- 274
- 19 945
SALAF NEWS TZ
เข้าร่วมเมื่อ 15 ก.ย. 2024
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Duruus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu.
This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Duruus) of various sheikhs in Tanzania and abroad Tanzania, admonitions, khutbahs, fatwas of scholars, Quran, and various poems.

ZINATOFAUTIANA SABABU ZA KIFO TU ILA KILA MMOJA ATAKUFA -Sheikh Abuu Naimah Fadhil Mchinji حفظه الله
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu.
This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various sheikhs in Tanzania and abroad Tanzania, admonitions, khutbahs, fatwas of scholars, Quran, and various poems.

มุมมอง: 29
วีดีโอ
KHIYANA NA DHULMA ALIYOFANYIWA SHEIKH QASSIM MAFUTA BAADA YA PICHA ZAKE KUSAMBAA MITANDAONI
มุมมอง 14915 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KHIYANA NA DHULMA ALIYOFANYIWA SHEIKH QASSIM MAFUTA BAADA YA PICHA ZAKE KUSAMBAA MITANDAONI #qassimmafuta
MWAKA MPYA HAUKUHUSU KUUSHEREHEKEA - Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله
มุมมอง 262วันที่ผ่านมา
46. Kurauka Mskitini Siku ya Ijumaa - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 313 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
45. Baadhi Ya Hukmu Za Swala ya Ijumaa - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 433 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
44. Swala ya Ijumaa - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 303 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
43. Yanayofungamana Na Msafiri (Katika Swala) - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 193 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
42. Walioruhusiwa Kuacha Swala Ya Jamaa - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 123 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
VIPI MTOTO ATAVAA HIJABU IKIWA MAMA HAVAI - Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله
มุมมอง 733 วันที่ผ่านมา
41. Kuifuata Jamaa Kwa Kumskia Imamu - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 264 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
40. Sehemu Ya Kusimama Maamuma - Sheikh Abuu Hashim Abdul-Qaadir حفظه الله
มุมมอง 394 วันที่ผ่านมา
BAADHI YA FAMILIA, MATUSI NI KAWAIDA - Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله
มุมมอง 2024 วันที่ผ่านมา
URAFIKI
มุมมอง 815 วันที่ผ่านมา
MKE ATEKELEZE HAKI ZA MUMEWE - Sheikh Abuu Arqam Abdallah Muhsin حفظه الله
มุมมอง 2025 วันที่ผ่านมา
OMBI LA KURUHUSIWA NIQAAB KWA MAMLAKA
มุมมอง 1.8K6 วันที่ผ่านมา
Channel hii inahusika na utoaji wa mafunzo Sahihi Ya Dini ya Kiislamu kama vile Darasa (Durus) Za Masheikh Mbalimbali Wa Kisalafi ndani Ya Tanzania na Nje ya Tanzania, Mawaidha, Khutbah, Fatawa za Wanachuoni, Quran, Mashairi Na Faida Mbalimbali zinazohusu Dini Ya Kiislamu. This channel engages in the delivery of proper trainings in the Islamic religion, including Classes (Durus) of various shei...
Allah akufanyie wepesi jambo hili
Tuko kwenye serekali ya makafiri
Kweli tunadhalilika asaaa kila pahala tunavuliwa niqabu.....mie juz nimeenda skuli ya lumumba tumevuliwa asaa niqabu na kwaju tumenyooshewa
ALLAAH akulipe
Mashaallah sheikh wetu allah awalainishe nyoyo zao viongozi wetu
Tuna muomb ALLAH mwing wa rehma alitie nguvu suala hili lifanikiwe pia NA TUPATE HOSPITAL YA KIISLAM WANAWAKE WAUMINI WANADHALILIKA SANA Mana inafikka hatua wale walo wadhaifu wa iman wansem bora kuzalishwa na dokta wa kiume kuliko wa kike
ماشاءاللہ ALLAH akulipe kwa fikra zako . hapo ndio tunaona kunahaja kuwaandaa waislam wakike katika fani kama hizi ili iondoke hii dharura ya mwanamke kuhudumiwa na mwanamme
@abuuhafswa ni kwel akhy hili jmbo lina tuumiz wengi hili jmb viongoz wetu wa kidini walifnyie utaratibu Bila ya hivi bas uzalilishaj huu hautaisha
Ni jambo zur Ongeleeni kuhusu ndevu pia maana watu wanahangaishwa sana makazini kuliko hata wanawake wanaovaa niqabu
Akhiy acha kazi tafuta kazi nyengine
Kabisaaa
Sheikh usisahau kuwaomba na hukmullah
Kwan iyo ni hukmu yko ? ebu tuliza skili kabla hujaongea
Kwaiyo kuvaa niqabu Ni hukm ya twqghut au?
