- 137
- 73 785
Geric Media Live
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 17 มิ.ย. 2016
KANUNI NA MUONGOZO
Geric Media Live (GML) ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya burudani yanayowahusu watu mashuhuri katika muziki, filamu, michezo nk, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
1. Kuhamasisha vijana katika nyanja mbalimbali
2. Kuripoti habari za ukweli
3. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
4. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
5. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi
Muongozo kwa wafuatiliaji wetu
1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. GML ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili
3. GML ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
4. GML ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

SEHEMU YA PILI: DIRECTOR CHIDO NA DJ GERIC | WATEJA WA MIKOANI WANATAMANI KAZI ZA DAR | BAJETI YAO

มุมมอง: 17
วีดีโอ
UBUNIFU WA DIRECTOR CHIDO NA DJ GERIC | KAZI ZA WATEJA BURE | MIAKA 3 KUJIFUNZA BILA KUSHIKA HELA
มุมมอง 54วันที่ผ่านมา
Vijana hawa wabunifu na wawekezaji wakikupitisha katika safari ya kazi zao, changamoto na namna wanavyoshirikiana na wateja katika kazi. kumiliki vifaa, ofisi na majina sio rahisi kwao na bado hawachukulii poa kazi za wateja wao. SUBSCRIBE @gericmedialive
UTASHANGAA MCHAKATO WA MAFANIKIO | HISIA ZINAWABURUZA WENGI | BOT NOTI ZINABADILISHWA
มุมมอง 50หลายเดือนก่อน

WACHOKONOZI | WAMVAA NA KUMSHAURI MASOUD KIPANYA | WANAFUNZI WA VYUO | BODI YA MIKOPO NA DSE NDANI
มุมมอง 964หลายเดือนก่อน
WACHOKONOZI | WAMVAA NA KUMSHAURI MASOUD KIPANYA | WANAFUNZI WA VYUO | BODI YA MIKOPO NA DSE NDANI
PISI YA MONI CENTRO ZONE | MALUME YASHAMBULIWA MTANDAONI | HITSONG YA KWENDA #GMLTO2030 #Burudani
มุมมอง 174หลายเดือนก่อน
PISI YA MONI CENTRO ZONE | MALUME YASHAMBULIWA MTANDAONI | HITSONG YA KWENDA #GMLTO2030 #Burudani
THOMAS ELIAS: UPO MSAADA OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 121หลายเดือนก่อน
Thomas Elias ni mwimbaji wa nyimbo za injili na anazo nyimbo nyingi sana. Huu ni mmoja wa nyimbo ambazo amefanya video karibu kuitazama. video hii imeandaliwa na @GericMediaLive pia karibu kwa huduma za video shooting wasiliana nasi: 255 743 536 577
CAF: HISTORIA YA SIMBA NA CLUB WENZAKE HATUA YA MAKUNDI #CAF
มุมมอง 56หลายเดือนก่อน
CAF: HISTORIA YA SIMBA NA CLUB WENZAKE HATUA YA MAKUNDI #CAF
NANDY AMZAWADIA DOGO LAKI 1 | BAADA YA KUIMBA VERSE ZA BILLANAS | AMPA JINA BILLNAS WA BABATI
มุมมอง 198หลายเดือนก่อน
NANDY AMZAWADIA DOGO LAKI 1 | BAADA YA KUIMBA VERSE ZA BILLANAS | AMPA JINA BILLNAS WA BABATI
MAPESA | KUTANA NA PROMOTA WA NANDY KUFIKA BABATI | BAADA YA BONGE LA NYAU
มุมมอง 50หลายเดือนก่อน
MAPESA | KUTANA NA PROMOTA WA NANDY KUFIKA BABATI | BAADA YA BONGE LA NYAU
TOXIC AGEUKA P DIDDY NANDY FESTIVAL | HATA MIMI NINA MOYO | AHAIDI KUANZISHA ONLINE CLASS YA RAP
มุมมอง 152หลายเดือนก่อน
TOXIC AGEUKA P DIDDY NANDY FESTIVAL | HATA MIMI NINA MOYO | AHAIDI KUANZISHA ONLINE CLASS YA RAP
KAULI ZA PISI KALI ZA BABATI | KABLA YA SHOW YA NANDY FESTIVAL YALITOKEA YAFUATAYO | PART 2
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
KAULI ZA PISI KALI ZA BABATI | KABLA YA SHOW YA NANDY FESTIVAL YALITOKEA YAFUATAYO | PART 2
NENGA WA BABATI | KABLA YA SHOW YA NANDY FESTIVAL YALITOKEA YAFUATAYO | PART 1
มุมมอง 26หลายเดือนก่อน
NENGA WA BABATI | KABLA YA SHOW YA NANDY FESTIVAL YALITOKEA YAFUATAYO | PART 1
DOGO JANJA NA KIATU KWENYE SHOW YA NANDY | NI SISTER | KASOME | HAZINA ZETU ZIPO KWA WATU
มุมมอง 469หลายเดือนก่อน
DOGO JANJA NA KIATU KWENYE SHOW YA NANDY | NI SISTER | KASOME | HAZINA ZETU ZIPO KWA WATU
NANDY BAADA YA SHOW BABATI | ISHU YA ZUCHU KUPIGWA MAKOPO | AINGIA NA AMBULANCE #Nandyfestival2024
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
NANDY BAADA YA SHOW BABATI | ISHU YA ZUCHU KUPIGWA MAKOPO | AINGIA NA AMBULANCE #Nandyfestival2024
DR. SAMIA NA GEKUL CUP | MBIO ZA KUHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA | MBUNGE WA BABATI MJINI
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
DR. SAMIA NA GEKUL CUP | MBIO ZA KUHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA | MBUNGE WA BABATI MJINI
NANDY FESTIVAL BABATI | JANJARO, GIGY NA STAMINA WAMESHABEBA KIJIJI KABLA YA SHOW.
