- 149
- 22 711
INUKA ULE TV
เข้าร่วมเมื่อ 30 พ.ย. 2021
Inuka Ule sio dhehebu ni huduma ya Neno la Mungu isiyofungamana na dhehebu lolote bali inafundisha mafundisho ya Neno la Mungu kwa watu wote na madhehebu yote,mbeba maono wa huduma hii Mwl na Mwinjl Elihuruma Baghari, ndio inaoongoza na kusimamia INUKA ULE TV online.kukuletea mafundisho ya Neno la Mungu popote duniani kwa lugha Ya kiswahili.
Kwa ushauri na maombezi pia kusimama na huduma hii wasiliana naye kwa namba +255755289567.
Kwa namba hiyo unaweza pia kutoa sadaka yako kwa njia ya mpsa ili masomo na mahubiri haya yawafikie watu wengine.
Mungu akubariki

วีดีโอ
NYOTA YAKO NDIO INAKUTAMBULISHA WEW NI NANI
มุมมอง 1273 หลายเดือนก่อน
NYOTA YAKO NDIO INAKUTAMBULISHA WEW NI NANI
BARAKA ZA MUNGU ZIPO KWENYE MIPAKA YA MAKAZI YAKO
มุมมอง 1926 หลายเดือนก่อน
BARAKA ZA MUNGU ZIPO KWENYE MIPAKA YA MAKAZI YAKO
TABIA ZA ASILI NA HASIRA NA MATHARA YAKE
มุมมอง 1907 หลายเดือนก่อน
TABIA ZA ASILI NA HASIRA NA MATHARA YAKE
Somo: Ni ufanye pale Nguvu zako zinapo pungua katikati ya Majaribu
มุมมอง 2507 หลายเดือนก่อน
Somo: Ni ufanye pale Nguvu zako zinapo pungua katikati ya Majaribu
TOFAUTI KATI YA JARIBU,ROHO FATILIZI NA ADHABU ITOKANAYO NA KUTENDA DHAMBI
มุมมอง 1138 หลายเดือนก่อน
TOFAUTI KATI YA JARIBU,ROHO FATILIZI NA ADHABU ITOKANAYO NA KUTENDA DHAMBI
MAJARIBU KWA MWAMINI NI KIPIMO CHA IMANI
มุมมอง 1178 หลายเดือนก่อน
MAJARIBU KWA MWAMINI NI KIPIMO CHA IMANI
Ibada ya 2 KKKT DK Usharika wa Karatu Mjini
มุมมอง 1968 หลายเดือนก่อน
Ibada ya 2 KKKT DK Usharika wa Karatu Mjini
KUFUFUKA KWA YESU KUNAONDOA NGUVU YA MAUTI
มุมมอง 618 หลายเดือนก่อน
KUFUFUKA KWA YESU KUNAONDOA NGUVU YA MAUTI
NGUVU YA MSALABA KATIKA KUONDOA LAANA YA MWANADAMU
มุมมอง 1108 หลายเดือนก่อน
NGUVU YA MSALABA KATIKA KUONDOA LAANA YA MWANADAMU
NGUVU YA MSALABA KATIKA UKOMBOZI WA MWANADAMU
มุมมอง 1238 หลายเดือนก่อน
NGUVU YA MSALABA KATIKA UKOMBOZI WA MWANADAMU
DHAMBI INAWEZA KUKUTOA NDANI YA NEEMA ZA MUNGU
มุมมอง 11710 หลายเดือนก่อน
DHAMBI INAWEZA KUKUTOA NDANI YA NEEMA ZA MUNGU
MKUTANO WA INJILI ULIOFANYIKA MANG"OLA BARAZANI
มุมมอง 17710 หลายเดือนก่อน
MKUTANO WA INJILI ULIOFANYIKA MANG"OLA BARAZANI
UMUHIMU WA KUSHUGHULIKIA ROHO ZINAZO KUCHELEWESHA KUFIKIA HATIMA YAKO
มุมมอง 8810 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA KUSHUGHULIKIA ROHO ZINAZO KUCHELEWESHA KUFIKIA HATIMA YAKO
KUSHUGHULIKIA ROHO ZINAZO KUCHELEWESHA KUFIKIA HATIMA YAKO
มุมมอง 4310 หลายเดือนก่อน
KUSHUGHULIKIA ROHO ZINAZO KUCHELEWESHA KUFIKIA HATIMA YAKO
KAMA UNAJUA UNAPOKWENDA HAUWEZI KUPOTEZA MUDA KWAMAANA MAFANIKIO YAKO YAPO NDANI YA MUDA
มุมมอง 9610 หลายเดือนก่อน
KAMA UNAJUA UNAPOKWENDA HAUWEZI KUPOTEZA MUDA KWAMAANA MAFANIKIO YAKO YAPO NDANI YA MUDA
AGANO LA VIAPO KWENYE ARIDHI LINAVYOWEZA KUATHIRI NDOA NA FAMILIA BY MWL ELIHURUMA BAGHARI
มุมมอง 200ปีที่แล้ว
AGANO LA VIAPO KWENYE ARIDHI LINAVYOWEZA KUATHIRI NDOA NA FAMILIA BY MWL ELIHURUMA BAGHARI
MADHABAHU INAPOPOTEZA NGUVU ZAKE INASHINDWA KUTEKETEZA SADAKA ZA WATU SEHEMU YA 2,ELIHURUMA BAGHARI
มุมมอง 1312 ปีที่แล้ว
