NYERU TV
NYERU TV
  • 25
  • 26 409
🔴#kumbuka: Hawa hapa watu waliochangia Ukuaji wa teknolojia ya dunia....
Kuna watu wengi sana waliochangia katika maendeleo ya teknolojia ya ulimwengu mpaka hapa ilipofikia na leo nimekuletea list ya baadhi ya watu waliochangia katika ukuaji na maendeleo ya teknolojia...
#kumbuka #nyerutv #technology #historia #history
usisahau ku subscribe, like, comment na kushare
Follow account zetu
Subscribe youtube channel for more videos🔻
www.youtube.com/@nyerutv
Instagram 🔻
eng_nyeru64
Threads 🔻
www.threads.net/@eng_nyeru64
Facebook 🔻
clevernyeru/
TikTok 🔻
www.tiktok.com/@eng_nyeru64
x (Twitter)🔻
@Eng_Nyeru64
Instagram 🔻
nyerutv64
Linktree 🔻
linktr.ee/clevernyeru
Music by 🔻@anakarada
"Alexander Nakarada - Echoes of Valor" is under a
Creative Commons (CC BY 4.0) license.
creativecommons.org/licenses/...
youtube.com/@anakarada?si=3efIlPxNa17mlt50
Music powered by BreakingCopyright: 🔻@BreakingCopyright
th-cam.com/video/W0IuHtuGNxw/w-d-xo.htmlsi=171fqMIzPcPjoUAD
มุมมอง: 129

