KWAYA YA MT. THERESIA WA AVILA
KWAYA YA MT. THERESIA WA AVILA
  • 5
  • 43 657

วีดีโอ

NDUGU KUISHI PAMOJA - David B. WasongaNDUGU KUISHI PAMOJA - David B. Wasonga
NDUGU KUISHI PAMOJA - David B. Wasonga
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
Wimbo huu mzuri umeimbwa na kwaya ya Mtakatifu Theresia wa Avila kutoka parokia ya Bikira Maria Consolata, Iringa. Ni mmoja kati ya nyimbo zilizomo kwenye album ya Bwana Ametamalaki. Mtunzi ni Mwl David Benjamin Wasonga. Maneno ya wimbo yametoka kitabu cha zaburi 133:1-3 Kinanda kimepigwa kwa ustadi na Mwl Didas Kidesu. Wimbo huu ukawe baraka kwako na kwa familia yako. Karibu na ufurahi pamoja ...
Ee Israeli umtarajie Bwana - Ernestus OgedaEe Israeli umtarajie Bwana - Ernestus Ogeda
Ee Israeli umtarajie Bwana - Ernestus Ogeda
มุมมอง 18K2 ปีที่แล้ว
Wimbo huu mzuri umeimbwa na kwaya ya Mtakatifu Theresia wa Avila kutoka parokia ya Bikira Maria Consolata, jimbo katoliki la Iringa. Ni mmoja kati ya nyimbo zilizomo kwenye album ya Bwana ametamalaki. Mtunzi wa wimbo ni Mwl. Ernestus Ogeda Kinanda kimepigwa na Mwl. Didas Kidesu
Ave Maria - E. MagulyatiAve Maria - E. Magulyati
Ave Maria - E. Magulyati
มุมมอง 14K3 ปีที่แล้ว
KWAYA YA MT. THERESIA WA AVILA - PAROKIA YA CONSOLATA JIMBO LA IRINGA WIMBO: AVE MARIA MTUNZI: EMANUEL MAGULYATI ORGANIST: KIDESU D.P.
Tunakushukuru Mungu Baba - M.B. SyoteTunakushukuru Mungu Baba - M.B. Syote
Tunakushukuru Mungu Baba - M.B. Syote
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
Kwaya ya Mt. Theresia wa Avila Parokia ya Bikira Maria Consolata, Mshindo Jimbo Katoliki Iringa, wakiwa kwenye mazoezi ya kuandaa ibada ya misa takatifu.

ความคิดเห็น