- 40
- 44 672
ZAMADAMU Tanzania
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 10 มิ.ย. 2016
Vipindi vya #utalii na #malikale kutoka Tanzania.
#subscribe CHANNEL hii ili kujifunza na kuelimika juu ya utalii wa nchi yetu.
#subscribe CHANNEL hii ili kujifunza na kuelimika juu ya utalii wa nchi yetu.
MJI MKONGWE WA TANGA UNAVYOTOWEKA KWA KASI, KIZAZI KIJACHO TUTAWASIMULIA NINI?
MOJA YA MIJI MIKONGWE DUNIANI NI TANGA, YENYE TABAKA MBALMBALI ZA KIHISTORIA.HATARI ILIYOPO TANGA HIVI SASA MALIKALE ZINATOWEKA NA MAGOFU MENGINE YANAVUNJWA BILA KUJALI THAMANI YA UKALE WAKE, HII NI HASARA SI KWA TANGA PEKE YAKE BALI KWA ULIMWENGU MZIMA. KWASABABU KIZAZI KIJACHO HAKITAKUJA KUONA NA KUJIFUNZA MAISHA YA KALE YA TANGA NA UZURI WA HISTORIA YAKE.
USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA
*Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA
*Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
มุมมอง: 225
วีดีโอ
HUENDA HISTORIA YA TANGA IKAFUTIKA KATIKA KARNE HII 21, KUTOKANA NA KASI YA UBOMOAJI MAGOFU YA KALE
มุมมอง 7714 วันที่ผ่านมา
TANGA INI AMALI YA ULIMWENGU KUTOKANA NA KUWA NA HISTORIA KUVUTIA SANA. TATIZO KUBWA LINALOIKABILI HISTORIA YA TANGA NI UZALENDO WA KUTUNZA MALIKALE HAUPO TENA NA ITAKUWA HASARA KUBWA KWA VIZAZI VIJAVYO HAVITAKUJA KUONA AMALI ZA ASILI YA TANGA. KWAMAANA MAJENGO MENGI YA KALE YANAVUNJWA NA KUJENGWA MAPYA USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA Tufatilie kwenye mitandao ya kijamii: *Face...
PANGARITHI NA MAAJABU YA HISTORIA YA TANGA.
มุมมอง 5614 วันที่ผ่านมา
HISTORIA YA TANGA NI HADITHI NDEFU.MAKUMBUSHO YA PANGARITHI IMEHIFADHI MIKUSANYO MBALIMBALI YA KALE INAYOELEZEA KINA KIREFU CHA HISTORIA YA TANGA. USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
PANGARITHI HIMAYA YA SERIKALI YA KIJERUMANI KARNE YA 19
มุมมอง 3614 วันที่ผ่านมา
PANGARITHI NI MAKUMBUSHO YA KIPEKEE JIJINI TANGA. JENGO HILI LILIKUWA NI IKULU YA MJERUMANI KATIKA ZAMA ZA KUITAWALA TANGANYIKA AMA HISTORIA YA PANGARITHI IMEJAA URITHI WA TANGA NA TAMADUNI ZA MAKABILA YA TANGA, KUINGIA KWA WAARABU, WAJERUMANI, WAHINDI NA WAINGEREZA KUMEFANYA UTAMADUNI WA TANGA KUWA NI WAMCHANYIKO. USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA *Facebook - web. Za...
ZAO LA KATANI AU MKONGE LILIFIKAJE TANGANYIKA?
มุมมอง 4814 วันที่ผ่านมา
ZAO LA KATANI AU MKONGE NI ZAO MAARUFU NCHINI TANZANIA KUTOKANA NA MYORORO WAKE WA THAMANI.ZAO HILI LINA HISTORIA NDEFU TANGU LILIPO INGIA TANGANYIKA KARNE YA 19. USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA. *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
ZAMA ZA MJI WA KALE WA PANGANI.
