- 47
- 2 110
Samson Ernest
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 5 มี.ค. 2014
Soma neno ukue kiroho
SHUKRANI INAMTOA MTU KWENYE VIFUNGO VYA ADUI || SAMSON ERNEST
SHUKRANI INAMTOA MTU KWENYE VIFUNGO VYA ADUI || SAMSON ERNEST
มุมมอง: 43
วีดีโอ
MOYO WA SHUKRANI UNAVYOKUPA MATOKEO MAZURI || SAMSON ERNEST
มุมมอง 21วันที่ผ่านมา
MOYO WA SHUKRANI UNAVYOKUPA MATOKEO MAZURI || SAMSON ERNEST
KUSHUKURU KUNAKUFANYA USIKAUKIWE KWENYE MAHITAJI YAKO YA KIFEDHA, CHAKULA NK || SAMSON ERNEST
มุมมอง 52วันที่ผ่านมา
KUSHUKURU KUNAKUFANYA USIKAUKIWE KWENYE MAHITAJI YAKO YA KIFEDHA, CHAKULA NK || SAMSON ERNEST
SIKU 1: FAIDA UTAKAZOZIPATA KUPITIA KUMSHUKURU MUNGU
มุมมอง 6714 วันที่ผ่านมา
SIKU 1: FAIDA UTAKAZOZIPATA KUPITIA KUMSHUKURU MUNGU
AHADI 4 ALIZOAHIDI MUNGU KWAKO UNAPOINGIA MWAKA MPYA 2025
มุมมอง 10914 วันที่ผ่านมา
AHADI 4 ALIZOAHIDI MUNGU KWAKO UNAPOINGIA MWAKA MPYA 2025
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOENDA KUMREJESHA MTU ALIYEANGUKA DHAMBINI
มุมมอง 93หลายเดือนก่อน
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOENDA KUMREJESHA MTU ALIYEANGUKA DHAMBINI
UNATOKA/UNAONDOLEWA KWENYE KIFUNGO CHA ADUI
มุมมอง 20หลายเดือนก่อน
UNATOKA/UNAONDOLEWA KWENYE KIFUNGO CHA ADUI
Ahadi Ya Mungu Kwa Watakao Heshimu Wazazi Wao
มุมมอง 147 หลายเดือนก่อน
Ahadi Ya Mungu Kwa Watakao Heshimu Wazazi Wao
MAHUSIANO||Unakosa Amani Moyoni Mwako Na Kuna Mambo Huelewi Kwake, Usilazimishe Ndoa
มุมมอง 268 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||Unakosa Amani Moyoni Mwako Na Kuna Mambo Huelewi Kwake, Usilazimishe Ndoa
MAHUSIANO||Rafiki Anaweza Kukuingiza Kwenye Ndoa Isiyo Sahihi Kwa Maslahi Yake Binafsi
มุมมอง 208 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||Rafiki Anaweza Kukuingiza Kwenye Ndoa Isiyo Sahihi Kwa Maslahi Yake Binafsi
MAHUSIANO||Kauli Za kujirudiarudia Kwa Mchumba Wako Usipuuze
มุมมอง 118 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||Kauli Za kujirudiarudia Kwa Mchumba Wako Usipuuze
MAHUSIANO | Kuwa Na kiasi na mipaka kwa mchumba wako
มุมมอง 258 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO | Kuwa Na kiasi na mipaka kwa mchumba wako
MAHUSIANO|Mwanaume Anapofika Wakati Wa Kufanya Maamuzi Ya Kuoa Anaangalia Mtu Aliyetulia
มุมมอง 228 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO|Mwanaume Anapofika Wakati Wa Kufanya Maamuzi Ya Kuoa Anaangalia Mtu Aliyetulia
MAHUSIANO||USIKAE SEHEMU YA MAFICHO NA MCHUMBA WAKO KUNA HATARI
มุมมอง 228 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||USIKAE SEHEMU YA MAFICHO NA MCHUMBA WAKO KUNA HATARI
MAHUSIANO || UMHIMU WA KUWA NA MIPAKA KWA WACHUMBA
มุมมอง 578 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO || UMHIMU WA KUWA NA MIPAKA KWA WACHUMBA
MAHUSIANO||MFAHAMU VIZURI UNAYETAKA KUMUOA/KUOLEWA NAYE
มุมมอง 598 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||MFAHAMU VIZURI UNAYETAKA KUMUOA/KUOLEWA NAYE
MAHUSIANO||UNAJIPA MOYO WATAACHANA NA UMESHAONA ANA MAHUSIANO MENGINE
มุมมอง 118 หลายเดือนก่อน
MAHUSIANO||UNAJIPA MOYO WATAACHANA NA UMESHAONA ANA MAHUSIANO MENGINE
USIINGIE KWENYE MAHUSIANO NA MTU WAKATI UNA MAHUSIANO MENGINE
มุมมอง 578 หลายเดือนก่อน
USIINGIE KWENYE MAHUSIANO NA MTU WAKATI UNA MAHUSIANO MENGINE
JAMBO MUHIMU KUHUSU MAHUSIANO: MAOMBI BINAFSI, USIPUUZE IMANI YA MWENZAKO
มุมมอง 538 หลายเดือนก่อน
JAMBO MUHIMU KUHUSU MAHUSIANO: MAOMBI BINAFSI, USIPUUZE IMANI YA MWENZAKO
JAMBO LA MSINGI LA KUZINGATIA KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO
มุมมอง 398 หลายเดือนก่อน
JAMBO LA MSINGI LA KUZINGATIA KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO
Amen 🙏 tupo pamoja mtumishi wa mungu
@@JohnAmani-f1y Amina
Amen 🙏 sana mtushi Mungu akubarki
@@JohnAmani-f1y Amina John, ubarikiwe pia
Amen 🙏
@@JohnAmani-f1y Amina, ubarikiwe pia kujifunza 🙏
Baba mahubiri yako yanaamsha shauku ya namna ya ajabu sana ndani yangu, kutembea kwa shukrani Kuna tupatia vitu ambavyo hata hatujaomba.
