MASTER VOICE TV
MASTER VOICE TV
  • 909
  • 163 603
DC MALISA "ULEVI NI TATIZO UNAMKUTA MGAMBO MPAKA KALALA BARABARANI"
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Beno Malisa anefunga rasmi mafunzo ya jeshi la akiba (MGAMBO) katika kata ya Iwindi halmashauri ya wilaya ya Mbeya.
Mafunzo hayo yamedumu kwa muda wa miezi minne ambapo pamoja na mambo mengine Mhe. Malisa amewasihi wahitimu wa mafunzo hayo kwenda kuwatumikia vyema wananchi pindi watakapopata nafasi ya kuwatumikai wanchini.
Mhe. Malisa amesema kumekuwa na changamoto kwa baadhi ya askari mgambo waliohitimu miaka ya nyuma wamekuwa wakionekana mtaani wakiwa walewa kupindukia kiasi cha kupelekea mpaka kulala barabarani.
#mastervoicetv#news.
มุมมอง: 62

วีดีโอ

FULL: HOTUBA YA RAIS DKT SAMIA KWENYE MSIBA WA MAFURU
มุมมอง 6317 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
CCM YAIOMBA TAMISEMI KUPUUZA MAKOSA MADOGO MADOGO YA RUFAA.
มุมมอง 1477 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
TUNDU LISSU "UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA MWAKA 2019/2020 NDIO UNAOENDELEA SASA"
มุมมอง 577 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
LISSU ACHARUKA/"TUNAHITAJI KUJIPANGA UPYA TULIDANGANYWA SANA"
มุมมอง 1227 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
MADIWANI MBEYA DC WATAKA ELIMU YA MIKOPO YA 10% ITOLEWE KWA UHAKIKA.
มุมมอง 939 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
NECTA YATANGAZA KUANZA KWA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2024
มุมมอง 10212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
CHADEMA: "WASIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KIBAMBA NA UBUNGO WANATAKA DAMU IMWAGIGE TENA"
มุมมอง 89312 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
TAZAMA: HOTUBA NZIMA ALIOISOMA WAZIRI NDUMBARO KWENYE KONGAMANO LA KISWALI NCHINI CUBA
มุมมอง 2512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
WAZIRI NDUMBARO AKISOMA HOTUBA YA RAIS SAMIA KWENYE KONGAMANO LA KISWAHILI NCHINI CUBA
มุมมอง 17312 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
DAS MBEYA AWATAKA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KWENDA KUPIGA KURA.
มุมมอง 9514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katibu Tawala wilaya ya Mbeya Ndugu. Mohammed Azizi amewataka watendaji kata, wataalamu wa halmashauri na madiwani kuendelea kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27/2024. Azizi ametoa kauli hiyo Novemba 08/2024 katika Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Mbeya lililofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo lenye lengo ...
MADIWANI MBEYA DC WAMBANANISHA INJINIA WA TANESCO KUHUSU MRADI WA UMEME
มุมมอง 16816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mastervoicetv #news
INEC YAWAPIGA MSASA POLISI NCHINI KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI
มุมมอง 19716 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo ya siku moja kuhusu Sheria mbalimbali na Kanuni zinazoiongoza Tume, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tum...
BARAZA LA MADIWANI MBEYA DC LAMFUKUZA KAZI MTUMISHI
