- 77
- 57 585
John Mongella
เข้าร่วมเมื่อ 7 ต.ค. 2017
วีดีโอ
KAMPENI YA JIONGEZE TUWAVUSHE SALAMA YAZINDULIWA MWANZA
มุมมอง 1585 ปีที่แล้ว
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Afya na Ustawi wa Jamii Mkoani Mwanza wamezindua Kampeni ya Uzazi Salama ijulikanayo kama "Jiongeze Tuwavushe Salama". Kampeni hiyo imezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella ikiwa na kauli mbiu ya "Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi.Maneno basi, sasa vitendo." Akiongea katika uzinduzi huo Mhe.Mong...
INASIKITISHA AFA KWA KUANGUKIWA NA MAWE RC MWANZA NA MASHUHUDA WAZUNGUMZA HAYA
มุมมอง 595 ปีที่แล้ว
INASIKITISHA AFA KWA KUANGUKIWA NA MAWE RC MWANZA NA MASHUHUDA WAZUNGUMZA HAYA
KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA RCC CHAKETI MKOANI MWANZA HAYA NI MAAZIMIO
มุมมอง 755 ปีที่แล้ว
KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI MKOA RCC CHAKETI MKOANI MWANZA HAYA NI MAAZIMIO
HAFLA KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI BODI YA MIKOPO MKOANI MWANZA..
มุมมอง 265 ปีที่แล้ว
HAFLA KWA WAAJIRI WALIOFANYA VIZURI BODI YA MIKOPO MKOANI MWANZA..
KIKAO CHA BODI YA BARABARA MWANZA WAJUMBE WAZUNGUMZA HAYA NA RC MONGELLA ATOA MAAGIZO MAZITO.
มุมมอง 845 ปีที่แล้ว
KIKAO CHA BODI YA BARABARA MWANZA WAJUMBE WAZUNGUMZA HAYA NA RC MONGELLA ATOA MAAGIZO MAZITO.
WAZIRI MKUU AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA RC MWANZA AZUNGUMZA HAYA.
มุมมอง 295 ปีที่แล้ว
WAZIRI MKUU AFUNGUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KANDA YA ZIWA RC MWANZA AZUNGUMZA HAYA.
WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI MWANZA AZUNGUMZA HAYA
มุมมอง 165 ปีที่แล้ว
WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI MWANZA AZUNGUMZA HAYA
RC MONGELLA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WAFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII.
มุมมอง 235 ปีที่แล้ว
RC MONGELLA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII WAFUNGUA MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII.
MKUU WA MKOA MWANZA APOKEA UGENI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO, NA MAJI
มุมมอง 935 ปีที่แล้ว
MKUU WA MKOA MWANZA APOKEA UGENI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO, NA MAJI
RC MONGELLA AJIBU HOJA ZA WANANCHI LIVE KWENYE MKUTANO WA HADHARA BUGOGWA WILAYA YA ILEMELA
มุมมอง 545 ปีที่แล้ว
RC MONGELLA AJIBU HOJA ZA WANANCHI LIVE KWENYE MKUTANO WA HADHARA BUGOGWA WILAYA YA ILEMELA
RC MONGELLA AKAGUA MRADI WA MAJI BUGOGWA NA ATOA MAAGIZO HAYA.....
มุมมอง 295 ปีที่แล้ว
RC MONGELLA AKAGUA MRADI WA MAJI BUGOGWA NA ATOA MAAGIZO HAYA.....
Rais Magufuli aunga juhudi za Wananchi Mwanza, atoa Milioni 20
มุมมอง 3076 ปีที่แล้ว
Mhe Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametoa sh milioni 20 kwaajili ya ujenzi wa barabara katika Mtaa wa Nyamazobe kata ya Mkolani Mwanza baada ya Wanachi kuonesha juhudi za kujenga Barabara yenye urefu wa mita 500 iliyoko Mlimani. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo akikabidhi fedha hizo kwa Mwenyekiti wa mtaa Julius Makamba mbele ya mkutano hu...
