- 122
- 70 205
Petro Lembalai
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 30 พ.ย. 2015
BWANA YESU apewe sifa. Karibu kwenye Channel ya mafundisho ya Neno la Mungu na maombi. Lengo la Channel hii ni kutoa huduma ya kiroho kupitia Neno la Mungu kwa uongozi wa Roho Mtakatifu, pamoja na maombi. Utapata nafasi ya kujifunza Neno la Mungu ili uweze kukua kiroho, na kuongeza kiwango cha mahusiano yako na Mungu. Lakini pia, utapata nafasi ya kupokea msaada wa Mungu kwenye mahitaji yako kwa njia ya maombi.
Mungu ni mwaminifu, na anayo sababu ya kukukutanisha na Channel hii. Ni maombi yangu kwamba, Mungu akutane na wewe katika mahitaji yako, akuhudumie, na akutendee makuu sawasawa na uaminifu wake na mapenzi yake. Karibu uungane nasi katika yote ambayo Mungu anaenda kuyatenda kupitia Channel hii. Usisahau kumkaribisha na ndugu yako, jamaa na rafiki, ili apate kushiriki pamoja nasi na kupokea baraka hizi kwa utukufu wa jina la YESU.
Mungu akubariki na kukutunza. YESU akupe amani na ushindi daima. Amen!

VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
มุมมอง: 421
วีดีโอ
VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
มุมมอง 42928 วันที่ผ่านมา
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
VITA KWENYE HATUA YA KUKARIBIA KUPATA | Rev. Petro Lembalai
มุมมอง 485หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ambayo adui huwa anainua kwenye hatua ya kukaribia kupata.
USIPUNGUZIWE MWENDO | Mwl. Tumsifu Swai
มุมมอง 338หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kuendelea mbele na kufanikiwa. kumbuka usipunguziwe mwendo.
THAMANI YA SADAKA | Mwl. Emmanuel Shemdoe
มุมมอง 301หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kujua thamani ya sadaka yako ili unapotoa sadaka uone matokeo ya utoaji wako.
VITA YA ULICHOBEBA | Mwl. Tumsifu Swai
มุมมอง 546หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kushinda vita ya ulichobeba ndani yako.
AFYA YA UTI WA MGONGO | DKT. Fanuel Bellet, MD, MMED
มุมมอง 216หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa kuhusu afya ya uti wa mgongo kwa lengo la kukuwezesha kuwa na afya njema sawa na 3 YOHANA 1:2.
AFYA YA UTI WA MGONGO | DKT. Fanuel Bellet, MD, MMED
มุมมอง 3252 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa kuhusu afya ya uti wa mgongo kwa lengo la kukuwezesha kuwa na afya njema sawa na 3 YOHANA 1:2.
NJIA IPI YA KUHUKUMIWA | Rev. John Rowse
มุมมอง 2173 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kujua njia mbili za kuhukumiwa.
MWAMBIE MUNGU / Petro Lembalai
มุมมอง 3523 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia na kukupa msisitizo wa Kumwambia Mungu kila ambacho unahitaji.
MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO / Petro Lembalai
มุมมอง 2533 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kuishi kwenye msimu mpya wa maisha mapya ndani ya Kristo.
FANYA MAMBO HAYA UNAPOCHOKA KWENYE MAGUMU | Petro Lembalai
มุมมอง 5755 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukuwezesha kuendelea mbele unapohisi kuchoka kwasababu ya magumu unayopitia.
CHAKULA BORA, AFYA NJEMA | Rafikiel Mshana
มุมมอง 4616 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya KiBiblia ya kukusaidia kujenga afya yako kwa lishe bora.
MAMBO YA KUFANYA UNAPOKUWA NA HASIRA | Petro Lembalai
มุมมอง 1K7 หลายเดือนก่อน
Somo hili litakusaidia kupata maarifa ya kukusaidia unapokuwa na hasira ili uweze kudhibiti hasira yako.
