Kenny Tech
Kenny Tech
  • 231
  • 324 873
Ijue zaidi inductor na kazi yake kwenye radio na TV
watuwengi hawajui kazi ya inductor lakini kwenye video hii nimejaribu kueleza kwa kiufupi fwatiria kwa umakini video hii ili uweze elewa
Instagram kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
มุมมอง: 8

วีดีโอ

Namba nzuri ya kufunga dish la azam wewe mwenyewe
มุมมอง 292 ชั่วโมงที่ผ่านมา
kenny_tech1
Namba nzuri ya kufunga stand ya TV inayozunguka wewe mwenyewe ukiwa nyumbani
มุมมอง 184 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Jua mp3 inatoaje sauti
มุมมอง 409 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nimefanya jaribio la kuunganisha mp3 na spika kuona kama sauti itatoka. Angaria mwenyewe video hii kujua zaidi, kirichotokea
Jua mp3 inapokea volt ngapi kabla hujaifunga kwenye radio
มุมมอง 259 ชั่วโมงที่ผ่านมา
watu wengi hatujui mp3 huwa inapokea volt ngapi adi inawaka vizuri. video hii inaeleza vizuri mp3 inapokea volt ngapi
Jua mp3 inafanyaje kazi yenyewe kama yenyewe
มุมมอง 249 ชั่วโมงที่ผ่านมา
mp3 ina namna yake yenyewe ya kufanyakazi tofauti sana na watu wanavyo zania. kujua zaidi tazama hii video. pia nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Funga ivi stand ya TV ya ukutani kiufasaha zaidi
มุมมอง 2014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
kufunga na kuunganisha king'amuzi cha antenna cha azam kiurahisi wewe mwenyewe ukiwa nyumbani
มุมมอง 6016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Namna ya juweka taa za ukutani za urembo Led wall light
มุมมอง 2119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Namna kufunga taa za urembo za ukutani Led wall light
มุมมอง 2519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa chini
Aina za Dampa na kurekebisha rangi kwenye TV za chogo (jibu la swali)
มุมมอง 5221 ชั่วโมงที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya hapa kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Angaria vitu vinavyotukutaga mafundi pondicherry tunapokuwa tuna tengeneza radio au tv
มุมมอง 55วันที่ผ่านมา
nifollow Instagram kenny_tech1 kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
Jua kuunganisha sehem hii antenna ya azam TV. inawasumbua watu wengi
มุมมอง 93วันที่ผ่านมา
kuringana na video nilizopost zinazohusu kufunfa antenna za azam na watu wengi kutoelewa sehem hii niliyoonesha kwenye video hii. nimeona kurudia fwatilia kwa makini video hii ili uweze kuelewa
LIVE. Angaria ninavotengeneza tv ya chogo ambayo haiwaki
มุมมอง 6514 วันที่ผ่านมา
nifollow Instagram kwa kuminya apa kenny_tech1?igsh=dWMzOXd1ZHVyNDZ0
kutatua tatizo la TV ya chogo ambayo inachelewa kuwaka
มุมมอง 13214 วันที่ผ่านมา
tv za chogo huwa na matatizo tofauti tofauti na moja wapo ni hili la kuchelewa kuwaka. video hii inabainisha wazi kwann inachelewa kuwaka na chakufanya ili isichelewe kuwaka. fwatilia video hii kiundani ili utatue tatizo ilo
Jua zaidi kuhusu transistor na regulator [jibu la swali]
มุมมอง 15814 วันที่ผ่านมา
Jua zaidi kuhusu transistor na regulator [jibu la swali]
Namna ya kupima regulator [ jibu la swali]
มุมมอง 30414 วันที่ผ่านมา
Namna ya kupima regulator [ jibu la swali]
kwanini IC za sauti zinakufa za bass au twita
มุมมอง 13614 วันที่ผ่านมา
kwanini IC za sauti zinakufa za bass au twita
Jua volt zinazowasha kioo cha flat tv
มุมมอง 11314 วันที่ผ่านมา
Jua volt zinazowasha kioo cha flat tv
Jua volt za taa za flat tv
มุมมอง 15614 วันที่ผ่านมา
Jua volt za taa za flat tv
LIVE. Angaria ninavo tengeneza flat tv inch 32
มุมมอง 9614 วันที่ผ่านมา
LIVE. Angaria ninavo tengeneza flat tv inch 32
Namna ya kutengeneza pasi ambayo haipunguzi moto
มุมมอง 3814 วันที่ผ่านมา
Namna ya kutengeneza pasi ambayo haipunguzi moto
Namna ya kutoa kioo cha flat tv [jibu la swali]
มุมมอง 5614 วันที่ผ่านมา
Namna ya kutoa kioo cha flat tv [jibu la swali]
LIVE. Angaria jinsi ninavyo tengeneza spika ya Twita ya Spika kubwa
มุมมอง 4514 วันที่ผ่านมา
LIVE. Angaria jinsi ninavyo tengeneza spika ya Twita ya Spika kubwa
LIVE. Angaria namna ninavotengeneza sabufa inayokoroma upande wa bass
มุมมอง 5814 วันที่ผ่านมา
LIVE. Angaria namna ninavotengeneza sabufa inayokoroma upande wa bass
Ommydimpoz akiwa na mchezaji mpira star wa Real Madrid na timu ya taifa Ispania[spain Dani carvajal
มุมมอง 1621 วันที่ผ่านมา
Ommydimpoz akiwa na mchezaji mpira star wa Real Madrid na timu ya taifa Ispania[spain Dani carvajal
LIVE. Angaria jinsi nilivotengeneza sabufa ambayo haitoi sauti kwenye twita
มุมมอง 9221 วันที่ผ่านมา
LIVE. Angaria jinsi nilivotengeneza sabufa ambayo haitoi sauti kwenye twita
Diamond platinum KOMASAVA official video
มุมมอง 5221 วันที่ผ่านมา
Diamond platinum KOMASAVA official video
Jason Derulo aichapa challenge ya Komasava
มุมมอง 1321 วันที่ผ่านมา
Jason Derulo aichapa challenge ya Komasava
Namna ya kudownload video au picha Instagram
มุมมอง 1128 วันที่ผ่านมา
Namna ya kudownload video au picha Instagram

