SK Online TV
SK Online TV
  • 525
  • 813 066
MBETO ASHUSHA KIBANO KIZITO KWA ACT WAZALENDO, ATAKA WATAMBUE SHERIA NA SIO KUKURUPUKA KUJIBU
=MBETO ASHUSHA KIBANO KIZITO KWA ACT WAZALENDO, ATAKA WATAMBUE SHERIA NA SIO KUKURUPUKA KUJIBU
===============
⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/
⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1
⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( +255 715 401610), ( +255 773 401610)
⚫ Email: sknews.info@gmail.com
⚫ OUR PLAYLISTS:
⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ
⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47
⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
มุมมอง: 694

วีดีโอ

MBETO AUNGURUMA MAZITO KUHUSU MUUNGANO NA NYERERE, ATAJA YALIYOJIFICHA AWATAKA VIJANA KUJIFUNZA
มุมมอง 54019 ชั่วโมงที่ผ่านมา
=MBETO AUNGURUMA MAZITO KUHUSU MUUNGANO NA NYERERE, ATAJA YALIYOJIFICHA AWATAKA VIJANA KUJIFUNZA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl...
HAYA NDIO MAAJABU YA MBETO, SIO KWENYE SIASA TU HATA KWENYE DINI YUKO VIZUR, TAZAMA ALIVYOKIWASHA.
มุมมอง 99121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
=HAYA NDIO MAAJABU YA MBETO, SIO KWENYE SIASA TU HATA KWENYE DINI YUKO VIZUR, TAZAMA ALIVYOKIWASHA. ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: short...
ACT WAZALENDO WAMEKIMBIA MAZUNGUMZO YA KURA YA MAPEMA, WASIPINDISHE UKWELI KWA WANANCHI :NAIBU DIMWA
มุมมอง 2.9K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
=ACT WAZALENDO WAMEKIMBIA MAZUNGUMZO YA KURA YA MAPEMA, WASIPINDISHE UKWELI KWA WANANCHI, MAMBO YA KISHERIA HAYAJADILIWI JUKWAANI :NAIBU DIMWA ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAH...
MBETO KIBOKO YA ACT WAZALENDO, ATUA PEMBA KIBABE, ATAMBA CCM NI BORA KULIKO UPINZANI, AELEZA SABABU
มุมมอง 1.2Kวันที่ผ่านมา
=MBETO KIBOKO YA ACT WAZALENDO, ATUA PEMBA KIBABE, ATAMBA CCM NI BORA KULIKO UPINZANI, AELEZA SABABU ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shor...
DR MWINYI ASHUSHA NEEMA KWA WAZEE, SASA KUPANDA DALADALA KWA NUSU NAULI, FUATILIA KUTOKA KISIWANDUI
มุมมอง 280วันที่ผ่านมา
DR MWINYI ASHUSHA NEEMA KWA WAZEE, SASA KUPANDA DALADALA KWA NUSU NAULI, FUATILIA KUTOKA KISIWANDUI ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: short...
CCM PEMBA WATUMA SALAMU KWA OMO, WATUMIA HOJA NZITO KUMWELEZEA HADHARANI. FUATILIA UJIONEE
มุมมอง 2.5Kวันที่ผ่านมา
=CCM PEMBA WATUMA SALAMU KWA OMO, WATUMIA HOJA NZITO KUMWELEZEA HADHARANI. FUATILIA UJIONEE ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/o...
DAKIKA 17 ZA HOTUBA YA DR MWINYI SIKU YA WAZEE DUNIANI KISIWANI PEMBA, AELEZA MIPANGO YA WAZEE.
มุมมอง 36614 วันที่ผ่านมา
=DAKIKA 17 ZA HOTUBA YA DR MWINYI SIKU YA WAZEE DUNIANI KISIWANI PEMBA, AELEZA MIPANGO YA WAZEE ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl....
HOTUBA KALI YA MBETO JIMBO LA KOJANI PEMBA, AMRARUA OMO KWA HOJA KALI , SASA ATAKA MABADILIKO
มุมมอง 2.4K14 วันที่ผ่านมา
=HOTUBA KALI YA MBETO JIMBO LA KOJANI PEMBA, AMRARUA OMO KWA HOJA KALI , SASA ATAKA MABADILIKO ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.a...
USHINDI 2025 KWA CCM NI LAZIMA, IWE JUA IWE MVUA. MBETO AWATUMIA SALAM WAPINZANI.
มุมมอง 2.1K14 วันที่ผ่านมา
=USHINDI 2025 KWA CCM NI LAZIMA, IWE JUA IWE MVUA. MBETO AWATUMIA SALAM WAPINZANI. ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
WANACCM, MSIKUBALI KUONA MARAIS WETU WANATUKANWA HADHARANI, TUWAJIBUNI: MHE LELAH
มุมมอง 35014 วันที่ผ่านมา
WANACCM, MSIKUBALI KUONA MARAIS WETU WANATUKANWA HADHARANI, TUWAJIBUNI: MHE LELAH ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
MAALIM SEIF ALIKUA MROHO WAMADARAKA SEMENI UKWELI, CCM WAJIBU MAPIGO KWA ACT, MBET0 AWAKAANGA VIKALI
มุมมอง 3K14 วันที่ผ่านมา
MAALIM SEIF ALIKUA MROHO WAMADARAKA SEMENI UKWELI, CCM WAJIBU MAPIGO KWA ACT, MBET0 AWAKAANGA VIKALI ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shor...
