Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
  • 94
  • 70 465

วีดีโอ

Kisa cha Omar ibn Khattab (R.A) juu ya kutafuta Rizki - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
มุมมอง 73หลายเดือนก่อน
Kisa cha Omar ibn Khattab (R.A) juu ya kutafuta Rizki - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
Allah ameiumba hii Dunia kwa ajili yetu - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
มุมมอง 36หลายเดือนก่อน
Allah ameiumba hii Dunia kwa ajili yetu - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
Dua aliyokuwa akiomba Mtume Muhammad ﷺ Asubuhi na Jioni - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
มุมมอง 176หลายเดือนก่อน
Dua aliyokuwa akiomba Mtume Muhammad ﷺ Asubuhi na Jioni - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
Kwenda kutafuta Rizki ya halali ni jambo la wajibu - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
มุมมอง 185หลายเดือนก่อน
Kwenda kutafuta Rizki ya halali ni jambo la wajibu - Sheikh Ahmed Al-Ismaaily
KHUTBAH YA IJUMAA | KUIJENGA DUNIA KWA AJILI YA AKHERA | SHK. AHMED AL-ISMAAILY
มุมมอง 157หลายเดือนก่อน
KHUTBAH YA IJUMAA | KUIJENGA DUNIA KWA AJILI YA AKHERA | SHK. AHMED AL-ISMAAILY
Hakuna Swala kwa Mtu asiyesoma Surah Al-Fatha | Sheikh Abdullatwif
มุมมอง 812 หลายเดือนก่อน
#MasjidAtTawbah #Tanga #Tanzania
Swala ndio Nguzo inayosimamisha Dini | Sheikh Abdullatwif
มุมมอง 572 หลายเดือนก่อน
#MasjidAtTawbah #Tanga #Tanzania
Ukijiona kama wewe ni Mtu Mwema, basi wewe ni Mtu mbaya | Sheikh Abdullatwif
มุมมอง 1382 หลายเดือนก่อน
#MasjidAtTawbah #Tanga #Tanzania
Kutomuogopa Mtu isipokuwa Allah, haimaanishi Watu wengine uwadharau | Sheikh Abdullatwif
มุมมอง 2092 หลายเดือนก่อน
#MasjidAtTawbah #Tanga #Tanzania
Wale wanaoamilisha Misikiti ni wale wenye Imani katika Nyoyo zao | Sheikh Abdullatwif
มุมมอง 1262 หลายเดือนก่อน
Wale wanaoamilisha Misikiti ni wale wenye Imani katika Nyoyo zao | Sheikh Abdullatwif
Allah amewaandalia nini wenye sifa ya Uchamungu | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 2194 หลายเดือนก่อน
Allah amewaandalia nini wenye sifa ya Uchamungu | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Lazima tumsifu Allah kwa sifa anazostahiki | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 1434 หลายเดือนก่อน
Lazima tumsifu Allah kwa sifa anazostahiki | Shk. Mohammed Al-Busaidy
SWALA YA EID AL ADH-HAA
มุมมอง 1354 หลายเดือนก่อน
#Eid #EidAdha #EidAdha2024 #DhulHijjah #IstiqaamaTanga #IstiqaamaTanzania #Tanga #IMCOT
KUANZISHWA KWA MWAKA WA KIISLAMU
มุมมอง 1525 หลายเดือนก่อน
KUANZISHWA KWA MWAKA WA KIISLAMU
DARSA {2} | SHK. IZUDIN ALWY | MASJID AT-TAWBAH
มุมมอง 2506 หลายเดือนก่อน
DARSA {2} | SHK. IZUDIN ALWY | MASJID AT-TAWBAH
DARSA {1} | SHK. IZUDIN ALWY | MASJID AT-TAWBAH
มุมมอง 4576 หลายเดือนก่อน
DARSA {1} | SHK. IZUDIN ALWY | MASJID AT-TAWBAH
Binadam yeyote atafia katika lile jambo ambalo ameishi nalo katika Maisha yake | Shk. Salim Al-Abry
มุมมอง 2156 หลายเดือนก่อน
Binadam yeyote atafia katika lile jambo ambalo ameishi nalo katika Maisha yake | Shk. Salim Al-Abry
Je! Maiti ni Najisi? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 9426 หลายเดือนก่อน
Je! Maiti ni Najisi? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Tatizo kubwa tulilokuwa nalo Waislamu ni hili | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 3356 หลายเดือนก่อน
Tatizo kubwa tulilokuwa nalo Waislamu ni hili | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 14K6 หลายเดือนก่อน
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Je! Inafaa kuswalia Maiti na Viatu? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 1.3K6 หลายเดือนก่อน
Je! Inafaa kuswalia Maiti na Viatu? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
มุมมอง 19K7 หลายเดือนก่อน
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
Nini hukmu ya kumfunua Maiti kwa ajili ya Watu kuja kumuaga? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 1.9K7 หลายเดือนก่อน
Nini hukmu ya kumfunua Maiti kwa ajili ya Watu kuja kumuaga? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Je una haki ya kumhukumu Mtu kuwa ni wa motoni? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
มุมมอง 9547 หลายเดือนก่อน
Je una haki ya kumhukumu Mtu kuwa ni wa motoni? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
Salam za Ramadhan kutoka Istiqaama Tanzania (IMCOT) | Shk. Mohammed Said Al-Busaidy
มุมมอง 9207 หลายเดือนก่อน
Salam za Ramadhan kutoka Istiqaama Tanzania (IMCOT) | Shk. Mohammed Said Al-Busaidy
Khutbah ya Ijumaa | Amana ya Mali na Kuitumia kwa Uadilifu | Shk. Ahmed Al-Ismaily
มุมมอง 3049 หลายเดือนก่อน
Khutbah ya Ijumaa | Amana ya Mali na Kuitumia kwa Uadilifu | Shk. Ahmed Al-Ismaily
Khutbah ya Ijumaa | Swala ya Kiada na Swala ya Ibada | Ust. Ally Al-Miiwaly
มุมมอง 13810 หลายเดือนก่อน
Khutbah ya Ijumaa | Swala ya Kiada na Swala ya Ibada | Ust. Ally Al-Miiwaly
Khutbah ya Ijumaa | Kutukuza Alama za Dini | Shk. Salim Al-Abry
มุมมอง 42311 หลายเดือนก่อน
Khutbah ya Ijumaa | Kutukuza Alama za Dini | Shk. Salim Al-Abry
Khutbah ya Ijumaa | Sifa za Jamii ya Kiislamu | Shk. Salim Al-Abry
มุมมอง 42911 หลายเดือนก่อน
Khutbah ya Ijumaa | Sifa za Jamii ya Kiislamu | Shk. Salim Al-Abry