วีดีโอ

🔴#technology: Lifahamu shirika la serikali ya Marekani NASA Linalohusika na uchunguzi wa anga Part 2
มุมมอง 1314 วันที่ผ่านมา
Shirika la Nasa ni moja ya mashirika yenye ushawishi mkubwa katika uchunguzi wa anga za juu. Kwa ufupi, Nasa ni kifupi cha National Aeronautics and Space Administration. Ni shirika la serikali ya Marekani linaloongoza katika uchunguzi wa anga za juu, utafiti wa sayansi ya anga, na programu za usafiri wa anga za kiraia. #technology #newideas #nasaupdates #nasa #kumbuka usisahau ku subscribe, lik...
🔴#technology: Lifahamu shirika la serikali ya Marekani NASA Linalohusika na uchunguzi wa anga Part 1
มุมมอง 9721 วันที่ผ่านมา
Shirika la Nasa ni moja ya mashirika yenye ushawishi mkubwa katika uchunguzi wa anga za juu. Kwa ufupi, Nasa ni kifupi cha National Aeronautics and Space Administration. Ni shirika la serikali ya Marekani linaloongoza katika uchunguzi wa anga za juu, utafiti wa sayansi ya anga, na programu za usafiri wa anga za kiraia. #technology #newideas #nasaupdates #nasa #kumbuka usisahau ku subscribe, lik...
🔴#technology: Mambo Usiyoyajua kuhusu Magari ya umeme... Hakika haya yatakushangaza...
มุมมอง 424หลายเดือนก่อน
Teknolojia inayotumiwa katika utengenezaji wa magari ya umeme ni pana sana, lakini hapa nimegusia baadhi ya maeneo muhimu sana katika magari ya umeme #technology #electricvehicle #Kumbuka #historia #Nyerutv #facts #katika #history #teknoloji #nikolatesla #mgunduziwaumeme #thefutureisexciting nyerutv64 #tech 00:00 Ukaribisho 00:47 Betri 03:53 Motor 06:30 Electronic Control Unit (ECU) 08:24 Mfumo...
🔴#kumbuka: Mfahamu Nikola Tesla Mwanasayansi wa kwanza kugundua Umeme wa AC, Wa majumbani...
มุมมอง 775หลายเดือนก่อน
#KUMBUKA: NI KIPINDI AMBACHO KINAKULETEA HISTORIA ZA WATU MBALIMBALI WALIOWAHI KUFANYA MAMBO MAKUBWA DUNIANI NA MATUKIO MAKUBWA YALIYOWAH KUTOKEA #kumbuka #historia #Nyerutv #facts #katika #history #teknoloji #nikolatesla #mgunduziwaumeme #thefutureisexciting nyerutv64 #tech #history usisahau ku subscribe, like, comment na kushare Follow account zetu Subscribe youtube channel for more videos🔻 w...
🔴#technology: Channel intro
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
Hii ndio official channel intro yetu.... usisahau ku subscribe, like, comment na kushare Follow account zetu Subscribe youtube channel for more videos🔻 www.youtube.com/@nyerutv Instagram 🔻 eng_nyeru64 Threads 🔻 www.threads.net/@eng_nyeru64 Facebook 🔻 clevernyeru/ TikTok 🔻 www.tiktok.com/@eng_nyeru64 x (Twitter)🔻 @Eng_Nyeru64 Instagram 🔻 nyer...
🔴#kumbuka: Mambo makubwa yaliyowahi Kutokea upande wa Teknolojia....
มุมมอง 79หลายเดือนก่อน
KUMBUKA: NI KIPINDI AMBACHO KINAKULETEA HISTORIA ZA WATU MBALIMBALI WALIOWAHI KUFANYA MAMBO MAKUBWA DUNIANI NA MATUKIO MAKUBWA YALIYOWAH KUTOKEA DUNIANI #alberteinstein #adolfhitler #isaacnewton #alexanderthegreat #galileogalilei #michelangelo #stephenhawking #stephenhawkings #leonardodavinci #thomasedison #Kumbuka #kumbuka #historia #Nyerutv #simulizizakweli #facts #katika #history #teknoloji ...
🔴#kumbuka : Mfahamu Mgunduzi wa kwanza wa simu Duniani
มุมมอง 6973 หลายเดือนก่อน
Bell hakuwa mtu wa kwanza wa kutengeneza simu kwa mawasiliano lakini mashine yake ilikuwa ya kwanza iliyoweza kutumiwa kibiashara nje ya majaribio na maabara. Alitumia matokeo ya utafiti wa watangulizi hasa Mwitalia Antonio Meucci #Kumbuka #kumbuka #historia #Nyerutv #simulizizakweli #facts #katika #alexandergrahambell usisahau ku subscribe, like, comment na kushare Follow account zetu Subscrib...
🔴#technology : Jinsi ya kutengeneza website kupitia simu yako kwa muda mfupi
มุมมอง 663 หลายเดือนก่อน
Hii ni njia sahihi na rahisi ya kutengeneza website kupitia simu yako tuu wala huhitaji kuwa na computer 🖥️ #tech #technology #webdesign #wegicai usisahau ku subscribe, like, comment na kushare Follow account zetu Subscribe youtube channel for more videos🔻 www.youtube.com/@nyerutv Instagram 🔻 eng_nyeru64 Threads 🔻 www.threads.net/@eng_nyeru64 Facebook 🔻 clevernyeru/ ...
🔴#technology: Zifahamu chip atakazowekewa binadamu zijulikanazo kama Neural link
มุมมอง 623 หลายเดือนก่อน
Ni muhimu kukumbuka kwamba teknolojia ni zana, na kama zana yoyote, inaweza kutumika kwa wema au uovu. Ni juu yetu kuamua jinsi tutatumia teknolojia ya siku zijazo. Ikiwa tutatumia kwa busara, inaweza kutusaidia kuunda mustakabali bora kwa kila mtu. Hata hivyo, ikiwa tutatumia bila kujali, inaweza kusababisha uharibifu wetu. Kwa hayo na mengine mengi usiache kuangalia video hii mpaka mwisho ili...
🔴#kumbuka: Yafahamu maeneo yanayotisha zaidi duniani
มุมมอง 2964 หลายเดือนก่อน
𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐮 𝐓𝐯 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐞𝐰𝐚𝐧𝐢 𝐥𝐞𝐨 𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐜𝐡𝐨 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐡𝐮𝐤𝐮𝐰à𝐡𝐢𝐛𝐤𝐮𝐟𝐢𝐤𝐢𝐫𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐬𝐬 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐧𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐮𝐛𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐮𝐩𝐚𝐭𝐞 𝐤𝐮𝐣𝐮𝐚 𝐋𝐞𝐨 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐤𝐮𝐦𝐢 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐚𝐧 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐞𝐨 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐡𝐮𝐭𝐚𝐤𝐢𝐰𝐢 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐭𝐚 𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐢𝐳𝐞𝐦𝐛𝐞.... #maeneoyakutisha #historia #japan...
🔴#technology: Ifahamu akili bandia faida na hasara zake kwa wanadamu...
มุมมอง 654 หลายเดือนก่อน
🔴#technology: Ifahamu akili bandia faida na hasara zake kwa wanadamu...
🔴 #kumbuka : Wafahamu watu kumi waliowahi kufanya mambo makubwa duniani...
มุมมอง 21K4 หลายเดือนก่อน
🔴 #kumbuka : Wafahamu watu kumi waliowahi kufanya mambo makubwa duniani...
🔴#technology: Microsoft yatangaza ujio mpya wa windows 12 na features nzurii kuliko window 11
มุมมอง 314 หลายเดือนก่อน
🔴#technology: Microsoft yatangaza ujio mpya wa windows 12 na features nzurii kuliko window 11
DIZASTA VINA MBUZI (UCHAMBUZI)
มุมมอง 2.1K5 หลายเดือนก่อน
DIZASTA VINA MBUZI (UCHAMBUZI)
Lee Brown Moyo wangu (Official Music Audio)
มุมมอง 932 ปีที่แล้ว
Lee Brown Moyo wangu (Official Music Audio)
Lee brown I LOVE YOU (Lyrics video)
มุมมอง 702 ปีที่แล้ว
Lee brown I LOVE YOU (Lyrics video)
How to create a logo a pixellab. very easy check to the end *pixellab*
มุมมอง 52 ปีที่แล้ว
How to create a logo a pixellab. very easy check to the end *pixellab*
Siri usizozijua kuhusu ufugaji wa njiwa nyumbani
มุมมอง 3722 ปีที่แล้ว
Siri usizozijua kuhusu ufugaji wa njiwa nyumbani
Lee brown - I Love You (Official Music Audio)
มุมมอง 1622 ปีที่แล้ว
Lee brown - I Love You (Official Music Audio)

