- 13
- 1 688
Radiant Health Mission
เข้าร่วมเมื่อ 16 ม.ค. 2024
•Tunajihusisha na kuufunua Mpango wa Mungu kwa Wanadamu katika nyanja zote za Maisha.
•Tunatoa Elimu ya Kina kuhusu Afya na Kiasi, kwa Mujibu wa Biblia, Roho ya unabii na sayansi ya kweli.
•Kufunua mpango wa Mungu juu ya Tiba halisi na sahihi kwa Mwanadamu.
•Kutoa fursa ya mijadala kuhusu mahusiano na mawasiliano Bora.
•Kuutangaza ujumbe wa mwisho wa Malaika wa tatu wa Ufunuo 14.
•Kuwakutanisha watu na Mungu kupitia Muziki mtakatifu,maombi,kujibu maswali na kujadili mada tata za Kibiblia ili kupata uelewa wa pamoja.
•Neno letu kuu ni "GOD'S PLAN IS THE BEST PLAN" hivyo wajibu wetu ni kuubainisha mpango wa Mungu kwa kila mada na kutoa wito kwa Watu wote kuurejelea mpango wa Mungu kwani mpango wa Mungu ndiyo mpango ulio bora.

วีดีโอ
AYA TATA NA NGUMU KATIKA BIBLIA SEHEMU YA 3
มุมมอง 320หลายเดือนก่อน
JE? NI LAZIMA WANAWAKE KUFUNIKA VICHWA KATIKA IBADA?
0006 AYA TATA NA NGUMU KATIKA BIBLIA (SEHEMU YA 2)
มุมมอง 484 หลายเดือนก่อน
FAHAMU JINSI YA KUTAFASRI MAFUNGU MAGUMU / TATA KATIKA BIBLIA SEHEMU YA PILI
0005 AYA TATA NA NGUMU KATIKA BIBLIA
มุมมอง 745 หลายเดือนก่อน
FAHAMU JINSI YA KUTAFASRI MAFUNGU MAGUMU / TATA KATIKA BIBLIA .
0005 ROHO YA UNABII SEHEMU YA 3: MWISHO
มุมมอง 1195 หลายเดือนก่อน
KARIBU KATIKA MWENDELEZO WA SOMO LA ROHO YA UNABII NI NINI? SEHEMU YA TATU NA MWISHO.
0004 ROHO YA UNABII NI NINI ? (SEHEMU YA PILI)
มุมมอง 1526 หลายเดือนก่อน
KARIBU KATIKA SEHEMU YA PILI YA SOMO LA ROHO YA UNABII
MAHUBIRI 3: SAFARI BADO INAENDELEA SEHEMU YA 2
มุมมอง 246 หลายเดือนก่อน
HII HAPA SEHEMU YA PILI YA MAHUBIRI NO 2 "SAFARI BADO INAENDELEA"
MAHUBIRI 2 : SAFARI BADO INAENDELEA SEHEMU YA 1
มุมมอง 297 หลายเดือนก่อน
MAHUBIRI SAFARI BADO INAENDELEA SEHEMU YA 1
0003 ROHO YA UNABII NI NINI ? (SEHEMU YA KWANZA )
มุมมอง 6427 หลายเดือนก่อน
BAADA YA KUANGALIA BIBLIA NI NINI ? HUU HAPA MWENDELEZO WA MASOMO YETU
0002 BIBLIA NI NINI ?
มุมมอง 247 หลายเดือนก่อน
Karibu katika mwendeezo wa Masomo yetu Mungu akubariki.
MAHUBIRI 1: NJOO HUKU NITAKUONYESHA ( FULL)
มุมมอง 288 หลายเดือนก่อน
MAHUBIRI KUTOKA KWA MWINJIISTI SHADRACK JM. BARONGO NGHONG'ONHA SDA CHURC DODOMA-TZ
0001 FAHAMU KUHUSU RHM CHANNEL
มุมมอง 398 หลายเดือนก่อน
Utangulizi wa masomo yetu, karibu ujufunze nasi.
Utume_SDA choir_live performing-Msifuni Bwana Makambi Mtaa Wa Kisasa 2023 Dodoma -TZ
มุมมอง 308 หลายเดือนก่อน
Kwaya ya Kanisa Nghong'onha SDA Church Dodoma Tz
Barikiwa sana
Amina. Nawe pia
BWANA awabariki kwa anjili inayo endelea
Amina, nawe pia
Amina. Nawe pia. Karibu tena
BWANA awabariki kwa anjili inayo endelea
Amina, nawe pia
Amen, endelea kubarikiwa sana kwa masomo yajayo.
Barikiwa mtumishi
Amen,endelea kufatilia vipindi vyetu vijavyo.
Amina. Nawe pia
Nimependa mada hizi na mafundisho ni mazuri natamani kujiunga nanyi ktk masomo haya
Ooh Asante sana, Karibu Ujiunge nasi kwa mwendelezo na Mafundisho mengine yajayo. Mungu akubariki.
Somo makini sana! Ubarijiwe sana mtu wa Mungu, AJM Barongo 😇
Amen, songa mbele kwa imani mtumishi. Watu wanaokolewa kupitia Chanel hii
Kazi nzuri Mzee... Ubarikiwe sanaa
Amen ubarikiwe pia mtumishi
Amen Amen
mtumishi wa baba ubarikiwe sana MUNGU aendelee kukutumia kama chombo ila mnenajii akawe yeye
Bwana awazidishie baraka mnavyozidi kutubariki
Asante , na ubarikiwe pia
Amen!! Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, tunabarikiwa sana