- 90
- 25 815
National Irrigation Commission
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 12 มิ.ย. 2018
Welcome to the official channel of the National Irrigation Commission.
MPANGO KABAMBE WAWAFUA WATAALAMU NIRC KATIKA MATUNZO NA UENDESHAJI WA SKIMU
📍 NIRC Dodoma.
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji makao makuu imefanya warsha ya kupeana taarifa ya utekelezaji wa Mwongozo Kabambe wa Umwagiliaji (CGL) kwa wataalamu wa Tume kutoka mkoa wa Manyara na Dodoma kupitia mradi wa Kiushauri unaosimamiwa na watalaamu wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA).
Akizungumza katika warsha hiyo Mratibu mradi wa Ushauri wa (JICA) kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Petro Sarwat amesema Mwongozo Kabambe wa Umwagiliaji unalenga katika uibuaji wa miradi, utekelezaji pamoja na⁶ Uendeshaji na Matunzo ya Miundombinu ya Umwagiliaji.
Sarwat ameongeza kuwa sanjari na kuwepo kwa warsha hiyo, wataalamu wa Tume ngazi za mikoa na wilaya katika mkoa wa Mwanza, Iringa na Shinyanga tayari wamepatiwa mafunzo ya Uibuaji,Utekelezaji wa miradi,Uendeshaji na Matunzo.
"Mikoa iliyopatiwa mafunzo ya Uendeshaji na Matunzo ni Manyara, Shinganga, Mwanza na Iringa huku Mikoa iliyopatiwa Mafunzo ya Uibuaji na Utekelezaji wa miradi ya Umwagiliaji ni Kilimanjaro, Singida, Manyara, Mwanza na Mbeya"
Aidha Sarwat amewaasa wataalamu kuendelea kusoma Mwongozo Kabambe wa Umwagiliaji hasa kipengele cha uendeshaji na matunzo ili kuzielewa hatua zote saba na kuzifanyia kazi ili kuwasaidia wakulima katika skimu za umwagiliaji kuendesha na kutunza skimu za umwagiliaji.
Kwa upande wao baadhi ya wataalamu wa Tume akiwemo Veronica Elisha Afisa Kilimo kutoka wilaya ya Babati, amesema kupitia mafunzo waliyopatiwa katika warsha hiyo,itasaidia kuwaelimisha wakulima kutunza miundombinu hasa kudhibiti utupaji holela wa vifungashio vya viuatilifu pindi wanapomaliza matumizi yake.
"Kuna wakulima ambao wamekuwa wakitumia sumu au viuatilifu kisha kutupa vifungashio vyake katika mifereji hali inayochangia uharibifu wa miundombinu hivyo mafunzo haya yaatatusaidia kuwaelimisha wakulima" Amesema Veronica.
Naye Bernard Alex, afisa Kilimo wilaya ya Simanjiro ame sema kupitia warsha hiyo amejipanga kuwasaidia wakulima njia bora za kuhudumia skimu zao kupitia Mwongozo Kabambe wa Umwagiliaji.
Mradi wa Ushauri unaosimamiwa na wataalamu wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) ni mradi wa miaka miwili na ulianza kutekelezwa Agosti 2023 hadi Agosti 2025, unalenga kuwajengea uwezo watumishi wapya wa NIRC ili kutekeleza shughuli za Umwagiliaji kwa mujibu wa Mwongozo kabambe wa Umwagiliaji.

มุมมอง: 24
วีดีโอ
UFAFANUZI UCHANGIAJI ASILIMIA 5% ADA YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 2821 วันที่ผ่านมา
UFAFANUZI UCHANGIAJI ASILIMIA 5% ADA YA UMWAGILIAJI
WAKULIMA MGOLOLO WAASWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WATAALAMU UTEKELEZAJI WA MRADI
มุมมอง 60หลายเดือนก่อน
📍 Skimu ya Mgololo, Iringa. Mkurugenzi wa Uendeshaji Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ametoa wito kwa wakulima wa skimu ya umwagiliaji Mgololo wilayani Mufindi, Iringa, kushirikiana na wataalamu wa Tume wanapofanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina. Katika mkutano huo mkuu wa wakulima, Bi.Salome Mallamia alisisitiza umuhimu wa ushirikiano katika kutekeleza mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula...
WAKULIMA LUGANGA IRINGA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA MIRADI YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
📍 Skimu ya Luganga, Iringa. Wakulima skimu ya umwagiliaji Luganga iliyopo kata ya Ilolo Mpya Wilaya ya Iringa vijijni wametoa wito kwa wakulima wengine nchini kuchangamkia fursa zinazoletwa na serikali katika miradi ya Umwagiliaji ili kuhakikisha sekta ya kilimo inapiga hatua. Hayo yamebainishwa katika mkutano mkuu wa wakulima wa skimu ya Umwagiliaji Luganga uliohusisha kutambulisha mradi wa Mi...