มุมมอง 10814 วันที่ผ่านมา
PANGANI MJI WENYE TAMADUNI MCHANGANYIKO ZA WAHINDI, WAARABU, WAJERUMANI, WAINGEREZA NA WASWAHILI. MANDHARI YA MJI HUU YALIVUTIA SANA WAGENI KULOWEA HAPA. BAHARI NA MTO PANGANI VILISABABISHA PANGANI KUWA NI PARADISO YA AFRIKA. USISAHAU Kulike na Kusubscribe, Zamadamu Tanzania. *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
LAANA YA MJI WA KALE WA PANGANI ILIVYOUTEKETEZA MJI
มุมมอง 1.9K14 วันที่ผ่านมา
UTAJIRI WA PANGANI ULITOWEKA NA WALOWEZI WA MJI HUO WALISAMBARATIKA KUTOKANA NA DHAMIBI YA BIASHARA YA UTUMWA WALIYOITENDA.MJI WA PANGANI HIVI SASA UMEBAKIA KUWA MAGOFU MATUPU USISAHAU Kulike na Kusubscribe Zamadamu Tanzania *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
PANGANI KATIKA ZAMA ZA UTUMWA
มุมมอง 11314 วันที่ผ่านมา
BIASHARA YA UTUMWA ILIVYO ULAANII MJI WA PANGANI NA HADI KUTOWEKA NA KUBAKI MAGOFU. USISAHAU Kulike na Kusubscribe ZAMADAMU TANZANIA. Pia napatikana kwenye mitandao ya KIJAMII *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
UJUE MJI WA KALE WA PANGANI WA KARNE YA KWANZA KIPINDI CHA KUZALIWA YESU KRISTU AU NABII ISSA.
มุมมอง 12214 วันที่ผ่านมา
PANGANI NI MJI MAARUFU ULIMWENGUNI KUTOKANA HISTORIA YAKE YA KIPEKEE, WAGENI KUTOKA UGHAIBUNI WALIHAMIA PANGANI KWA MINAJILI YA BIASHARA. MJI ULIKUWA NA STAREHE NYINGI, BIASHARA YA UTUMWA HAPA NDIPO PALIKUWA MAHALI PAKE. ENDELEA KUTAZAMA KIPINDI CHA ZAMADAMU TBC1 KILA JUMATATU 8.30 MCHANA NA MARUDIO JUMATANO SAA 3.30 ASUBUHI. USISAHAU kulike na Kusubscribe Zamadamu Tanzania *Facebook - web.face...
PANGANI YA KALE .MJI ULIVYOTOWEKA NA KUBAKI MAGOFU
มุมมอง 23714 วันที่ผ่านมา
MJI WA KALE PANGANI ULISHAMIRI SANA KIBIASHARA ULIMWENGUNI KIPINDI CHA KARNE YA KWANZA, WAKATI WA KUZALIWA NABII ISSA AU YESU KRISTU..KIPINDI CHA ZAMADAMU KINARUKA HEWANI KILA JUMATATU SAA 8.30 MCHANA NA KURUDIWA JUMATANO SAA 3.30 ASUBUHI ZAMADAMU NAPATIKANA PIA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
PANGO LA AMBONI TANGA, LILIFANYIKA MIAKA MILIONI 150 ILIPITA.CHIMBUKO LAKE NI BAHARINI.
มุมมอง 1195 หลายเดือนก่อน
KIPINDI CHA ZAMADAMU KIMETIMIZA MUONGO WA PILI TANGU KILIPO ANZISHWA MWAKA 2006.ENDELEA KUKITAZAMA KILA JUMATATU SAA 8.30 MCHANA NA MARUDIO NIKILA JUMATANO SAA 3.30 ASUBUHI TBC1 PEKEE. KIPINDI CHA ZAMADAMU KINAPATIKANA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
PANGO LA AMBONI TANGA LILIFANYIKA MIAKA MILIONI 150 ILIYOPITA. CHANZO CHAKE LILIANZIA BAHARINI.
