- 974
- 2 399 720
Singo Media
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 20 มี.ค. 2013
Swahili:
Karibu SINGO MEDIA! Pata elimu kuhusu dini, jamii,technology,michezo na burudani katika njia ya kheri. Jiunge nasi kwenye "Bustani ya Kheri." 🌟
...................................................................
English :
Welcome to SINGO MEDIA! Here, we share insights on Islam, society, tech, sports and entertainment all for good. Join us in our "Garden of Goodness." 🌿
...................................................................
Share, subscribe, like, and comment! For questions or suggestions, WhatsApp us at +255677074468 📚

MH.MUFTI SHEIKH ABUBAKAR ATOA PONGEZI KWA UONGOZI WA MASJID MTAMBANI KWA DARSA WANAZO RATIBU
Mh. Mufti na sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Zubeir ametoa pongezi hizo siku ya jana (25-Nov-2024) mara baada ya kupita na kusali salat magharibu na kukuta kuna darsa kubwa likiendeshwa na Imaam Mkuu wa Msikiti huo sheikh Shaaban Bin Sale Pembe, mbali na pongezi hizo pia alipata wasaaa wa kutoa elimu kubwa kuhusu umuhimu wa Darsa kama hizo katika misikiti na mitaani na kutoa fat-hi na baraka kwa Imaam huyo kwa jambo zito na jema alilokuwa akilifanya. Pia amesisitiza umuhimu wa kuendeleza vijana katika kusoma elimu zote mbili (Dunia na Dini) maana hali ya maadili na technology imekuwa mbaya sana duniani hivyo amesisitiza umuhimu wa kutolewa kwa elimu ili kuondokana na kadhia hizo.
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝
Tembelea account zetu;
TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en
TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia
#quran #africa #swahili #trending
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝
Tembelea account zetu;
TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en
TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia
#quran #africa #swahili #trending
มุมมอง: 93
วีดีโอ
QASWIDA MPYA YA MADRASAT SHAADHILI | Maulid Nabi 1446h/2024 Masjid Maryam Zainul Aabidin Kigamboni
มุมมอง 2116 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
Qaswida Dufu Kubwa | Madrasat Zam Zam / Kiboko ya Madrast Nuri ya Mtoni | Maulid-nabi 1446h/2024
มุมมอง 842 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
Qaswida Dufu Kubwa | Madrasat Wakful Islaamiya Maulid-nabi 1446h/2024 | Masjid Maryam Zainul Aabidin
มุมมอง 862 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
KWANINI UNAJIITA SHEKHE WAKATI HUNA ELIMU? Mbona hujiiti daktari? Ujumbe Mzito kutoka kwa Shk. Samir
มุมมอง 267 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
VYOMBO VYA HABARI NI NYENZO MUHIMU YA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII DUNIANI | Sheikh Yusuf
มุมมอง 547 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
AJALI YA KARIAKOO ISIWE NI AJENDA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI / Shekh Baggo
มุมมอง 697 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🌟🌿Subscribe, like, share and comment: 📚🤝 Tembelea account zetu; TIKTOK: www.tiktok.com/@raj_singo?lang=en TH-cam: www.youtube.com/@SingoMedia #quran #africa #swahili #trending
"HUU NI MPANGO WA MUNGU, TUIACHIE MAMLAKA IFANYE KAZI YAKE " - Sheikh Omar Maulid Baggo
มุมมอง 607 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"HUU NI MPANGO WA MUNGU, TUIACHIE MAMLAKA IFANYE KAZI YAKE " - Sheikh Omar Maulid Baggo
QASWIDA MPYA MADRASAT NURI KUTOKA MTONI | Sheikh Jongo na Sheikh Walid washindana Kughani Maashallah
มุมมอง 3619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
QASWIDA MPYA MADRASAT NURI KUTOKA MTONI | Sheikh Jongo na Sheikh Walid washindana Kughani Maashallah
SAYANSI NDANI YA QUR'AN | Tazama Maajabu ya Kitabu cha QUR'AN katika tafiti za Kisayansi
มุมมอง 10712 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SAYANSI NDANI YA QUR'AN | Tazama Maajabu ya Kitabu cha QUR'AN katika tafiti za Kisayansi
MIRATHI YA KIISLAMU | Je, baba anaweza kumkataa Mtoto asimrithi kwa kuandika Wosia? na Utakubalika?
มุมมอง 6612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MIRATHI YA KIISLAMU | Je, baba anaweza kumkataa Mtoto asimrithi kwa kuandika Wosia? na Utakubalika?