ความคิดเห็น

  • @AllySaleh-x4o
    @AllySaleh-x4o 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akbar

  • @AllyHizza-f9c
    @AllyHizza-f9c วันที่ผ่านมา

    Wametenda zambi kubwa san kama wamefanyi hivyo kwasabab washaakuwa wawili tayar shekh

  • @abduldhadho2087
    @abduldhadho2087 2 วันที่ผ่านมา

    Asalaam alaikum..Bwana Mtumi c ameelekeza kila kitu kinachofaa na kisichofaa na Quran pia iko wazi? Mm naomba kujulishwa aya ama hadithi inayosema maiti hafai kusomewa Quran kwa nia ya kumpelekea sadaka maiti. Siku zote twaambiwa halali imebainishwa na haramu imebainishwa,sasa c mtubainishie uharamu huu wa kumsomea maiti Quran kwa aya inayoeka wazi hili jambo au hadithi.

    • @KhamisAli-u8e
      @KhamisAli-u8e 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@abduldhadho2087 Kwan Bado hadith hujafahamu inamaanisha haifai kwa maiti kumsomea Kur,an kwa ushahid zaid Allah anazungumza ,Wala mtume hazungumzi kwa matamanio ila ispokua ni wahai unaotoka kw mola wake, hem wela no yko y cm ufahamishwe zaid

  • @feiruzahmed7524
    @feiruzahmed7524 2 วันที่ผ่านมา

    ALLAH yahfadhakum wa jamiil muslimin.

