- 19
- 151 984
Kwaya ya Mt. Benedicto-(KMB),Bugando
เข้าร่วมเมื่อ 11 ต.ค. 2021
KMB is a Catholic Church Choir Established in 1962 for the aim of singing in a Mass celebration at St.Epiphania Bugando Parish Mwanza
Nyimbo za Noel - KMB MWANZA (Christmas Carol)
Endelea kufurahia nyimbo za Noel tulizoimba kwenye tamasha la Noel.
มุมมอง: 669
วีดีโอ
TAMASHA LA KRISTO MFALME 2024 ( LIVE Performance) | SESSION II
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
TAMASHA LA KRISTO MFALME 2024 ( LIVE Performance) | SESSION II
TAMASHA LA KRISTO MFALME 2024(Live Perfomance) | Traditional Catholic Hymn
มุมมอง 4.5Kหลายเดือนก่อน
Tamasha la Kristo Mfalme sehemu ya Kwanza. Kwaya ya Mt Benedicto Bugando
Sisi tunaye Mfalme Mmoja-Dr K B Bongole l Kwaya ya Mt Benedicto Bugando (Official video)
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
Sisi tunaye Mfalme mmoja wimbo uliobeba ala za makabila saba ya kitanzania kueleza ukuu wa Mfalme mmoja mtawala wa Mbingu na Dunia. Yesu Kristo ndiye Mfalme wetu mmoja tu. Wimbo: Sisi tunaye Mfalme mmoja Mtunzi: Dr Kelvin B Bongole Waimbaji: Kwaya ya Mt Benedicto Bugando Audio: NADI Pro Video: MOZEN Pro Instrumentation: Dr Bongole, Greyson & Dr Arnold We have one King, a song that carried the i...
Njoni Tumsifu | F.E Nyanza ft Dr K.B Bongole | (Official video)
มุมมอง 32K5 หลายเดือนก่อน
Njoni Tumsifu Wimbo unaoeleza sifa za Mwenyezi Mungu dhidi ya uumbaji wake ukiwaita watu wote kumsifu kwa nyimbo na shangwe Mtunzi wa Melodia: F E Nyanza Maneno na muziki: Dr K B Bongole Soloist:Allen Kipanga Waimbaji: Kwaya ya Mt Benedicto Bugando, Mwanza Production: MOZEN Pro- (Audio and Video) Ungana katika kurasa zetu za Instagram, Facebook na tiktok uwe mmoja wetu katika utume Subscribe, L...
(Kijana Mahiri ndani ya wimbo tuwasikilize) Tuwasikilize au Njoni Tumsifu ??? endelea kuchagua.
มุมมอง 6K5 หลายเดือนก่อน
(Kijana Mahiri ndani ya wimbo tuwasikilize) Tuwasikilize au Njoni Tumsifu ??? endelea kuchagua.
TUANZE NA UPI ? A.Tuwasikilize B.Njoni tumsifu
มุมมอง 16K5 หลายเดือนก่อน
TUANZE NA UPI ? A.Tuwasikilize B.Njoni tumsifu
ALELUYA UTUKUZWE Kwaya ya Mt Benedicto Bugando Mwanza- Adhimisho la Misa Parokia ya Mt Bhakita.
มุมมอง 1.4K6 หลายเดือนก่อน
#kwaya katoliki
MUNGU MTAKATIFU (Sanctus)-KMB Bugando Adhimisho la Misa, (Dr K B Bongole)
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
MUNGU MTAKATIFU (Sanctus)-KMB Bugando Adhimisho la Misa, (Dr K B Bongole)
KWAYA YA MTAKATIFU BENEDICTO - KAWEKAMO KUMENOGA (Official Music Video)
มุมมอง 19K2 ปีที่แล้ว
wimbo huu ni maalumu kwa Wakristu wote kutoka majimbo yote Tanzania kwa ajili ya Mafungo na Matembezi ya Hija ya Mama Bikira Maria Itakayofanyika Jimboni Mwanza kuanzia tarehe 24/09/2022 siku ya Jumamosi. tushiriki sote katika kuchota Baraka za Mama yetu Bikira Maria. KAWEKAMOOOOOO KUMENOGAAAAAA.
Buriani By F.E. Nyanza Nikumbukizi la Kumuuga Hayati Raisi wa awamu ya Tano John Joseph Magufuli.