RC Mongella aagiza waliohusika katika udanganyifu wa MITIHANI wakamatwe
มุมมอง 1476 ปีที่แล้ว
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella leo hii amekutana na walimu wa shule za msingi na sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza pamoja na idara ya elimu ya mkoa ili kujadili namna ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu wa mitihani uliofanywa na shule za Alliance, New Alliance na Kisiwani. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwakamata na kuwachukulia hatua wate...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi ya SUMATRA
มุมมอง 9826 ปีที่แล้ว
leo tarehe 05 october 2018 Mhe. John Mongella Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi ya SUMATRA Mkoa wa Mwanza baada ya kufuta njia tano za Sekou Toure hadi Kigongo ferry Bulale hadi Kigongo ferry, Buzuruga hadi Nyamikoma, Buzuruga hadi Lamadi na Usagara Mzunguko. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ametengua maamuzi hayo ya SUMATRA kwa kuwa hayakushirikisha wadau mbalimbali hivyo njia hizo ziataendelea k...
RC Mongella atoka Ofisini kwake nakwenda kutembelea Wananchi Mtaani
มุมมอง 3566 ปีที่แล้ว
RC Mongella atoka Ofisini kwake nakwenda kutembelea Wananchi Mtaani
RC Mwanza apokea wawekezaji kutoka Jimbo la Henan China
มุมมอง 4176 ปีที่แล้ว
RC Mwanza apokea wawekezaji kutoka Jimbo la Henan China
RC Mwanza apokea vitabu zaidi ya laki tatu ilikupunguza uhaba mashuleni.
มุมมอง 2206 ปีที่แล้ว
RC Mwanza apokea vitabu zaidi ya laki tatu ilikupunguza uhaba mashuleni.
Wasukuma walivyoimba Nyimbo yakumpongeza Mhe. Rais Magufuli na RC Mongella
มุมมอง 25K6 ปีที่แล้ว
Wasukuma walivyoimba Nyimbo yakumpongeza Mhe. Rais Magufuli na RC Mongella
Kivuko kipya cha MV Mwanza, kimezinduliwa rasmi
มุมมอง 2426 ปีที่แล้ว
Kivuko kipya cha MV Mwanza, kimezinduliwa rasmi
Shekh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Afariki dunia, RC Mongella atoa pole kwa Familia
มุมมอง 4176 ปีที่แล้ว
Shekh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Afariki dunia, RC Mongella atoa pole kwa Familia
RC Mongella apongeza kazi nzuri ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Kolomije.
มุมมอง 3846 ปีที่แล้ว
RC Mongella apongeza kazi nzuri ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Kolomije.
RC Mongella aungana na Wananchi kufanya Usafi wa Mazingira Mwanza.
มุมมอง 1566 ปีที่แล้ว
RC Mongella aungana na Wananchi kufanya Usafi wa Mazingira Mwanza.
RC Mongella achukua hatua kari kwa Mkurugenzi wa kiwanda cha ICK Mwanza.
มุมมอง 14K6 ปีที่แล้ว
RC Mongella achukua hatua kari kwa Mkurugenzi wa kiwanda cha ICK Mwanza.
RC Mwanza azindua Kampeni ya “Furaha yangu” itakayo hamasisha upimaji wa VVU.
มุมมอง 626 ปีที่แล้ว
RC Mwanza azindua Kampeni ya “Furaha yangu” itakayo hamasisha upimaji wa VVU.
RC Mongella aonesha furaha yake Jukwaani katika uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu.
มุมมอง 4506 ปีที่แล้ว
RC Mongella aonesha furaha yake Jukwaani katika uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu.
"Zamu hii wakina Baba tuamke kutambua Afya zetu" RC Mongella
มุมมอง 556 ปีที่แล้ว
"Zamu hii wakina Baba tuamke kutambua Afya zetu" RC Mongella
RC Mongella apata Tuzo kwa juhudi zake katika kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika Mwanza.
มุมมอง 3156 ปีที่แล้ว
RC Mongella apata Tuzo kwa juhudi zake katika kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika Mwanza.
