Abnau Muhammad
Abnau Muhammad
  • 220
  • 1 380 044
KUCH KUCH | Kaswida Miondoko Ya Kihindi (Hii Ni Noma)
Hapana Chezea Wahindi Wa Kibongo
Hii Ni Huduma Inayofanywa Na Uongozi Wa ABNAU MUHAMMAD Kwa Kuchukua Video Shooting Na Kupiga Picha Na Kupewa Album Yako Ni Kama Kwenye Shughuli Zifuatazo;
1. Harusi
2. Kitchen Party
3. Send Off
4. Birthday
5. Graduation
6. Hakika n.k
Kwa Bei Nafuu Mno Yaani Tzs. 150,000/=
Vile Vile Tunaimba Mubashara Kwenye Sherehe Za Harusi Kwa Kuwataja Majina Ya Bibi Na Bwana Harusi Na Ndugu Wa Harusi Hiyo Na Pia Tuna Wachezaji Maalumu Kama Vile Watoto (AMU KIDS) Wenye Weledi Mkubwa Wa Kucheza Tena Ni Kwa Bei Nafuu Sana.
KARIBU UPATE HUDUMA BORA NA YENYE KUPENDEZA.
Qaswida: KUCH KUCH
Msomaji: Maalim Seif
Producer: Ochu Record
Directed by Abnau Muhammad
Prepared by ABNAU MUHAMMAD (0675633974)
Video Directed by Maalim Seif from ABNAU MUHAMMAD (0675633974)
-INSTAGRAM: abnaumuhammad
-FACEBOOK: m. SonsOfMuhammad/?ref=bookmarks
#Love #Sherehe #Mawada #Mahaba #Usia #Mapenzi #Utamu #Kaswida #Nakupenda #Ndoa #Harusi #Nasheed #AbnauMuhammad #Mpya #Tamu #Qaswida #Nasheed #Furaha #Upendo #Nasaha #Uchumba #Hamu #abnaumuhammad
มุมมอง: 433

วีดีโอ

MAHABA MAZITO | Kaswida Tamu Holini (Hapana Chezea)
มุมมอง 496หลายเดือนก่อน
Hii Ni Huduma Inayofanywa Na Uongozi Wa ABNAU MUHAMMAD Kwa Kuchukua Video Shooting Na Kupiga Picha Na Kupewa Album Yako Ni Kama Kwenye Shughuli Zifuatazo; 1. Harusi 2. Kitchen Party 3. Send Off 4. Birthday 5. Graduation 6. Hakika n.k Kwa Bei Nafuu Mno Yaani Tzs. 150,000/= Vile Vile Tunaimba Mubashara Kwenye Sherehe Za Harusi Kwa Kuwataja Majina Ya Bibi Na Bwana Harusi Na Ndugu Wa Harusi Hiyo Na...
NAKUPENDA WEWE | Kaswida Ya Mapenzi (Official Video)
มุมมอง 6584 หลายเดือนก่อน
Kumsifia Unayempenda Ni Shani Iliyojaa Tele Moyoni, Nafsi Inapata Amani Inapoona Yule Anayekupenda Anakusifu Kwa Maneno Mazuri Na Matamu. Mapenzi Hunawiri Na Kumea Pale Inapopatikana Sururi Na Surusi Huja Kwa Kupata Tulizo La Moyo Wako. Kamwe Usimsaliti Anayekupenda Kwasababu Hujui Ameacha Wangapi Mpaka Kukujaza Wewe Kwenye Moyo Wake. Usimsaliti Anayekupenda & Usimpende Anayekusaliti. Qaswida: ...
AMU KIDS DANCERS | Cheki Hawa Watoto Wanavyocheza (Kaswida Video Safi)
มุมมอง 1.4K10 หลายเดือนก่อน
Hii Ni Huduma Inayofanywa Na Uongozi Wa ABNAU MUHAMMAD Kwa Kuchukua Video Shooting Na Kupiga Picha Na Kupewa Album Yako Ni Kama Kwenye Shughuli Zifuatazo; 1. Harusi 2. Kitchen Party 3. Send Off 4. Birthday 5. Graduation 6. Hakika n.k Kwa Bei Nafuu Mno Yaani Tzs. 150,000/= Vile Vile Tunaimba Mubashara Kwenye Sherehe Za Harusi Kwa Kuwataja Majina Ya Bibi Na Bwana Harusi Na Ndugu Wa Harusi Hiyo Na...
NAKUPENDA WEWE | Song La Mahaba (Lyrics Kaswida Video)
มุมมอง 66611 หลายเดือนก่อน
Kumsifia Unayempenda Ni Shani Iliyojaa Tele Moyoni, Nafsi Inapata Amani Inapoona Yule Anayekupenda Anakusifu Kwa Maneno Mazuri Na Matamu. Mapenzi Hunawiri Na Kumea Pale Inapopatikana Sururi Na Surusi Huja Kwa Kupata Tulizo La Moyo Wako. Kamwe Usimsaliti Anayekupenda Kwasababu Hujui Ameacha Wangapi Mpaka Kukujaza Wewe Kwenye Moyo Wake. Usimsaliti Anayekupenda & Usimpende Anayekusaliti. Qaswida: ...
THE HORROR HOUSE | Jumba La Kutisha •Ep. 01
มุมมอง 62911 หลายเดือนก่อน
Si Kila Nyumba Ni Kuingia Tu Pasi Na Kufatilia Historia Ya Nyumba Hiyo, Unaweza Ukaenda Sehemu Na Kukaribishwa Kwa Furaha Na Amani Na Ukapata Utulivu Kupitia Sehemu Hiyo Kumbe Mbeleni Kuna Jambo Baya Linaweza Kukutokea. Hii Ni Filamu Ya Kiswahili Iliyoandaliwa Kwa Umaridadi Wa Hali Ya Juu Ili Kuweza Kuipa Mafunzo Jamii Juu Ya Masuala Ya Kufanya Jambo Bila Kufikiri. Filamu: THE HORROR HOUSE Mtun...
