![Ngome Tv](/img/default-banner.jpg)
- 257
- 739 678
Ngome Tv
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 5 ก.ค. 2017
Ngome Tv ni Chanel Maalum ya Kuhabarisha Jamii habari zote zenye mguso kwa jamii , ilianzishwa rasmi mwaka 2017,
AKAMATWA NA MIFUKO 130 YA SUKARI KARIAKOO, DC MPOGOLO AWAKA
Wafanyabiashara Wakamatwa na Mifuko 130 kufuatia Msako wa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Edward Mpogolo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi
มุมมอง: 388
วีดีโอ
ANUNUA MLIMA ELFU 20, DC LUDIGIJA AMUWAKIA
มุมมอง 248 หลายเดือนก่อน
Mtu mmoja amejitokeza hadharani katika mkutano wa wananchi mbele ya mkuu wa Wilaya ya Kwimba akidai kuuziwa eneo la Mlima kwa gharama ya Tsh 20,000/=
MEYA KUMBILAMOTO ATATUA KERO YA MAJI SAFI VINGUNGUTI
มุมมอง 68 หลายเดือนก่อน
Mstahiki Meya wa Jiji la Dsm ametoa Mabomba kwa ajili ya Kusambaza Maji katika Mtaa wa Butiama kata ya Vingunguti.
UJIRANI MWEMA CUP MIONO NI BALAA, RIDHIWANI KIKWETE APAGAWA NA NYOMI, AHIDI UWANJA WA KISASA.
มุมมอง 8710 หลายเดือนก่อน
Fainali za Michuano ya Ujirani mwema Cup zimehitimishwa jana ambapo Mshindi wa Kwanza ametunukiwa Ng'ombe huku Mshindi wa pili akipewa Seti ya Jezi, Mgeni rasmi wa fainali hizo alikua Mhe Ridhiwani Kikwete ambae ni mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu waziri wa Utumishi wa Umma ameahidi kujenga uwanja wa Kisasa Jimboni humo.
" HAWA WANAPASWA KUKATWA " - RC CHALAMILA :
มุมมอง 3911 หลายเดือนก่อน
" HAWA WANAPASWA KUKATWA " - RC CHALAMILA :
RC CHALAMILA ALIVYOLIVAA SAKATA LA BANDARI NA DP WORLD
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
Mkuu wa Mkoa wa Dsm , Albert Chalamila Amewataka Wananchi wa Mkoa huo Kuachana na maneno ya Propaganda na Uzushi yanayosemwa kuhusu Uwekezaji unaotarajiwa Kufanyika Katika Bandari ya DSM.
RC CHALAMILA " HII NI HUJUMA " AWAKA AKIWALAUMU WASIMAMIAJI WA DAMPO LA PUGU DSM
มุมมอง 163ปีที่แล้ว
Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe Albert Chalamila amewataka Wasimamiaji wa Dampo la Pugu kujitathmini kufuatia Mazingira mabovu ya Dampo hilo
MACHINGA WALIA WAKIMUAGA DC LUDIGIJA ILALA
มุมมอง 25ปีที่แล้ว
MACHINGA WALIA WAKIMUAGA DC LUDIGIJA ILALA
GOLI LA AZIZ KI FAULO NDANI YANGA VS MTIBWA MANUNGU
มุมมอง 83ปีที่แล้ว
GOLI LA AZIZ KI FAULO NDANI YANGA VS MTIBWA MANUNGU
SIKIA MAOMBI YA MEYA KUMBILAMOTO KWA RAIS DKT. SAMIA
มุมมอง 60ปีที่แล้ว
SIKIA MAOMBI YA MEYA KUMBILAMOTO KWA RAIS DKT. SAMIA
CHANJO YA POLIO AWAMU YANNE ILALA KUANZA RASMI
มุมมอง 7ปีที่แล้ว
CHANJO YA POLIO AWAMU YANNE ILALA KUANZA RASMI
UKIMPA PESA OMBA OMBA DSM UNAKAMATWA, DC AKEMEA WAFANYABIASHARA WANAORUDI BARABARANI.
มุมมอง 83ปีที่แล้ว
UKIMPA PESA OMBA OMBA DSM UNAKAMATWA, DC AKEMEA WAFANYABIASHARA WANAORUDI BARABARANI.
MABUSHA NA MATENDE KUKOMESHWA DSM KWA NJIA HII!!!
มุมมอง 28ปีที่แล้ว
MABUSHA NA MATENDE KUKOMESHWA DSM KWA NJIA HII!!!