มุมมอง 62216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya limemfukuza kazi mtendaji kata ya Iwindi baada ya kubainika na kosa la kupokea rushwa ofisini kwake. Akisoma uamuzi huo makamu mwenyekeiti wa baraza hilo Mhe. Ezekia Shitindi asema kwakuwa mtumishi huyo alishahukumiwa na mahamaka baada ya kupatrikana na hatia baraza limeamua kumfukuza kazi mtumishi huyo. #mastervoicetv #news
MPINA AREJEA RASMI BUNGENI/AANZA NA SWALI KUHUSU HUDUMA YA AFYA
มุมมอง 18519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameuliza swali bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge, akitaka kufahamu mkakati wa haraka wa serikali katika kuhakikisha wananchi wa vijijini wanapata huduma za matibabu kwa kujenga na kumalizia zahanati ambazo wananchi walishajitolea kwa nguvu kazi. Akijibu swali hilo kwa niaba ya Ofisi ya Rais Tamisemi Na...
WABUNGE WALIA NA KUSUASUA KWA MIRADI YA MAJI
มุมมอง 6921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WABUNGE WALIA NA KUSUASUA KWA MIRADI YA MAJI
MAKALA: "CHADEMA WAACHE KUWEWESEKA"
มุมมอง 621 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAKALA: "CHADEMA WAACHE KUWEWESEKA"
MBUNGE MATIKO AHOJI KUHUSU KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI RORYA - TARIME
มุมมอง 32วันที่ผ่านมา
MBUNGE MATIKO AHOJI KUHUSU KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI RORYA - TARIME
MAJALIWA ATAKA TAFITI ZIFANYIKE KWA WADAU WOTE NA ZIWE ENDELEVU.
มุมมอง 8วันที่ผ่านมา
MAJALIWA ATAKA TAFITI ZIFANYIKE KWA WADAU WOTE NA ZIWE ENDELEVU.
MDEE ATAKA SERIKALI KUFANYA MSAKO MKALI WA KUONDOA POMBE KALI
มุมมอง 112วันที่ผ่านมา
MDEE ATAKA SERIKALI KUFANYA MSAKO MKALI WA KUONDOA POMBE KALI
CHADEMA KUWASHUGHULIKIA WAGOMBEA WAKE WATAKAOKUBALI KURUBUNIWA - KANDA YA VICTORIA
มุมมอง 940วันที่ผ่านมา
CHADEMA KUWASHUGHULIKIA WAGOMBEA WAKE WATAKAOKUBALI KURUBUNIWA - KANDA YA VICTORIA
CCM YARUSHA TENA DONGO KWA CHADEMA
มุมมอง 114วันที่ผ่านมา
CCM YARUSHA TENA DONGO KWA CHADEMA
TAZAMA: HOTUBA NZIMA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA 11 WA MERCK FOUNDATION.
มุมมอง 12214 วันที่ผ่านมา
TAZAMA: HOTUBA NZIMA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA 11 WA MERCK FOUNDATION.
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024
มุมมอง 16314 วันที่ผ่านมา
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024
TAZAMA: SPIKA TULIA AKIMTAMBUSHA KATIBU MPYA WA BUNGE
มุมมอง 13414 วันที่ผ่านมา
TAZAMA: SPIKA TULIA AKIMTAMBUSHA KATIBU MPYA WA BUNGE
WAZIRI AWESO AWATAKA DAWASA KUTOKAA OFISINI.
มุมมอง 3314 วันที่ผ่านมา
WAZIRI AWESO AWATAKA DAWASA KUTOKAA OFISINI.
MAJALIWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI.
มุมมอง 10714 วันที่ผ่านมา
MAJALIWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI.
KANISA LA AICT LAGAWA MITUNGI YA GESI KWA WANANCHI..
มุมมอง 2714 วันที่ผ่านมา
KANISA LA AICT LAGAWA MITUNGI YA GESI KWA WANANCHI..
LORI LATEKETEA KWA MOTO - TABORA
มุมมอง 19014 วันที่ผ่านมา
LORI LATEKETEA KWA MOTO - TABORA
MAJALIWA: "MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA SIO YA TAKUKURU PEKEE"
มุมมอง 11014 วันที่ผ่านมา
MAJALIWA: "MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA SIO YA TAKUKURU PEKEE"

