- 19
- 296 130
Daudi Kayombo
เข้าร่วมเมื่อ 2 มี.ค. 2013
We operate on ideas rather than directives
Washa vifaa vya umeme kwa kutumia switch , Bluetooth na internet
Sakiti hii inauwezo wa kuwasha vifaa vya umeme kwakutumia switch za kawaida na pia unaweza kutumia smartphone yako kupitia Bluetooth ukawasha vifaa vyako vya umeme pia unaweza washa kwa kutumia simu yako yenye internet vifaa mbali mbali ukiwa popote duniani na hata kuona vifaa ambavyo vimewashwa na unaweza kuvizima pia ukiwa mbali na nyumbani
0765506731/0715277821
0765506731/0715277821
มุมมอง: 432
วีดีโอ
Sakiti ya kuwasha vifaa vya umeme ukiwa mbali na nyumbani(popote duniani)
มุมมอง 7763 ปีที่แล้ว
Sakiti ya kuwasha vifaa vya umeme ukiwa mbali na nyumbani(popote duniani)
SAUTI INAVYOWEZA KUWASHA VIFAA VYA UMEME
มุมมอง 3104 ปีที่แล้ว
SAUTI INAVYOWEZA KUWASHA VIFAA VYA UMEME
Saketi ya kuwasha taa kwa kutumia push switches.
มุมมอง 5455 ปีที่แล้ว
Saketi ya kuwasha taa kwa kutumia push switches.
SEQUENCE CONTROL OF THREE INDUCTION MOTORS(INDUSTRIAL ELECTRICITY)
มุมมอง 2265 ปีที่แล้ว
SEQUENCE CONTROL OF THREE INDUCTION MOTORS(INDUSTRIAL ELECTRICITY)
AUTOMATIC CHANGEOVER SWITCH AND ON DELAY TIMER
มุมมอง 1.6K5 ปีที่แล้ว
AUTOMATIC CHANGEOVER SWITCH AND ON DELAY TIMER
TAA ZINAZOJIZIMA ZENYEWE BAADA YA KUWASHWA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME
มุมมอง 17K5 ปีที่แล้ว
TAA ZINAZOJIZIMA ZENYEWE BAADA YA KUWASHWA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME
PUMP MBILI ZINAZOWAKA KWA KUPOKEZANA KUJAZA MAJI TENKI KUBWA
มุมมอง 2.1K5 ปีที่แล้ว
PUMP MBILI ZINAZOWAKA KWA KUPOKEZANA KUJAZA MAJI TENKI KUBWA
PUMP INAYOJIWASHA NA KUJIZIMA YENYEWE KWA MUDA UNAOTAKA MWENYEWE
มุมมอง 6835 ปีที่แล้ว
PUMP INAYOJIWASHA NA KUJIZIMA YENYEWE KWA MUDA UNAOTAKA MWENYEWE
Sakiti mfuatano na sakiti msambamba za taa.
มุมมอง 1.5K5 ปีที่แล้ว
Sakiti mfuatano na sakiti msambamba za taa.
Sakiti ya kengele na taa kwaajili ya nyakati za usiku
มุมมอง 2.8K5 ปีที่แล้ว
Sakiti ya kengele na taa kwaajili ya nyakati za usiku
ELEWA JINSI ON DELAY TIMER INAVYOFANYA KAZI KWA DAKIKA 10 TUU
มุมมอง 1.2K5 ปีที่แล้ว
ELEWA JINSI ON DELAY TIMER INAVYOFANYA KAZI KWA DAKIKA 10 TUU
FAHAMU JINSI TT EARTHING SYSTEM INAVYOFANYA KAZI
มุมมอง 1.9K5 ปีที่แล้ว
FAHAMU JINSI TT EARTHING SYSTEM INAVYOFANYA KAZI
Namna ya kucontrol level ya maji kwenye tank kwa kutumia float switch
มุมมอง 2.4K5 ปีที่แล้ว
Namna ya kucontrol level ya maji kwenye tank kwa kutumia float switch
Namna ya kuendesha motor ya three phase kwakutumia umeme wa single phase
มุมมอง 7K5 ปีที่แล้ว
Namna ya kuendesha motor ya three phase kwakutumia umeme wa single phase
Michael Bisping vs Cung Le FIGHT HIGHLIGHTS MMABOXING RU
มุมมอง 256K9 ปีที่แล้ว
Michael Bisping vs Cung Le FIGHT HIGHLIGHTS MMABOXING RU
what is the song used in this video? i like it!
