REVIVAL Mt
REVIVAL Mt
  • 42
  • 215 193
Chombo Cha sifa
New song hakika utabarikiwa sana
"nifanye chombo Cha
sifa ni fanye mlima wako
mlima wako"
GLORY FAMILY SINGER'S
nikikundi kinacho mtumikia MUNGU njian mbalimbali uwimbaji
Zaburi 149:1
[1]Haleluya.
Mwimbieni BWANA wimbo mpya,
Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Praise ye the LORD. Sing unto the LORD a new song, and his praise in the congregation of saints.
มุมมอง: 47

วีดีโอ

KUSUDI LA MUNGU KATIKA KANISA
มุมมอง 73ปีที่แล้ว
hii ni moja ya ibada iliyo fanyika Katika kanisa la church of God mlango mzuri lililopo soweto
SITAOGOPA. "I shall nevet be Afraid"
มุมมอง 1512 ปีที่แล้ว
jekonia kaweka new song(wimbo mpya) wimbo huu utakubariki na kujiinua pale utapo sikiliza kwa umakini, maombi yetu NI wewe kukutana na MUNGU.
INJILI YA KWELI INALETA WATU KWA YESU
มุมมอง 1392 ปีที่แล้ว
INJILI YA KWELI INALETA WATU KWA YESU
SIRI KUBWA YA USHINDI WA KIROHO....
มุมมอง 622 ปีที่แล้ว
sili kubwa ya kiroho ni kumsogelea MUNGU aijalishi unakutana na mangapi Isaya 40:31 [31]bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia. But they that wait upon the LORD shall renew their strength; they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall wal...
YAFAHAMU MAJINA YA MUNGU YA LIO ANDIKWA KWA LUGHA YA KIEBRANIA..
มุมมอง 3042 ปีที่แล้ว
YEHOVA (BWANA) NI MUNGU AMBAYE ANA MSAIDIZI ..
USINIPITE MOKOZI TENZI NAMBA. 10
มุมมอง 4772 ปีที่แล้ว
10. Usinipite Mwokozi 1. Usinipite Mwokozi, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. Yesu,Yesu, Unisikie; Unapozuru wengine, Usinipite. 2. Kiti chako cha rehema, Nakitazama; Mago ti napiga pale, Nisamehewe. 3. Sina ya kutegemea, Ila Wewe tu; Uso wako uwe kwangu; Nakuabudu. 4. U Mfariji peke yako; Sina Mbinguni, Wala duniani pote, Bwana mwingine
KAMASIO WEWE BWANA NINGEKUWA WAPI MIMI..
มุมมอง 692 ปีที่แล้ว
short clip kutoka katika mkutano wa UAMSHO kyela mjini jijini mbeya
EWE ROHO WA MBINGUNI TENZI YA ROHONI.
มุมมอง 4K2 ปีที่แล้ว
12. Ewe Roho Wa Mungu 1. Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. 2. Ndiwe mwanga, umulike Tupate jikana; Mengi kwetu yapunguka, Tujalize, Bwana. 3. Ndiwe Moto, teketeza Taka zetu zote: Moyo na iwe sadaka Ya Mwokozi, yote. 4. Ndiwe Umande, na kwako Tutaburudika, Nchi kavu itakuwa Ni Baraka. 5. Roho wa Mbinguni uwe Nasi hapa chini, Mwili uufananishe Na kichwa Mbin...
MADUI WAWILI WA NAO MUAANGAMIZA MWANADAM
มุมมอง 242 ปีที่แล้ว
