCHI WA KIJIJI CHA KALOLENI
MADEREVA MERU WAPEWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA VYOMBO VYA MOTO
มุมมอง 275 หลายเดือนก่อน
MADEREVA MERU WAPEWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA VYOMBO VYA MOTO
DC ARUMERU AMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI MERU DC KWA KUWASIMAMIA VYEMA WATUMISHI ANAOWAONGOZA
มุมมอง 655 หลายเดือนก่อน
DC ARUMERU AMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI MERU DC KWA KUWASIMAMIA VYEMA WATUMISHI ANAOWAONGOZA
DED MAKWINYA AKIELEZA ONGEZEKO LA ASILIMIA 77 LA UKUSANYAJI MAPATO KWA KIPINDI CHA MIAKA 3.
มุมมอง 2255 หลายเดือนก่อน
DED MAKWINYA AKIELEZA ONGEZEKO LA ASILIMIA 77 LA UKUSANYAJI MAPATO KWA KIPINDI CHA MIAKA 3.
UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI MKOANI ARUSHA
มุมมอง 4005 หลายเดือนก่อน
UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI MKOANI ARUSHA
MWENGE WA UHURU WATEMBELEA NA KUKAGUA CHUO CHA WENYE ULEMAVU USARIVER
มุมมอง 756 หลายเดือนก่อน
MWENGE WA UHURU WATEMBELEA NA KUKAGUA CHUO CHA WENYE ULEMAVU USARIVER
MREJESHO WA DC KAGANDA KWA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2023
มุมมอง 2726 หลายเดือนก่อน
MREJESHO WA DC KAGANDA KWA MIRADI YA MWENGE WA UHURU 2023
KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU 2024,🔥🔥
มุมมอง 1026 หลายเดือนก่อน
KARIBU MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU 2024,🔥🔥
Meru uchaguzi umefanyika vema zoezi tumelifurahia hongera sana Mkurugenzi na timu yako. KAZI IENDELEE
Na Barbara je?
Glory to God
Wewe unabeba Maagano
Hapo sawa. Mungu azidi kukupa afya ni uzima daima
Mungu mpe makonda uzima awe rais wa tanzania
Ukiwa unatenda haki kwa wanyonge hata mungu wa mbinguni atabariki uongozi wako makonda ni mfano wa kuigwa kwa viongozinwengine
Vive le Maroc ❤🇲🇦vive Tanzanie ❤️❤️❤️❤️❤️🇲🇦🇲🇦🇲🇦🙏🙏
Hongera Sanaa Mhe: DC Arumeru,DED Meru, Mhe: Mbunge kwa utatuzi wa shida za wananchi wa Meru. Mratibu wa Mwenge Mr. Say,Hongera Sanaa kwa Simulizi nzurii Sanaa na hakika unajua Kuelezea Miradi.
Looking good follow back done God bless you 🇱🇷 💪 ❤❤❤❤❤❤❤
Good job bro follow back 👍 ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Vive le Maroc vive tanzania
Shughulikieni barabara ya king'ori kwenda leguruki kwa kiwango çha lami acheni siasa za magazetini
Tatizo mmejenga nyumba kwenye eneo la soko watu wanafanya biashara zao barabarani ndani na nje kwasababu hakuna uwanja wa kutosha wafanyibiashara
Mnapanga soko wakati limeshaharibika tangu mwanzo ,shida ni hivi ,eneo la soko linapotengwa halmashauri inaruhusu na kuwauzia watu wengine viwanja ndani ya soko unakuta maduka yanajazwa ndani ya soko na kufanya eneo la soko kuwa dogo sana ,hilo soko halitapangika labda eneo liongezeke . lakini .Barabarani Kwa biashara haifai
Kazi iendelee
My village
Muungano wetu tuugumishe. Mungu ibariki Tanzania
Wananch hawana uelewa wala hawajui serikali inafanya nini,,nashaur mikutano ya hadhara Kwa wananch ili kama Wana maswali waulize,,uelewa wao ni mdogo ktk miradi mikubwa
Tunataka mama aweke historia kwenye iyo barabara
Tunashukuru mama samia , ila kweli bila lami ya kingori leguruki na ngarenanyuki , hapo hatuon kitu
Mama tufungulie uchumi na lami Kila kitu kitakua sawa
Tunasubir lami king,or leguruki,ngarenanyuki hadi oludonyosambu, mama Samia afanye kweli
Furaha ni tiba
Maa Shaa llah hongera sana waheshimiwa
Kazi iendelee
Maa Shaa llah ,, Allah akubariki sana,,na kazi iendelee
Lakini hii ni siasa, lakini hongera!
Hongereni sana Wanameru
Tengenezeni Barbara acheni projo sisi wananchi tuliahidiwa Barbara za lami ,
Kazi iendelee
Kongole halshaur ya meru/madam president 👌👍
Hongera mkuu
Kazi iendelee 🔥
Hongera DC,chapa kazi huku meru wamejimilikisha Hadi mito
Hongera mh/dc,pongez kwa serikali yetu
Hongera h/meru kwani kupokea fedha ni Jambo moja na utekelezaji ni Jambo jengine na utekelezaji ndio haaswaa wameshindwa wengi,, mwenyeenz mungu akudumishen ktk utumish uliotukuka
Hakika mama unaupiga mwingi kwa kweli madarasa ni ya viwango nauliza mmeona farniture za Nasholi ni za mambeleee
Meru kazi Iendelee
Hatari na nusu sio kwa shule hiyo makini aiseeee
kwa kweli mama Samia akituwekea lami iyo Barbara hata saulika Meru Tena tutaiita mama samia 🛣️ road king,ori to ngarenanyuki
Hakuna linaloshindikana kama watu watakua waadilif
Asante mama ila ilani ya chama ilikua ni miundo mbinu hatuna Barbara ,kwanza Barbara ya kibaoni had ngarenanyuki ,mtangulizi wa mama alisema ataanza nayo kwa lami
Hongereni TAKUKURU kwa kutoa Elimu
Vijana na wanawake ni misingi imara tunakubari ila vipi kuhusu mikopo ya asilimia 10