- 190
- 95 936
Dira Bora Media
เข้าร่วมเมื่อ 7 มี.ค. 2024
Karibu kwenye Dira Bora Media - chombo cha habari kinachoamini katika nguvu ya ukweli, uaminifu, na ushawishi wa kuleta mabadiliko chanya. Hapa tunakuletea taarifa kwa mtazamo wa karibu zaidi, tukikupa mambo kwa uwazi na uchambuzi yakinifu.
Katika ulimwengu unaoendelea kubadilika kwa kasi, Dira Bora Media inasimama imara kama nguzo ya kuaminika. Tunachambua na kuwasilisha habari kwa lengo la kukuongezea maarifa na kukuwezesha kufanya maamuzi sahihi. Kila habari tunayokuletea imehakikiwa kwa umakini na inalenga kukuongoza kwenye maendeleo, usawa, na uwazi.
Kupitia vipindi vyetu, tunakusogeza karibu na matukio, changamoto, na mafanikio yanayoathiri jamii yako. Tunatoa sauti kwa wale ambao hawajisikii na tunaleta mijadala yenye kujenga ili kuhamasisha mabadiliko chanya. Kwa Dira Bora Media, tunaamini kwamba habari ni nguvu, na nguvu hiyo inapaswa kutumiwa kuboresha maisha ya kila mmoja.
Dira Bora Media - Habari Zinazokuelekeza Kwenye Maendeleo.

APOLINARY WA CHADEMA AKUTWA KWA ZAITUNI, HAKUTEKWA – KAMANDA MUTAFUNGWA AFUNGUKA
APOLINARY WA CHADEMA AKUTWA KWA ZAITUNI, HAKUTEKWA - KAMANDA MUTAFUNGWA AFUNGUKA
มุมมอง: 22
วีดีโอ
DK. NAWANDA HANA HATIA: MAHAKAMA KUU YA MWANZA YATOA HUKUMU
มุมมอง 2222 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DK. NAWANDA HANA HATIA: MAHAKAMA KUU YA MWANZA YATOA HUKUMU
MASHTAKA DHAIFU: DK. NAWANDA ASEMA HAKI IMESHINDA
มุมมอง 1722 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MASHTAKA DHAIFU: DK. NAWANDA ASEMA HAKI IMESHINDA
DRAMA YA UCHAGUZI: WAKALA NA MGOMBEA WAKAMATWA NA SANDUKU LA KURA
มุมมอง 1544 ชั่วโมงที่ผ่านมา
DRAMA YA UCHAGUZI: WAKALA NA MGOMBEA WAKAMATWA NA SANDUKU LA KURA
POLISI WAZIDI KUKAZA KAMBA, MIKUSANYIKO ISIYO HALALI YAPIGWA MARUFUKU DORIA YAPAMBA MOTO KILA KONA
มุมมอง 2184 ชั่วโมงที่ผ่านมา
POLISI WAZIDI KUKAZA KAMBA, MIKUSANYIKO ISIYO HALALI YAPIGWA MARUFUKU DORIA YAPAMBA MOTO KILA KONA
KUMEKUCHA MWANZA: KAMANDA MUTAFUNGWA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WANAOJICHANGANYA
มุมมอง 494 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KUMEKUCHA MWANZA: KAMANDA MUTAFUNGWA ATANGAZA HALI YA HATARI KWA WANAOJICHANGANYA
HUU NDIO MSIMAMO WA CHADEMA BAADA YA MGOMBEA WAO KUDAIWA KUTEKWA WENJE AFUNGUKA
มุมมอง 1.8K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HUU NDIO MSIMAMO WA CHADEMA BAADA YA MGOMBEA WAO KUDAIWA KUTEKWA WENJE AFUNGUKA
WENYE MAHITAJI MAALUMU WAKAPIGE KURA NA WAANGALIZI WAO NI HAKI YAO KUCHAGUA KIONGOZI WANAOMTAKA
มุมมอง 597 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WENYE MAHITAJI MAALUMU WAKAPIGE KURA NA WAANGALIZI WAO NI HAKI YAO KUCHAGUA KIONGOZI WANAOMTAKA
"GARI LA KWANZA LAPITA DARAJA LA MAGUFULI DECEMBER 30: HAKUNA KUPOTEZA MUDA NA VIVUKO TENA!"
มุมมอง 589 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"GARI LA KWANZA LAPITA DARAJA LA MAGUFULI DECEMBER 30: HAKUNA KUPOTEZA MUDA NA VIVUKO TENA!"
