Maisha Kamili
Maisha Kamili
  • 111
  • 9 337
Najengaje Imani ktkt ya Mashaka? | Kukataa Chimbuko la Uhai | Mada ktk Injili ya Yohana | 27/12/2024
Baadhi ya taarifa zinazosikitisha sana katika Maandiko yote zinatokea kwenye Injili ya Yohana. “Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.... (Nuru) Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua . Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea” (Yohana 1:5, 10, 11). “MIMI NIKO” alikataliwa na wengi wa watu Wake Mwenyewe.
Haishangazi kwamba baadaye Paulo anaonya, “Basi msiutupe ujasiri wenu” (Ebr. 10:35). Kama ambavyo tumeona tena na tena, Kristo alikataliwa kwa sababu watu hawakulikubali Neno Lake.
“Namna ya kisasa ya kibinadamu ya fikra huwa inaanza na mashaka. Watu huwa wanahoji kila kitu ili wapate kujua kwamba kweli ni nini. Kile kinachostahimili moto wa udadisi wa hali ya juu ndicho wanachokikubali kama ujuzi wenye msingi imara, ambacho mtu anaweza kujenga imani yake kwacho. Baadhi yao wanatumia njia hiyo hiyo kwa Biblia, wakihoji kila kitu kutokana na mtazamo wa kisayansi, kihistoria, kisaikolojia, kifalsafa, kiakiolojia, au kijiolojia ili wapate kujua kwamba kweli ni nini katika Biblia. Mbinu hiyo yenyewe inaanza na kujenga katika kutilia mashaka ukweli wa maandiko, Kristo alihoji, “Atakapokuja Mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani? (Luka 18:8).” - E. Edward Zinke na Roland Roland Hegstad, The Certainty of the Second Coming (Hagerstown,MD: Review Herald Publishing Association 2000) uk 96
Soma Hesabu 13:23-33. Ni kitu gani kilichofanya tofauti kati ya taarifa mbili wapelelezi walizoleta kuhusu Kanaani?
Dhambi ya Waebrania walipokuwa pale Kadesh-barnea ilikuwa kutilia mashaka Neno la Mungu. Mungu alikuwa amewaelekeza wakwee na kuitwaa nchi. Wapelelezi kumi na wawili walitumwa Kanaani ili kuipeleleza nchi. Walirejea na taarifa mbili. Walio wengi walitoa taarifa hasi. Kuna majitu kwenye nchi, miji iliyozungushiwa kuta, silaha ambazo hatujapata kuziona, na majeshi yaliyofunzwa Vizuri. Tofauti na sisi, tumekuwa watumwa kwenye nchi ya Misri na hivyo tuna uzoefu mdogo tu wa kijeshi. Wapelelezi kumi walipiga kura ya Hapana " wakisimamia ushahidi mzito uliotokana na mtazamo wa kibinadamu. Wapelelezi wawili walipiga kura ya “Ndiyo” wakisimamia katika imani yao katika uwezo usio wa kawaida wa Neno la Mungu.
Tunawezaje kuepuka kufanya kosa la namna hiyo hiyo lililofanywa hapa? Wakati huo huo, tunawezaje kuepuka ujuvi, yaani kufanya jambo fulani kipumbavu lakini tukiamini kwamba tunafanya mapenzi ya Mungu na kwamba hatutashindwa?
มุมมอง: 85

วีดีโอ

Nifanye Nini Nipate Kuokoka? | Kuamini na Kuzaliwa Upya | Mada ktk Injili ya Yohana | 26/12/2024
มุมมอง 727 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Soma Yohana 1:12, 13. Ni hatua gani zilizoelezewa hapa zinazohusu kuwa Mkristo? Yohana aliandika Injili yake ili tuweze kumwamini Yesu na kwamba kwa kuamini tuweze kuwa na uzima wa milele katika jina Lake (Yohana 20:31). Katika Yohana 1:12, 13, mchakato huu umeelezwa katika hatua mbili. Kwanza, tunampokea Yeye, yaani, tunamwamini Yeye. Pili, Yeye anatupatia mamlaka au uwezo wa kuwa watoto wa Mu...
Sikiliza Upate Kuokoka | Maneno ya Uzima wa Milele | Mada ktk Injili ya Yohana | 25/12/2024
มุมมอง 847 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Soma Yohana 6:61-68. Wakati Bwana Yesu alipowauliza wanafunzi Wake kama nao wangemwacha, jibu la Petro lilikuwa la maana gani? Maneno ya Petro kuhusu “uzima wa milele” yanagusa mada inayoonekana kote katika Injili ya Yohana. Mkusanyo wa virai kuhusu uzima wa milele unaonekana kwenye Yohana 6, katika muktadha wa kulisha watu 5,000 (Yohana 6:27, 40, 47, 54, 63). Bwana Yesu anasema kwamba Yeye ni ...