  • @KhamisAli-u8e
    @KhamisAli-u8e 2 วันที่ผ่านมา

    Asalam alaikum Kuna baadhi ya wat niwajinga ktk dini tambueni ya kwa Mtume ameshasema Atakapokufa mwanaadamu hukatika amali zake zote ila ispokua mambo 3 Swadaka yenye kuendelea au elimu yenye kuleta manufaa au mtoto mwema atakaeweza kukuombea dua. Jaman kusema Kur,an Mtume (s,a,w) anajua hakusema Kur,an amesema dua mbon muko wajinga ktk dini na Mtume alifiliwa na wtt wake mbon hakuwahipo kuwasomea Kur,an Wala maswahaba Wala tabitabiin kwa ushahid wa kitabu kidog t Cha fiki kinaelezea hayo kinaitwa hidayatul atfal ikurasa wa 3 kua haikuthibiti kwa Mtume Wala kwa maswahaba kukaa kwa muda wa cku 3 kusoma Kur,an (hit,ma) Tanbibihi. Wala Mtume hazungumzi kwa matamanio ila ispokua ni wahai unaotoka kwa mola wake.

  • @BaaOmar-j4h
    @BaaOmar-j4h 2 วันที่ผ่านมา

    Jamaa someni ilimu Kila siku nawaambia, njooni tuwasomeshe ilimu hamuna, Sasa basi thawabu za mskititi zapita na njia gani kumfikia hiyo sadakatu jaaria maana ashakufa ? Soma kitabu Cha ibn qayyim aljauzy chaitwa (arruih) Yani roho, utafaidika sana!!! Acheni uzuka!!!!

  • @NdiyembukeJr
    @NdiyembukeJr 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo kubwa ni kutokuwepo na Serikali ya Kiislam ambayo inasimamia Uchumi wa kiislam

  • @NdiyembukeJr
    @NdiyembukeJr 2 วันที่ผ่านมา

    Hadithi sahihi kaisahihisha Al imam Ibn Hibbani

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 2 วันที่ผ่านมา

    Remember the Sabbath day and make it holy

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 2 วันที่ผ่านมา

    Shekhe amegusa kazi za watu lazima waje juu , basi nendeni mkaswali swala Tano halafu thawabu zimfikie maana mnauliza maswali mengine utumbo wa ngurue

  • @khamisjaafar6860
    @khamisjaafar6860 3 วันที่ผ่านมา

    Hatushangazwi na unayoyasema maana huo ndo ufahamu wako

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 4 วันที่ผ่านมา

    Swadakta

  • @omari-vo7dy
    @omari-vo7dy 5 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulilahi

  • @Sharifuhabiby
    @Sharifuhabiby 6 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ❤❤❤ahalul haqqi wa istiqama

  • @Sharifuhabiby
    @Sharifuhabiby 6 วันที่ผ่านมา

    Asante sheikh wangu

  • @mubaarakhassani5746
    @mubaarakhassani5746 9 วันที่ผ่านมา

    Mtoto mwema anaye kumbea shekhe tufafanulie

  • @abbaskhamis7775
    @abbaskhamis7775 12 วันที่ผ่านมา

    Shukran ya Sheikh

  • @ZogoMtaani
    @ZogoMtaani 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa ikiwa maiti hana thawabu ila ya kile alicho kifanya akiwa hai . Jee Sasa ndugu hiyo dua vipi imnufaishe na sio katika amal yake ?. Huoni kama upo mpingano hapo Na ikiwa maiti hafawi na qur'ani mbona tunapo mswalia maiti tunasoma qur'ani ?

  • @sheikhwalidalhadtv2950
    @sheikhwalidalhadtv2950 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu hajui Amekaa mbele ya camera kuuza sura na kutaka kujitia ushekh asiokua nao Akikague vyema kipengele cha hiyo dua

    • @Sharifuhabiby
      @Sharifuhabiby 6 วันที่ผ่านมา

      Mwalimu wangu hapana acha kumuchamba twambie sasa na kukubali tupa jiwe utupatie dalili mwalimu wangu kwa maanufa ya watu wote💪💪💪🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @HassanPandu-j7t
    @HassanPandu-j7t 14 วันที่ผ่านมา

    Ivi mm nauliza kwani mama mjamzito akifariki jee mtoto wake anabaki hai akiwa bado yupo tumboni au hawatumii pumzi moja