NILIUMIZWA BAADA YA KUONA SPIKA ANAZUIA WASIJADILI SWALA LA UTEKAJI WALIKUA NA WASIWASI
มุมมอง 1.8K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NILIUMIZWA BAADA YA KUONA SPIKA ANAZUIA WASIJADILI SWALA LA UTEKAJI WALIKUA NA WASIWASI
WAFUGAJI WAONYWA MATUMIZI YA DAWA ZA BINADAMU KWA MIFUGO VIWANGO VYA DAWA NI TOFAUTI
มุมมอง 249 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAFUGAJI WAONYWA MATUMIZI YA DAWA ZA BINADAMU KWA MIFUGO VIWANGO VYA DAWA NI TOFAUTI
MATATIZO MATATU YA MILELE AMBAYO MWANADAMU ATAISHI NAYO JANGA LA KUTEGEMEA TU MIUJIZA NI UPOTOSHAJI
มุมมอง 1829 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MATATIZO MATATU YA MILELE AMBAYO MWANADAMU ATAISHI NAYO JANGA LA KUTEGEMEA TU MIUJIZA NI UPOTOSHAJI
PAMBALU MIMI NDIO MBUNGE WA NYAMAGANA: AKILI ILIOTENGENEZA TATIZO HAIWEZI KUTATUA TATIZO
มุมมอง 909 ชั่วโมงที่ผ่านมา
PAMBALU MIMI NDIO MBUNGE WA NYAMAGANA: AKILI ILIOTENGENEZA TATIZO HAIWEZI KUTATUA TATIZO
LISSU AONYA ATAKAE ACHA KUTANGAZA MGOMBEA WETU ALIESHINDA CHUKUENI ATUA TUNA WANASHERIA NCHI NZIMA
มุมมอง 1.2K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
LISSU AONYA ATAKAE ACHA KUTANGAZA MGOMBEA WETU ALIESHINDA CHUKUENI ATUA TUNA WANASHERIA NCHI NZIMA
WAUMINI WETU WANANJAA YA NENO LA MUNGU HATUWASAIDII TUFUNDISGE MADHARA YA MAFUNDISHO POTOFU
มุมมอง 10812 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAUMINI WETU WANANJAA YA NENO LA MUNGU HATUWASAIDII TUFUNDISGE MADHARA YA MAFUNDISHO POTOFU
MWABUKUSI MIMI NI MTANZANIA HII NCHI NI YETU KAMA UNA JIPU NITAKUKAMUA TU SIO KWASABABU SIKUPENDI
มุมมอง 6K12 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MWABUKUSI MIMI NI MTANZANIA HII NCHI NI YETU KAMA UNA JIPU NITAKUKAMUA TU SIO KWASABABU SIKUPENDI
LEO WAMEMKAMATA HII IWE FUNDISHO WAMWACHIE MWENYEKITI WETU KIMBEMBE CHA MWAKA UJAO ITAKUAJE
มุมมอง 63514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
LEO WAMEMKAMATA HII IWE FUNDISHO WAMWACHIE MWENYEKITI WETU KIMBEMBE CHA MWAKA UJAO ITAKUAJE
JESHI LA POLISI LATOA ONYO: YEYOTE ATAKAE JICHANGANYA ATAKABILIANA NA NGUVU KUBWA KAMANDA MUTAFUNGWA
มุมมอง 82014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JESHI LA POLISI LATOA ONYO: YEYOTE ATAKAE JICHANGANYA ATAKABILIANA NA NGUVU KUBWA KAMANDA MUTAFUNGWA
LISSU AUNGURUMA MWANZA: AELEZA SABABU ZA KUENGULIWA WAGOMBEA CHADEMA KAGERA YAVUNJA REKODI
มุมมอง 41116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
LISSU AUNGURUMA MWANZA: AELEZA SABABU ZA KUENGULIWA WAGOMBEA CHADEMA KAGERA YAVUNJA REKODI
WACHUNGAJI WAPIMWE AKILI KABLA YA KUHUBIRI, MASOMO HAYA NI SPENCER, TUTAKUWA NA VIONGOZI WASIOFIKIRI
มุมมอง 18119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WACHUNGAJI WAPIMWE AKILI KABLA YA KUHUBIRI, MASOMO HAYA NI SPENCER, TUTAKUWA NA VIONGOZI WASIOFIKIRI
SIMBA WAAPA KUTAFUNA PAMBA JIJI, KAPOMBE AFUNGUKA, KOCHA PAMBA JIJI AWAJIBU MCHEZO UTAKUA MGUMU
