Masterclass 005.
Masterclass 005.
  • 20
  • 26 887
Stand up comedian, Deogratius | Masterclass Ep 2.
Deogratius ni “stand up comedian” na C.E.O wa Comics Lab, wachache pia wanafahamu kuwa Deo ni mhitimu wa masomo ya sheria, kipaji chake cha kuchekesha na namna anavyowasilisha ucheshi wake hupendwa na wengi.
Ndani ya Masterclass Ep 2 Deo anatueleza mengi anayoyafahamu kuhusiana na “Networking” ama “Mtandao”.
มุมมอง: 3 641

วีดีโอ

Madam Rita | Masterclass EP 2
มุมมอง 1772 ปีที่แล้ว
Madam Rita anajulikana zaidi kama Muanzilishi na Chief Judge wa mashindano ya Bongo Star search (BSS) ambayo yamesaidia kukuza vipaji vya muziki kwa vijana wengi Tanzania. Madam ni C.E.O wa Benchmark production, kampuni inayozalisha B.S.S na kazi nyingine ambazo zimewahi kufika nje ya Tanzania. Ndani ya Masterclass Ep 2 anatupa experience na uwelewa wake kwenye swala zima la "Networking". Socia...
Jembe ni Jembe (Manager wa Harmonize) | Masterclass Ep 2 (part 1)
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
Dr. Sebastian Ndege (Jembe ni Jembe) ni mfanyabiashara na mwekezaji kwenye Music industry, wengi wanamfahamu Jembe kama manager wa Harmonize na Mmiliki wa Jembe Fm, Jembe ni Professional Doctor na alihitimu mafunzo yake ya Udaktari Muhimbili (MUHAS). Ndani ya Masterclass 005 Episode 2 anaongelea haswa "Networking" na story nyingine nyingi zinazohusu Networking na maisha yake kwa ujumla. Social ...
Jembe ni Jembe (Manager wa Harmonize) | Masterclass Ep 2 (part 2)
มุมมอง 4442 ปีที่แล้ว
Dr. Sebastian Ndege (Jembe ni Jembe) ni mfanyabiashara na mwekezaji kwenye Music industry, wengi wanamfahamu Jembe kama manager wa Harmonize na Mmiliki wa Jembe Fm, Jembe ni Professional Doctor na alihitimu mafunzo yake ya Udaktari Muhimbili (MUHAS). Ndani ya Masterclass 005 Episode 2 anaongelea haswa "Networking" na story nyingine nyingi zinazohusu Networking na maisha yake kwa ujumla. Angalia...
Meena Ally (Part 1)| SE 1, Ep 1. #meenaally #selfbranding
มุมมอง 1.3K2 ปีที่แล้ว
Masterclass session Season 1 (Episode 1) na Meena Ally akiongelea "Self-Branding". Brand ya Meena Ally ilijulikana zaidi baada ya kufanya kazi na BBC media action kwenye kipindi cha "Niambie" kupitia Clouds Fm, Masterclass inayo mengi zaidi kuhusu hayo! Official Patners: Bright Africans. Production Companies: Blue Image & Jikoni Studios.
Meena Ally (Part 2) |SE 1, Ep 1. #meenaally #selfbranding
มุมมอง 4402 ปีที่แล้ว
Masterclass session Season 1 (Episode 1) na Meena Ally akiongelea "Self-Branding". Brand ya Meena Ally ilijulikana zaidi baada ya kufanya kazi na BBC media action kwenye kipindi cha "Niambie" kupitia Clouds Fm, Masterclass inayo mengi zaidi kuhusu hayo! Official Patners: Bright Africans. Production Companies: Blue Image & Jikoni Studios.
Meena Ally kwenye game session ya Masterclass SE 1 | (Episode 1). #meenaally #selfbranding
มุมมอง 3972 ปีที่แล้ว
Meena Ally kwenye game session ya Masterclass SE 1 | (Episode 1). #meenaally #selfbranding
Hii ni Stand-up comedy ya Nalimi Joseph ndani ya Masterclass S.1 (Episode 1).
มุมมอง 12K2 ปีที่แล้ว
Hii ni Stand-up comedy ya Nalimi Joseph ndani ya Masterclass S.1 (Episode 1).
Nalimi Joseph ndani ya Masterclass SE 1 | EP 1.
มุมมอง 2.2K2 ปีที่แล้ว
Nalimi Joseph ndani ya Masterclass SE 1 | EP 1.
Hii ni kutoka kwa Patrick Alsina ndani ya Masterclass E.p 1.
มุมมอง 2852 ปีที่แล้ว
Hii ni kutoka kwa Patrick Alsina ndani ya Masterclass E.p 1.
Salum Gomvu ndani ya Masterclass SE 1 | Ep 1.
มุมมอง 1952 ปีที่แล้ว
Salum Gomvu ndani ya Masterclass SE 1 | Ep 1.

ความคิดเห็น