  • @majidjuma-b4s
    @majidjuma-b4s 14 วันที่ผ่านมา

    mola akuzidishie kutoa elimu

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 15 วันที่ผ่านมา

    Mama kama kafa mtoto yuhai tumzike mama na mtoto yuhai haiwezeka kumzika lazmu tuiokoe kile kiumbe kilohai

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 16 วันที่ผ่านมา

    Mbona wanasema unaweza to do Hijja Kwa alie kufa n Saum pia.Mbona isiwe Quraaan kusoma

  • @SirajuAbdallah
    @SirajuAbdallah 16 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga kusoma quruani ni kwa marehemu inafaa na ni swadaka

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 5 วันที่ผ่านมา

      @@SirajuAbdallah kama ni ivyo basi mtume anaijua Quran kiliko mtu yoyote duniani mbona hakufanya utaratibu huo?

    • @mohamedibrahim7732
      @mohamedibrahim7732 วันที่ผ่านมา

      sheikh anakwenda sambamba na dalil achana nama sharifu feki fwata dalil

  • @Zanzibarherbs
    @Zanzibarherbs 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona ana jikanyaga 😊😊😅sawa atujibu suali dogo ktk ijtmai ya ulamaa wote Wana kubali hadithi ulio soma kua akifa mwadamu ukatika matendo yake yote.isipokua matatu.na ktk Hilo ni dua.swali waje watuambie hiyo Dua ambayo inaswihi na ambayo haisihi.hata mawahabi waje kujibu pia ili tupate faida.lkn pia na yule swahaba aliekuja kwa Mtume akisoma mama angu amefarik ghafla je nikitoa swadaka kwa ajili yake inamfikia.?Mtume akajibu ndio .mje mtuambie ni swadaka gan inayo mfikia mait na ukitoa unasemaje.lkn pia ktk Ibada ya hijaa tuna sikia na kuona taasis zote hata hao istkama kwenye taaisi zao husema Wana huduma ya kuwahijia walio kufa.swali.kwenye hijja Mungu ana kubali kwa ajili ya alie kufa lkn kusoma kura an kwa ajili ya alie kufa hapana 😅😅😅.je ni yepi mafhumu ktk surat hashir Aya ya 10.

  • @SalimSalim-yv3oj
    @SalimSalim-yv3oj 19 วันที่ผ่านมา

    We ustadh soma riyadhu swalihina uone maneno ya imam bukhari,,,kwn mwasoma vitabu gani nyie

  • @AhamadiJuma-f6k
    @AhamadiJuma-f6k 19 วันที่ผ่านมา

    Yanayo katka n ya marehem ila ya kwet hayakatiki

  • @stedeteam531
    @stedeteam531 22 วันที่ผ่านมา

    ❤MAAAA SHAAAA ALLLAAAH SHEIKH MOHAMMED BAAAARAKA LLAAHU FIYKA

  • @SalimKarama-d7f
    @SalimKarama-d7f 24 วันที่ผ่านมา

    Kusoma quran ni sadaka kwa maiti

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 19 วันที่ผ่านมา

      Kwa dalili gan

    • @Hamisi-xm2db
      @Hamisi-xm2db 16 วันที่ผ่านมา

      Sheikh umesoma hadithi kua mtu akifa mambo yote yamesimama ila 3 sadaka ya kuendelea, elimu ya manuffa,na mtoto mwema , umeelewaje hadithi hii? Fafa nua vzr MAIT THAWABU HAZIMFIKII

    • @Hamisi-xm2db
      @Hamisi-xm2db 16 วันที่ผ่านมา

      Fafanua kipengele cha mtoto mwema YAD'U LAHU inanimate anaeombewa hapo?

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 25 วันที่ผ่านมา

    Akili unazo lakini ufahamu umenyimwa kwasababu gani nimesema hivyo nikwasababu umesema mwanadamu akifa matendo yake yote hukatika isipokuwa matatu swadaka elim na dua ya mtoto wake tuje kwenye mtoto mwema atakayemuombea je kama mzazi akifa anamadhabi mengi na hakutubu dua atakayeombewa na watoto wake itamsaidia nini ? Kwamjibu wa maneno yako