Ndani ya Yesu Umo Uzima: Kumuona Baba ktk Mwana | Mada ktk Injili ya Yohana | 24/12/2024
มุมมอง 939 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika Yohana 1:1, mtume anasema kwa uwazi kwamba Yesu ni Mungu, Mwana wa kimbingu. Matokeo yake, katika Yohana 1:4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu” - rejea kwa ajili ya uzima hapa yapasa iwe ni uzima wa kiungu, hali ya kuwepo milele kwa nafsi isiyozaliwa. Kwa sababu Yeye anao uhai ndani Yake Mwenyewe, anaweza kuweka uhai Wake chini na kuutwaa tena (Yohana 1...
Chimbuko la Uzima: Ufunuo wa Yesu Katika Injili ya Yohana | Mada ktk Injili ya Yohana | 23/12/2024
มุมมอง 1069 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Somo la Juma Hili Yohana 1:4; Yohana 10:10; Yohana 1:12, 13; Yohana 6:61-68; Hesabu 13:23-33; Mt. 4:1-4. Fungu la Kukariri “Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi” (#Yohana 14:6#). Katika Injili ya Yohana. Bwana Yesu alipoulizwa kama Yeye alikuwa nani, alijibu kwa neno linaloonesha uungu. “MIMI NIKO” ilikuwa rejea isiyo na makosa imhusuyo Bwana Mwenyewe, Al...
JIFUNZE ZAIDI| MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOV 22, 2024
มุมมอง 6916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Soma Ellen G. White, “Msifadhaike Mioyoni Mwenu,” Uk 275 - 295, katika Tumaini la Vizazi Vyote. “Kama hazina ya dhahabu, ukweli ulikuwa umetolewa kwa Waebrania. Utamaduni wa Kiyahudi ukiwa na sahihi ya mbingu, ulikuwa umebuniwa na Kristo mwenyewe. Katika mifano na ishara, ukweli mkuu wa ukombozi ulifunikwa. Hata hivyo, Kristo alipokuja, Wayahudi hawakumwelewa Yeye ambaye mifano yao yote ilielek...
WA CHINI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMIS, NOV 21, 2024
มุมมอง 4719 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika somo letu la Yohana hadi sasa, tumeona kwamba Yohana anaonesha jinsi ambavyo Yesu hakika ndiye Masihi aliyeahidiwa tumaini kuu ambalo watu wa Kiyahudi walikuwa wakilitamani. Licha ya hivyo, wengi kati ya viongozi wa kidini, viongozi wa kiroho wa watu, walikuwa maadui zake wakubwa badala yake. Kwa nini? Soma Yohana 8:12-30. Ni namna gani ya mwingiliano hapa uliokuwepo kati ya Bwana Yesu n...
UNABII WA YESU KTK AGANO LA KALE: SEH 2 | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'5, NOV 20, 2024
มุมมอง 7521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bwana Yesu aliwaambia viongozi wa kidini: “Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia” (Yohana 5:39). Hili ni dai zito kiasi gani alilolitoa kumhusu Yeye Mwenyewe! Maoni yapo anuwai, lakini baadhi ya wanazuoni wanasimamia kwamba Yesu wa Nazareti alitimiza mamia ya kauli za kinabii za Agano la Kale. Bila kujali wingi wa...
UNABII WA YESU KTK AGANO LA KALE: SEH 1 | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'4, NOV 19, 2024
มุมมอง 67วันที่ผ่านมา
Kwenye mjadala pamoja na viongozi wa kidini kuhusu utambulisho Wake, Yesu alithibitisha mamlaka ya Maandiko. Kwa kuangalia kwa juu juu, ingeonekana kutokuwa muhimu kwa Yeye kufanya hilo kwa sababu viongozi wa kidini waliamini katika Maandiko. Hata hivyo, hata kwao, Bwana Yesu alikuwa asisitizie mamlaka ya maandiko, Naye alifanya hivyo ili kuwaonesha kuwa Yeye alikuwa ni nani - bila kujali kiwan...
NAFASI YENYE MAMLAKA YA MAANDIKO | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'3, NOV 18, 2024
มุมมอง 135วันที่ผ่านมา
Zaidi ya ishara na shuhuda mahususi alizozitumia Yohana kuonyesha kuwa Yesu ni Masihi, Yohana pia alitumia uthibitisho wa mamlaka ya Agano la Kale na unabii wake, uliotabiri kazi ya Kristo. Agano la Kale ni kiini, sio tu kwa Injili ya Yohana bali kwa Agano Jipya lote. Uthibitishwaji wa Yesu, kwamba Alikuwa nani, kwamba Alitoka wapi, Alifanya nini, na Atafanya nini - msingi wake upo kwenye Maand...