Bro icho kifaa kinapatkana wap na kinauzwa sh ngap naomba unisaidie Jins ya kufunga
Hivi bei ya mota kiasi gani hp 7-15
Bisping is a brilliant kick boxer really shows in this bout
Sambamba au mfuatano
Taa za barabarani zipo ktk mfumo gani wa umeme
Ungetuonyesha na connection yake
Apologies!!!! sijui kama nitaingilia taaaluma yako ndugu, lakini hapo hatuna tofauti na mtu anaeshangaa mataa stendi 😨😨kwa maaana ameshuka stendii kakuta taaa zishawaka, Namaanisha ungeonesha procedure zote kuanziaaa kukata hizo pvc, kuunganisha waya, connection za O/L na Timer mpaka final destination kwenye taaa ndugu nahisi ingependeza zaidiiiii😕😕😕😕
Good
naomba mchoro
Asee kayombo mzima.
8 años pasaron de esta gran batalla! Hoy para mi sigue siendo uno de los mejores peleadores dela historia.
Bei gani hocho kifaa
Namba yako please
Una namba ya WhatsApp
Shiling ngap
Mambo vip iyo yiko wapi
Mambo vip
Kanzi nzuri jaribu kushare wiring diagram
Sawa
Asante ndungu mpendwa pongezi tu sana
RPM kama ni 2800 je? Itabaki kuwa hiyo hiyo au itapunguwa ikiwa kwenye load kuzunguka sina shaka shaka lipo kwenye load nimesha kutana sana na case hizo kwenye kazi zangu
Bispings kicking boxing is very underrated, In this bout he was using all his slick skills Round kicks Side kicks Switch kicks Spinning heel kicks They was all going in Also hand a kick combinations Some slick stand up from the count
Tafadhali nitumie michoro wa iyo circuit
Tafadhali nitumie circuit diagram
Nitumien namba zenu Nina jambo na nyie
Kazi nzuri
Excellent
Je,mzunguko wa motor unaathiriwa kwa kuifanya motor ya three phase kuzungushwa na UMEME wa single phase?
“I fight like a champion,I win like a champion and even if I lose,I lose like a champion.” -Cung Le
Cung Le was great. Bisping was poetry in this bout. Excellent choice of soundtrack.
Bro naipataje hii salet
Hii unaipata je bro mi naitaji hii saket
Cung Le very good!
Katika hii video ndo umeeleweka mafunzo bila michoro tunashndwa kukuelewa vzr teacher ombi/pendekzo ktk videos zako unazoelekza tuwekee na michor kama hvo🙏
Look at the fucking traps on Lee, Jesus Christ...
Looks like bisping making a comeback
Who’s here after the BYm podcast?
Naitaj nipewe dalasa uwo mfumo
Mwalimu samahani Nina swali nyumba ina Feni 4 za juu panga boy .Taa 12 Feni 4×75watts=300watts Taa 7×5watts=35watts Taa 5×10watts=50watts JUMLA 385WATTS Swali langu MCB nitumie AMPERE ngapi na waya SIZE gani hilo tu mwalimu?.
385/220~2A* fuse factor (2.5)=5A fuse which is approximately as 6A mcb
Umetisha sana mkuu
Sasa hiyo.saketi.inayao aksesi na cm inapatikana wap?
Kwagarama gani
Ipo kwenye videos nyingine
Mawasiliano plz
Kak nawezaje kupata namba yako
Naomba picha ya diagram ya iyo circuit na juinsi ya ufanyaji kaz wake
Malipo yake bei gan ? Kwa miezi mitatu
Safi sana mkuu nilikuwa nawatafuta sana watu kama nyie kwa kazi zangu
Karibu
You video Is a dark shit
Ingekuwa vyema mkaonesha kuanzia hatua ya mwanzo mpk mwishoo.
Muda sio mrefu nitaanza kuonyesha hizo hatua watu waweze kujifunza zaidi
Ticha nitumie mcholi wake ticha
Brother ungetoa maelezo ya kutengeneza free energy ingekua poa