Ameniiiiiiii, ameniiiiiiii ameniiiiiiii barikiwa sana Baba, hakika kushukuru ni kuomba tena
@@frankhayuma9557 Amina, ubarikiwe pia
Amen 🙏
@@JohnAmani-f1y Amina
Amina Amina kutoa ni sehemu ya ibaada
@@arubalydia224 Amina
Ameniiiiiii 🙏 Ubarikiwe sana
@@FrankRangeNyandwi Amina Frank
Amen 🙏
@@JohnAmani-f1y Amina
Amen 🙏
@@JohnAmani-f1y Amina John
Amina
@@nicodemussteven2068 ubarikiwe sana
UBARIKIWE SANA ndugu yetu mpendwa
@@PhilipoKizumba Amina, ubarikiwe pia
Amina baba ubarikiwe
@@SuzanaPatrick-ql7uh Amina, ubarikiwe pia
Amen
@@michaelmwangoka7320 ubarikiwe sana
Amina, Amina na Amina
@@samuelmwanaaaningu Ubarikiwe sana
Waooo kaka Mungu na akuinue ukawe mtumishi mkubwaaaa
@@NaomiEmmanuel-y8r Amina Naomi
Asante mtumishi wa BWANA!
@@benjaminalbert8358 ubarikiwe sana Benjamin
Nikweli kabisa Mwalimu
Amina
Asante sana mwalimu kwa mafundisho mazuli
Amina, ubarikiwe pia
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya, mafundisho haya ni faida kwa vizazi vya sasa na vijavyo
Amina Philipo
Indeed ❤
Ubarikiwe sana
Amen Baba mchungaji ✍️
Ubarikiwe sana
Daah! Mchungaji nakosa hata chakusema yaani hili somo kuna sehemu nimeyaona kbla hata haujalifundisha hili 😢Mungu akubariki maana kujitambua ni jambo la maana sana tutulie sana kwenye maombi vijana wako ili Mungu atupatie watu sahihi masihani mwetu na siyo kukimbilia ndoa tu uvumilivu na usitahimilivu unahitajika sana. Kuna wengi wamekata tamaa na kuingia kwenye ndoa kutokana na familia pengine rafiki zake wameoa au kuolewa bila kufikiria ni wapi anapoelekea ndoa siyo tu ya kudumbukia inahitajika maombi ya nguvu sana na kuwa karibu na Mungu bila hivyo ndoa nyingi zinakuwa na migogoro sana pia haswa kwa sisi mabinti unakuta ndoto zetu zinazima tunashindwa kuzitimiza kwa sababu tumeolewa na watu ambao siyo sahihi maishani mwetu. Barikiwa sana Mchungaji Ernest hakika napaswa kujitambua na kutambua wapi naelekea na ninataka kuwa nani God bless you 🙌
Kijana upo kwenye mahusiano bado haujaingia kwenye ndoa usipuuzie mambo ya Kimungu kama huyo mtu anamchezo na Mungu mkiwa kwenye mahusiano basi yakubidi kutambua hata ndani ya ndoa atakuwa hivyohivyo mabadiliko ya kweli yaone kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mungu akubariki sana Mchungaji kwa neno zuri👏👏
Ubarikiwe sana mchungaji Hakika kujitunza ndio njia pekee na bora ya kukufikisha kwenye yale ambayo Mungu ameyaandaa mbele yako....kuliko kukurupukia jambo litakalokupoteza mapema na kushindwa kufikia kule Mungu anataka uwe
Amina Johari Pharess, ubarikiwe sana kujifunza mambo sahihi ya kukusaidia katika maisha yako.
YESU AKUTUNZE DAIMA MTU WA BABA ALIYE JUU SANA 🙏🏾 Asante sana kwa Utume mwema.
Amina rafiki, ubarikiwe pia kujifunza
Nimebarikiwa sana
Amina, endelea kubarikiwa
Barikiwa sana
Amina Samwel
Amen Amen Amen
Ubarikiwe sana
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu pastr Samson Ernest ahsante sana kwa ujumbe huu wa maonyo dhidi ya dhambi more grace ❤
Amina, ubarikiwe pia