- 95
- 53 095
Karafuu Media
เข้าร่วมเมื่อ 28 ส.ค. 2021
Creativity, Quality and Responsibility
JINSI YA KULIMA KILIMO CHA NDIZI ZANZIBAR( FAO TZ)
JINSI YA KULIMA KILIMO CHA NDIZI ZANZIBAR( FAO TZ)
มุมมอง: 8
วีดีโอ
MAAJABU MAKUBWA YAFANYWA NA WAKANDARASI WA ZANZIBAR (kist)
มุมมอง 2294 หลายเดือนก่อน
MAAJABU MAKUBWA YAFANYWA NA WAKANDARASI WA ZANZIBAR (kist)
Rais Mwinyi afunga Rasmi maonesho ya 48 ya Sabasaba. Tizer by director fahmi bin loufy
มุมมอง 155 หลายเดือนก่อน
Rais Mwinyi afunga Rasmi maonesho ya 48 ya Sabasaba. Tizer by director fahmi bin loufy
Breaking News: Mzee Mwinyi Afariki Dunia Leo Rais Samia Atangaza Rasmi
มุมมอง 3810 หลายเดือนก่อน
Breaking News: Mzee Mwinyi Afariki Dunia Leo Rais Samia Atangaza Rasmi
WAZIRI MPYA WA UTALII ZANZIBAR MHE MUDRIK SORAGHA ASHANGAA KUMUONA CHUI WA KWELI NDAI YA MJI MKONGWE
มุมมอง 35310 หลายเดือนก่อน
WAZIRI MPYA WA UTALII ZANZIBAR MHE MUDRIK SORAGHA ASHANGAA KUMUONA CHUI WA KWELI NDAI YA MJI MKONGWE
SHEHENA YA SUKARI YAKATWA KUSINI UNGUJA- WAZIRI OMAR AWA MKALI
มุมมอง 78311 หลายเดือนก่อน
SHEHENA YA SUKARI YAKATWA KUSINI UNGUJA- WAZIRI OMAR AWA MKALI
HIKI NDIO NKIWANDA CHA KWANZA CHA MATANKI YA MAJI SAFI KUANZISHWA ZANZIBAR
มุมมอง 7K11 หลายเดือนก่อน
HIKI NDIO NKIWANDA CHA KWANZA CHA MATANKI YA MAJI SAFI KUANZISHWA ZANZIBAR
FULL DOCUMENTARY: MAKALA YA KARAFUU |MIAKA MITATU YA DR HUSSEIN ALI MWINYI. DIRECTOR FAHMI BIN.LOUFY
มุมมอง 96ปีที่แล้ว
@karafuumedia2023 @karafuupemba @DRHUSSEINMWINYI-up4ft @zstc #karafuu #pemba #unguja #zanzibar #cloves #diamond #oman #dubai #palestine
HATUTA VUMILIA VITENDO VYA UHUJUMU WA MASHAMBA YA MIWA MAHONDA- MHE WAZIRI OMAR SAID SHAABAN
มุมมอง 19ปีที่แล้ว
HATUTA VUMILIA VITENDO VYA UHUJUMU WA MASHAMBA YA MIWA MAHONDA- MHE WAZIRI OMAR SAID SHAABAN
HATUTO VUMILIA VITENDO VYA KUHUJUMU MASHAMBA YA MIWA MAHONDA -MHE WAZIRI OMAR
มุมมอง 77ปีที่แล้ว
HATUTO VUMILIA VITENDO VYA KUHUJUMU MASHAMBA YA MIWA MAHONDA -MHE WAZIRI OMAR
POKEA SALAMU ZA EID KUTOKA KWA MHE OMAR SAID SHAABAN |2023
มุมมอง 28ปีที่แล้ว
POKEA SALAMU ZA EID KUTOKA KWA MHE OMAR SAID SHAABAN |2023
WAZIRI OMAR AZINDUA RASMI BODI YA TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS)
มุมมอง 111ปีที่แล้ว
WAZIRI OMAR AZINDUA RASMI BODI YA TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS)
KARIBUNI KATIKA TAMASHA LA TISA LA BIASHARA MAISARA ZANZIBAR 2022
มุมมอง 402 ปีที่แล้ว
KARIBUNI KATIKA TAMASHA LA TISA LA BIASHARA MAISARA ZANZIBAR 2022
KWA MARA YA KWANZA WARSHA YA KUJADILI MAMBO YA TABIA NCHI KUFANYIKA ZANZIBAR
มุมมอง 802 ปีที่แล้ว
KWA MARA YA KWANZA WARSHA YA KUJADILI MAMBO YA TABIA NCHI KUFANYIKA ZANZIBAR