ความคิดเห็น

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana

  • @Madi_Classic
    @Madi_Classic วันที่ผ่านมา

    Program inaitwaje kaka?

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 2 วันที่ผ่านมา

    Thenks sana

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 3 วันที่ผ่านมา

    Fundi inductor Ina Fanya kazi vp

  • @m.athanas
    @m.athanas 5 วันที่ผ่านมา

    Unapatikana wapi ndugu

    • @kennytech
      @kennytech 5 วันที่ผ่านมา

      Mbeya

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 5 วันที่ผ่านมา

    Fundi tufundishe kuweka equalizer kwa 2.1 amplifier woishe

    • @kennytech
      @kennytech 2 วันที่ผ่านมา

      Rudia swari vizuri

    • @paulkuria-un8qg
      @paulkuria-un8qg วันที่ผ่านมา

      @@kennytech jinsi ya ku unganisha EQ kwenye amplifier tafadhari fundi

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 8 วันที่ผ่านมา

    Fundi izo vitu nyekundu ni capacitor au niza kazi gani pamoja na compressor hua Zina Fanya kazi gani kwa ubao naoba utuelezee coz wee die mkuu wetu good luck

    • @kennytech
      @kennytech 7 วันที่ผ่านมา

      Angaria video hii kujua processor inafanya kazi gani

    • @kennytech
      @kennytech 7 วันที่ผ่านมา

      Angaria video hii kujua kazi za processor th-cam.com/video/-zJ-1vYn6Wk/w-d-xo.htmlsi=PLjUMu-Qh65b1DC_

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 9 วันที่ผ่านมา

    Damper mtu anaeza weka aina gapi fundi juu yako ni 1555 uka weka 2499 Bora ni damper au Kuna number Zina pelekana tu saidie tu Kwa ujuzi wako please

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 10 วันที่ผ่านมา

    😮hae fundi alafu kama tv za chongo na flat TV imejizima naoba utu fundishe jinsi ni gapi za kuzingatia? Na 2ta shukuru na kufulahia 2 sana ken nikiwa no 1.

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 10 วันที่ผ่านมา

    😂 uta tushw

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 12 วันที่ผ่านมา

    Asante sana my brother from another mother

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 13 วันที่ผ่านมา

    Pole Kwa maswali mob flat tv ambayo Ina waka lakini picture hakuna 2fanye je master wetu

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 14 วันที่ผ่านมา

    Fundi pole kwa maswali mengi TV ya flat yenye Ina waka lakini Haina picture ni k2 gani shida

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 14 วันที่ผ่านมา

    Fundi naoba usaidizi juu ww ni master tv kutengeneza rangi jinsi ni gn Kuna zikona ic kwa crt zingine hazina

  • @AlmasiAmani-np3iw
    @AlmasiAmani-np3iw 14 วันที่ผ่านมา

    Reeka subufa aboda hii vp

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 15 วันที่ผ่านมา

    Regulator na transistor niki2 moja

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 15 วันที่ผ่านมา

    Fundi naoba usaidizi wako kwani Kuna power ya miguu 5 na 3 alafu damper ya miguu 4na3 Alf Zina fanana na zingine una pata kama tano ziko kwa intsink then bili ziko Ivo bila cooler jinsi ya juzi fahamu dampa ni gani juu Zina fanana😊