มุมมอง 235 หลายเดือนก่อน
KIPINDI CHA ZAMADAMU KIMETIMIZA MUONGO WA PILI TANGU KILIPOANZISHWA MWAKA 2006.USIKOSE KUKITAZAMA KILA JUMATATU SAA 8.30 MCHANA NA MARUDIO JUMATANO SAA 3.30 ASUBUHI TBC1 PEKEE. KIPINDI CHA ZAMADAMU KINAPATIKANA PIA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
FUVU HALISI LA ZAMADAMU LILILO KUNDULIWA NA DKT. MARY LEAK KATIKA BONDE LA OLDUVAI MWAKA 1959.
มุมมอง 255 หลายเดือนก่อน
KIPINDI CHA ZAMADAMU KIMETIMIZA MUONGO WA PILI TANGU KILIPO ANZISHWA MWAKA 2006. ENDELEA KUKITAZAMA KIPINDI HIKI KUPITIA TBC1 KILA JUMATATU SAA 8.30 MCHANA NA MARUDIO JUMATANO SAA 3.30 ASUBUHI. KUMBUKA KU SUBSCRIBE NA KU LIKE CHANNEL HII YA ZAMADAMU TANZANIA. PIA WAWEZA KUNITAZAMA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII. *Facebook - web. Zamadamu-901510216626035/
FAHAMU HISTORIA YA BONDE, AMBALO NI CHIMBUKO LA MWANADAMU LILILOKO TANZANIA | Olduvai Gorge
มุมมอง 944ปีที่แล้ว
Ungana na Mr. Zamadamu, Kufahamu bonde lenye kubeba historia ya chimbuko la mwanadamu lililoko Tanzania, Mkoa wa Arusha eneo la Ngorongoro Olduvai Gorge. Fatilia Kipindi cha Zamadamu Tanzania kupitia Channel ya "TANZANIA SAFARI CHANNEL" Kila siku ya - Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:00 Jioni na - Jumapili Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:000 Jioni. Weka maoni yako na #SUBSCRIBE Channe...
UFAHAMU URITHI WA DUNIA UNAOPATIKANA KONDOA TANZANIA | Zamadamu Tanzania:
มุมมอง 587ปีที่แล้ว
Ufahamu urithi wa Dunia unaopatikana katika eneo la wilaya ya Kondoa, Dodoma - Tanzania (2012). Ungana na Mr. Zamadamu Fatilia Kipindi cha Zamadamu Tanzania kupitia Channel ya "TANZANIA SAFARI CHANNEL" Kila siku ya - Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:00 Jioni na - Jumapili Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:000 Jioni. Weka maoni yako na #SUBSCRIBE Channel hii, kupata updates mbalimbali za...