WAKULIMA RUAHA WAFUTWA MACHOZI KILIO CHA MUDA MREFU KUKOSA HUDUMA ZA UMWAGILIAJI
มุมมอง 50หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Kilolo, Iringa Wakulima skimu ya Umwagiliaji Ruaha Mbuyuni iliyopo wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kusikia kilo chao cha muda mrefu kuhama kwa njia ya maji mradi wa umwagiliaji hali iliyochangia kushindwa kulima. Akizungumza katika mkutano mkuu wa wakulima wa skimu hiyo, diwani kata ya Ruaha Mbuyuni Mhe. N...
MRADI UHIMILIVU MIFUMO YA CHAKULA WALETA MATUMAINI KWA WAKULIMA SKIMU YA TUBUGWE
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Dodoma. Wakulima Skimu ya Umwagiliaji Tubugwe Juu iliyopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma, wameishukuru Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kuichagua skimu hiyo kuwa miongoni mwa skimu 23 zitakazonufaika na mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula nchini (TFSRP - P4R), kwani kwa kipindi kirefu walipoteza matumaini ya namna ya kukarabati miundombinu iliyoharibiwa na maji. Akizungumza wakati wa ...
WAKULIMA WAKUMBUSHWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZA SKIMU
มุมมอง 76หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Hombolo, Dodoma Wakulima skimu ya Umwagiliaji Hombolo wameaswa kutoa ushirikiano kwa wataalamu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuhusu utoaji wa taarifa za skimu. Aidha utoaji wa taarifa hizo ni muhimu kwa ajili ya kuandaa kanzidata itakayokuwa na idadi ya skimu, vyanzo vya maji, shughuli zinazofanywa na aina ya mazao yanayolimwa. Hayo yamebainishwa katika muendelezo wa utoaji elimu kwa w...
MRADI TFSRP - P4R KUONGEZA ENEO LA UMWAGILIAJI SKIMU YA HOMBOLO
มุมมอง 96หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Hombolo, Dodoma. Wakulima skimu ya Umwagiliaji Hombolo iliyopo wilayani Dodoma mkoani humo wanatarajiwa kunuafaika na mpango wa mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula Tanzania - (TFSRP - P4R). Hatua hiyo inatajwa kuchangia kuongezeka kwa eneo la umwagiliaji kutoka hekta 298 hadi hekta 600 na kuongeza idadi ya wakulima katika skimu hiyo. Hayo yamebainishwa na Afisa Kilimo Tume ya Taifa y...
MSOLWA UJAMAA WAISHUKURU SERIKALI KWA UTEKELEZAJI MPANGO WA USIMAMIZI NA UTUNZAJI MIUNDOMBINU
มุมมอง 108หลายเดือนก่อน
Wakulima skimu ya Umwagiliaji Msolwa Ujamaa iliyopo kata ya Sanje wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kuichagua skimu hiyo kuwa miongoni mwa skimu 23 kati ya zaidi ya skimu 2700 zitakazonufaika na mradi wa Mifumo Himilivu ya Chakula (TFSRP - P4R). Wakulima hao akiwemo Fatuma Sanga na wenzake, wametoa kauli ...
WAKULIMA MSOLWA UJAMAA WARIDHIA UTEKELEZAJI WA UHIMILIVU MIFUMO YA CHAKULA KATIKA SKIMU
มุมมอง 51หลายเดือนก่อน
NIRC, Kilombero - Morogoro. Wakulima skimu ya Umwagiliaji Msolwa Ujamaa iliyopo kata ya Sanje wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kuichagua skimu hiyo kuwa miongoni mwa skimu 23 kati ya zaidi ya skimu 2700 zitakazonufaika na mradi wa Mifumo Himilivu ya Chakula (TFSRP - P4R). Wakulima hao akiwemo Fatuma Sang...
WAKULIMA MSOLWA UJAMAA WAPATIWA ELIMU YA MRADI WA MIFUMO HIMILIVU YA CHAKULA
มุมมอง 41หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Morogoro. Wakulima skimu ya Umwagiliaji Msolwa Ujamaa iliyopo kata ya Sanje wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kuichagua skimu hiyo kuwa miongoni mwa skimu 21 zitakazonufaika na mradi wa Mifumo Himilivu ya Chakula (TFSRP - P4R). Aidha mradi huo unalenga kuongeza tija na mchango wa uwekezaji wa serikali katika kupunguza athar...