Hii ni moja ya mkutano wa injili uliofanyika kyela mjini ulioandaliwa na kikundi Cha REVIVAL MOVEMENT TEAM (WALIOPO MBEYA KWANZIA 17-21/11/2021
MWANAMKE ALIYE TUMIWA KATIKA UAMSHO INCHI INDIA MWAKA 1905
มุมมอง 282 ปีที่แล้ว
Pandita Ramabai alifungua nyumba kwa wasichana nchini India. Katika jaribio hili alikuwa akitegemea kabisa utoaji wa Mungu na sala ilikuwa kweli njia yake ya maisha. Mnamo Januari 1905, alianza kuzungumza juu ya hitaji la kumtafuta Mungu kwa uamsho. Muda si muda, watu 550, wengi wao wakiwa wanawake na wasichana, walikuwa wakikutana mara mbili kwa siku, wakiombea uamsho na nguvu ya nguvu. Mnamo ...
Ibada ya uamsho season 1
มุมมอง 142 ปีที่แล้ว
Kyela mjini 17-21/11/2021
KWA KALVARI TENZI YA ROHONI
มุมมอง 203K2 ปีที่แล้ว
89. Kwa Kalvari 1. Muda mwingi nilipotea, Sikufahamu msalaba, Wala aliyenifilia, Kwa Kalvari. Rehema bure na neema, Samaha nalo nilipewa, Ndipo aliponifungua Kwa Kalvari. 2. Kwa neno lake Bwana Mungu, Nilijiona mimi mwovu, Nikageuka na kutubu, Kwa Kalvari. 3. Yote kwa Yesu namtolea, Ndiye mfalme wa pekee sasa, Kwa furaha nitamwimbia, Wa Kalvari. 4. Jinsi pendo lilivyo kuu, Neema ilishuswa toka ...
Robert kalolo
มุมมอง 1502 ปีที่แล้ว
Robert kalolo
USHINDI WA WAKIROHO UNATEGEMEANA NA JINSI UNAVYO KAA NA MUNGU.
มุมมอง 183 ปีที่แล้ว
USHINDI WA WAKIROHO UNATEGEMEANA NA JINSI UNAVYO KAA NA MUNGU.
BWANA UNASTAHILI. NYIMBO YA KUABUDU
มุมมอง 6723 ปีที่แล้ว
BWANA UNASTAHILI. NYIMBO YA KUABUDU
Gospel on the bus
มุมมอง 133 ปีที่แล้ว
Gospel on the bus
MAMA ATOWA USHUHUDA JINSI ALIVYO FUNGURIWA
มุมมอง 243 ปีที่แล้ว
MAMA ATOWA USHUHUDA JINSI ALIVYO FUNGURIWA
utawale song nyimbo ya kuabudu.
มุมมอง 3523 ปีที่แล้ว
utawale song nyimbo ya kuabudu.
History fupi ya IGALE
มุมมอง 843 ปีที่แล้ว
History fupi ya IGALE
MIMI SIWEZI NENO LOLOTE BILA YESU
มุมมอง 3363 ปีที่แล้ว
MIMI SIWEZI NENO LOLOTE BILA YESU
IBADA YA UAMSHO 1
มุมมอง 263 ปีที่แล้ว
IBADA YA UAMSHO 1
February 25, 2021
มุมมอง 173 ปีที่แล้ว
February 25, 2021
Mimi siwezi neno lolote bila Yesu
มุมมอง 2K3 ปีที่แล้ว
Mimi siwezi neno lolote bila Yesu
WOKOVU HALISIA by victor mwakaronge
มุมมอง 613 ปีที่แล้ว
WOKOVU HALISIA by victor mwakaronge
Njia raisi ili upone matatizo yako
มุมมอง 143 ปีที่แล้ว
Njia raisi ili upone matatizo yako
Upo uweza mkuu ndani ya injili
มุมมอง 363 ปีที่แล้ว
Upo uweza mkuu ndani ya injili
Miujiza ya yesu inaweza kutokea na kwako ukimwita
มุมมอง 383 ปีที่แล้ว
Miujiza ya yesu inaweza kutokea na kwako ukimwita
Ushuhuda wa mzee tajiri
มุมมอง 144 ปีที่แล้ว
Ushuhuda wa mzee tajiri

ความคิดเห็น