2024 MWAKA WA KUONGEZEKA NA KUSTAWI SANA | Petro Lembalai
มุมมอง 5747 หลายเดือนก่อน
2024 MWAKA WA KUONGEZEKA NA KUSTAWI SANA | Petro Lembalai
MALIZA MWAKA KWA USHINDI | Petro Lembalai
มุมมอง 4668 หลายเดือนก่อน
MALIZA MWAKA KWA USHINDI | Petro Lembalai
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOZIBWA | Petro Lembalai
มุมมอง 7608 หลายเดือนก่อน
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOZIBWA | Petro Lembalai
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOBEBESHWA ROHO YA KUTANGATANGA | Petro Lembalai
มุมมอง 7208 หลายเดือนก่อน
NJIA YA MAFANIKIO ILIYOBEBESHWA ROHO YA KUTANGATANGA | Petro Lembalai
IMANI ISIYO NA SHAKA | Petro Lembalai
มุมมอง 4498 หลายเดือนก่อน
IMANI ISIYO NA SHAKA | Petro Lembalai
MAMBO SITA YA KUZINGATIA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI | Bupe Kibiki
มุมมอง 6399 หลายเดือนก่อน
MAMBO SITA YA KUZINGATIA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI | Bupe Kibiki
MUNGU AKUINULIE WATU SAHIHI | Petro Lembalai
มุมมอง 5599 หลายเดือนก่อน
MUNGU AKUINULIE WATU SAHIHI | Petro Lembalai
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
มุมมอง 2149 หลายเดือนก่อน
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
มุมมอง 2989 หลายเดือนก่อน
KUOMBA KINYUME NA KALENDA YA MABAYA KWENYE MAJIRA YA MWISHO WA MWAKA | Mwl. Amos Christopher
VIFUNGO VYA NAFSI | Mwl. Emanuel Fungo
มุมมอง 3599 หลายเดือนก่อน
VIFUNGO VYA NAFSI | Mwl. Emanuel Fungo
MAMBO MANNE UNAYOPASWA KUFANYA UNAPOHISI KUKATA TAMAA | Bupe Kibiki
มุมมอง 4599 หลายเดือนก่อน
MAMBO MANNE UNAYOPASWA KUFANYA UNAPOHISI KUKATA TAMAA | Bupe Kibiki
KANUNI YA DHAHABU {GOLDEN RULE} | Mthg. Samwel Nyanda
มุมมอง 2499 หลายเดือนก่อน
KANUNI YA DHAHABU {GOLDEN RULE} | Mthg. Samwel Nyanda
NGUVU YA USHUHUDA | Rev. Emanuel Kidago
มุมมอง 2029 หลายเดือนก่อน
NGUVU YA USHUHUDA | Rev. Emanuel Kidago
AJABU YA SHUKRANI | Mwl. Mboka Mwaipopo
มุมมอง 4769 หลายเดือนก่อน
AJABU YA SHUKRANI | Mwl. Mboka Mwaipopo
MAMBO MATATU YA KUFAHAMU UKIWA KWENYE VITA YA MANENO ILI USHINDE | Petro Lembalai
มุมมอง 8989 หลายเดือนก่อน
MAMBO MATATU YA KUFAHAMU UKIWA KWENYE VITA YA MANENO ILI USHINDE | Petro Lembalai
Malango yangu yatakuwa wazi
Barikiwa mtumishi
Ameni
Amen Mtumishi asante
Hongera sana Mchg wangu Kwa somo hili linalohusu vita ya maneno .
Amen
Malango yangu ya mafanikio hayatafungwa yatakuwa wazi daima
Amen
My Daddy 🙌🏿🛐 Malango Yangu yatakuwa wazi Daima ucku na mchana. Ahsante sana SAANA my Daddy 🙌🏿💝 MUNGU apewe sifa kwa UTUMUFU WAKE KUTUPA DADDY LIKE YOU ALL THE BEST BLESSED SUCCESS IN JESUS CHRIST NAME 💪🏿🤝🙌🏿🛐💝💘😇
Money management to me is one of the biggest problem
Ameen
Ameni mtumishi
Ameni
Nitashinda Vita Ya maneno.
Amen,Halleluya.
Nitashinda vita ya maneno kwa jina la Yesu.
Nitashinda vita vya maneno hii Kwajina la yesu kristo AMEN
Nitashinda vita ya maneno
Amina malango yangu ya mafanikio yatakuwa wazi daima kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu
Amina ubarikiwe mtumishi kwa neno la uzima
Natamka shwari kuu kwenye malongo yangu.AMEN
MALANGO YANGU YA KIMAFANIKIO YATAKUWA WAZI KATIKA JINA LA YESU
Mipaka hahitakuwepo tenakwangu kwajina layesu AMEN
Mipaka haitakuwepo kwangu tena kwa Jina la Yesu Kristo!! Amen
AMEN mtumishi
Ameni
Ameni, Mtumishi, Mipaka haitakiwepo kwangu Tena! Kwa Jina la YESU.
Ameni, Mtumishi, Mipaka haitakiwepo kwangu Tena! Kwa Jina la YESU.
Ameni, Mungu Akubariki, Mtumishi wa MUNGU.
Mipaka haita kuwepo tena Kwa jina la Yesu
Amen,
Mipaka haitakuwa kwangu tena kwa Jina la Yesu Kristo na kwa Damu ya Yesu Kristo. AMEEN
MALANGO YANGU YA KIMAFANIKIO YATAKUWA WAZI. AMEEN AMEEN AMEN.
AMEEN! Mungu akubariki sana Mchungaji.
Amina mtumishi wa Mungu nimepokea
Mipaka haitakuwepo kwangu tena kwa Jina la YESU
Mipaka haitokuwepo tena kwangu kwa jina la Yesu
Malango yang yatakuwa wazi amen
Amen naiwe hivyo
Malango yangu yatakuwa wazi! Ameni.
Mungu azidi kukubariki sana mchngaj
Barikiwa San baba kwa mafundisho mazuri! Hakika mlango wangu utakuwa wazi
Malango yangu yatakuwa wazi, amen
Amen baba mchungaji nimebarikiwa na somo
MALANGO YANGU YAMAFANIKIO WAPO WAZI KWA JINA LA YESU KRISTO.AMINA
MALANGO YANGU YA KIMAFANIKIO YATAKUWA WAZI.
Amen Mchungaji,asante kwa somo zuri barikiwa sana.
Nipo pamoja nawe mtumishi
Amina
Amen mchungaji Petro