JESHI LA POLISI NA SKULI JABAL KHIRAA UTAPENDA WALICHOKIFANYA VISIWANI ZANZIBAR
มุมมอง 372 ปีที่แล้ว
JESHI LA POLISI NA SKULI JABAL KHIRAA UTAPENDA WALICHOKIFANYA VISIWANI ZANZIBAR
UJIO WA WATU KUTOKA OMAN NI NEEMA KWA ZANZIBAR
มุมมอง 1972 ปีที่แล้ว
UJIO WA WATU KUTOKA OMAN NI NEEMA KWA ZANZIBAR
MKUTANO WA PILI WA MAFUNZO YA UBUNIFU KUFANYIKA ZANZIBAR
มุมมอง 912 ปีที่แล้ว
MKUTANO WA PILI WA MAFUNZO YA UBUNIFU KUFANYIKA ZANZIBAR
SALAM ZA EID KUTOKA KWA MHE WAZIRI OMAR SAID SHAABAN
มุมมอง 302 ปีที่แล้ว
SALAM ZA EID KUTOKA KWA MHE WAZIRI OMAR SAID SHAABAN
WAZIRI OMAR AKITEMBELEA BANDA LA ZANZIBAR MAONYESHO YA SABASABA DSM
มุมมอง 1172 ปีที่แล้ว
WAZIRI OMAR AKITEMBELEA BANDA LA ZANZIBAR MAONYESHO YA SABASABA DSM
MHE OMAR SHAABAN AKITOA HUTOBA YAKE KATIKA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA SABASABA DSM 2022
มุมมอง 752 ปีที่แล้ว
MHE OMAR SHAABAN AKITOA HUTOBA YAKE KATIKA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA SABASABA DSM 2022
WAZIRI OMAR SITOKUBALI, SITOMVUMILIA AFISA YEYOTE ATAKAE KIUKA UTARATIBU WA KUUZA NA KUNUNUA KARAFUU
มุมมอง 1102 ปีที่แล้ว
WAZIRI OMAR SITOKUBALI, SITOMVUMILIA AFISA YEYOTE ATAKAE KIUKA UTARATIBU WA KUUZA NA KUNUNUA KARAFUU
Waziri Omar Said | Lazima Tuimarishe Ulinzi Zao la Karafuu lisipotee
มุมมอง 592 ปีที่แล้ว
Waziri Omar Said | Lazima Tuimarishe Ulinzi Zao la Karafuu lisipotee
WAZIRI OMAR AKUTANA NA BARAZA LA BIASHARA LA FCT ZANZIBAR KUJADILI MAMBO YA KIBIASHARA
มุมมอง 682 ปีที่แล้ว
WAZIRI OMAR AKUTANA NA BARAZA LA BIASHARA LA FCT ZANZIBAR KUJADILI MAMBO YA KIBIASHARA
H.E Omar Said Shabaan Representing the Nation of Tanzania in Geneva Switzerland
มุมมอง 382 ปีที่แล้ว
H.E Omar Said Shabaan Representing the Nation of Tanzania in Geneva Switzerland
WAZIRI OMAR AFANYA ZIARA YA KITUO JUMUISHI KWA AJILI YA WAFANYA BIASHARA |ONE STOP CENTER
มุมมอง 1062 ปีที่แล้ว
WAZIRI OMAR AFANYA ZIARA YA KITUO JUMUISHI KWA AJILI YA WAFANYA BIASHARA |ONE STOP CENTER
WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI NA MAAFISA WATANO ARUSHA
มุมมอง 282 ปีที่แล้ว
WAZIRI MKUU MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA JIJI NA MAAFISA WATANO ARUSHA
WABUNGE NA WAWAKILISHI KUKUTANA ZANZIBAR KWA MKATABA HUU MAALUM
มุมมอง 1632 ปีที่แล้ว
WABUNGE NA WAWAKILISHI KUKUTANA ZANZIBAR KWA MKATABA HUU MAALUM
CIFCA YATOA MAFUNZO YA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA KATIKA UISLAAM VISIWANI ZANZIBAR
มุมมอง 682 ปีที่แล้ว
CIFCA YATOA MAFUNZO YA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA KATIKA UISLAAM VISIWANI ZANZIBAR
Baba.hussen.mungu.akubariki.
Mashallah.