UKIMWI ULIVYOWATAJIRISHA WANAWAKE CHANIKA
มุมมอง 230ปีที่แล้ว
UKIMWI ULIVYOWATAJIRISHA WANAWAKE CHANIKA
UVCCM MIONO WASHIRIKI KUJENGA MADARASA , WAMPONGEZA RAIS SAMIA
มุมมอง 70ปีที่แล้ว
UVCCM MIONO WASHIRIKI KUJENGA MADARASA , WAMPONGEZA RAIS SAMIA
DIWANI APAGAWA KUPATA KITUO CHA POLISI MSATA
มุมมอง 161ปีที่แล้ว
DIWANI APAGAWA KUPATA KITUO CHA POLISI MSATA
DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA MAZITO MLIMANY CITY, AZINDUA SAFARI YA QATAR NA WASAFI BET
มุมมอง 115ปีที่แล้ว
DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA MAZITO MLIMANY CITY, AZINDUA SAFARI YA QATAR NA WASAFI BET
DAMAX WAJA NA SULUHISHO LA UKATILI WA KIJINSIA , WAANZA NA VINGUNGUTI
มุมมอง 20ปีที่แล้ว
DAMAX WAJA NA SULUHISHO LA UKATILI WA KIJINSIA , WAANZA NA VINGUNGUTI
WANAFUNZI WAPEWE CHAKULA WAKIWA SHULENI - RC MAKALLA
มุมมอง 15ปีที่แล้ว
WANAFUNZI WAPEWE CHAKULA WAKIWA SHULENI - RC MAKALLA
DUUH!!!! HALI YA KINA CHA MAJI MTO RUVU INATISHA ,RC DSM AFANYA ZIARA , ATAJA MKAKATI WA KUPATA MAJI
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
DUUH!!!! HALI YA KINA CHA MAJI MTO RUVU INATISHA ,RC DSM AFANYA ZIARA , ATAJA MKAKATI WA KUPATA MAJI
TUNATOA MIKOPO YA KUANZISHA VIWANDA - DC ILALA
มุมมอง 59ปีที่แล้ว
TUNATOA MIKOPO YA KUANZISHA VIWANDA - DC ILALA
ALICHOSEMA MWENYEKITI CCM BAGAMOYO ZAHORO SHARIFF KWA VIJANA WA UVCCM MSATA
มุมมอง 103ปีที่แล้ว
ALICHOSEMA MWENYEKITI CCM BAGAMOYO ZAHORO SHARIFF KWA VIJANA WA UVCCM MSATA
RAIS SAMIA AMEBEBA MAONO YA MWL. NYERERE - M/KITI UVCCM MSATA
มุมมอง 73ปีที่แล้ว
RAIS SAMIA AMEBEBA MAONO YA MWL. NYERERE - M/KITI UVCCM MSATA
JENGO LA GHOROFA KIVULE LILOMCHUKIZA DC WA ILALA, AAGIZA KUVUNJWA MKATABA WA UJENZI
มุมมอง 155ปีที่แล้ว
JENGO LA GHOROFA KIVULE LILOMCHUKIZA DC WA ILALA, AAGIZA KUVUNJWA MKATABA WA UJENZI
DC LUDIGIJA AWAKA BODABODA WANAOTAKA KUPAKI IKULU
มุมมอง 89ปีที่แล้ว
DC LUDIGIJA AWAKA BODABODA WANAOTAKA KUPAKI IKULU
WAUZA NYAMA VINGUNGUTI WATII KUUZIA MABUCHANI
มุมมอง 24ปีที่แล้ว
WAUZA NYAMA VINGUNGUTI WATII KUUZIA MABUCHANI
"WALITAKA KUNIUA DEREVA WANGU KANIOKOA " - KUMBILAMOTO
มุมมอง 66ปีที่แล้ว
"WALITAKA KUNIUA DEREVA WANGU KANIOKOA " - KUMBILAMOTO
WAANZA KUREJESHA BILIONI 10 ZILIZOIBWA HALMASHAURI YA JIJI DSM, DC ILALA AWA MBOGO
มุมมอง 36ปีที่แล้ว
WAANZA KUREJESHA BILIONI 10 ZILIZOIBWA HALMASHAURI YA JIJI DSM, DC ILALA AWA MBOGO
Upo sahihi bro.
Usihuzunike sana kakaangu Julia yanga kulabata
Hakika wewe mkweli
Umesema kweli
Manara ulibezwa maneno yako leo wanakukumbuka
Dodoma tanzania
Au sio
Haji Manara upo sahihi Simba tunataka revolution tunataka transparent
Mmmh sasa hivi msemaji wa vijiweni kwa sasa Baada ya kufoka ikawaje😂😂😂😂
We kazee kalaleeee Huna jipyaaaaa kamlinde mkeo hukoooo
Yani uyu mtu anakeraa
Manara uko sahihi
Hata kama makonda anapiga Kaz baada ya kusema atawataja mawazir mmeaza kumsumbua msimpe stress makonda mwachen apige kazi.
Simba niykwako iko moyoni namin ipo siku utarudi moyo wako unaonekana wap ulipo ulikua unawapa hamasa sna wachezaj cham alikua kila sku anazaliwa upya
Yeye amenunua kutoka kwa nani na je sheria ilianzia wakati ananunua au imeasia kwako tu mzee ukiona kila kitu unajaribu kuweka wazi na kulasimisha jamii kukuamini lazima tuangalie kwa umakini.
Mtanga ni Mtanga tu Rangi imerudi imekuwaje hapo?.
Umenena
Mbona mtu anamteua? Tumueleweje?