Tuwaombe na hukmullah
Wewe ni khawariji?
Tuwaombe na hukmullah
Mbona kama ni maneno ya haki yalokusudiwa baatwil
Inshaallah
Ni nyinyi mulokuwa munawaita mahizbi wanaopigania hijabu mashuleni na kasimu mafuta akawakebehi kuwa wanapigia hijabu mashuleni wakati wake zao hawavai.
Wee Wacha husuda na sheikh Qassim huyo ndio sheikh wenu mupende musipende
Eeh imekuwa lazima? Pole Yako na sheikh lako
Ifahamu nukta sisi tunaomba ruhusa Sio Kabala ya ruhusa ukawashajihisha watu wavae nikabu shuleni bila ya mamlaka kutoa ridhaa huwezi kujifanyia tu kwaiyo abul fadhwili alicho kikataza ndio hocho
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar sijakuelewa nyoonya maneno nyie mnafanya Nini Abdul fadhil alifanya Nini yaani tofauti ya mnachokifanya na alichokifanya Nini maana mumejawa na chuki mpaka hamuoni haki
In shaa'Allah iwe khery
Allah akajaalie wepesi katika kheri hii... Uhifadhike sana Sheikh wangu Abuu Faidaan Suleyman Abubakar
Insha Allah itakuwa sawa
masha Allah Allah afanye sahali alainishe nyoyo za wale wanaoombwa katika hili.
Allah akuhifadhi shekh Na kuna wengine wanadiliki kumsemezea mtume swallallahu aleyhi wasallam kwa kusema "umbea sunnah" AlLLAH subhaanahu wataala atuongoze
Kweli kabsaa Shekhe
Allahu Akbar
🙏
Assalamu aleykum warahmatullah nilikua nauliza Darsa ndefu naweza kupata wapi kimtandao
Walaykum Salam warahmatullah wabarakaatuh, nadhani hii ya chini th-cam.com/video/dFF1_NapIIY/w-d-xo.htmlfeature=shared
Sheikh tunapenda unavyo fundisha
خذ عقيدتك. Kwa fataha
Maashaallah maashaallah maashaallah shukran wajazakkallah khayrran kwa taarifa walla nimefurahi mnooo kusikia hivyo Allah awalipe wale woote walio fanikisha kutimia hilo jambo jema la redio Kwa hiyo twasubiri kwa hamu litimie tupate kustafid
Allah akubarik akulipe khairrr
بارك الله فيك
Kwel kbsa ni shetan anadangany watu Allah atuongoze
بارك الله فيكم
جزاكم الله خيرا
Ni kweli nyinyi hamna udhuru kwa upotevu mliokuwa nao
ALLAHu akbar
الله يحفظك يا معلمنا...
Baarakanllah fiykum ❤❤
Allaahu AKBAR Allaah amlipe kheri ndugu yetu huyo ambae sie hatumjui lakin kwakua Allaah na malaayka wake wanamjua inatosha kabisa kuliko kujulikanwa na ulimwengu mzima
Jambo la kheri hili Allah ajaalie ifike mbali zaidi.
Masha Allah allahuma barik
ما شاء الله
Allah afanye wepesi zaid kwa maana huko vijijini ndo mtihani zaidi ila kwa uwezo wa Allah mwangaza utawafikia zaid na kila kitu kitakua sawa tu, InshaAllah
Allahumma Baarik. Allah alitie jambo wepesi lisimame in shaa Allah.
Masha Allah. Allahumma Baarik
Naaam
Mashaallah 🎉
Kijana wangu Assalam alaykum warrahmatullah wabarakatuh
@@tellackyabdul9312 Waleykum Salaam Warahmatullaah wabarakaatuh Mdiruu
@Daarul_Ghurabaa Hahahaha mie ndo mdiru...!!! Khaaa
🔥🔥🔥 أيوه..!!