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 26 วันที่ผ่านมา

    Kinyume n Sunnah ya mtume salallahu alayhi wasalaam aliposema someni suratul baqara majumbani mwenu msiyafaye makaburi shetani haingii nyumba inayosomwa quran,, nini maana yake makaburini hakusomwi quran na humo makaburini ndo maakazi ya shetani n Tena sehemu mbili ambazo muislamu hafai kusoma Qur'an chooni na makaburini mpooo watu khitma ,,,,

    • @yussuphkhamis5878
      @yussuphkhamis5878 9 วันที่ผ่านมา

      Ww hujui kitu ndy wale قل amekula وقل na wakala

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 27 วันที่ผ่านมา

    Kila jambo jema huwa ni sadaka mtume ndio kasema sasa kurani ni ktk vitu vizuri au ktk vitu vibaya kama ni ktk vitu vizuri basi mtume kasema huwa ni sadaka japo yeye Haku kusanya watu kusoma lakini kasema vitu vizuri ni sadaka sasa jijibu wewe mwenyewe je kurani ni ktk vitu vibaya jibu unalo basi ndugu zangu kusoma kurani kwa ajili ya sadaka kasema mtume sasa pinga na hadithi hii kila kitu chema huwa ni sadaka hii ni hadithi ya mtume

    • @akbarosman3892
      @akbarosman3892 17 วันที่ผ่านมา

      Ushaambiwa hiyo ni bidaa ni kitu hakipo unataka nini tena

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f หลายเดือนก่อน

    Skiliza shekh hio aya uloisema imefutwa hukumu yake KWAMBA MWANADAMU HATOPATA ILA ALOYAFANYA IKO AYA IMEFUTA AYA HIO SKILIZA ALLAH ANASEMA EWE MOLA TUSAMEHE SISI NA NDUGU ZETU WALIOTAMGULIA KTK UISLAMU INGEKUWA AYA HIO ULIOITOA INAFANYA KAZI KWANINI ALLAH AMESEMA TUWAOMBEE DUA SHEKH HUJUI QURAN HALAFU IKIWA UNAKUBALI QURAN NI SAHIHI KUSOMEWA ALOHAI TUPE AYA YA KUKATAZA KUMSOMEA MAITI QURAN KWA SABABU ALLAH AMESEMA TUMEITEREMSHA HII QURAN KUWA NI PONYO POZA NYOO NA NI REHMA KWA WANAOAMINI ILIKUWA ASEME MWENYEWE MUNGU KUWA NI SHIFAA NA NI REHMA KWA WANAOAMINI KWA WALIO HAI TU HAKUSEMA KWA WALIO TU HAKUSEMA TUPE AYA YAKO YA KATAZO SHEKH

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu kazikwa hivo hivo na mtoto wake 😭😭😭😭wote walifariki

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sheikh tukisema sie tunaambiwa mawabi ahsante sheikh

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@selemankishema5780 na huyo pia mumemuambikiza virusi vya kiwahabia.

    • @AshrafuSiraju
      @AshrafuSiraju 5 วันที่ผ่านมา

      Alhamdulillaahi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 5 วันที่ผ่านมา

      @@selemankishema5780 wahabi KWELI ATI, ATA uyo msemaji Ni wahabi

  • @yahyamaulana7791
    @yahyamaulana7791 หลายเดือนก่อน

    Tafuta shuhuli ufanye yaani watoa hukmu ya video yako ya dakika nne katika jambo ambalo wanazuoni wameliandikia vitabu vikubwa.

    • @binseif2216
      @binseif2216 หลายเดือนก่อน

      Wewe hapi ulipo na umri wako lkn history yko ikisomwa ni dakika 15

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@binseif2216 Sawa, Lakin katoa HUKMU ya uongo na KUTAFSIRI aya kinyume cha MALENGO

    • @binseif2216
      @binseif2216 หลายเดือนก่อน

      @@hilalkhalfan1452 Naomba uitafsiri wewe tupate elimu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@binseif2216 aya na hadith zote KUTAFSIRI zinaenda kinyume na kilichokusudiwa. Labda nitoe japo moja tu,

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@binseif2216 comments zinafutika Sana, labda japo moja lkn Aya na hadithi zote kaboronga

  • @Saki930
    @Saki930 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh Yale Yale Sasa yamsaidia nini