Makonda ni tatizo la taifa, adhibitiwe
Kwani huyu makonda si alitaliwa awe jela zamani lakini anaringia serekali inamlinda tu
Huyu makonda siana tetea nakusikiliza kero Yan hahaaa fisiamekabi ziwabu cha etindo mtetezi wakati m nyanganyi hovyo kabisa
Daihakiyako hadimwisho weshaa zoweya kupora malizawatu
Daaa makonda fika mahali uone aibu
🎉🎉🎉🎉🎉
Mfanya Kazi wa mama ni wizi
Munaanza kuingiza uyanga na u5imba
Makonda anadhani cheochake kinanguvu ya kuendeleza zulma kama kawaida yake wakati alipokuwa mkuu wa mkowa wakati wa magufuli huyu makonda aliwazulumu matajiri wengi
Simpendi makonda zulma sana
Mbona hakuna sehemu ilyomtaja makonda??
Mbona hakuna sehemu ilyomtaja makonda??
Aisee
Kama unachosema Haji ni ukweli mtupu, basi itawachukua muda mrefu sana Simba kufanya maendeleo ya mpira
Yani tumeangukia mbali sana
Duh mm nadhulumu hlafu nashangaa wanaudhulumu tuna sfr ndefu sn mana wengi wanaushindani wa mali
Makonda yupo vizuli
Uzuri upi uwoo alionao zaidi ya zulma
Kula chuma iyo
Msipede kuropoka ropoka chagia hoja za msigi jamii ikuerewe umereza mabo megi sana na umeonyesha hati nyingi mwanasheria amesahau kuuereza uma kiwaja hicho mteja wako nyaraka ya manunuzi hujaonyesha ariuziwa nani ?
Hat sio kizibitisho. Kwa kila mwenye nacho maana tumeshudia kesi zakugushi hat tena Kwa njia hiyo nahiyo presha ya kukimbilia huruma ya mitandao inamana gan mahakama zinakazi gani au wazir wa Aridhi hayupo?
Makonda n mwizi jambazi sugu km sabaya
Makonda nataka anyongwe ameua watu xana😪😪😪😪kenge yule
Hilo jengo nimefanya kazi na grupu 6 tena tulianza kuvunja jengo la zamani ndipo ujenzi uwanze na Ghalibu ndio mwenye mali nakumbuka sana
Tatizo makonda ni mtu anaepe da kuzulumu matajiri tokea wakati wa magufuli huyu makonda amewazulumu hata wakina manji
huyo ghalibu saidi Mohamedi ni raia wa nchi gani.??
Kaulizie uhamiaji
Mjinga wewe acha ubaguzi huyo ni mtanzania ila ngozi tu
Hujasema mteja wako alinunua kiwanja hicho kutoka kwa nani kwa mkataba mkataba . wacha longolongo
Hapo anathibitisha umiliki halali suala la alinunua kwa nani kama ni mhimu litakuja baadaye , 2006 Makonda alikuwa kijana mdogo
Kwa sasa yeye ni Boss sijui ile kesi imeishia wp🙈 dunia inakwenda kasi sana
Kwishaaaaaaa
This is very nice for listening
Wanafiki tu sikuzote walikuwa wapi leo wamchafue mwenzao
makonda akifa atupwe baaharini ariwe na papa asizikwe kwa uharifu alo uufanya wakati akiwa mkuu wa mkoa akiongoza genge la watu wasiojurikana viongozi hatari ni hawa sabaya gambo makonda chalamila omera ogopa ogopa bhadugu bhanee
makonda tapeli mwizi zuruma hafai ata akifa atupwe baharini ariwe na papa asizikwe kwa mabaya ariyo fanya kwa kuongoza kundi la iharifu litwalo watu wasio julikana huyu na sabaya gambo omera chalamila ipo siku jela watakwenda tu labda mungu asiwepo
Mambo ya kitoto kutaka. Kitu ambacho sio chako huo ni wizi
Kweli nimeamini mzee magu alisema Vita yauchumi ningumu matajili awakubali kushushwa pamoja nakumiliki mali kwadhuluma makonda wewe chapa kazi ninaimani umeishaanza kuwafikia ndiomaana wanajisogeza wenyewe wanawakandamiza wanyonge tu nawasiojuwa Shelia nawatumishi walioteuliwa wapo wanakula vyao Kisha wanakaa pembeni
Unaandika usichokijua na kujipendekeza! Hujui hii kesi ilikuwa ya mwaka gani na wakati huo Makonda alikuwa wapi. Acha kuparamia mambo kwa ushabiki na uzuzu. Hivi hapo tajiri na mnyonge ni nani? Aliyetumia madaraka yake kupora ardhi au aliyetumia fedha zake kununua ardhi?
Mizani ya kisheria nasubiri destination ili na mimi niende shule 🎉
Milikuwa wapi siku zote kusema hayo shida wanafiki wakati mnampa ilikuwa nini nyie wote matapeli tu vigeugeu .sasa ndio mnachomoza.mimi siwaelewi.
Walikuwa wapi au wewe ndiye wakujiukiza wakati clip hii inatoka ulikuwa wapi? Au ulikuwa hujawa na simu?