มุมมอง 63521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIMBA WAAPA KUTAFUNA PAMBA JIJI, KAPOMBE AFUNGUKA, KOCHA PAMBA JIJI AWAJIBU MCHEZO UTAKUA MGUMU
IMEBAINIKA WAGOMBEA CCM HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA WAENGULIWA - KATIBU MKUU CCM TAIFA
มุมมอง 26921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IMEBAINIKA WAGOMBEA CCM HAWAJUI KUSOMA NA KUANDIKA WAENGULIWA - KATIBU MKUU CCM TAIFA
TUPUNGUZE MALALAMIKO KWA WANANCHI: TASHICO YAAGIZWA KUONGEZA UBUNIFU NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MELI
มุมมอง 303วันที่ผ่านมา
TUPUNGUZE MALALAMIKO KWA WANANCHI: TASHICO YAAGIZWA KUONGEZA UBUNIFU NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MELI
IMANI HAIKUZUII KULIWA NA SIMBA:KUOMBA KWA KUKAZIA MIUJIZA ALIYESEMA OMBENI NDIYE ALIYESEMA TAFUTENI
มุมมอง 128วันที่ผ่านมา
IMANI HAIKUZUII KULIWA NA SIMBA:KUOMBA KWA KUKAZIA MIUJIZA ALIYESEMA OMBENI NDIYE ALIYESEMA TAFUTENI
WACHUNGAJI KUANGUKA KIMAADILI: "TUNAUMIZA WAUMINI, NGUVU TUMEAMISHIA KUTAFUTA PESA"
มุมมอง 322วันที่ผ่านมา
WACHUNGAJI KUANGUKA KIMAADILI: "TUNAUMIZA WAUMINI, NGUVU TUMEAMISHIA KUTAFUTA PESA"
WOKOVU WA KWELI HUTOKEA NJIA YA UZAIFU ASKOFU KKKT BUKOBA DR. KESHO MSHAHARA
มุมมอง 133วันที่ผ่านมา
WOKOVU WA KWELI HUTOKEA NJIA YA UZAIFU ASKOFU KKKT BUKOBA DR. KESHO MSHAHARA
TUNATUMIA BIBLIA KUTAKATIFUZA PESA NI UJAMBAZI KABISA TUMEVAMIWA KWA SABABU TUMEKOSA UMOJA
มุมมอง 209วันที่ผ่านมา
TUNATUMIA BIBLIA KUTAKATIFUZA PESA NI UJAMBAZI KABISA TUMEVAMIWA KWA SABABU TUMEKOSA UMOJA
FR. JOHN MWAKA WA ISHIRINI NA SABA: MLIMA UTAONGEA TENA, WATU WANAAMINI MANABII KULIKO MUNGU
มุมมอง 6014 วันที่ผ่านมา
FR. JOHN MWAKA WA ISHIRINI NA SABA: MLIMA UTAONGEA TENA, WATU WANAAMINI MANABII KULIKO MUNGU
KAENI CHONJO: MBADILISHENI TABIA ZENU ILI MSIKUMBANE NA SHERIA - KAMANDA MUTAFUGWA
มุมมอง 22014 วันที่ผ่านมา
KAENI CHONJO: MBADILISHENI TABIA ZENU ILI MSIKUMBANE NA SHERIA - KAMANDA MUTAFUGWA
SADAKA ZA KUJIMALIZA NDOTO ZA UTAJIRI ZAMCHEFUA ASKOF BUKOBA: "HAWA SI WAFIA DINI, NI WAFIA UJINGA!"
มุมมอง 12814 วันที่ผ่านมา
SADAKA ZA KUJIMALIZA NDOTO ZA UTAJIRI ZAMCHEFUA ASKOF BUKOBA: "HAWA SI WAFIA DINI, NI WAFIA UJINGA!"
Selikali inachangia ktk ubadhilifu maana viongozi WA CCM wameshanadi Sana maneno yavitendo vibaya lakini awachukuliwi atua lakini IPO siku mtakuja juta
Lazima utupe taarifa sahihi ,unavyo elezea unaonekana una tarifa ,au alikupa tarifa wakati anapigiwa cm
Mkuu na ww ujulia wapi kuwa kuna alie mpigia cm
Amen
Amepata cheo anashida ganii yuko jiranii na mama anakura
Wewe unatakiwa kuwa mwl wakufundisha taifa, mungu akuongezee cku za kuishi baba
Wapelekwe gaza tuone jinsi walivoiva kimazoezi
Asante mbobezi mtusaidie
NAMPENDA UYU KAKA NAOMBENI NAMBA ZAKE ,NASHIDa NAYE
Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa, kwa Mjumbe utakula na kunywa na kushiba milele.