  • @shafiikisingi7614
    @shafiikisingi7614 หลายเดือนก่อน

    Allah atunusulu na vivyo vya mma wajawazito

  • @wijayasport2314
    @wijayasport2314 หลายเดือนก่อน

    Masya Allah Allahuakbar😭😭

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kudanganya watu.. masahaba wamekufa na mtume hakuwakusanya watu na kuwaambia leo tukasomee kurani hitima wala lalkini juu yakaburi katu hakuna dalili Mukizuwa ndo mwatafuta dalili mwaibandika

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@issaabdallah1205 na BATWILI imebainishwa pia KWA HOJA, kama huna hoja utabakia kununa sisi twaendelea

  • @FarajNachuma
    @FarajNachuma 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekh wetu Allah akupe rehma akhera

  • @ishakaJuma-q2w
    @ishakaJuma-q2w 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nauliza je kumtolea swadaka mzazi wako alie tangulia pia haifai

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 หลายเดือนก่อน

      @@ishakaJuma-q2w KWA mujibu ya majibu ya huyu asiojua jambo, basi halikuwepo jambo hilo. LAKINI kisheria ya DINI kheri zafaa

    • @SuleimanMwakutunza-vw6hf
      @SuleimanMwakutunza-vw6hf 2 หลายเดือนก่อน

      yafaa kaka tna sna

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e หลายเดือนก่อน

      @@ishakaJuma-q2w kumtolea sadwaka zazi inafaa mfano ukajitolea kuchimba kisima au kuingiza Bomba ukakusidia watu wachote bure kwaajili ya mzazi alokutangulia apate thawabu hiyo imethibiti akhy lakini, au kuchinja mnyama ukagawa ile nyama kwa jamaa na marafiki hiyo pia yafaa lakini so akumsomea quruani Hilo ndo batwil bidaa

    • @Alburtukal
      @Alburtukal หลายเดือนก่อน

      Inafaa na imethibiti kwenye hadithi, kafungue kitabu "Riyadh swalihin"

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@Alburtukal Hio Hadith inasema vipi?

  • @tokorizkijaya1097
    @tokorizkijaya1097 2 หลายเดือนก่อน

    Na'am akhi.

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini unaenda kumhijia au kumfungia?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@AbdallahMnyiwe-he2zu SUALI zuri umewauliza, kubwa hawatakujibu ila watakutukana TU. Na WAMESAHAU KUWA walisema " ALIOKUFA HAPATI ILA ALICHOKIFANYA" 🤣. Sasa akihijiwa anakuwa kakifanya lini?!!! Wehu hawaaa 🤣🤣🤣

    • @alf8177
      @alf8177 หลายเดือนก่อน

      hizo zote zina dalili

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@alf8177 kwahio Ile aya iliosema " hapati ila alichokifanya" ila masaa, vipi hapa tufuate Aya au hadithi ya Mtume saw? Tueke Sawa hio dalili iliopinga quran tufanyeje?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน

      @@alf8177 hujaambiwa kuwa hakuna Dalili. Bali Kuna Dalili ndio maana ukaulizwa

    • @azizinantubwi3948
      @azizinantubwi3948 29 วันที่ผ่านมา

      @@hilalkhalfan1452 kumfanyia hijra maiti na kumtolea swadaka vyote vinafaa na vimethibiti ktk hadithi sahihi. Ila kusoma Quran ili maiti apate thawabu zake hilo halina ushahidi, ushahidi wa malipo ya kusoma Quran uliopo unaonesha malipo anapata msomaji mwenyewe na siyo mtu mwingine

  • @MussaAlly-c2h
    @MussaAlly-c2h 2 หลายเดือนก่อน

    Wallahi nikweli tumuombe allah atupe mwisho mwema

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 2 หลายเดือนก่อน

    Jambohili uhitaji kusoma kur Ani no ubainishi wakilakitu yukovizuri sheikh

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 2 หลายเดือนก่อน

    Bismillah

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 2 หลายเดือนก่อน

    Bismillah maashallah

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 2 หลายเดือนก่อน

    Bismillah

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni wahabi sio suna Hawa Kila kitu hakifai wameleta fitina kwenye misikiti tangu liazishwe kundi hilo hata miaka miambili halija fikisha Sasa na ni bidaa kwasababu wameliszisha mtume s a w halijui ameondoka halipo