MAMENEJA SKIMU WAASWA KUONGEZA TIJA KWA WAKULIMA
มุมมอง 862 หลายเดือนก่อน
📍 NIRC Morogoro Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amewaagiza Mameneja skimu pamoja na Mafundi Sanifu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kufuata misingi ya usimamizi skimu za umwagiliaji na kuhakikisha wanaongeza tija kwa wakulima katika skimu wanazosimamia. Mndolwa ametoa maagizo hayo wakati akifungua mafunzo ya miradi inayoratibiwa na Mifumo Himilivu ya Chakula (TFS...
MIUNDOMBINU YA SKIMU YA UMWAGILIAJI SHAMBA LA CHABUMA YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 90
มุมมอง 1344 หลายเดือนก่อน
WAZIRI wa kilimo Hussein Bashe amesema serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali mkoani Dodoma hivyo wakulima hao waache siasa kwa maslahi ya nchi. Ametumia fursa hiyo kupongeza kazi kubwa iliyofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ya kuandaa skimu ya umwagiliaji Chinangali II Chabuma ambapo kwa asilimia 90 imefanikiwa. Akizungumza katika hafla ya...
WAKULIMA 3353 KUNUFAIKA MRADI WA BWAWA LA NYIDA
มุมมอง 1284 หลายเดือนก่อน
📍Nyida - Shinyanga. Mradi wa ujenzi wa wa bwawa la umwagiliaji Nyida uliopo wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga ulianza January 11 2023 hadi sasa umefikia asilimia 65 ambapo una mita za ujazo milioni 7.8, Mradi huo una thamani ya TSh 11,101,291,500/= ambapo kukamilika kwake utanufaisha wakulima 353 wa kijiji cha Nyida mkoani Shinyanga pamoja na wakulima 3000 wa skimu ya Lyamalagwa iliyopo wila...
MRADI WA UMWAGILIAJI SHAMBA LA BBT NDOGOWE WAMKOSHA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
มุมมอง 7065 หลายเดือนก่อน
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt.Philip Mpango amesema uwekezaji unaofanywa na serikali katika sekta ya Umwagiliaji unaenda kuandika historia ya kumaliza tatizo la njaa nchini na kulijengea Taifa heshima kupitia uwepo wa chakula cha kutosha. Amesema anaridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya kilimo hivyo wananchi wa...
WAKULIMA SKIMU YA UTULO ISENYELA/MADIBIRA WAELEZA MATUNDA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
มุมมอง 2195 หลายเดือนก่อน
WAKULIMA SKIMU YA UTULO ISENYELA/MADIBIRA WAELEZA MATUNDA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
MRADI WA MKOMBOZI KUKOMBOA WAKULIMA 16,000
มุมมอง 1415 หลายเดือนก่อน
MRADI WA MKOMBOZI KUKOMBOA WAKULIMA 16,000
UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI BWAWA NA SKIMU YA TLAWI WAKULIMA 2400 KUNUFAIKA
มุมมอง 1105 หลายเดือนก่อน
UTEKELEZAJI MRADI WA UJENZI BWAWA NA SKIMU YA TLAWI WAKULIMA 2400 KUNUFAIKA
ENEO LA MFANO WA VISIMA KATIKA MAONESHO YA NANE8 VITAKAVYOCHIMBWA NA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 255 หลายเดือนก่อน
ENEO LA MFANO WA VISIMA KATIKA MAONESHO YA NANE8 VITAKAVYOCHIMBWA NA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
BUSTANI YA MFANO YENYE MFUMO WA UMWAGILIAJI KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2024
มุมมอง 455 หลายเดือนก่อน
BUSTANI YA MFANO YENYE MFUMO WA UMWAGILIAJI KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2024
IFAHAMU AINA YA TECHNOLOJIA YA UMWAGILIAJI WA MVUA ( OVER HEAD SPRINKLER IRRIGATION)
มุมมอง 1655 หลายเดือนก่อน
IFAHAMU AINA YA TECHNOLOJIA YA UMWAGILIAJI WA MVUA ( OVER HEAD SPRINKLER IRRIGATION)
WAKULIMA WAKUMBUSHWA SHERIA YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 345 หลายเดือนก่อน
WAKULIMA WAKUMBUSHWA SHERIA YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
HATUA NANE ZA UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 2295 หลายเดือนก่อน
HATUA NANE ZA UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
ZAIDI YA WAKULIMA 9000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI BONDE LA LUICHE
มุมมอง 2146 หลายเดือนก่อน