MCHEZO MCHAFU WA ACT WAZALENDO KWENYE MASOKO MAPYA WABAINIKA, CCM WAWEKA WAZI YOTE
มุมมอง 1.7K14 วันที่ผ่านมา
=MCHEZO MCHAFU WA ACT WAZALENDO KWENYE MASOKO MAPYA WABAINIKA, CCM WAWEKA WAZI YOTE ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: shorturl.at/oxMW4
MKANDARASI BANDARI PEMBA AKALIWA KOONI, ALAUMIWA KWA KUCHELEWESHA MRADI, MBETO ATOA MAELEKEZO MAZITO
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
=MKANDARASI BANDARI PEMBA AKALIWA KOONI, ALAUMIWA KWA KUCHELEWESHA MRADI, MBETO ATOA MAELEKEZO MAZITO ⚫ TEMBELEA BLOG YETU: sknewsznz.blogspot.com/ ⚫ SUBSCRIBE HAPA: shorturl.at/uPTU1 ⚫ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫ WASILIANA NA SK NEWS ( 255 715 401610), ( 255 773 401610) ⚫ Email: sknews.info@gmail.com ⚫ OUR PLAYLISTS: ⚫ HABARI MPYA: shorturl.at/dkqGQ ⚫ MAHUSIANO: shorturl.at/bxM47 ⚫ SIMULIZI: sho...
UKIMSHAMBULIA RAISI SAMIA KISA MWANAMKE HATUTAKUACHA SALAMA: MAKAMU MWENYEKITI DP
มุมมอง 20621 วันที่ผ่านมา
UKIMSHAMBULIA RAISI SAMIA KISA MWANAMKE HATUTAKUACHA SALAMA: MAKAMU MWENYEKITI DP
SAKATA LA MAANDAMANO YA CHADEMA , MBETO AWAPONGEZA POLISI WAMEMKAMATA MBOE BILA YA KUMJERUHI POPOTE
มุมมอง 50228 วันที่ผ่านมา
SAKATA LA MAANDAMANO YA CHADEMA , MBETO AWAPONGEZA POLISI WAMEMKAMATA MBOE BILA YA KUMJERUHI POPOTE
MWALIMU YANGA ABAGAWA NA USHINDI WA YANGA, ACHEZA MCHANA KWEUPEEEE
มุมมอง 54หลายเดือนก่อน
MWALIMU YANGA ABAGAWA NA USHINDI WA YANGA, ACHEZA MCHANA KWEUPEEEE
MANNENO MAZITO YA GAMONDI BAADA YA KUSHINDA 6-0
มุมมอง 30หลายเดือนก่อน
MANNENO MAZITO YA GAMONDI BAADA YA KUSHINDA 6-0
DIKISON JOBU: HII YANGA ITACHUKUA UBINGWA AFRIKA
มุมมอง 48หลายเดือนก่อน
DIKISON JOBU: HII YANGA ITACHUKUA UBINGWA AFRIKA
GODI YANGA AFANYA KITUKO ZANZIBAR KISA BAO 6-0
มุมมอง 588หลายเดือนก่อน
GODI YANGA AFANYA KITUKO ZANZIBAR KISA BAO 6-0
MBWEMBWE ZA ALI KAMWE , AOMBA DUA YANGA IKITANE NA MAMELOD
มุมมอง 215หลายเดือนก่อน
MBWEMBWE ZA ALI KAMWE , AOMBA DUA YANGA IKITANE NA MAMELOD
ZIARA YA CCM ILIYOTIKISA MICHEWENI PEMBA, WABEBA MAMIA YA WANACHAMA FUATILIA UJIONEE
มุมมอง 503หลายเดือนก่อน
ZIARA YA CCM ILIYOTIKISA MICHEWENI PEMBA, WABEBA MAMIA YA WANACHAMA FUATILIA UJIONEE
CCM ZANZIBAR ,WAUNGANA NA WANANCHI KULANI MATUKIO YA UTEKEJI WASEMA YEYOTE ANAEHUSIKA ATASHUHULIKIWA
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
CCM ZANZIBAR ,WAUNGANA NA WANANCHI KULANI MATUKIO YA UTEKEJI WASEMA YEYOTE ANAEHUSIKA ATASHUHULIKIWA
CCM WAJIBU MALALAMIKO YA ACT WAZALENDO, YASEMA MLALAMIKO YA ACT HAYANA UKWELI, AWEKA WAZI KILA KITU
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
CCM WAJIBU MALALAMIKO YA ACT WAZALENDO, YASEMA MLALAMIKO YA ACT HAYANA UKWELI, AWEKA WAZI KILA KITU
MZOZO WA ACT KWA CCM PEMBA CHANZO CHATAJWA, WAHUSIKA WAELEZA KILA KITU
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
MZOZO WA ACT KWA CCM PEMBA CHANZO CHATAJWA, WAHUSIKA WAELEZA KILA KITU
POLISI PEMBA YAJIBU MAPIGO KWA ACT WAZALENDO, WACHAMBUA HOJA ZAO ZOTE NA KUTOA ONYO
มุมมอง 3.6Kหลายเดือนก่อน
POLISI PEMBA YAJIBU MAPIGO KWA ACT WAZALENDO, WACHAMBUA HOJA ZAO ZOTE NA KUTOA ONYO
ZIARA YA CCM PEMBA, UPINZANI WATEKETEA WACHOTA MAMIA YA WANACHAMA, TAWI LA ACT LAWA TAWI LA CCM
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
ZIARA YA CCM PEMBA, UPINZANI WATEKETEA WACHOTA MAMIA YA WANACHAMA, TAWI LA ACT LAWA TAWI LA CCM
2025 HAKUTAKUA NA GNU MANA CCM ITASHINDA KWA ASILIMIA 99
มุมมอง 876หลายเดือนก่อน
2025 HAKUTAKUA NA GNU MANA CCM ITASHINDA KWA ASILIMIA 99
SAKATA LA POLISI ZANZIBAR MBETO ATOFAUTIANA NA OMO ASEMA AMEANZA KUCHANGANYIKIWA
มุมมอง 2.7Kหลายเดือนก่อน
SAKATA LA POLISI ZANZIBAR MBETO ATOFAUTIANA NA OMO ASEMA AMEANZA KUCHANGANYIKIWA
WANAJIDANGANYA TU ILA 2025 CCM LAZIMA ITASHINDA UCHAGUZI : MBETO
มุมมอง 451หลายเดือนก่อน
WANAJIDANGANYA TU ILA 2025 CCM LAZIMA ITASHINDA UCHAGUZI : MBETO