ISHARA, KAZI NA MAAJABU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'PILI, NOV 17, 2024
มุมมอง 110วันที่ผ่านมา
ISHARA, KAZI NA MAAJABU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'PILI, NOV 17, 2024
KUTIMIZA UNABII WA AGANO LA KALE | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'MOSI, NOV 16, 2024
มุมมอง 57วันที่ผ่านมา
KUTIMIZA UNABII WA AGANO LA KALE | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'MOSI, NOV 16, 2024
JIFUNZE ZAIDI NA JADILI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOVEMBA 15
มุมมอง 5814 วันที่ผ่านมา
Soma na Tafakari Soma Ellen G. White, “Jaribio la Imani,” uk. 156-167, kwenye Wazee na Manabii; 334-354, kwenye Tumaini la Vizazi Vyote. Tomaso alianguka mbele za Yesu, akisema, "Bwana wangu na Mungu wangu!" Yesu alipokea ungamo la Tomaso, lakini akamkemea kwa upole kwa kutokuamini kwake: “Tomaso, wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.” Imani ya Tomaso ingempende...
USHUHUDA WETU JUU YA YESU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMIS, NOVEMBA 14
มุมมอง 5714 วันที่ผ่านมา
Utangulizi Katika Injili ya Yohana, ushuhuda wa Yesu unalenga kutuleta kwenye hitimisho kuu: "Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki. Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake" (Yohana 20:30-31). Hebu fikiria kama ungekuwa pale, ukimuona Ye...
USHUHUDA WA TOMASO | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATANO, NOVEMBA 13
มุมมอง 8214 วันที่ผ่านมา
Utangulizi Soma Yohana 20:19-31. Tunajifunza nini kutoka kwa kisa cha Tomaso kuhusu imani na mashaka? Ni kosa gani kuu ambalo Tomaso alilifanya? Kisa cha Tomaso na Mashaka Yake Baada ya Ufufuo wa Yesu, alijidhihirisha kwa wanafunzi Wake walipokuwa wamejifungia ndani kwa hofu. Tomaso hakuwa nao wakati huo. Tomaso aliposikia habari za Ufufuo kutoka kwa wanafunzi wenzake, hakuamini. Aliweka mashar...
USHUHUDA WA PILATO AMBAO HAUKUKUSUDIWA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMANNE, NOVEMBA 12
มุมมอง 11214 วันที่ผ่านมา
USHUHUDA WA PILATO AMBAO HAUKUKUSUDIWA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMANNE, NOVEMBA 12
USHUHUDA WA MARIAMU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATATU, NOVEMBA 11
มุมมอง 9814 วันที่ผ่านมา
USHUHUDA WA MARIAMU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATATU, NOVEMBA 11
IBRAHIMU AMUONA YESU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMAPILI, NOVEMBA 10
มุมมอง 13214 วันที่ผ่านมา
IBRAHIMU AMUONA YESU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMAPILI, NOVEMBA 10
JIFUNZE ZAIDI NA JADILI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOVEMBA 8
มุมมอง 6421 วันที่ผ่านมา
JIFUNZE ZAIDI NA JADILI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOVEMBA 8
USHUHUDA WA MAKUTANO | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMISI, NOV 7, 2024
มุมมอง 7021 วันที่ผ่านมา
USHUHUDA WA MAKUTANO | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMISI, NOV 7, 2024
USHUHUDA WA BABA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATANO, NOV 6, 2024
มุมมอง 7321 วันที่ผ่านมา
USHUHUDA WA BABA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATANO, NOV 6, 2024
KUKUBALIWA NA KUKATALIWA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMANNE, NOV 5, 2024
มุมมอง 7821 วันที่ผ่านมา
KUKUBALIWA NA KUKATALIWA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMANNE, NOV 5, 2024
UELEWA MPYA WA MASIHI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATATU, NOV 4, 2024
มุมมอง 9621 วันที่ผ่านมา
UELEWA MPYA WA MASIHI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMATATU, NOV 4, 2024
YOHANA MBATIZAJI ASHUHUDIA TENA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'PILI, NOV 3, 2024
มุมมอง 6321 วันที่ผ่านมา
YOHANA MBATIZAJI ASHUHUDIA TENA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'PILI, NOV 3, 2024
HERI WENYE KUSADIKI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMAMOSI, NOV 2, 2024
มุมมอง 8821 วันที่ผ่านมา
HERI WENYE KUSADIKI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | JUMAMOSI, NOV 2, 2024
JADILI & JIFUNZE ZAIDI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOV 1, 2024
มุมมอง 7128 วันที่ผ่านมา
JADILI & JIFUNZE ZAIDI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | IJUMAA, NOV 1, 2024
USHUHUDA WA WASAMARIA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMIS, OCT 31, 2024
มุมมอง 10028 วันที่ผ่านมา
USHUHUDA WA WASAMARIA | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | ALHAMIS, OCT 31, 2024
UFUNUO WA YESU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'TANO, OCT 30, 2024
มุมมอง 7628 วันที่ผ่านมา
UFUNUO WA YESU | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'TANO, OCT 30, 2024
"BWANA, NIPE MAJI HAYO" | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'NNE, OCT 29, 2024
มุมมอง 116หลายเดือนก่อน
"BWANA, NIPE MAJI HAYO" | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'NNE, OCT 29, 2024
MWANAMKE KISIMANI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'TATU, OCT 28, 2024
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
MWANAMKE KISIMANI | MUONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA | J'TATU, OCT 28, 2024

ความคิดเห็น