![Discover Zanzibar](/img/default-banner.jpg)
- 146
- 252 225
Discover Zanzibar
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 18 พ.ย. 2013
Zanzibar is an archipelago about 86 km long and 39 km wide. It’s formed by two main islands, Unguja (commonly known as Zanzibar) and Pemba, as well as several smaller islands including Mafia, Chumbe and Mnemba Island.
The population is approximately 1 million, with the official language Kiswahili. About 98% of the population are Muslims, the other 2% are Christians or Hindus.
Zanzibar’s International Airport lies about 5 kilometres south of Zanzibar City (including it’s old quarter of Stone Town, which has been declared a World Heritage Site by UNESCO.).
Tourism and spices are Zanzibar’s main industries. Zanzibar is often still referred to as the Spice Islands due to the production of cloves, nutmeg, pepper and cinnamon.

Mambo mazuri kama yanavoonekana Kizimkazi Zanzibar July 2024 @discoverzanzibar
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
มุมมอง: 206
วีดีโอ
Harakati za barabarani kutoka Mikunguni kuelekea Magomeni Zanzibar @discoverzanzibar
มุมมอง 36819 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Zanzibar maeneo ya Kariakoo Saateni Bububu July 2024 @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 80814 วันที่ผ่านมา
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Maeneo ya Kiwengwa Pwani mchangani Kinyasini Zanzibar @DiscoverZanzibar July 2024
มุมมอง 39014 วันที่ผ่านมา
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Hii kutoka Welezo Mwera Dunga Kilombero Upenja Zanzibar July 2024
มุมมอง 34621 วันที่ผ่านมา
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Amani Mikunguni Kijangwani Michenzani @DiscoverZanzibar June 2024
มุมมอง 500หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Zanzibar Stone Town Apr 2024 @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 857หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Hii ndio mitaa yetu Zanzibar 2024 maeneo ya juu #discoverzanzibar.
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibar #zanzibartowns
Mtendeni Michenzani Maisara Kilimani Migombani Zanzibar 2024 @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 3K2 หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Kisiwa cha Kokota na Uvinje kupitia Mtambwe Pemba #discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
มุมมอง 5582 หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibar #zanzibartowns
Kiwanda cha Maji Pemba drinking water @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 1602 หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Kisiwa Panza Pemba May 2024 @DiscoverZanzibar
มุมมอง 6822 หลายเดือนก่อน
#discoverzanzibar #zanzibartowns #zanzibar
Zanzibar Town siku ya Eid mosi April 2024 @DiscoverZanzibar
มุมมอง 8103 หลายเดือนก่อน
Zanzibar Town siku ya Eid mosi April 2024 @DiscoverZanzibar
Muonekano wa Zanzibar maeneo ya Mjini December 2023 @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 1K7 หลายเดือนก่อน
Muonekano wa Zanzibar maeneo ya Mjini December 2023 @DiscoverZanzibar.
Kwakweli hizi barabara zetu inabidi tuwe na subra tu.
มุมมอง 3408 หลายเดือนก่อน
Kwakweli hizi barabara zetu inabidi tuwe na subra tu.
Zanzibar ni njema atakae aje. Hali ya mvua maeneo ya Kikwajuni Maisara Kilimani Migombani Kisauni.
มุมมอง 1.2K8 หลายเดือนก่อน
Zanzibar ni njema atakae aje. Hali ya mvua maeneo ya Kikwajuni Maisara Kilimani Migombani Kisauni.
Mvua za Ell nino zaendelea kunyesha mfululizo Zanzibar.
มุมมอง 1.9K8 หลายเดือนก่อน
Mvua za Ell nino zaendelea kunyesha mfululizo Zanzibar.
Kiembesamaki Migombani Maisara Mnazimmoja Zanzibar ndani ya wiki hii October 2023 @DiscoverZanzibar
มุมมอง 3539 หลายเดือนก่อน
Kiembesamaki Migombani Maisara Mnazimmoja Zanzibar ndani ya wiki hii October 2023 @DiscoverZanzibar
Jambiani Zanzibar 2023 @DiscoverZanzibar.