ความคิดเห็น

  • @gadrosmathews1511
    @gadrosmathews1511 23 วันที่ผ่านมา

    Wapi didy??

    • @nyerutv
      @nyerutv 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 hahahah diddy yuko jela😂🤣🤣

  • @wilsonpaul5334
    @wilsonpaul5334 23 วันที่ผ่านมา

    Goood

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 24 วันที่ผ่านมา

    Naona hamjamtaja the highest kings of kings YESU KRISTO NA PROPHET MOHAMED Inaonekana hawa jamaa hawalinganishwi😂😂😂😂😂

    • @nyerutv
      @nyerutv 24 วันที่ผ่านมา

      @@JosephBilombelejosbimtungwa tunaongea facts na sio mambo ya iman kaka😂

  • @EdwardKasomelo-c5k
    @EdwardKasomelo-c5k 24 วันที่ผ่านมา

    Mnatisha

    • @nyerutv
      @nyerutv 24 วันที่ผ่านมา

      One love kaka 🫡🫡

  • @guntramngalioma9454
    @guntramngalioma9454 28 วันที่ผ่านมา

    Sijamsikia faraday

    • @nyerutv
      @nyerutv 28 วันที่ผ่านมา

      @@guntramngalioma9454 Faraday pia anamchango mkubwa sanaa katika maendeleo ya teknolojia na ni moja ya wanasayansi waliofanya mambo makubwa sanaa lakin hapa tumewataja baadhi tu si wote

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e หลายเดือนก่อน

    Where is Ibn Sina?

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@kalekela-j1e hawa ni baadhi tu wapo wengi tukisema tuorodheshe wote hatutaweza kuwamaliza

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e หลายเดือนก่อน

    Halafu mbona hakuna jina la Kiislamu hata moja hapo? Mlitakiwa mchanganye walau kidogo ndugu zangu. Hivi ni kweli hawa Waislamu hawakutoa mchango wowote katika maendeleo ya Dunia?