ความคิดเห็น

  • @AbdallahMohd-c5w
    @AbdallahMohd-c5w 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa mbaya

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamal hayaatu dduniyaa illaa mataaul khuruur!!!!!

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 2 วันที่ผ่านมา

    Ww unachokitafuta utakipata.😂 Ao ao ccm watakuja kukutia mikwaju.

  • @MussaKassim-i3k
    @MussaKassim-i3k 3 วันที่ผ่านมา

    Huu ni msimu wa kupiga ela

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mbeto usiwe mbumbu unataka upinzani wawafanyie wana nchi wewe ungesema haya tuliyoyafanya tutafanya zaidi mkitucjagua tena

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 3 วันที่ผ่านมา

    Acha kusema uongo inayojenga ni serikali ya MAPINDUZI ZANZIBAR sio Dr Mwinyi

  • @HassanAlli-i6g
    @HassanAlli-i6g 4 วันที่ผ่านมา

    Q8

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona unashiriki kumwaga damu za Waislamu wa Zanzibar wasio na hatia mnafiki mkubwa wewe!

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 5 วันที่ผ่านมา

    Usipotoshe tafsiri wewe nenda wenye siasa za kipuuzi munazozifanya

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 5 วันที่ผ่านมา

    Tena Leo kavaa kofia eti wakat ndio kz yao wizi kubalini kura ya siku moja tu

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 5 วันที่ผ่านมา

    Nyie ccm ni wizi tu mnajulikana

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 5 วันที่ผ่านมา

    Usilinganishe south Africa na Zanzibar mjinga ww basi Tanzania bara kwenye milion of people's wapige kura siku 4 pia Ila Zanzibar yenye low numbers of People's kura ya siku mbili inatokea wapi kama sio wizi wenu tu nyinyi majizi tu ila kitaeleweka tu maana hii nchi imejaa wajinga waliozeeka bila kujali kizazi kijacho ila Tukutane 2025

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo Mbeto ndie mjinga wao!nadhani hata moyoni mwake anajisuta na kama si hivyo basi ujinga umemtawala na kama hakuna kiongozi kama yy hao waliopita kwanini aliwaunga mkono"Its very stupidity ideal!