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
NANDY FESTIVAL BABATI | JANJARO, GIGY NA STAMINA WAMESHABEBA KIJIJI KABLA YA SHOW.
GML SPORTS HIGHLIGHTS: YANGA KINARA TAKWIMU ZA MAGOLI LIGI KUU YA NBCPL | SIMBA NA AZAM WANASEMAJE?
มุมมอง 109หลายเดือนก่อน
GML SPORTS HIGHLIGHTS: YANGA KINARA TAKWIMU ZA MAGOLI LIGI KUU YA NBCPL | SIMBA NA AZAM WANASEMAJE?
ELIE MPANZU KUKACHA ULAYA NA KUSAJILIWA SIMBA | HISTORIA YAKE HADI KUSAJILIWA SIMBA #Simbasc #GML
มุมมอง 1462 หลายเดือนก่อน
ELIE MPANZU KUKACHA ULAYA NA KUSAJILIWA SIMBA | HISTORIA YAKE HADI KUSAJILIWA SIMBA #Simbasc #GML
#GML SPORT HIGHLIGHTS | SIMBA KUIZIMA AZAM | FEI TOTO ATAHAMIA SIMBA AU YANGA? | NBCPL #gericmedia
มุมมอง 792 หลายเดือนก่อน
#GML SPORT HIGHLIGHTS | SIMBA KUIZIMA AZAM | FEI TOTO ATAHAMIA SIMBA AU YANGA? | NBCPL #gericmedia
#MITANDAONI: OFFICIAL NAI EX WA MONI | ATAMBA | WIGI LA MIL. 7 KWA AJILI YA INTERVIEW |KINGEREZA!
มุมมอง 702 หลายเดือนก่อน
#MITANDAONI: OFFICIAL NAI EX WA MONI | ATAMBA | WIGI LA MIL. 7 KWA AJILI YA INTERVIEW |KINGEREZA!
GML SPORTS HIGHLIGHTS: ONE TO ONE YA SIMBA NA AZAM | YANGA KUISHUSHA TENA KENGOLD LIGI KUU #NBCPL
มุมมอง 2812 หลายเดือนก่อน
GML SPORTS HIGHLIGHTS: ONE TO ONE YA SIMBA NA AZAM | YANGA KUISHUSHA TENA KENGOLD LIGI KUU #NBCPL
KANYE WEST AWEKA WAZI ISHU YA P-DIDDY NA ILLUMINATI | JAY-Z, BEYONCE, MEEK MILL NA DR DRE WAHUSISHWA
มุมมอง 462 หลายเดือนก่อน
KANYE WEST AWEKA WAZI ISHU YA P-DIDDY NA ILLUMINATI | JAY-Z, BEYONCE, MEEK MILL NA DR DRE WAHUSISHWA
#MITANDAONI: MAANDAMANO YA CHADEMA | KUKAMATWA NA KUACHIWA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU | WANASEMAJE?
มุมมอง 1832 หลายเดือนก่อน
#MITANDAONI: MAANDAMANO YA CHADEMA | KUKAMATWA NA KUACHIWA BAADHI YA VIONGOZI WAKUU | WANASEMAJE?