มุมมอง 1.4K9 หลายเดือนก่อน
Jambiani Zanzibar 2023 @DiscoverZanzibar.
Mifugo yetu Zanzibar na ufugaji wa kisasa kuku njiwa ndege @DiscoverZanzibar 2023.
มุมมอง 57210 หลายเดือนก่อน
Mifugo yetu Zanzibar na ufugaji wa kisasa kuku njiwa ndege @DiscoverZanzibar 2023.
Angalia Paje inavozidi kuimarika na uwekezaji kwenye sekta ya utalii unavokuwa kwa kasi @Zanzibar.
มุมมอง 84510 หลายเดือนก่อน
Angalia Paje inavozidi kuimarika na uwekezaji kwenye sekta ya utalii unavokuwa kwa kasi @Zanzibar.
Bwejuu kama Bwejuu Sept 2023 @discoverzanzibar. Paje inafuata on our next video.
มุมมอง 90410 หลายเดือนก่อน
Bwejuu kama Bwejuu Sept 2023 @discoverzanzibar. Paje inafuata on our next video.
Boda kwa boda hadi Buyu na Chukwani @discoverzanzibarAugust 2023.
มุมมอง 1.5K11 หลายเดือนก่อน
Boda kwa boda hadi Buyu na Chukwani @discoverzanzibarAugust 2023.
Migombani to Kisauni njia ya kuelekea Buyu Zanzibar August 2023 @discoverzanzibar
มุมมอง 1.3K11 หลายเดือนก่อน
Migombani to Kisauni njia ya kuelekea Buyu Zanzibar August 2023 @discoverzanzibar
Zanzibar July 2023 maeneo ya Michenzani Mlandege Malindi Forodhani Shangani Mtendeni Mwembetanga.
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Zanzibar July 2023 maeneo ya Michenzani Mlandege Malindi Forodhani Shangani Mtendeni Mwembetanga.
Darajani Mwembeladu Amani Kwerekwe Mombasa Tomondo Jang'ombe @DiscoverZanzibar July 2023
มุมมอง 4Kปีที่แล้ว
Darajani Mwembeladu Amani Kwerekwe Mombasa Tomondo Jang'ombe @DiscoverZanzibar July 2023
Moto ulioteketeza maduka Amani Zanzibar @DiscoverZanzibar 14th July 2023.
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Moto ulioteketeza maduka Amani Zanzibar @DiscoverZanzibar 14th July 2023.
Metengenezo ya Barabara kutoka Mnazimmoja Hadi Kiembesamaki Zanzibar July 2023 @discoverzanzibar.
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
Metengenezo ya Barabara kutoka Mnazimmoja Hadi Kiembesamaki Zanzibar July 2023 @discoverzanzibar.
Kash kash za Eid Zanzibar July 2023. Angalia hali ilivokuwa katika maeneo tofauti ya Mjini.
มุมมอง 625ปีที่แล้ว
Kash kash za Eid Zanzibar July 2023. Angalia hali ilivokuwa katika maeneo tofauti ya Mjini.
Wiki iliyopita Zanzibar maeneo ya Mjini Darajani Malindi Forodhani Shangani...
มุมมอง 2Kปีที่แล้ว
Wiki iliyopita Zanzibar maeneo ya Mjini Darajani Malindi Forodhani Shangani...
nimefurahi sana kuona madrasa yetu ya quran mtoni kituoni after 15 years, naomba mtu wowote aniletee number ilioandikwa katika kile chuo nipate kuwasiliana na mwalimu wangu mimi nipo nje muda mrefu.