MADHABAHU INAPOPOTEZA NGUVU ZAKE INASHINDWA KUTEKETEZA SADAKA ZA WATU SEHEMU YA 2,ELIHURUMA BAGHARI
NYUMA YA ROHO ZA WENYEJI KUNA MIUNGU INAYO KWAMISHA NA KUANGAMIZA NDOA ZA WATU WENGI,MWL ELIHURUMA B
มุมมอง 1602 ปีที่แล้ว
NYUMA YA ROHO ZA WENYEJI KUNA MIUNGU INAYO KWAMISHA NA KUANGAMIZA NDOA ZA WATU WENGI,MWL ELIHURUMA B
ROHO ZA WENYEJI ZINAVYO TUMIA MIFUMO YA NDOA,MWL ELIHURUMA BAGHARI
มุมมอง 3062 ปีที่แล้ว
ROHO ZA WENYEJI ZINAVYO TUMIA MIFUMO YA NDOA,MWL ELIHURUMA BAGHARI
NYUMA YA NDOA KUNA IBADA ,MWL ELIHURUMA BAGHARI
มุมมอง 2572 ปีที่แล้ว
NYUMA YA NDOA KUNA IBADA ,MWL ELIHURUMA BAGHARI
Mungu akubariki san
Mungu akubariki sana mtumishi
Ubarikiwe sana Mtumishi
Amen mtumishi hayo ni ya kweli kabisa
Mungu awe nasi mtumishi wamungu nipo nchi za nje lkn nawafatilia
Jackson mbn sikuoni jmn mdg wangu😊😊😊
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Amina mtumishi wa Mungu, ubarikiwe Kwa somo zurii🙏🏿
Ubarikiwe sana kuhani
Yesu kristo asifiwe. Ubarikiwe sana mtumishi wa Kristo.
Amen 🙏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Mwl elihuruma Baghari
Mungu akubarik mtumish wa mungu
Amen amen kazi njema sana Mungu awainue tena kwa viwango vyake vya neema watu wa Mungu mbarikiwe sana
💥💥💥
Mungu azidi kukuinua ili utuvushe na sisi mtumishi.
Barikiwa sana siwez kuish dunia kwa hasara
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe,jaman me Nina ushuhuda, namshukuru Mungu ile siku ya changizo ya mang'ola ya kujenga kanisa,nilikuwa na madeni kila upande mpaka kanisani,lkn ile sadaka kidogo niliyotoa kwa kuunga mkono ukiwa mgeni rasmi,kwanzia siku ile wiki iyo iyo niliona milango ya baraka kufunguliwa kwangu,nililipa madeni mpk nikabaki kushangaa imekuwaje?mtumishi hivi Leo nilipo naboresha nyumba yangu iliyokaa kama mtu asiye na Kazi wakati kila siku Niko njia kwenda kzn lkn Sina tofauti na asiyefanya Kazi😭 namshukuru Mungu sana, Mungu akutunze daima
AMINA MTU WA MUNGU UBARIKIWE SANA ENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU KWA UAMINIFU
Nisimame kwenye nafasi Amen
❤❤
Mungu azidi kukuinua mtumishi
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
AMEN
❤❤❤❤
Mungu Akubariki Mtumishi wa mungu
AMINA
Amina mtumishi barikiwe sana
Upo Safi mtumishi by elius mnyagwea
Tupo pamoja mtumishi was mungu
Aminaaaaaaaaaaaah mtumishi mungu atakuinua sana jitie nguvuuuuuuuuuuuu
Amina
Haleluya Mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki
Amen 🙏
Amen Mtumishi Mungu akuinue mno katika viwango vya wateule
Ibarikiwe kazi ya mikono yako🙏
Amen mtumishi
Amen
Amen
Ubarikiwe mtumishi
Amina mtumishi wa Mungu Ubarikiweee
Amina
Barikiwa sana mtumishi
Mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu
Oooh ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu ❤
Ubarikiwe Mtumishi Mungu akutunze
Barikiwa sana Mtumishi Mungu akuinue zaidi
Mungu akupe nguv
Ubarikiwe Mtumishi tuna barikiwa sana na mafundisho yako
Ubarikiweee sana mtumishi
Ubarikiwe Mtumishi kwa mafundisho mazuri
mchungaji samahan naomba kuuliza isaya duwe imetumia jin gani kwenye nyimbo zake
Ameen