มุมมอง 3.8K2 ปีที่แล้ว
Nikumbukizi wa kumuuga Raisi Wetu wa Awamu ya tano Hayati John Joseph Magufuri, Winbo Huu uliimbwa Kwaya Ya Mt.Benedicto Parokia ya Bugando Jimbo Kuu la Mwanza.Usisahau kusubcribe, Kushare,Kucomment, na Kulike ili uweze Kupata taarifa mpya inayopandishwa.
NI MUNGU MKUU - By F. Nyanza (live performance)
มุมมอง 3.6K2 ปีที่แล้ว
Ni Mwendelezo wa Tamasha la Dini Ya Kweli lilifanyika Roleto girls na Kwaya ya Mt. Benedicto, Parokia ya Bugando, Jimbo Kuu la Mwanza.Usisahau Kusubsribe, Kushare Kucomment Na Kulike ili uweze Kupata taarifa Zinazopandishwa
Tamasha la Dini Ya Kweli Wimbo Nalifurahi Waliponiambia By F.Nyundo
มุมมอง 4.2K2 ปีที่แล้ว
Tamasha la Dini Ya Kweli Wimbo Nalifurahi Waliponiambia By F.Nyundo
Ibada ya misa takatifu dominika 30 mwaka B na kwaya mt. Benedicto
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
Ibada ya misa takatifu dominika 30 mwaka B na kwaya mt. Benedicto
KMB- KUELEKEA ZIARANI PAROKIA TEULE YA BWIRU
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
KMB- KUELEKEA ZIARANI PAROKIA TEULE YA BWIRU
Hongera sana muimbaji wetu Meshack tunakupenda sana na tutazidi kukupenda hongereni benedicto kwa kuwa pamoja na soloist meshack❤❤❤🎉🎉🎉
Duhhhh nimejiona na mimi hongereni sana mt benedicto
Fam mmekiwashaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kongore ñyingi sana kwako Crisencia Mungu azid kukuinua zaid
Hongereni sana kwa utume nzurii san na kwa tamasha nzurii sanaa
Hongera Mr. Meshack
Hongeren
Namuona soloist Meshack akaribie pia dares salaam tunaitaji huduma yake hongereni sana bugando🎉
Hongereni mmeimba vizuri mno 🎉🎉🎉🎉
Amen Yesu anaweza ❤❤❤
wow, i like it
❤❤❤ so amazing
I like it, good job
Hii Ilikuwa Kubwa Sana Jamna🫡🫡KMB Mtiribu Dr Bongole 🔥🔥Suit hyo Organ John✅Hongera Piano Anord Sarute Kwenu Brother's🫡
Wow so amazing
mliimba vizuri Mungu atukuzwe
Good Task!
Amen
Sichoki kuusikiliza.. Hongereni Sana KMB.. Greetings from KMC Arusha
Greetings from Oklahoma city, Oklahoma USA. Very nice vocals. Enthusiastic dancing. Praise God for your Gift of musics. Tight percussion. Well blended.
Thanks be to God who has given us a victory @ Asante sana Kayroserey
🙏
I had brain tumor surgery in January and again in November this year 2024. I talked to Dr. Bongole and assured him of my prayers for his work. Now I'm completely deaf on right and losing left. Dr. Bongole's work feels like stereo in my head now. God has given me a consolation this way, it seems. My continued prayers for the Church in Africa.
Hakika mnatisha sana
Fantastic.
Hongereni sana kwa kazi nzuri, utunzi mzuri kongole sana kwenu
MMEIMBA VZR SN HONGERENI SN DR. BONGOLE WW NI MTU NA NUSU
Nini hiki ??? Aisee sasa Mwanza mnaiamsha vilivyo kwenye Tasnia ya Muziki.
Aiseee...🔥🔥🔥 Siku nyingine mtuandikie taarifa zote majina. Mtiribu, mpiga ngoma, wacheza vinanda n.k
It was wonderful.
Tamu sana. Umepangika ukapendeza. Baraka tele.
wazito🙌
Very nice harmony
Kwann msirecord wimbo wa kwanza nadhan wadau tupo ku top up
Kitifauti kabisa❤❤❤
Jeshi la mtu mmoja❤❤
Kazi nzuri na imebarikiwa
🎉🎉🎉🎉🎉
KMB ni 🔥🔥🔥🔥
Washangweraaaaa
mtiribi😂😂😂
❤❤❤❤❤❤
Waoh,Just waoh!
❤❤❤
❤❤
Mmetisha 100%