MH.RAIS DKT SAMIA ATEMBELEA ENEO LA MAAFA KARIAKOO JIJINI DSM
มุมมอง 5614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MH.RAIS DKT SAMIA ATEMBELEA ENEO LA MAAFA KARIAKOO JIJINI DSM
QASWIDA | Tazama Ufundi wa Ustadhi Mohammed Khamis - Madrasat Siraja Munira
มุมมอง 7816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
QASWIDA | Tazama Ufundi wa Ustadhi Mohammed Khamis - Madrasat Siraja Munira
ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC SCHOOLS | Elimu Bora Malezi Bora ya Dini ya Kiislam
มุมมอง 6316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC SCHOOLS | Elimu Bora Malezi Bora ya Dini ya Kiislam
QASWIDA | Swalatu Ala-Nabi - Madrasat Siraja Munira | Ostadh Sharif Koba na Qari Abdallah Rajab
มุมมอง 6016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
QASWIDA | Swalatu Ala-Nabi - Madrasat Siraja Munira | Ostadh Sharif Koba na Qari Abdallah Rajab
"NI MAKOSA KUJIITA SHEIKH, DOKTA WALA SHARIF KAMA HUNA SIFA HIZO" | Sheikh Sharif Swaleh Al-ahdal
มุมมอง 3316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"NI MAKOSA KUJIITA SHEIKH, DOKTA WALA SHARIF KAMA HUNA SIFA HIZO" | Sheikh Sharif Swaleh Al-ahdal
VIJANA WENYE VIPAJI VYA AJABU MASHALLAH | ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC PRE & PRIMARY SCHOOLS | PART TWO
มุมมอง 12519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VIJANA WENYE VIPAJI VYA AJABU MASHALLAH | ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC PRE & PRIMARY SCHOOLS | PART TWO
MAHAFALI YA KUWAAGA DARASA LA SABA(7) ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC PRE & PRIMARY SCHOOLS | PART ONE
มุมมอง 13619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MAHAFALI YA KUWAAGA DARASA LA SABA(7) ALI HASSAN MWINYI ISLAMIC PRE & PRIMARY SCHOOLS | PART ONE
MH.RAIS DKT.SAMIA ATOA TAARIFA KWA WANANCHI KUHUSIANA NA AJALI YA KUPOROMOKA KWA JENGO KARIAKOO.
มุมมอง 3821 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MH.RAIS DKT.SAMIA ATOA TAARIFA KWA WANANCHI KUHUSIANA NA AJALI YA KUPOROMOKA KWA JENGO KARIAKOO.
KAZI YA UOKOAJI INAENDELEA VIZURI ENEO LA TUKIO | Kamanda wa zima moto atoa taarifa ya Awali
มุมมอง 37วันที่ผ่านมา
KAZI YA UOKOAJI INAENDELEA VIZURI ENEO LA TUKIO | Kamanda wa zima moto atoa taarifa ya Awali
GHOROFA LAPOROMOKA KARIAKOO / Mh. Rais Dr.Samia atoa maagizo na kuwapa pole waathirika wa ajali.
มุมมอง 246วันที่ผ่านมา
GHOROFA LAPOROMOKA KARIAKOO / Mh. Rais Dr.Samia atoa maagizo na kuwapa pole waathirika wa ajali.
SIFA ZA WALII WA KUFUNGISHA NDOA | Je, nani walii wa binti aliyezaliwa nje ya ndoa akitaka kuolewa?
มุมมอง 41วันที่ผ่านมา
SIFA ZA WALII WA KUFUNGISHA NDOA | Je, nani walii wa binti aliyezaliwa nje ya ndoa akitaka kuolewa?
Je, Ukimuacha Mke talaka mbili(2) kisha ukamuoa tena zile talaka za Mwanzo zinahesabika?
มุมมอง 13วันที่ผ่านมา
Je, Ukimuacha Mke talaka mbili(2) kisha ukamuoa tena zile talaka za Mwanzo zinahesabika?
Je, Walii anaweza kumpa uwakilishi mtu mwingine hata kama yeye yupo wakati wa kufungisha ndoa?
มุมมอง 64วันที่ผ่านมา
Je, Walii anaweza kumpa uwakilishi mtu mwingine hata kama yeye yupo wakati wa kufungisha ndoa?