What a beautiful journey
It is bro
Mashalla pemba ❤
Huu mji au fujo na mavumbi tuu Lol
Mji wenye adventures zake
Unatuonesha njia tu hutuoneshi mabustan majumba ya kihistoria
Mabustani 🤔😢🙁
Maashallh jiji letu zur allah aliweke pamoja na watu wake
Ameen Yaarab
Super. Thanks 😊
Safi sana Allah akubarik kazi yako
Ameen na Shukran sana kwa support
Dah home nna miaka 20 sijafika hapo
Karibu sana kaka
Safi sana maashaallah nilifika mwera kwa mara yangu ya kwanza alhamdulillah
Karibu sana
I wish to come Zanzibar 😢
U are most welcome
Shukran kwa kutuonesha zanzibar ni njema atakae aje
Karibu sana dada
Kamera yako mbaya
Hahaha kweli ahsante
Great trees 🌳 and beautification mandhari safi na hewa nzuri....mashallah Allah awatunzie mazingara yenu.
Ameen
MashAllah ❤️ Keep it up
Thanks kaka
Good job 👏
Thank you
♥️❤️nice❤
Thanks
Nimemiss kuiyona Pemba ila Napenda Sana Kuiyona Pandani ❤
Usijali Pandani utaiona kwenye channel yetu.
Best school
Enzi hizo tulikuwa tunachimbua miyata
Miyata duh
Sasa hivi kuna mwani mote humoo duuui Vp pamga hamnaa
Maji yametokaa rahaaa kweli kweli
Watuonesha njia tu
Jamani nyumba hujaziona kwenye mitaa
Ndio mita yetu ya wapi bro
Mitaa ya Kiembesamaki
@@discoverzanzibar ok shukran
Mika 3 niko oman nakaa ksamaki kwa kira
3 years now niko oman
sasa boss mimi na kuja mwezi unokuja in shaa Allah natafuta nyumba ya kupanga kwa week 4 nisaidiye kama una mtu unamfahamu pls lakini hiyo nyumba na town iwepo town na nyumba iwe na vitu ndani voo
Sawa boss ntakuchekia
@@discoverzanzibar asante sana huko nakuja jul ya 11 in shaa Allah
Assalaam alaykum vipi hali yako asante sana kwa kutuonesha nyumbani allah akufanyiye wepesi kwenye kazi zako
Ameen Yaarab shukran sana kwa support
mashallah nimekom zaman😮
Dah ni miaka kumi na tatu tangu niondoke uko nimepamis sana nyumbani
Karibu sana nyumbani
Nipo omani alhamdulillah nimefurahi kuona nyumbani
Ahsante na karibu sana
Ahsante sana kwa kazi yako
Ahsante sana na ww kwa support yako
Mashaallah iyo zahma nyingi
Mashaallah iyo zahma nyingi
Kiwengwa please))
Noted
Mh
Safi sana kiongoz tuko pamoja kukupa support zetu
Shukran sana kwa support kaka
Safi sana kiongoz tuko pamoja kukupa support zetu
Thank you really enjoyed it
Thanks for your support brother
Anachukua video utafikiri anafukuzwa
Hizi..ni.sehemu..nzuri.sana..na.zinafanana..kule..visiwani.lamu..majengo..yao.vinjia..serikali.t
Nikweli atupeleke kiwani sasa Kuna vijiji vingitu kusini
Tupeleke kiwani sasa mkoa wa kusini
Subhana Allah inaonesha watu wana maisha magumu kisiwa hicho Allah awafayie wepesi katika maisha yao awatilie barka riziki zao
Ameen Yaarab kweli kabisa maisha magumu na ni sehem sahihi kwa wale wanaotoa misaada kwa wasiokuwa na uwezo.
Pemba nkwetu
Nkweli aloo
Mashaallah mambo mazuri pemba sehemu gani hio
Kinyikani
@@muxfilmproduct ah sikujui japo ni mpemba
Mchangamdogo
@@muxfilmproduct Ahaa sawa shukran kwa kunijibu
Pemba nkuzuri
Mashallah
Kuntuonesha kisiwa panza au bahari ya kisiwa panza?
Vyote ili ukienda ujue kama hakuna Bahari ndogo hapo zapita Meli kubwa
Good wana
Mambo vp