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 3 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
มุมมอง 449ปีที่แล้ว
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 3 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 2 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
มุมมอง 411ปีที่แล้ว
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 2 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 1 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
มุมมอง 858ปีที่แล้ว
MJI WA KALE WA RHAPTA WAGUNDULIWA - 1 | ANCIENT CITY OF RHAPTA DISCOVERED IN TANZANIA | Zamadamu
USIYOYAJUA KUHUSU PANGO LA MZIMU WA MACHAGA | Zamadamu Tanzania:
มุมมอง 142ปีที่แล้ว
USIYOYAJUA KUHUSU PANGO LA MZIMU WA MACHAGA | Zamadamu Tanzania:
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Tatu| Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
มุมมอง 2022 ปีที่แล้ว
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Tatu| Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Pili | Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
มุมมอง 1282 ปีที่แล้ว
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Pili | Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Kwanza| Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
มุมมอง 1872 ปีที่แล้ว
ZAMADAMU NA UKOMBOZI WA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA - Sehemu ya Kwanza| Mchango wa TBC Ukombozi Afrika
Wafahamu Viumbe Walioishi Tanzania Miaka Milioni 3 Iliyopita | Lugha | Laitoli Tanzania - Zamadamu
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
Wafahamu Viumbe Walioishi Tanzania Miaka Milioni 3 Iliyopita | Lugha | Laitoli Tanzania - Zamadamu
Maadhimisho ya MEI MOSI na Mr. Zamadamu na Ronald Baraka Shelukindo wa DSTV - Multichoice Tanzania
มุมมอง 655 ปีที่แล้ว
Maadhimisho ya MEI MOSI na Mr. Zamadamu na Ronald Baraka Shelukindo wa DSTV - Multichoice Tanzania
Huu ndo Upekee wa Makumbusho ya Kolo Kondoa Sehemu ya 3 - Zamadamu Tanzania
มุมมอง 12K5 ปีที่แล้ว
Huu ndo Upekee wa Makumbusho ya Kolo Kondoa Sehemu ya 3 - Zamadamu Tanzania
DOMINICA: Shangwela za Krismasi kutoka Kwaya ya Bukoba
มุมมอง 1545 ปีที่แล้ว
DOMINICA: Shangwela za Krismasi kutoka Kwaya ya Bukoba
Huu ndo Upekee wa Makumbusho ya Kolo Kondoa Sehemu ya 2 - Zamadamu Tanzania
มุมมอง 4.9K5 ปีที่แล้ว
Huu ndo Upekee wa Makumbusho ya Kolo Kondoa Sehemu ya 2 - Zamadamu Tanzania
Mh! Nivigumukuamin ktk hali ya kawaida ila kunamabo mengine Allah ametupaelemu tuyafam sis wanadam hivyo tusiwewabish. Wa kilakitu
Nimekumbuka mwera.kipumbwi. sakura
Huyo bwanyenye wa kiarabu hana jina? Huo mjengo sio wakiarabu ni wakixungu uache uongo wewe
Mustache uwongo kama hamwezi kuzisema vizuri historian za waswahili imsiziseme mziache.semeni za kwenu, kila ukiongea unarudia neno utumwa tu una akili sawa sawa wewe? Ushasema pangani ina umri zaidi ya miaka 2000 lna utumwa umeanza juzi tu hapo alipokuja sultan znz sasa miaka yote ya nyuma waarabu wahindi na waajemi walikuwa wanafanyabiashara ipi mbona hamsemi makafiri nyie acheni chuki zenu zidi ya uislam,mbona hamuo gelei habari za waafrika waliopelekwa America na wazingu?
Pangani nyumbani,nimefurahi kuona mitaa niliozoea kupita na gari yangu, na pia nimefurahi kumuona mzee Khalifa, duh muda mrefu sana ,ni kweli Pangani ulikuwa mji mzuri kwenye kipindi chetu,mimi sio mtu wa zamani ila kwa kuwa nimejenga kule mkoma hivyo nilizoea kwenda sokoni na kadhalika. From Switzerland 🇨🇭 10.11.24.
Tatizo Tanzania tunajua utalii ni kuona wanyama tu hatuna utalii wa historia ya miji na taifa letu wapi limetokea na kujua asili yetu
dhumuni la kipindi ni kuunganishwa UISLAMU NA UARABU NA BIASHARA YA UTUMWA IBWANYENYE
Shut fuck up you have no idea of what you are talking about so just keep quiet 😂😂😂 mgalatia
ninyi historia zenu mnachakachua saana hamsemi facts
Kweli kabisa
pahali hapo panathamani kutokana namaandali, mitondo walikua wakitumia katika ujenzi wamagofu ,lakini pia historia natamaduni zakupendeza ,wahusika waweza kupasitili,nakupafanya sehemu maalumu yakutalii
Wacheni kupitosha historia Ina maana watu wa pwani hawana biashara wanayoijua isipokuwa utumwa tu? Sasa mmeeleza mji huo una takriban miaka 2000 Sasa kama ingekuwa miaka yote inafanyika biashara hiyo watu si wangekuwa washakwisha wameamia wote huko utumwani? Halafu huyo Mzee tunashkuru kwa mchango wake lkn Yuko biased ye anachojua utumwa tu una ushahidi huo
Mwanahela sauti hatarii
Mwanahela sauti tamu
Hakuna mola anaepaswa kuabudiwa WALA kuonbwa isipikua Allah acheni kuwapoteza watu mizimu haiwez kukusaidia kitu chochote
Wasi ndo wenye kondoa
Hajui kitu uyo sjui muha akachambue kabila lake uko
Great to see one of our own, Dr. Ceaser Bita from National Museums of Kenya deeply involved in the discovery of the most sought after - the lost city of Rhapta. Congratulations to Prof. Chami and Dr. Bita for this awesome and monumental discovery.