MWANAUME ACHA KUJIPODOA | Usitengeneze Mwili wako, Tengeneza nafsi yako - Sheikh Omar Baggo
มุมมอง 23วันที่ผ่านมา
MWANAUME ACHA KUJIPODOA | Usitengeneze Mwili wako, Tengeneza nafsi yako - Sheikh Omar Baggo
KHUTBA | Maisha ni Matendo, tuzingatie tuyatendayo / Kisa cha Boss Katili mwenye wafanyakazi wajanja
มุมมอง 27วันที่ผ่านมา
KHUTBA | Maisha ni Matendo, tuzingatie tuyatendayo / Kisa cha Boss Katili mwenye wafanyakazi wajanja
NGUZO TANO (5) ZA NDOA / Je, Mwanamke anaweza kujiozesha mwenyewe kwa idhini yake? | Sheikh Mwerekwa
มุมมอง 89วันที่ผ่านมา
NGUZO TANO (5) ZA NDOA / Je, Mwanamke anaweza kujiozesha mwenyewe kwa idhini yake? | Sheikh Mwerekwa
DARSA LA NDOA (02) | Je, Mwanamke anaweza kumchumbia (KUMPOSA) Mwanaume?/ Usioe Mwanamke huyu
มุมมอง 19วันที่ผ่านมา
DARSA LA NDOA (02) | Je, Mwanamke anaweza kumchumbia (KUMPOSA) Mwanaume?/ Usioe Mwanamke huyu
DARSA LA NDOA (01) | Ni lipi lengo la Ndoa, nani anapaswa kuoa kwa Mujibu wa sheria | Shekh Muhammad
มุมมอง 21วันที่ผ่านมา
DARSA LA NDOA (01) | Ni lipi lengo la Ndoa, nani anapaswa kuoa kwa Mujibu wa sheria | Shekh Muhammad
"HAKUNA MTU ASIYEJUA KILA KITU NA HAKUNA MTU ANAEJUA KILA KITU" Maendeleo yako ni Jukumu lako
มุมมอง 45วันที่ผ่านมา
"HAKUNA MTU ASIYEJUA KILA KITU NA HAKUNA MTU ANAEJUA KILA KITU" Maendeleo yako ni Jukumu lako
Achana na upagani silim
hilo unasema kwa mapendekezo yako , kama kweli umesoma dini basi haujaelimika , jiandae kuulizwa
S.A.W Muhammad lasurullah kipenz cha Allah
Shehee unasaidiasan
Saana c kidogo Allah amtunze
Subhaanallah
🤣🤣🤣🤣🤣
Amen 🙏🙏
Wewe waambie waambie Waislam wasiende kuzika Wakristo sababu Kutoa hashma ya Mwisho kwa Marehemu siyo Ibada na huwa ina tolewa kabla au baada ya ibada
Shukran
Hongera shekhe wewe ni kiongozi wa dini usiye na ubaguzi hizi ni imani tu. Sote tutakwenda njia moja
🤲 amiina yarabilialamina
Mashallah
Mbona ushee mkuuu uwa ana agaaa
Yesu ndie njia yakweri na usima sema amina utabilikiwa sana
Ni njia sie MUNGUE?
Amen
Ni kweli sheikh, Allah akulipe
TUMUOMBE ALLAH AWAJAALIE MASHEKH WETU , UMRI MREFU ,AFYA NJEMA,HIKMA ,ILMU NA UWEZO WAZIDI KUTUKUMBUSHA KUTUELIMISHA KATIKA DINI YAKE ALLAH SWT. ALLAH AWAJAALIE JANNATUL FIRDAUS NA SISI PAMOJA AMIIN
Amin x 3 🤲
Mashaallah
Maashaallah Allah akihifadhi
@@SaidinaKhamisi Amin x 3 🤲
Bado hamjasema😅😅😅😅
Vita
Allah Akuhifadhi a sheikh Wetu shukran Wajazaukum llah khayra ❤❤❤ Maneno Yafaayo kuandikwa kwa Wino Wa Dhahabu
Nakubal hizo ni nondo kali
Halaf nashangaa sana hili suala.. wakati mm sijawahi kumuona mkiristo kusimama katika swala ya maiti wa kiislam ila baadhi ya waislam hatujielewi kwanini tushiriki katika ibada za wakiristo kumuaga maiti
Sheikh .hili lipo kweli hususan waislamu wa Tz,bara wamekithiri kushirikiana na wakristo kuaga maiti na kushiriki maziko. ila huku visiwani znz hayo mambo hapana. Wakati mungu amesema Waislam musishirikiane na wakiristo katika ibada zao. huu ni mtihani mkubwa! Waislam wapi tunaelekea tunaacha mafundisho ya mtume tunahadalika na dunia tunapita2
@@salehkhamis-ob8ln Maashallah
Siowote naww usichanganye wote
Hakuna lolote huyu mzee uzee umemzidi
hampendi ukweli hiyo ni hasara hako
Ww acha kubishana pumba huyo ni sheikh amesoma. soma na ww uelewe usibishane bichwa tupu
Asante sana Sheikh wangu Mussa nimekufata vizuri Ndugu Yako Idrissa Diddy Niko Rwanda
Sheikh hapo naomba kuuliza,kwa Tanzania anapokufa kiongozi sio muislamu na nyinyi masheikh mnakwenda uwanja wa taifa kufanya hivyo,kumuaga na akiwa wazi je hapa inakuaje.😢
Sawa tutampatia Sheikh swali lako.