Upo sahihi mwanasheria tls unaongea ukweli mtupu anaekataa ni mjinga nampumbavu kweli kweli.
Mwambukusi unaongea point sana
Kimsingi hua ninapo kusikiliza kwa makini hua ninatamani watala wanao tumia ubaba kwenda kinyume na utekelezaji wa sheria,, namani wakuelewe ili kupunguza migogoro isiyo rasmi. Serikali imepoteza misingi ya utawala bora.
Kwanikunavita.
uonevu
Raisi wa Venezuela pia alikuwa dereva wa bus !!!!!
Mwambukusi Uko vizuri mungu akutunze. Natamani siku moja uwe rais mikataba yote aliyosaini samia na warabu wake .Nadhani Utawenza kuisimamisha tuakaanza upya. Mfano bandari zetu na misitu yetu. Na Mbunga zetu za wanyama Pamoja na viwanja vya ndenge mfano kia tayari samia kishawapa warabu warabu wake. Very soon atawapa uwanja wa dar es salama . Inauma sana.
Tatizo ni kuwa,huo utu na upendo unavyovihimiza haviko kwenye msingi,ikiwemo upatikanaji wa Katibampya na uwepo wa uchaguzi huru.Hapo ndipo mwanzo wa chuki zote.
Yuko sahihi Bado.....yeye ni MTanzania kwa mujibu wa katiba....harakati zake anaidai Tanganyika ipate katiba yake kama ilivyo Zanzibar Ina katiba na Rais wake Kisha Muungano unaotupa Tanzania na Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanzania Ina katiba, Zanzibar Ina katiba, Tanganyika Haina katiba. Kuna Mzanzibari na MTanzania kwa Mujibu wa katiba zao
Njaa mwana malegeza na shibe mwana malefya,
Kabla ya cheo na chuki ya bandari alikuwa mtanganyika ila baada ya cheo ni Mtanzania.
Ndiyo tujue watu wanao pinga 👍🇹🇿Serikali yetu🇹🇿🔥 ni kumbafu akilini 😂😂
Ni Tanganyika law society. Wewe unatakaje ashike silaha.
Kabla ya kuandika fuatilia mambo na uwe makin saana naona kabsa we mchanga
Leo ndo wayajua hayo. Kumbe wayajua ulikua umejitoa ufahamu
Mpuuzi sana huyo kwakweli mbna mwanzo alikua akijiita yy ni Mtanganyika????. Maandazi wahed fatani mkubwa
Amen ...jina la BWANA YESU libarikiwe
Alichokiongea ninakielewa juu ya utendaji wakipepo ndivyo ulivyo kwaiyo ni sahihi kabisa🔊 Nimeandika katika amani ya Kristo Yesu, kutokana na uelewa wangu kumhusu joka kuu na utendaji wake, YESU ALIYE MWOKOZI ATUSAIDIE.
Saf sana mtumishi ubarikiwe kwa ujumbe mzur
Ukitaka kujua nguvu anayo tumia kumuhubiri yesu tembelea Tengwa TV
Kulola alikuwa mtumwa wa Bwana Yesu
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina. 1 Timotheo 6:16 ulikaa na Mungu gani wakati maandiko yanasema hakuna alimuona Mungu na hajawahi kuonekana au umeongea na mungu Ibilisi
Matendo ya Mitume 5:38-39 [38]Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa, [39]lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu. Mungu aliye hai ATUSAIDIE😢.
@@89_Media mtu akinidanganya amekutana na Yesu nitamuelewa maana kwenye Bible kuna Yesu watatu kuna Yesu Kristo kuna Yesu yusto na Bar-Yesu sasa atajua Mwenyewe kati ya hawa amekutana na yupi?/ lakini akija kusema alionana na Mungu akazungumza naye ninakuwa na mashaka na akili za huyo mtu tuone maandiko yanaseje kuna mwanadamu alimuona Mungu wakati wowote twende Yohana 1:18 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Yohana 1:18 Yohana anatuthibitishia kabisa hakuna mtu aliyemuona Mungu ila Yesu Kristo alitoka katika kifua cha Mungu huyu pekee yake ndiye anamfunua Mungu BABA nasiyo mwanadamu Mwenye mwili huu wanyama huwezi ukamuona Mungu ukaishi
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
❤❤❤ Ameeeni
Ujumbe kama huu nishawahi kuusikia kwengine pia
Ni kweli hayo usemayo mungu Alie juu anaona Mimi juzi sauti imeniambia kua inji imenajisika nilipokuja nawaza hii saut ikarudia Tena sauti ileile kua wanadam wameharibu nchi,
Unapomaanisha MUNGU aliye hai anza na herufi kubwa au zote, maana kwa herufi ndogo inasomeka kama miungu, nimeandika katika amani ya Kristo, Naye atubariki sote.