Great to see one of our own, Dr. Ceaser Bita from National Museums of Kenya deeply involved in the discovery of the most sought after - the lost city of Rhapta. Congratulations to Prof. Chami and Dr. Bita for this awesome and monumental discovery.
Great to see one of our own, Dr. Ceaser Bita from National Museums of Kenya deeply involved in the discovery of the most sought after - the lost city of Rhapta. Congratulations to Prof. Chami and Dr. Bita for this awesome and monumental discovery.
nice
te vagy már egy nice
Ndo mnataka kumsanisha Binaadam wa kwanza alikuwa sokwe?
❤❤
babu noma sana penda sana warang
sawa kaka😂
Kazi nzuri ,,jukumu limebaki kwa govt of tz kusafisha hicho kisiwa kionekane vizuri ili iwe sehemu y kihistoria
Tanzania Tanga mzuri Sana kweli nakupenda 💖💖💖💖💖
Sisi warangi hatujatoka Nigeria. Fanya bidii sana hayo uliyoyasema uwe na uhakika nayo ndo utangazie dunia
inasemekana Kolo alikuwa mwenye asili ya Kimang'ati au Kiiraqwi,na haya ni makundi ya kutokea kaskazini mwa Afrika,sasa inakuaje Warangi wote wawe wenye asili ya Kibantu na wenye kutokea Nigeria??
Oh jamani
pongezi Dr Bita na wenzio
This is great,
Duh! Nimeipenda sna hii Zamadamu wp Florian Kaiza wp Omar Jingo wp Hasan Mkumba
Big up🔥🔥
Mzee tuletee na habari za mitaani pia itapendeza zaidi
Astaghafirulah shirki
We akili huna wew
Wwww valangi ninoma
Bravoo
Nakuelewa boss wangu
Fatilia Kipindi cha Zamadamu Tanzania kupitia Channel ya "TANZANIA SAFARI CHANNEL" Kila siku ya - Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:00 Jioni na - Jumapili Saa 3:00 Asubuhi, Marudio Saa 11:000 Jioni. Weka maoni yako na #SUBSCRIBE Channel hii, kupata updates mbalimbali za #Zamadamu na Utalii Tanzania.
Kondoa kwetu
Ayun rama umeonayee warangi hoye
huyo mzee ana sauty nzur sana ya kuimba
Mbarikiwe kwa kazi nzuri vijana wa BK👏
Mwanahela bado yuko Sawa, wooow, hakuna mwimbaji wa tanga Hawa wa Sasa afanye colabo na yeye,
amina
Huyo mtangazaji anaongeaje?
I LOVE YOU kondoaaa
Kondoa kwetu live dubai
Njol😁😁
viva kondoa my home land😍,viva Tanzania ,,proud to be a kondoanese haimuri valangi ......
Eng.Fayom -Frank Mtawa daah pande za nyumbani
Haswaaa😊😊
Naomba Weken hizo nyimbo you tube tu download
Huyu anatupeleka wapi?Maulid Rauna yupo ?ndo anajua historia yetu huyu anatupeleka Nigeria 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hhhaahaa