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z 6 วันที่ผ่านมา

    Mara hayupo asuman

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z 6 วันที่ผ่านมา

    We unalana we Mzee huna hata aibu unangalia tumbo lako tu

  • @MakameAly
    @MakameAly 6 วันที่ผ่านมา

    CCM wezi tuu kwanini hamjiyamini kura siku moja

  • @Aisha-j2o5i
    @Aisha-j2o5i 6 วันที่ผ่านมา

    Ww nnawas was wafirwa msenge mmoja we nyoo

  • @SeifSalum-i3r
    @SeifSalum-i3r 6 วันที่ผ่านมา

    Hunalolote

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 6 วันที่ผ่านมา

    Kura ya mapema ya nini mnataka kutupiga ya kichwa😢

  • @zuwenaalabry1725
    @zuwenaalabry1725 6 วันที่ผ่านมา

    Mijizi ccm.

  • @zuwenaalabry1725
    @zuwenaalabry1725 6 วันที่ผ่านมา

    Hasbiya Allah Waneemah LWakil

  • @zuwenaalabry1725
    @zuwenaalabry1725 6 วันที่ผ่านมา

    Aluminium si ..... jee Dr. Mwinyi yeye ndio kabisa. Mwizi muuwaji. Shame on you ccm. Mutao a nyie siki ya kiyama

  • @salehkheir6449
    @salehkheir6449 6 วันที่ผ่านมา

    Chama cha Mapinduzi kimefanya makubwa sana katika nchi yetu mwenye macho haambiwi tazama

  • @muhsinabdullah199
    @muhsinabdullah199 7 วันที่ผ่านมา

    Ngosha ww huna ulijualo

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 7 วันที่ผ่านมา

    Siku mbili kwa idadi ya watu wangapi. Laki 6 upige kura siku mbili? Wakati kuna nchi watu milioni 50 hupiga kura siku moja. Kama sio kutaka kufanya wizi na ubadhirifu ni kitu gani hicho. Mlishaona mwaka 2015 jinsi watu walivyopiga kura na matokeo yakabandikwa katika kuta kila mtu alijionea akajua nani kashinda mkaufuta uchaguzi. Ili mubaki madarakani kwa nguvu wakati wananchi waliamua wenyewe kuwakataa ccm. Mabavu kutumika ili ccm ibaki madarakani. Ndio mmekuja na mbinu ya kura ya mapema ili watu wapate fursa za kuiba. Sasa km mnajiamini mnashinda ni wajibu kuweka kura siku moja, matokeo yabandikwe kituoni baada ya kura kuhesabiwa. Wabunge au mawakal wasain matokeo. Na mwisho atangazwe alie shinda kwa haki. Kupiga kura bila kuuwa inawezekana na mtu kupata haki yake kam alivyotakiwa kupata. Mtu akikataliwa halazimishi.

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o 7 วันที่ผ่านมา

    Ukimsikiliza huyu jamaa kama umeshiba basi njaa itakuja

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o 7 วันที่ผ่านมา

    Wakuomba ndo kama wako wewe saivi uanataka kutuadhib rudi kwenu kenyaa

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 7 วันที่ผ่านมา

    Ww pumzi isikudanganye ww Allah ndio hakim

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 7 วันที่ผ่านมา

    Kwenda ww dhulma2

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 7 วันที่ผ่านมา

    Lahaula

  • @MohamedAbdalla-tq8qo
    @MohamedAbdalla-tq8qo 7 วันที่ผ่านมา

    Hili jamaa kweli hamna kitu na awo wanaomuhoji wanahoji kwa woga

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 7 วันที่ผ่านมา

    KUFUTWA KADI ZA URAIA Kwa nini Kadi za Uraia wa Zanzibar ziliondoshwa baada ya Kifo Cha Rais Karume?

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mpumbavu bado mnamuhoji tu pua tu

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 7 วันที่ผ่านมา

    Mfuko mzima wa dawa!! Ndio vile vile kama zamani ..hhhhhh

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 7 วันที่ผ่านมา

    Hamna hoja kitu! ila unajitahidi kubabaisha.

