- 14
- 20 047
Habari Njema kurasini Choir
เข้าร่วมเมื่อ 20 ก.พ. 2020
Official Habari Njema Choir TH-cam channel
🌍 God has given us the order (Mark 16:15-16) to preach the good news ( psalm 98:1-6 ) to the nations through gospel music.
⛪ Habari njema Choir Ministry under KKKT DMP JIMBO LA KUSINI USHARIKA WA KURASINI.
🙏 Thank you for your cooperation, your support is the reason to achieve the purpose given to us by God

Habari Njema Choir - TUTAKUKUMBUKA ( ASKOFU CHEDIEL SENDORO)
Wimbo maalum wa kuomboleza ulioandaliwa na kwaya ya Habari Njema baada ya kupokea kwa masikitiko makubwa, kwa kuondokewa na Askofu Chediel Alinaza Sendoro, Askofu wa Dayosisi ya Mwanga.
Alikuwa ni mdau na mpenzi mkubwa wa kwaya yetu ya Habari njema, kwa hakika tutamkumbuka siku zote.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema Peponi
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
Amina.

มุมมอง: 376
วีดีโอ
IBADA YA LANGO ( USHARIKA MTEULE KKKT CHAMAZI)
มุมมอง 188ปีที่แล้ว
Tarehe 11 June 2023, ikiwa ni Ibada ya Lango la mwezi wa 7 Iliyofanyika katika Usharika Mteule wa Chamazi. kwaya ya habari njema tulipata neema ya kupata mualiko wa huduma. Jina la wimbo ..........WASTAHILI SIFA.......... Mungu akubariki sana, endelea kubarikiwa
Sifa za Bwana - Habari Njema Choir official video
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
Tunamshukuru Mungu kwa yote mengi ambayo ameyatenda kwetu na katika huduma yetu. Jina la wimbo: Sifa za Bwana. Umeimbwa na : Habari Njema Choir kutoka KKKT Kurasini Sifa za Bwana, ni wimbo ambao umebeba ujumbe ambao unaelezea utukufu wa Mungu katika maisha Yetu ya kila siku, katika huduma, kazi na familia zetu pia. hatuna cha kumrudishia Mungu bali ni SIFA za mioyo yetu. zaburi 150 "Haleluya. M...
HUZUNI-OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 5572 ปีที่แล้ว
HABARI NJEMA KKKT KURASINI WANAKULETEA WIMBO MZURI KABISA KATIKA KIPINDI CHA KWAREZIMA HABARI NJEMA CHOIR HAS BROUGHT TO YOU A VERY POWERFUL EASTHER SONG
NITAZAME-OFFICIAL VIDEO(KKKT HABARI NJEMA)
มุมมอง 2.1K2 ปีที่แล้ว
NITAZAME NI WIMBO UTAKAOGUSA MAISHA YAKO KUTOKA KWAYA YA HABARI NJEMA KKKT HABARI NJEMA KURASINI
HAYATAINUKA TENA OFFICIAL VIDEO(4K)-HABARI NJEMA KKKT KURASINI
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
VIDEO BORA WIMBO BORA KUTOKA KWA KWAYA YA KKKT HABARI NJEMA
tangazo la uzinduzi
มุมมอง 3092 ปีที่แล้ว
Karibu Katika uzinduzi wa video namba 2 ya kwaya yetu,pia usisahau Ku subscribe chanel yetu ili uone kazi zetu mpya.Mungu akubariki
FUTA MACHOZI -HABARI NJEMA KURASINI(OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 3.8K3 ปีที่แล้ว
FUTA MACHOZI -HABARI NJEMA KURASINI(OFFICIAL VIDEO)
Mara Yesu-HABARI NJEMA KKKT KURASINI(OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 1.3K4 ปีที่แล้ว
Mara Yesu-HABARI NJEMA KKKT KURASINI(OFFICIAL VIDEO)
Ilikuwa -HABARI NJEMA KKKT KURASINI (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 5234 ปีที่แล้ว
Ilikuwa -HABARI NJEMA KKKT KURASINI (OFFICIAL VIDEO)
HABARI NJEMA KWAYA KKKT KURASINI-TUMIKA (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 9474 ปีที่แล้ว
Kwaya ya Habari Njema Kurasini ni kwaya inayopatikana katika usharika wa KKKT KURASINI,TUNAKUKARIBISHA KATIKA KUTAZAMA NYIMBO ZETU,TUNAKUOMBA U SUBSCRIBE, LIKE COMMENT NA KU SHARE KAZI HII ILI IWAFIKIE WATU WOTE DUNIANI NA INJILI IHUBIRIWE KOTE KOTE UBARIKIWE SANA USIACHE KU SUBSCRIBE,ASANTE
Hongereni sana Mungu awainue❤❤
Wimbo huu una sisimua sana poleni wapenzi
Mungu awabariki
Asante
Mungu awabariki sana
Namshukuru Mungu Kwa ajili ya Hui wimbo
Mungu awabariki
weweeeeee ❤💥
Nimebarikiwa kupitia wimbo huu mungu awapiganie mfike mbali🙏
mwamini Baba@nyimbo inanibariki sana
Safi sana Mungu abariki kazi yake nawapenda
Amina wapendwa
Jamani nyimbo nzuli sana hii
Mungu mwema sana
Napenda sana anapoimba "Tunasaidiwa na jeshi lake MUNGU, na kiongozi ni Yesu Kristo". 🔥
Mungu mwema sana
Hayatainuka tena😍😍😍😍😍😍😍😍
Good
Atukuzwe yeye awezaye kufanya haya yote
Mbarikiwee kazi Njemaa
Na barikiwa sana na nyimbo zenu kwa kwel
Mungu awabariki Sana ndugu zangu