Shukurn habit allah akujalie uzid kutuelimisha
Amin
Kweli. Kanisa
Maashallah
Really
Naomba majibu Ustadh
Tumewasilisha swali lako kwa Sheikh, Insha'ALLAH atakujibu
Jee mchanganyiko wa makaburi ya waislam na wa sio waislam , vipi hali hii nimeiona sehemu
Huo mtihani mkubwa kwakweli
Insha'ALLAH sheikh atakupa majibu, tayari tumewasilisha swali lako
Kweli kabisa Ustadh
Maashallah Mungu ibariki Tanzania.
Amin x 3 🤲
Swadakta sheikh sabuni hairudi ilivokua
Mashallah 🎉
Mara zote haki i lnapigwa na watu wa9vu na wajinga
Sio haramu uziri ile tuna waonyeshe dio mana wanasilimu Shee hiyo sio Ibada ila silazima uone maiti
Nimeshuhudia baba wa boss wangu alikufa na niliona familia wakiaga
Vipi anaewikiliza qur an akiwa kwenye hizo ada
Kusikiliza hakuna shida, ila usishike msahafu wala kusoma ukiwa kwenye ada.
Jazakallah kheri Ahsante sana nimejifunza. Kama ukifanya tendo na mwanamme ambae ajakuoa Lakin tayali ana nia yakukuoa na mkawa mnaishi wote inaswihi tafadhali naomba kufahamu 🙏🙏
@@Zarah_skincare A'aleykum Kwanza MUNGU aendelee kukuonesha wema uufuate na Insha'ALLAH akuepushe kwa dhambi ya zinaa. Kuoga josho la janaba ni kwa watu wote hata kama hujaoa au kuolewa. Usia wangu kwako ni kwamba jitahidi umlinganie huyo mwenza wako akuoe maana kama kweli ana nia ya dhati basi ndoa ni jambo jepesi kabisa, lakini ikiwa unamuogopa Allah basi jitahidi ukatae dhambi ya zinaa.
@SingoMedia Amiin Inshaallah ahsante kwa kunifahamisha ninashauku yakujua kama huwa mnatoa darasa kwa njia ya whatsapp lengo langu nikuhitaji kujua kuisoma Quran bila ya kukalili ni ombi tu kumladhi🥺🙏
@@Zarah_skincare chat.whatsapp.com/GJpSWaVTaoUFZOkqhdvZF2
@@Zarah_skincare Hilo ni group la Whatsapp la channel yetu pia namba ni hiyo hiyo tunaweza kuwasiliana.
@@SingoMedia Shukurani
Mashaallah. Imefana. Japo. Nyimbo. Sauti. Ya. Nndiy. ❤
Maashallah
Shekh Nakuheshimu sana,lakini Acha UBAGUZI
Pilipili usioila yakuwashia nini? Kwani wewe unaweza kusimama ktk sala ya maiti ya Kiislamu?
Sio ubaguzi huo ukweli kabisa kwan na wewe ushawahi kusimama kwenye swala ya maiti ya kiislam
@salehkhamis-ob8ln Ujira wake ni mkubwa WALILLAHIL HAMDU, siwezi acha.
Naomba namba zenu jaman naumwa naitaj Matisyahu ya akili
+255677074468
Assalam alykum jee ukiharibu mimba ukimaliza utajitoharisha kwa josho gani?
W'salaam, endapo ikitokea ukaharibu mimba au ikiharibika yenyewe basi utatumia utaratibu ule ule unaotumika wakati wa kujitwaharisha josho la nifasi (Kujifungua).
Shekh sio haramu
Lete ushahidi usiongee pumba
Masha zoea kuona nyuso za wafu lazima utasema sio haram
Maashallah
Mussa Jombi AHM Primary school 2000-2006
Maashallah
Ameen yarab
Uko wp sheikh wangu