ความคิดเห็น

  • @SelemanIsmail-c3z
    @SelemanIsmail-c3z 4 วันที่ผ่านมา

    Usoni kama Kiswahili lakini moyoni ni Kiingereza!!!!! Unafiki mtupu!!!!!!

  • @kasyupamwakibibi494
    @kasyupamwakibibi494 9 วันที่ผ่านมา

    Yesu ni mzuri

  • @hurumamwasile
    @hurumamwasile 26 วันที่ผ่านมา

    Pole Sana mkuu

  • @hurumamwasile
    @hurumamwasile 26 วันที่ผ่านมา

    Poleni waalimu, na bodi nzima ya shule,,Mungu awatie nguvu

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 26 วันที่ผ่านมา

    Tunamshukuru sana rais wetu, pia mkuu wa mkoa P. Makonda nimeiona kazi uliofanya, thawabu yako mwenyezi MUNGU anaijua kaka.

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 28 วันที่ผ่านมา

    Kanuni Bora za kiongeza Watu kwenye vituo? Acheni watu Wawachague Viongozi wanaowataka CCM IMESHAPOTEZA MVUTO

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu akili zinamuishia Iran wanaletwa upo tuuuuu

  • @kessydieselengineers3205
    @kessydieselengineers3205 28 วันที่ผ่านมา

    Kwann mnatumia tamisemi maana ni ccm ileile acha kupotosha uma

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu ibarik Tanzania, Mungu wabarik Viongozi wetu wote, tunaomba muanze utafiti wa Makombora ya Hypertonic Sasa yetu tuyaite Kombora la Fatuma ili tuwachanganye maadui, vifaru, drones, mizinga ya kisasa ya kutungulia ndege, tuunde vyetu na tunaweza

  • @gasperpanga4422
    @gasperpanga4422 28 วันที่ผ่านมา

    Were ni nani ktk tume ya uchaguzi? Hakuna haki yeyote happy.

  • @lukamwaibindi1257
    @lukamwaibindi1257 29 วันที่ผ่านมา

    safi

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 29 วันที่ผ่านมา

    We nilifisiemu mkuu wa wilaya ni fisiemu kwa hiyo hakuna lolote

  • @dimasmwasile2304
    @dimasmwasile2304 หลายเดือนก่อน

    Hotuba yenye ujazo

  • @dimasmwasile2304
    @dimasmwasile2304 หลายเดือนก่อน

    upendo

  • @dochoonlinetv
    @dochoonlinetv หลายเดือนก่อน

    tunaomba marekebisho ya kichwa cha habari NI MAENDELEO YA MIRADI" siyo mioradi

    • @mastervoicetv1978
      @mastervoicetv1978 หลายเดือนก่อน

      Tunakushukuru sana kwa marekebisho yako

  • @NMY-UInternationalMinistry
    @NMY-UInternationalMinistry หลายเดือนก่อน

    Hahaaaaaa

  • @NMY-UInternationalMinistry
    @NMY-UInternationalMinistry หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri Kwa Serikali yetu ya Mkoa wa Mbeya na Tanzania

  • @Kanyawela
    @Kanyawela หลายเดือนก่อน

    Kuna aina mbili za siasa siasa safi na siasa chafu maana yake siasa za maendeleo safi na mbwamisho wa maendeleo kila jambo sasa lina mikakati kufanikisha hadhima ya jambo hilo la safi au uchafu

  • @LebahatiLaizer-b4q
    @LebahatiLaizer-b4q หลายเดือนก่อน

    Amina mhe makonda 🙏🙏

  • @MayekaTheboss-sn8tr
    @MayekaTheboss-sn8tr หลายเดือนก่อน

    Siyo kila anaeend kwny mktno wa ccm anakkbli

  • @FadhilyOthman
    @FadhilyOthman หลายเดือนก่อน

    Naww huchaguliwi ngooo

  • @ShimoKasheto
    @ShimoKasheto หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @DeogratiusMahande
    @DeogratiusMahande หลายเดือนก่อน

    Wewe ndie atutakuchagua

  • @MedardBenedictoRwabutondogoro
    @MedardBenedictoRwabutondogoro หลายเดือนก่อน

    Chadema wanauawa je ingekuwa ni CCM mngeongea ivo.kumbuka utofauti wetu ni vyama tu lakini wote ni wa Tanzania na hakuna mtu aliyezaliwa akiwa CCM au chadema. Wote ni wamoja watanzania tusiuane jamani.

  • @MedardBenedictoRwabutondogoro
    @MedardBenedictoRwabutondogoro หลายเดือนก่อน

    Umesema kifo kimoja cha kibao lakini umesahau waliotekwa wanachama wa chadema mikoa yote wapatao elfu themanini na zaidi. Na hawajapatikana na mbona husemi juu ya kutafutwa hao watanzania

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 หลายเดือนก่อน

    Tunapenda Amani. Tafuteni haki Kwa nazungumzo.

  • @issaissa1361
    @issaissa1361 หลายเดือนก่อน

    Nimegundua wanao piga makofi na ambao hawapigi makofi

  • @boscoboyamchafu
    @boscoboyamchafu หลายเดือนก่อน

    Jamaniii dahaa mbona sura ya mama haiyonyeshi uzuni sura yake ya bif jamaniii 😂😂😂😂 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎤🎧 yawasanii Bora

  • @Masallah_kulangwa44
    @Masallah_kulangwa44 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mkuu wa Mkoa Wa Arusha kweli Wana Arusha wanajivunia kuwa na wewe Ubalikiwe sana. Wewe ni Hazina ya Wa TZ.