    • @kennytech
      @kennytech 15 วันที่ผ่านมา

      Naomba rudia swali lako

  • @tysonlungwa2701
    @tysonlungwa2701 15 วันที่ผ่านมา

    Fundi Nina tvi ya kisogo inakuwa inachelewa kuwaka au haiwaki kabisa na ikiwaka inaonyesha picha na mistari mistari

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 16 วันที่ผ่านมา

    Una ujuzi kabisa natamani iyo kuelewa

  • @12345629250
    @12345629250 16 วันที่ผ่านมา

    kazi bora

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 16 วันที่ผ่านมา

    Hae fundi alafu tv ya chongo kwa power Iko sawa bat kwingine hakuna Ila Kwa fbt Kuna 46 volts shida ni gani Sasa Kenny

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 17 วันที่ผ่านมา

    Asanty sana fundi napenda sana videos zako I wish ni kue kama ww🎉 you are blessed Kenny ally

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 19 วันที่ผ่านมา

    Fundi naomba unielezee unisaide jihisi ya kutoa kioo chenye ngundi Kwa tv juu yenye ilikua Kili vujika inches 32 nisaidie kwa ujuzi wako please 🎉

  • @aminimwazani9483
    @aminimwazani9483 19 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa pasi haipunguzi moto

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 20 วันที่ผ่านมา

    Fundi regulator ni gani

  • @paulkuria-un8qg
    @paulkuria-un8qg 21 วันที่ผ่านมา

    Fundi alafu smart tv kutoa kioo chenye ngundi Ina tolewajy

  • @alphoncewilson9898
    @alphoncewilson9898 24 วันที่ผ่านมา

    Kunanilia ndio nn

  • @ThoyaBaya
    @ThoyaBaya 25 วันที่ผ่านมา

    Great ❤

  • @johnsonprosper4073
    @johnsonprosper4073 26 วันที่ผ่านมา

    Naweza kuweka mbadara gani wa hii m3018p

  • @ClementinaMapondela
    @ClementinaMapondela 28 วันที่ผ่านมา

    Namba Yako kaka

  • @charlesshija7371
    @charlesshija7371 หลายเดือนก่อน

    Fundi keny kwann twitter ic iungue???

  • @gnasnassary9475
    @gnasnassary9475 หลายเดือนก่อน

    Hizo screw mbili hapo chini znafungwa za nn boss😢

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana kwaa somo zuri

  • @issaomary3086
    @issaomary3086 หลายเดือนก่อน

    Na kama je card umefunga mpya lakini unawasha au display maandishi shida nn

  • @Yomapini
    @Yomapini หลายเดือนก่อน

    naihitaji

  • @japhetelias3419
    @japhetelias3419 หลายเดือนก่อน

    Mbona namba Zako hakuna boc

  • @japhetelias3419
    @japhetelias3419 หลายเดือนก่อน

    Boc mbona namba zako hazipo

  • @zamoyochongera5323
    @zamoyochongera5323 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sans maana mmmh

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 หลายเดือนก่อน

    Asante ila ungeonyesha mwanzo mwizo hatua kwa hatua samahani lakini teacher

  • @injili90
    @injili90 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @KADABRAAH47
    @KADABRAAH47 หลายเดือนก่อน

    Naomba no yako mkuu

  • @josephghamaa8
    @josephghamaa8 หลายเดือนก่อน

    Sasa hivyo nari za kwenye TV mbona zinagoma kukaza? Maana naona ni virefu kuliko mashimo ya kwenye TV. Au ndo vinabaki tu hivyo? Naona hata ndugu mwelekezaji nawe hicho kipengele umekiruka pia.

  • @JaredOnkundi-ki3jw
    @JaredOnkundi-ki3jw 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba unionyeshe jinsi ya kupima hiyo regulator iko mounted kwa board

  • @ericamkoba9101
    @ericamkoba9101 2 หลายเดือนก่อน

    Asante nimeweza leo sikua naangalia tv jaman

  • @focusmgeni4512
    @focusmgeni4512 2 หลายเดือนก่อน

    Kadi za busta

  • @AziziAlly-fy5ke
    @AziziAlly-fy5ke 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana fundi

  • @VictoriaPaul-jc1fn
    @VictoriaPaul-jc1fn 2 หลายเดือนก่อน

    King'amuz changu nlikuw na seach chanel ikaleta chanel za startimes yn mwez saiz za azam azitaki kurud tatazo nn

  • @JaredOnkundi-ki3jw
    @JaredOnkundi-ki3jw 2 หลายเดือนก่อน

    Wakati unapima izo capacitor ndogo multimeter yako unaweka dc kiwango kipi,,hapo ndo ningependa uonyeshe

  • @santanbrown
    @santanbrown 3 หลายเดือนก่อน

    Huwa ni shingapi kutengeneza heater

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kaka