Rc Mwanza aweka baraka zake kwa shindano la Miss Mwanza 2018.
มุมมอง 1.4K6 ปีที่แล้ว
Rc Mwanza aweka baraka zake kwa shindano la Miss Mwanza 2018.
Kwa mara ya pili makontena 18 yakiingia melini katika bandari ya Mwanza kusini kuelekea Uganda.
มุมมอง 8256 ปีที่แล้ว
Kwa mara ya pili makontena 18 yakiingia melini katika bandari ya Mwanza kusini kuelekea Uganda.
Pumbavu kabisa eti ajasoma weka ndani.
Safiii sanaaa. Nalipenda kabila langu
Obeja sana kunizukija gukaya
Monizhukhija khukaya bhuli
Tumamaga ng'wana wa Nhamala, JPM 👏👏👏👏👏🇹🇿💪💯%
Mgufuri oyeeeeee
Aliselema alija untale...👍
Jadi yetu
Mbona Rc hauji kuskiliza kero za wana ukerewe
namchek ndassa
Hakikaa tuko vzr!! Sukuma land!!
Najivunia kuwa msukuma nashukuru wazazi wangu kuwa wasukuma karibuni SIMiYU -itilima
Arusha wanapatikana wapi
Give him time..huwezi kamata mutu bila vipimo. Ipimwe.hawezi kuua watu jama..wachina ndio wanamakosa
Mimi ni CHADEMA damu damu lakini ninaimani kubwa sana na wewe ndugu John Mongera, hufanyi siasa bali Mwanza na kazi.
Nakupongeza sana Ndugu mkuu wa mkoa kwa utendaji wako wa kazi. Unaonesha huruma ya dhahiri kwa watanzania wenzako nimekuwa nakufuatilia sana katika ziara zako, huna mihemko, hujitafutii sifa za kijinga/kiki zaidi ya kumpa kiki zake yule anayependa hizo kiki na ninaamini unafanya hivyo ili asijekuona labda wewe ni msaliti, hongera sana mkuu. Sipendi chama chenu namna kinavyotenda lakini siku zote unaonekana kutokuelekea kule chama chenu kinapoelekea, Mungu akuzidishe busara na hekima na akuzidishie wepesi katika maisha yako.
Wapedwa jadi yakwetu hii
Karibu usukumani mjionee tulivyo wakalimu
Napenda kabila langu sukuma songa mbelee
Tunakupenda pia mkuu wetu wa mkoa wa mwanza mwenye akili sana
Kazi nzuri mheshimiwa, fuatilia na mikataba ya ajira ya wafanyakaz Wa kiwanda hicho ujue imekaaje. Kiukweli wahindi sio watu wazuri ni wanyanyasaji sana wanajijali wao wenyewe na kutesa watanzania wanaofanya Kazi kwao. Tazama watz hawana vitendea Kazi.
Kabisa wawajibishwe maana tuonaona wanafaulisha wanafunzi wengi kumbe ni zero tuu yaan hata nakujifanya ndio namba 1 mwanza
Woyeee magufuli yuko vizuri sanaa mungu amtunze sanaaa na mkuu wa mkoa wetu ubarikiwe sanaa
Viongozi wote wamekua makatili
Tunakupenda sana RC Mwongela.Loreto
Tunakupenda sana RC
WOoo hongera sana kiongizi wetu tunakupenda sana baba tengeneza mwanza baba
He lucking speaking skills
Kingereza kilipita pembeni Kwa Rc.