  • @wazidimahenge2811
    @wazidimahenge2811 2 หลายเดือนก่อน

    Katemba

  • @JaySpallo
    @JaySpallo 2 หลายเดือนก่อน

    Tuna omba namba za sm

    • @mastervoicetv1978
      @mastervoicetv1978 2 หลายเดือนก่อน

      Namba zetu ni ±255616393139 Email: mastervoicetv@gmail.com

  • @garinchamkobe4582
    @garinchamkobe4582 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba Huyo hapoooo❤❤😂

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 3 หลายเดือนก่อน

    Tuna njaa Acha ujinga wewe

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 หลายเดือนก่อน

    nyie wakevi tu,hajui usemalo,eti mzanzibari,mbona wewe mchaggga!kama bandari ni ya ukabila basi bandari ni ya wazaramo!!

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu akili ya uongozi Hana sababu kuwa mkuu wa mkoa kutawala watu bila uwezo mkubwa wa kisiasa nafasi hiyo ni ngumu hatujaamka tuu ktk taifa letu ila muda sio mrefu

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu R.C. Chalamila. Unamwiga Paul Makonda huwezi. Utagombana na watu hadi uchoke. Karama haiigwi iko ndani ya mtu. Yake Makonda ni talent yaani karama. Acha kuìga hutafaniķisha utaishia kutukana na kuaibika. Unamtukana kijana na mama yake. Umetudhalilisha wanawake Watanzania wote. Nakushauri urudi darasani uongozi huwezi.😭😭

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 4 หลายเดือนก่อน

    Siasa ni kila kitu,ndiyo maisha ya kila siku na ya kila mmoja wetu.Chalamila kama siyo siasa ungekuwa bado unafundisha maana wewe ulikuwa Mwalimu na umeacha ulichosomea.Acha kutishia waajiri wako.

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika ukiisoma quruan vizuri walah kichwa hutuliya naukitoa mada zimetuliya mawazo yametimia hakika mziwanda umemshauri raisi vizuri sana mashaallah Allah atupe mwisho mwema nasubra kwawingi

  • @kwayugeneral2192
    @kwayugeneral2192 4 หลายเดือนก่อน

    kweli anawasahau wafanyabiashara wakati tuna mengi yakumweleza yanayotuumiza haswa haya yakufungiwa akaunti za benki na kuchukua huko hela bila hata taarifa eti ili wafikishe tajeti walizopangiwa na wizara sasa sijui sisi tutaishije au ndo wameamua tufe kabisa ila wao TRA wafikishe tajeti zao za makusanyo???? anyway ngoja tuu

  • @OmarJumanne-j8s
    @OmarJumanne-j8s 4 หลายเดือนก่อน

    Mama unasahau kuzungumza na wafanyabiashara pia

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 4 หลายเดือนก่อน

    Wasifia viongozi

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 4 หลายเดือนก่อน

    Chadema imepoteza mwana siasa mwenye mvuto kwa jamii hili ni pengo kubwa wamelipata chadema ukweli ndo huo.

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kama chama kwenda yanga jinsi sisiemu walivyofurah

  • @mnemhelasaka5406
    @mnemhelasaka5406 4 หลายเดือนก่อน

    Gooood Mr bashe

  • @JanuaryMasanga
    @JanuaryMasanga 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mkuu

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 5 หลายเดือนก่อน

    Ushamba mutupu mwenyewe arkubari mbere ya mweshimiwa , nyie Ni wanafiki Sana ningekuwa makonda ningeacha ata kuwasaidia na kwanini wasingekaa kimya Sheria ikafanya kazi uchunguzi ukafanyika

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 5 หลายเดือนก่อน

    Binadamu hata uwafanyie Nini hawaridhiki wamemchoma wenyewe reo Tena wamezunguka wamekuja na mengi wa tanzania ata ufanyaje hawaridhiki makonda anafanya kazi ya bure anaewasaidia Ni wanafki sana

  • @petromakange2668
    @petromakange2668 5 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana wapigaji walikuwa Wana mkatia posho

  • @petromakange2668
    @petromakange2668 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda endelea mbele, chatanda Hana sera

  • @DormanDorman-jm3dz
    @DormanDorman-jm3dz 5 หลายเดือนก่อน

    SPANA IENDELEEEEE