  • @alinassor391
    @alinassor391 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kuboresha wizi tu

  • @alinassor391
    @alinassor391 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kuboresha wizi tu

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 6 วันที่ผ่านมา

      Fanyeni mutakavyo hata mukisema upigaji kura siku60 ni sawa kama kura milioni moja kura ya mapema huku bara watu milioni zaidi ya milioni 40 siku moja nyinyi mipango ya wizi wakura kama muko tayari pigeni kura za wazi

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 7 วันที่ผ่านมา

    UBAGUZI NI MSINGI WA CHAMA CHA MAPINDUZI Kama kweli Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja kwa nini Zanzibar yenye watu kidogo, Uchaguzi ufanyike zaidi ya Siku Moja kusingizia watu maalum? Lakini Tanganyika kuna mamilioni ya hao watu maalum kwa nini Uchaguzi ufanyike Siku Moja? Kwa ajili ya Ubaguzi watu maalum watapiga kura maalum za ziada kwa Chama Cha Mapinduzi? Watu maalum wengine watatoka Tanganyika kupiga kura maalum kwa Mtanganyika mwezao? Bila ya Wizi na Ubaguzi hakuna Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ambacho hakijashinda Zanzibar hata mara moja. Ali Karume na wengine walithibitisha. Kama Uchaguzi wa Siku Maalum (Ubaguzi) ni halal kwa sababu ni Sharia na pia Afrika Kusini ilipitisha Sharia Halali ya Ubaguzi. Afrika Kusini APARTHEID na Zanzibar ZAPARTHEID

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 7 วันที่ผ่านมา

    Iogopeni dhulma ,hakika ya dhulma ni Giza siku ya kiama.

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 7 วันที่ผ่านมา

    Uwo mungano kwani nchi zipi zimeungana tanganyika na zanziba? au tanzania na zanzibari? hatuelewi kama zanziba na tanganyika ndo zilizoungana mbona tanganyika haipo zanziba iwepo je jina la tanganyika baya ndo wakaona lilejina la muungano wajite wao? Na ss wazanzibari tulikua na kitichetu umoja wa mataifa kwa nn tulikubali kuchukuliwa sasa tumekua wakaazi sio raiya

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe mzee wacha ujinga kuwambia watu uongo zambarau si basha wako wanakuumiza ndani ya nafsi yako enda katafute mabasha wakukaze huko umelegeya kama mboga huna lolote

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 7 วันที่ผ่านมา

    Maisha magumutuliyonayo wachache ndo wanaofaidika zanziba tajiri lakini ccm ndo wanaotubana kupitia mungano zanziba kilakitu tunachotaka kufanya mpaka tuombe ruhusa tanganyika walojificha kwenye mwamvuli wa Tanzania zanziba inanuka njaa

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 7 วันที่ผ่านมา

    Mchamungu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Masruur-tk8io
    @Masruur-tk8io 7 วันที่ผ่านมา

    sheikh kwanza urudi madrsa dah ndio usomaji wako uoo😢😢

  • @Masruur-tk8io
    @Masruur-tk8io 7 วันที่ผ่านมา

    yaa uchale mtupu!

  • @Masruur-tk8io
    @Masruur-tk8io 7 วันที่ผ่านมา

    yaan iyo حمد imevurugwa vibaya sana

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 7 วันที่ผ่านมา

    Kwa vile mwenye kit ni wenu Killa kitu ni chenu hamna haja ya Kuja kupiga watu na kuuwa watu kuwaumiza kuwakeka kilema Bora jipen asilimia 80 mukae peke enu ila tambuan ipo siku mutakufa tu na mtaondoka mukiwa hamna kitu chchte kile ikiwa kura ya mapema kura ya ujinga gan mutakwenda kujua huko mbele ya Allah na dhulma zenu zilizokithiri na nyte nyinyi munaopga Kofi bas ndan ya kundi mumo

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 7 วันที่ผ่านมา

    Umeona wap ccm wakafanya haki ? Sasa mwenye kit anatokea ccm kweli hapo ndo atafanya uwadilifu na kutenda haki?

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 7 วันที่ผ่านมา

    Yaan Hawa wanachekesha kweli Sasa huyo hamid sio alikua mwenye kit wa tume? Kumbe nae ni ccm? Dah 😅😅😅😅 wanachekesha kweli Hawa mapimbi

  • @MohdSuleiman-k1o
    @MohdSuleiman-k1o 7 วันที่ผ่านมา

    Mcha mungu asaa bas hawez kutaka uongoz hasa uongoz wa kuongoz nchi