- 8
- 5 843
Dorolosa SDA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 4 เม.ย. 2023
Kanisa la Waadventista wasabato la Dorolosa lililopo Chamazi jijini Dar es Salaam, Tanzania linapenda kukukaribisha kwenye channel yake rasmi ambayo itakuwa ikikuletea nyimbo na taarifa zenye kukujenga kiroho ndugu mtazamaji.
วีดีโอ
THAMANI - Dorolosa SDA Choir
มุมมอง 1.4K21 วันที่ผ่านมา
Kwa mfano wake aliniumba mimi wa thamani. Sikiliza ujumbe huu kutoka kwa kwaya ya Kanisa la Dorolosa lililopo Chamazi jijini Dar es Salaam
MASHUJAA - Dorolosa SDA Choir
มุมมอง 547หลายเดือนก่อน
Hakika hatutaisujudia sanamu yako ewe Mfalme, kwa maana tunamtumikia Mungu wa mbinguni aliye hai. Ni maneno ya Mashujaa wakitetea imani Fuatilia wimbo wa huu wa MASHUJAA ili ubarikiwe.
AYUBU
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Ni kwa nini kila siku majaribu wakati namtumikia Mungu kwa uaminifu. Nimegundua Mungu anajisifia kwa shetani kwamba mimi ni mtu mkamilifu. Kwa imani Ayubu hakumkana bwana. Fuatana na Dorolosa kwaya kusikiliza zaidi kupitia wimbo wa Ayubu
FAMILIA BORA
มุมมอง 4414 หลายเดือนก่อน
Wimbo huu ni mojawapo ya wimbo uliopo kwenye album ya Ayub. Unazungumzia umuhimu wa familia kumtegemea Mungu. Tunaamini utabarikiwa na ujumbe uliopo kwenye wimbo huu. Mungu akubariki
MOYO TULIA - Dorolosa SDA Choir
มุมมอง 1.3K5 หลายเดือนก่อน
Moyo Tulia kwa Bwana na usihangaike na Dunia. Ni moja ya nyimbo zilizopo kwenye albam yake ya Kwanza iitwayo AYUBU Wimbo huu umeimbwa na kwaya yetu ya Dorolosa iliyopo Chamazi Jijini Dar es Salaam, Tanzania
Nabarikiwa Sana na moyo tulia wimbo wenye utulivu wa Aina yake
Nabarikiwa Sana na moyo tulia wimbo wenye utulivu wa Aina yake
Nice song
Mungu awabariki sana waimbaji wa Dorolosa
Wimbo mzuri sana
Amen
Aminaa
Barikiweni sanaaaa
Nyimbo nzuri sana ,Mungu awa bariki Ameen
So good
Hakika wimbo umenibariki sana, Songeni mbele zaidi
Amina Mungu atukuzwe
nabarikiwa sana na kwayahiii
Wimbo mzuri
❤❤❤🙏🙏🙏
Barikiwa sana
Wimbo mzuri sana
Mbarikiwe sana
Kumekucha ❤❤❤
Gods grace 🙏 ❤❤❤❤ more blessings
Wimbo mzuri. Mbarikiwe
Amen 🙏
Nawapenda sana ndugu zangu
Mungu awabariki
❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awabariki sana kazi nzuri sana ❤
Wimbo mzuri Mungu awabariki
Kaz njema
Mbarikiwe sana kiukweli wimbo mzuri sana nakupenda huu wimbo
Kazi njema...Barikiweni ❤
Mbarikiwe sana
Safi,nimebarikiwa
Mbarikiwe sana,wapendwa
Wimbo wenye kuleta faraja maana kama moyo haujatulia kwa BWANA madhara yake ni makubwa
Mbarikiwe sana wimbo mzuri
Wimbo mzuri hakika moyo tulia kwa bwana mungu awabariki waimbaji
Moyo wangu tulia kwa bwana hakika Wimbo mzuri
MUNGU awa bariki nice song
Nawapenda sana dororosa..mama G wa mbande hapa
Moyo wangu tulia mungu awabariki sana
Nice and memorable song kwang❤all de best
@@salamacasmir8189 thanks
Woow nice song Mungu awabariki
Woow nice song Moyo tulia kwa Bwana
Waoooo this is so great of u ...am proud to be with u guys
Wimbo mzuri sana binafsi umenigusambarikiwe na Bwana
Ameen barikiwa sanaa