✅✅✅✅✅💯
Zanzibar hamna kiwanda usitushughulishe
Muaklishi hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiii serkali agalien kwa mkni
Wakitaka wasitake Zanzibar itarudi ilipokuwa kuna Watu wenyee Pesa zao wapo kuleta Maendeleo lkn Viongozi walotangulia kutoka Juu wanaendeshwa na Tanganyika Rasi Samiha 2023
Kweli mzee said salim bakresa yupo vizuri
Ss Zanzibar itafunguka Kibiashara tuache kutegemea cha Mtu tutakufa tukiwa Maski 3:05 ni
Kazi safi sanaa
Jamani musibeze hizi ni juhudi za mzawa tumuunge mkono tukanunue hii bidhaa
0:01 STAR TANK ZINAPATIKANA SATENI MPINDA MNGONGO
Bei ikoje isijekua likitoka China linakua rahisi kuliko lililotengenezwa Zanzibar
KWAIYO HATUTOAHIZA TENA NJE YA ZANZIBAR 😊
Ndio hakika kabisa
Tuzalushe plastiki inayotokana na mwani...ni eco friendly...
Watanganyika wakiona hivyo wanaumia tena sio wanyonge mmi nawew aaaha wakubwa 😢cijui inakuaje asa
Kesho kutwa kinakwenda kufa icho kiwanda vilikuweko viwanda vingap zanzabar leyo viko wap😂😂😂😂
Huo ni mdomo wako mchafu tu
@@mbaroukally8655 so mdomo hapa watu wana husnda
@@mbaroukally8655 wewe mtoto wajuzi hujuwi kitu bwabwanja tu na bando lako la Jero
Vipi kuhusu soko? Serikali inaweza msaidia kulifikia soko la Tanzania bara? Maziwa ya Bakharesa na sukari ya mahonda vimeshindwa!
Ndio naongea aswa watanganyika wanaumia roho kuona Zanzibar kuwa namaendeleo
Tena sio mnyonge kama mmi nawew/mtanganyika mnyonge wenye serekali yao
Mashaall mamlaka kamiliiiiii
Kilichonifurahixa ni made in zanzibar
SAFI SANA ZANZIBAR KWANZA
Tunataka kujua yanapopatikana
Sateni mpinda mgongo
Saateni mkabala na soko
Welldone dharmendra davda hapa kazi tu
Sasa yanapatika maduka gn zanzibar
Yapo karibu na soko la sateni
Saateni karibu mkabala na soko
Assalam alaikum mm ni mwanafunz wa chuo koz ya fruits and vegetables prossessing natak niombe field huko nitapata wapi number na email
Upo wapi
Hawa hana lalo kazi kubuzuzwa na kuiga hapa jipya hapo. Bei ya chakula ziko juu zaidi kama mchele huu wa mapembe sukari ndio usiseme njaa iko mukakubali musikubali njaa ipo
Mashaa Allah makala mzuri hivi sasa tumeanza kuelewa na tutafika inshaa Allah
Safi sana kazi nzri
Mujitahidi kufuata viwango vya kimataifa, na hizo biashs zikiingizwa muangalie, hasa za Bakharesa zinalalamiwa si kwa utashi tu bali wa ukweli wa vitu vinavyotiwa hasa hizo juice zake.
Kazi nzuri kaka
Uko vzr broo 🙌
kazi nzuri
Uyo Jamaaa fundi
Nataka kazi kwenye hicho kiwanda
Eid mubarak♥️❤❤🌙
Tunakwama wapi wazalishaji tunao wengi serekali wezesha kwa viwanda n so kuwapa mikopo tu
Hapo kwenye kuajira za walomaliza kusoma insha Allah one day free Zanzibar
TUNAHITAJI VIONGOZI WENYE ARI NA JITIHADA NAMNA HII, SIO VIONGOZI WENYE KUTULIA MAOFISINI TU, WAZIRI TUNA IMANI NAWE JUU YA USIMAMIZI WAKO WA WELEDI...✍️
NAAM NI WAJIBU ZAO HILI LIFANYIWE JITIHADA YA USIMAMIZI NA KIPAO MBELE ZAIDI...✍️
Hongereni Mwanakwerekwe Mungu awazidishie barka viongoz wenu jambo jema
Hongereni sana kwa jambo zuri la maendeleo
Allah awafanyie wepesi insha Allah
Wonderful moment actually
Very smart..na speech nzuri..thanks
Amaizing
Ma God the Almighty help you in make it easier for you to go back home.
This guy is very smart
Dah vita isikie kwa mwenzio tu
Allha atawafanyia wepesi nchi Yao
Mapinduzi or Mauwaji
Kwanini musiweke bei moja kote pemba n unguja uko pemba ndio maisha magumu zaidi kuliko unguja kuweni na huruma pemba