ZAIDI YA WAKULIMA 9000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI BONDE LA LUICHE
KIKAO CHA WADAU WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
มุมมอง 706 หลายเดือนก่อน
KIKAO CHA WADAU WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
WAKULIMA SKIMU YA MWAMKULU WAISHUKURU SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
มุมมอง 2056 หลายเดือนก่อน
WAKULIMA SKIMU YA MWAMKULU WAISHUKURU SERIKALI KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
WAKULIMA 1300 KUNUFAIKA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
มุมมอง 2456 หลายเดือนก่อน
WAKULIMA 1300 KUNUFAIKA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
มุมมอง 2286 หลายเดือนก่อน
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
WAHANDISI NIRC WAELEZA UMUHIMU WA USAJILI ILI KUKIDHI VIGEZO VYA USIMAMIZI WA MIRADI
มุมมอง 256 หลายเดือนก่อน
WAHANDISI NIRC WAELEZA UMUHIMU WA USAJILI ILI KUKIDHI VIGEZO VYA USIMAMIZI WA MIRADI
Vp
Hii nchi inaendelea sasa na huyu Mama. Lakini simsahau Magufuli alikuwa mjasiri na mwenye maono
Our professor Dam design Rain water harvesting
Safi sana mkuu. Unapamba na unatekereza. Kazi zako zinasonga mbele kivitendo. Wewe na menejiment nzima ya TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI mnatekereza mirada ya taifa kwa vitendo kwa asilimia 100. Congratulations Mkurugenzi Mkuu TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI. Mungu awabariki sana
Very good job. - Hongera!
Naamini mradi utakamilika MEMBE KWA msaada wa MUNGU Ee MUNGU ibariki Tanzania
Hatua Moja bwele ! utendaji unahitaji usimamiz
Hi
Mbona mkoa wa Tanga mnausahau sana ikiwa ni mkoa wa kilimo
Mkoa wa Tanga tayari baadhi ya miradi imeanza kutelekelezwa ikiwemo ujenzi bwawa la Mkomazi
Mbona hawafiki wilaya ya lushoto
Watanzania wajinga kwel mmenyang'nywa mashamba yate af jinga linakuj linasema et linamshkur mama mipuuz hii
We mwanamke mwongo sanaaà et una pawatil una gar mferej umeisha mwaka huu na bado hujavun umenunua lin
Hayo Mabomba yanayowekwa mahali sio shambani I hope hayataibiwa na wajanja ambao technically huwa ni Wafanyakazi hao hao wanaiba kwakuwa hayana mwenyewe ni ya serkali Au ya Umma
naombeni udadavuo
na je tunalima zao moja kwa pamoja au kila mtu anavyoweza kuchukua ukubwa wa shamba na yu kilima how
sijaelewa vijana kwa ujumla ki vipi kwamba tunajisajili tunalipia yani ki vipi koz km kuna uwakika wa maji tuambie tuwekeze
Hongera tume ya umwagiliaji miradi kama hii itapunguza tatizo la ajira kwa vijana, sasa inatakiwa benki ziwezeshe vijana wahamie shamba
Hongereni sana. Kilimo Cha umwagiliaji ndiyo mkombozi na tutapata biashara
Tume iaze kuuza vifaa vya umwagiliaji kuliko kuwaachia wafanya biashara ambao wanauza vifaa hivyo kwa gharama kubwa sana Zambia vifaa vingi vya kilimo vinauzwa na Wizara husika pamoja na wafanya biashara kuuza vifaa hivyo wakulima wanakimbilia wizarani kutokana na gharama na fuu. Tutumie mfumo wa wizara ya mifugo wanazalisha mbegu za mifugo na kuuza kwa bei nafuu kwa wafugaji
Amen amen amen imeetimia MUNGU mwema
Shida tunalima masoko hamna tunaambulia hasala
Impressive
Mbona August 2023 imeshapita kwa bwawa la Membe skimu? Ina maana limeshakamilika basi?
Mabwawa yajengwe kila wilaya ndio yataleta mageuzi makubwa ya kilimo nchini.
😊😊Insha Allah
Kazi na iendelee 👍
Safi, muendelee na moyo huo kuinua wakulima wa Tanzania!!!
Commendable work being done,...
Kazi na iendelee 👍
Kazi na iendelee 👍
Tume ya Taifa ya umwagiliaji ndio mkombozi wa Wakulima wote.
Kazi nzurii na iendelee 👍👍
Kazi iendelee👍👍💯
Kazi nzuri mbunge wangu mh:Omari Tebweta Mgumba
napongeza kwa kazi nzur lakin naomba muajiri mana chuo cha maji kinazalisha wataalam kila Mwaka wa umwagiriaji nahakuna alie ajiriwa toka 2014 walipo zalishwa wataalam kumi