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Wapo waliotoa mchango wengi sana hawa ni baadhi tu sio wote @kalekela-j1e

    • @MAYAGILOMASALU
      @MAYAGILOMASALU 23 วันที่ผ่านมา

      Yupo mmoja algebra na shabani Robert mtunga mashaili

    • @nyerutv
      @nyerutv 23 วันที่ผ่านมา

      @@MAYAGILOMASALU 🫡🫡

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 22 วันที่ผ่านมา

      Western education imejikita na wazungu na dini yao

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 หลายเดือนก่อน

    Aujui kutangaza

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@frankdanford8245 Ahsantee kwa maoni yako nitalifanyia kazi hilo.. 😊

  • @Fahadi-mm3kf
    @Fahadi-mm3kf หลายเดือนก่อน

    I wonder where is nicolous tesla

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@Fahadi-mm3kf historia yake hii hapa 👇 th-cam.com/video/xxlAx8emYeo/w-d-xo.html

  • @leoraphael5223
    @leoraphael5223 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya background nikubwa sana inafanya sauti ya msimuliaji kutosikika vizuri so check it

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@leoraphael5223 Ahsantee kwa maoni nalifanyia kazi hilo tegemea mabadiliko kwenye contents zinazofuata....🙏🙏🙏

  • @godfreymwasaka8928
    @godfreymwasaka8928 หลายเดือนก่อน

    Saf Sana anko nimejifunza kitu

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Pamoja sanaa🫡🫡

  • @danielwilliam-jn3yu
    @danielwilliam-jn3yu หลายเดือนก่อน

    Hii story kuna mahali umecopy A To Z

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Hamna sikiliza mpaka mwisho hii iko tofauti kdg

  • @nyerutv
    @nyerutv หลายเดือนก่อน

    Kwa wale wanaohitaji kujua historia ya Nikola Tesla link hii hapa 👇👇 th-cam.com/video/xxlAx8emYeo/w-d-xo.html

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 หลายเดือนก่อน

    Where is Tesla??

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/xxlAx8emYeo/w-d-xo.html video ya Tesla hii hapa...

  • @RIDHIWANLEMA
    @RIDHIWANLEMA หลายเดือนก่อน

    AHSANTA

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      🫡🫡

    • @mrx8608
      @mrx8608 25 วันที่ผ่านมา

      Vpiii wale wabinafsi wa imani km siyo imani Yao unauwawa vpii Sasa ubinafsi wengi acha kuhukumu kiimani

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 หลายเดือนก่อน

    Saiv umeiva sana kijana 🤠

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@soccerupdates5 😁😁😁

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana nyeru TV 😎🤏

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@soccerupdates5 Tuko pamoja sanaa

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 หลายเดือนก่อน

    Wayahudi ni watu wabinafsi sana.nicola tesla kaachwa sababu kwanza, hana damu ya kiyahudi.pili alikuwa mpinzani mkubwa wa myahudi (thomas edson)

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Sasa ipo nyingine ingia kwenye channel yangu ipo inayomhusu Nicola tesla na mgogoro wake na edson

  • @nyerutv
    @nyerutv หลายเดือนก่อน

    Comment yako ni ya muhimu sana Tupe maoni yako na tuambie kitu gani ungependa kusikia kuhusu teknolojia🙏🙏

  • @Debora-j2j
    @Debora-j2j หลายเดือนก่อน

    Huyu kwangu ni namba 1 asante kaka mkubwa

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Pamoja sanaa

  • @Debora-j2j
    @Debora-j2j หลายเดือนก่อน

    Tuleteee ya nicola teslaaa

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Usijali hakikisha umesha subscribe na weka notification on hapo inayofata itakua hiyo

  • @johnsabai
    @johnsabai หลายเดือนก่อน

    Nicolas Tesla anajulikana zaid na watu waliofanikiwa kusoma elimu ya juu zaid but newto na albert hata 4m3 art 2 wanamjua coz since form one mnamuona na kumsoma kwenye vitabu na primary jina neton lanatumika kama kizio cha kani sasa tesla mimi mwenyewe hadi advance nilikuwa si mjui

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @@johnsabai 🫡🫡🫡

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 หลายเดือนก่อน

      Kama huna damu ya kiyaudi,hautanadiwa sana.