TUMEUWASHA MOTO | Kidufu Ninogeshe (Kaswida Si Mchezo)
มุมมอง 712ปีที่แล้ว
TUMEUWASHA MOTO | Kidufu Ninogeshe (Kaswida Si Mchezo)
KWAKO MAMA MZAZI
มุมมอง 323ปีที่แล้ว
KWAKO MAMA MZAZI
SHAIRI TAMU LISOISHA HAMU | Maalim Seif (Mubashara Video)
มุมมอง 174ปีที่แล้ว
SHAIRI TAMU LISOISHA HAMU | Maalim Seif (Mubashara Video)
RISALA FUPI KUHUSU ABNAU MUHAMMAD
มุมมอง 92ปีที่แล้ว
RISALA FUPI KUHUSU ABNAU MUHAMMAD
DUA KUBWA
มุมมอง 197ปีที่แล้ว
DUA KUBWA
TOP 3 BEST NEW NASHEED | 3 BORA NASHEED MPYA NZURI (Official Video)
มุมมอง 903ปีที่แล้ว
TOP 3 BEST NEW NASHEED | 3 BORA NASHEED MPYA NZURI (Official Video)
MAOMBI MAALUM na MAALIM SEIF | Dua Ya Kumlilia Mungu (Live Video)
มุมมอง 180ปีที่แล้ว
MAOMBI MAALUM na MAALIM SEIF | Dua Ya Kumlilia Mungu (Live Video)
TUMEUFUNGA MTAA | Kaswida Isiyochosha Harusini (Official Video)
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
TUMEUFUNGA MTAA | Kaswida Isiyochosha Harusini (Official Video)
TUICHEZE EID | Amu Kids Wamekuja Kivyengine (Kaswida Bulbul)
มุมมอง 419ปีที่แล้ว
TUICHEZE EID | Amu Kids Wamekuja Kivyengine (Kaswida Bulbul)
MAMA SAMIA TETEMA | Maalim Seif Amsifia Rais Samia (BIG_SONG)
มุมมอง 521ปีที่แล้ว
MAMA SAMIA TETEMA | Maalim Seif Amsifia Rais Samia (BIG_SONG)
LELA | Miondoko Ya Kiarabu (BONGE LA QASWIDA)
มุมมอง 4.2Kปีที่แล้ว
LELA | Miondoko Ya Kiarabu (BONGE LA QASWIDA)
FURAHA NYOYONI | Ukhty Zuhura Amsomea Kaka Seif Kaswida Kwenye Yake Ndoa (QASWIDA MPYA)
มุมมอง 434ปีที่แล้ว
FURAHA NYOYONI | Ukhty Zuhura Amsomea Kaka Seif Kaswida Kwenye Yake Ndoa (QASWIDA MPYA)
MOTO KWENYE HARUSI | Hii Kaswida Balaa Tupu (Video Kabambe)
มุมมอง 886ปีที่แล้ว
MOTO KWENYE HARUSI | Hii Kaswida Balaa Tupu (Video Kabambe)
USIA KWA WATOTO | Qaswida Machachari (Wameimba Watoto)
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
USIA KWA WATOTO | Qaswida Machachari (Wameimba Watoto)
TUICHANGIE DINI | Nasheed Iliyosomwa Mbele Ya Akina Mama (Video Rasmi)
มุมมอง 265ปีที่แล้ว
TUICHANGIE DINI | Nasheed Iliyosomwa Mbele Ya Akina Mama (Video Rasmi)
EID MUBARAK | Best New Qaswida (Wameimba Watoto)
มุมมอง 718ปีที่แล้ว
EID MUBARAK | Best New Qaswida (Wameimba Watoto)
HATIA | Kaswida Ya Kuhuzunisha (Official Video)
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
HATIA | Kaswida Ya Kuhuzunisha (Official Video)
MWISHO MWEMA | Kaswida Ya Kusisimua (Official Video)
มุมมอง 4.9Kปีที่แล้ว
MWISHO MWEMA | Kaswida Ya Kusisimua (Official Video)
PUNGUZENI MAHARI | Mwari Amekuwa Mtaji (Kaswida Ya Kujifunza)
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
PUNGUZENI MAHARI | Mwari Amekuwa Mtaji (Kaswida Ya Kujifunza)
TANZANIA | Kaswida Inayosifia Nchi Yetu (Wameimba Watoto)
มุมมอง 170Kปีที่แล้ว
TANZANIA | Kaswida Inayosifia Nchi Yetu (Wameimba Watoto)
USIA KWA WATOTO | Kionjo Cha Kaswida Tamu (Wameimba Watoto)
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
USIA KWA WATOTO | Kionjo Cha Kaswida Tamu (Wameimba Watoto)
MUME GUBU | Dai Talaka Kwa Mume Kama Huyu (Coming Soon)
มุมมอง 166ปีที่แล้ว
MUME GUBU | Dai Talaka Kwa Mume Kama Huyu (Coming Soon)
RAMADHAN | Kaswida Mpya Ya Ramadan (Nzuri Sana)
มุมมอง 3.9Kปีที่แล้ว
RAMADHAN | Kaswida Mpya Ya Ramadan (Nzuri Sana)
MASHALLAH | Kaswida Ya Sherehe Ya Harusi (Kitu Pambe)
มุมมอง 638ปีที่แล้ว