Wewe mwenyewe unaonekana umeanguka kimadili,kutoka na ujumbu wako unaoutoa, kuthalau wengine na kujiona wewe ,unahaki kuliko wenzio huko nikuanguka katika madili ya kichungaji,
Yesu anakuja kumlipa Kila mtu kutokana na matendo yake swala la roho ya uongo Mungu amelusuhusu Neno linasema siku za mwisho Mungu atawaletea wanadamu nguvu ya uongo ili wale wasiopenda kweli wauamini uongo ili wakaukumiwe kwa Haki ,usimsaidie Mungu kazi kuanza kuchalenji Imani za watu , huo ni uchanga wa utumishi wako, Hubili neno la Mungu linalolenga kuponya roho za watu ,sio kuongea maneno ya kufitinisha na kuzalau na kuhukumu Imani za wengine huko nikutafuta ugonvi, ukitetea tasisi za kidini badala ya kutetea wokovu huko nikuwapoteza watu, Dini. Zina watu wake na Mungu anawatu wake,Mimi maubili yako Sijakwelewa hata kidogo nakuona wewe ni mchanga Sana katika maswala ya Imani,Mungu anawajua walio wake na Kila mtu alitajae jina la Bwana Yesu kristo na auache uovu,
Hayo maubili mbona Hayana pumzi ya Mungu, roho ya uongo haijaanza leo ilianza bustani ya Edeni mpaka Mafarisayo na masadukayo wewe muhubili usimsaidie Mungu kazi Neno la Mungu limetoa ruksa mwenye kuthurum azidi kuthurumu na mchafu azidi kuwa mchafu na mtakatifu azidi kuwa mtakatifu , Wewe muhubili unaonekana ni muongo ,kwa mahubili yako
Tumekosa umoja
Wizara ya mbinguni
LITUKUZWE JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO
Wee Mama Wacha Unafiq Umeonana Na Mungu Wapi Nyie Mnakufuru Mnamsingizia Mungu Wacheni Kuzitafuta Dhambi Kwa Makusudi Hapo Ulipo Unadhambi Kibao
❤❤❤❤Anamsikia kwa uwexo wa roho wa Muñgu
Ebu nawewe kuanzia leo liitie jina la Yesu Kristo uone uwezo wake huyo ndio Mungu wa wote wenye mwili na apimiwi kipimo kwamba nani amwambie na nani asimwambie ...Yesu ni Mungu anampa ujumbe kwa mtoto wake yoyote ambaye anamjua kuwa ni mwana wake..
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina. 1 Timotheo 6:16 😅😅😅
Matendo ya Mitume 5:38-39 [38]Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa, [39]lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu. Mungu aliye hai ATUSAIDIE.
Kwali dada hata mimi mungu amenionyesha wanania mbaya
Unapomaanisha MUNGU aliye hai anza na herufi kubwa au zote, maana kwa herufi ndogo inasomeka kama miungu, nimeandika katika amani ya Kristo, Naye atubariki sote.
Kweli. baba
Inategemea aina ya chakuka alichokula mtu huwa kina mchango mkubwa kwenye nini aseme. Wewe mtumishi wa Mungu unakemea wanaompinga raisi kwa nguvu zote mbona hutumij nguvu hizo kuwakemea wanaompinga Yesu? Who sent you?

Acha umbea
Kweli Daniel kulola hufanani na yule mzee wa injili. Rudi msalabani. Mzee hakuwa na mda na vitu kama hivi mnasema mna mwimbia Bwana.
Mh! Huyo ni mchungaji na mama mchungaji dah huo si ni ukahaba tu angalia vazi la mama mchungaji hii ni aibu kubwa kwa wale wanaomcha MUNGU MUNGU wangu nisaidie
❤
Nilifikiri uko TAG, pale kirumba valley Christian center
Mungu azidi kuinua kazi yake