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      @msamgunda7684 ndio hivyo kaka watu wanaenda na upepo tu kuna watu wapo wamefanya makubwa na hawaimbwi sana ila wapo....

  • @namsymwasiba
    @namsymwasiba หลายเดือนก่อน

    Keep going on my son.

    • @nyerutv
      @nyerutv หลายเดือนก่อน

      Thank you, I will

  • @eliaminjohn
    @eliaminjohn 2 หลายเดือนก่อน

    Dizasta ninoma sana

  • @nyerutv
    @nyerutv 3 หลายเดือนก่อน

    Link ipo kwenye description hapo ukitaka kutengeneza website 🌍 kwa dakika mbili

  • @FarajaPeter-s8b
    @FarajaPeter-s8b 4 หลายเดือนก่อน

    Nice✌️

  • @kavyakadhasindhu9317
    @kavyakadhasindhu9317 4 หลายเดือนก่อน

    Very fine. Keep up the standard. All the best.

  • @FarajaPeter-s8b
    @FarajaPeter-s8b 4 หลายเดือนก่อน

    Big up brooo

    • @nyerutv
      @nyerutv 4 หลายเดือนก่อน

      Sure saidia kuisambaza bas if possible.....

  • @SumaOg4
    @SumaOg4 4 หลายเดือนก่อน

    Uakika tajiri

  • @slowslowtz4978
    @slowslowtz4978 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @Hadithi01
    @Hadithi01 4 หลายเดือนก่อน

    🔥

  • @Jaykibuga
    @Jaykibuga 4 หลายเดือนก่อน

    This is a killing content bro❤ big up

    • @nyerutv
      @nyerutv 4 หลายเดือนก่อน

      Thanks bro

  • @gosbertshawa3518
    @gosbertshawa3518 4 หลายเดือนก่อน

    Nomaaaa Sanaa🔥

  • @falihboy5253
    @falihboy5253 4 หลายเดือนก่อน

    Safi San hii

  • @nyerutv
    @nyerutv 4 หลายเดือนก่อน

    𝐓𝐮𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐞 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐢𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐦𝐛𝐞𝐥𝐞 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢𝐢 𝐰𝐚𝐝𝐚𝐮 𝐧𝐢𝐧𝐚𝐰𝐚𝐚𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐞𝐤𝐚 𝐭𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐣𝐮𝐮 𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐮𝐮🔥🔥🔥🔥

  • @Damsontvtz
    @Damsontvtz 4 หลายเดือนก่อน

    Good

    • @nyerutv
      @nyerutv 4 หลายเดือนก่อน

      Thanks

  • @josephdidas3677
    @josephdidas3677 4 หลายเดือนก่อน

    Unyama

  • @GiftZawadi-iw7ux
    @GiftZawadi-iw7ux 4 หลายเดือนก่อน

    Like it❤❤

  • @nyerutv
    @nyerutv 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba usipite bila ku subscribe, like comment na kushare ili elimu hii iwafikie watu wengi zaidi teknolojia mpya inakuja juu sanaa

  • @upendojacob8714
    @upendojacob8714 ปีที่แล้ว

    Hongera mweee jamani

  • @godfreymwasaka8928
    @godfreymwasaka8928 2 ปีที่แล้ว

    Kaza anko one day yes

  • @godfreymwasaka8928
    @godfreymwasaka8928 2 ปีที่แล้ว

    Good song kaza sana

  • @zuberpaulo90
    @zuberpaulo90 2 ปีที่แล้ว

    Dg ww noma pambana sana 🙏 God bless you

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 2 ปีที่แล้ว

    Tisha xan

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥😊😊😊

  • @upendojacob8714
    @upendojacob8714 2 ปีที่แล้ว

    👏

  • @Blisstz
    @Blisstz 2 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali msani🏆🏆