Watu weupe hawana roho ya kwel mungu atuongoze kwa jina la Yesu fungukeni watu weusi
Sisi sijui tulilongwa wapi badala kwazesha watu wetu mungu atusadie vichwa vetu vifunguke kila siku nikuomba tu kuomba tu
Safisana
Worthy sharing Utamaduni Ni utalii pia
Mweshimiwa naomba kama utaona ujume huu napenda nikupongeze lakini pia napenda nikutalifu kua nikiwa kama kijana wa D's msitafu leonadi masale nakuja kuielimisha MWANZA kwenye vivutio vya MWANZA nakuoma unisaidie
Hongera sana kwa tuzo hiyo Mh.Mongella Mungu aendelee kukusimamia katika majukumu yako. Amen
E hyo do kauli nzuri waiheshim barabara mamachinga
mzee anajua anachokifanya pongezi kwake
Nikweli kulingana na maandishi yaliyopo kwenye package yanazuia ila ni vizuri kilichomo ndani ya package kikapimwe ili kuondoa utata, madamu mwenyewe anakili kama itakuwa ndivyo sivyo yupo tayari kuwajibishwa so sioni sababu ya kumkandamiza, inawezekana kilichomo ndani ya package ni sahihi.
Omary Mkunga, mi sijabisha ila ingependeza wakapima ili na yeye akaridhika .
Safi sana rc wetu
mmemtaftia sana
sio tapeli ila ni mfanyabiashara haramu sipendi hili jina ...tapeli...
Awawezi kumpa muda kuheleza,Tatizo ni rangi yake
Msaidieni sio kutisha jamani hona hata wafanyakazi wake kiafya Si salama toeni elimu sio kubandika utepe wa katazo
Sasa jamani nn kifanyike TBS wapo tfda wapo si tunataka viwanda elimisheni watu sio kuwakataza ndo maana mm nadhubutu kusema shure tunafuata vyeti sio elimu ukiangalia hapo mkuu wa mkoa kaenda kukomoa sio kuelimisha alaumiwe yeye au tbs
Mijitu ya aina hii JPM ifukuze Tanzania 🇹🇿 kabisa hatutaki wawekezaji ambao hawana moyo wa ubinadamu wala kuzingatia taratibu sheria na kanuni
Yaani hilo liuaji linatakiwa lishtakiwe kwa Kesi ya mauaji kwa kukusudia pumbavu kabisa, kuna mijitu ina uroho wa pesa kiasi cha kutumia hata sumu kwa binadamu wenzao ili tu ijipatie faida na hiyo faida itakufikisha wapi wakati hata na wewe utakuja kufa tu siku moja
toka aanze kizarisha mafuta ni miaka mingapi? name? TBS na tfda walikuwa wapi?
Kosa la kulisha watu sumu halitofautiani na la mauaji...sheria ingepasa kuweka mkazo kwenye makosa ya aina hii...kwa maana athari za mtenda kosa ni kubwa sana..zinaweza kuathiri wengi kwa kusababisha magonjwa na afya mbovu...vifo..etc..
Jamani ujinga bado tukonao basi hata kiswahili kinatushinda kuelawa!!! 0+ =
Pia tuambieni brand is mafuta hayo
Aisee eti mwekazaji anafanyiwa kitendo Kama hicho kweli.! Badala mumsaidie kujuwa kuwa pahala alipoagiza je order yake ilikuwa Kwa carbon soda ya kazi Gani? Na jee hao manufacture WA soda ash wao wanazo Aina nyingine?
sss 3s muwekezaji au muuaji pumbavu kabisa lijitu linalisha watu sumu alafu unamuita muwekezaji? Mxiiiiiiu
We unaamini kuwa aliagiza caustic bila kusoma kwenye huo mfuko? Achana na muhindi wewe hawafai hao watu, wanapendana wenyew tu na so MTU mwingine. Hivi we unawezaje kumtetea mtu anaewalisha sumu watz wenzako weweee? Kabla hujaropoka kwenye comment fuatilia kwanza uijue caustic na matumizi take then go on
Sio haki hio. Sasa bora tujuee Kama hatujui kuliko kujifanya twajuwa saana kumbe 0
Uyo ni msaka tonge ndio maana hataki kumsikiliza anatafuta kiki kwa muheshimiwa rais'wako 3 kanda ya ziwa ni majungu'kitu cha maana chukua mafuta na iyo mifuko kapime na wausika anao ni mdomo tu 'kwa ninavyoona Mimi ni kwamba madawa ya kusafisha maji taka yana ushuru mdogo kuliko ya mafuta ndio mahana kaweka kwenye mifuko iyo