NITASEMA: NEY WA MITEGO | AKIHUTUBIA TAIFA BAADA YA TANGAZO LA JANA | ALICHOSEMA KATIKA HOTUBA YAKE
มุมมอง 14K2 หลายเดือนก่อน
NITASEMA: NEY WA MITEGO | AKIHUTUBIA TAIFA BAADA YA TANGAZO LA JANA | ALICHOSEMA KATIKA HOTUBA YAKE
NEY WA MITEGO AWAPA VIULIZO | MBOWE NA LISU KUKAMATWA | JE KESHO ATONGEA NINI?
มุมมอง 3.7K2 หลายเดือนก่อน
NEY WA MITEGO AWAPA VIULIZO | MBOWE NA LISU KUKAMATWA | JE KESHO ATONGEA NINI?
Usajili wa Elie Mpanzu, Fei Toti na Sillah simba waanza mapeemaa, Alikamwe (Gibril Toto Kamwe)!
มุมมอง 2.1K2 หลายเดือนก่อน
Usajili wa Elie Mpanzu, Fei Toti na Sillah simba waanza mapeemaa, Alikamwe (Gibril Toto Kamwe)!
MWANA MITINDO GABRIEL MIRANDA NDOAN NA KINDA WAKE KUTOKA CLUB YA REAL MADIRID | WENGI WASHANGAZWA
มุมมอง 602 หลายเดือนก่อน

KUMILIKI SIMU JANJA | TANZANIA, KENYA NA UGANDA | GHARAMA KUENDESHA MITANDAO YA KIJAMII #WorldBank
มุมมอง 212 หลายเดือนก่อน
KUMILIKI SIMU JANJA | TANZANIA, KENYA NA UGANDA | GHARAMA KUENDESHA MITANDAO YA KIJAMII #WorldBank
#RAYVAN : WASANII CHIPUKIZI SAUTI YA RAYVAN | TUSAIDIWE KUREKODI VIDEO| JUNIOR & LAMECK #BABATI
มุมมอง 602 หลายเดือนก่อน
#RAYVAN : WASANII CHIPUKIZI SAUTI YA RAYVAN | TUSAIDIWE KUREKODI VIDEO| JUNIOR & LAMECK #BABATI
RONALDO NA MESSI KUIKOSA BALLON D'OR 2024 | NANI MRITHI WAO TUZU HII? #SportsHighlight #GMLTO2030
มุมมอง 312 หลายเดือนก่อน
RONALDO NA MESSI KUIKOSA BALLON D'OR 2024 | NANI MRITHI WAO TUZU HII? #SportsHighlight #GMLTO2030
Makona
🔥🔥🔥
Kijana mdogo akili kubwa
Nam nam
🔥🔥🔥
🎉🎉🎉
Kunawatu wengi wanaanzisha baazi ya vitu ilakini wanatulizwa na hawa wapuuzi utasikia eti hawana vibali
Wadau siyo kipanyatu hataa yulejamaa alie tengeneza herkopta nae kapotezwa badala ya kumsapoti
Safi kazi nzuri
Top brain
Nawakubali wazee wanchi
Kaka nakubali sana wew ndie kamanda pamoj sana wp,romaaa pigeni kazi,
💯
Duh fatma akamatwe
Duh
Vizur sana watumish wa MUNGU Thomas na mwimbaji Anaeli🎉🎉🎉mu gua awabariki
❤❤❤
Wali naziiiiii
Huyo aende Simba timu yake inamshinda kuzibiti magoli yanga no.zimejaa
Mimi Nisha ichukua Ngoma nitafanya kazi ya kuisambaza mtaan
Yuko vzr sana
Uko Sawa Mwamba
Patmercy Security Company Limited pamoja Geric Media live
Asante sana
Ivibasata watafungiya sijamaliza kusikiya kweli
Nakukubali sana❤❤❤❤❤
Wow yawe kweli🎉
Nay wewe n kichwa ngumu kama wakenya walai pengine una damu y kenya ❤❤
Nimependa sana huu wimbo
Wasanii ni 2 tu waliobaki wote machawa wa ccm wapo kama manyumbu , Ney & Roma only
Pamoja sana raisi wa kitaa Tanzania
We ndo raisi wetu wa kitaa mwana harakati wa ukweli
Kamanda kesho achiangoma we nikidume achana na mabibiharusi ambao Kila kitu wao kimya wanaangaliaga upa nde moja tu
Maamae 2taelewana2 au vp sauti😁
Kaz za Gerick media ni nzur mno🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jerekiya yoko
❤❤❤
❤❤❤
We cd
Naqbali cd4
Kwa diamond kweli maana mbunifu
Sanaaaaa
🔥🔥made it 🙌🙌
Naipenda sana simba haijalish kuwa nafas ya ngap
Kazi nzuri sana,mko maeneo gani Tarime
Nimekubali
Waalike na wengine kaka wajiunge hapa
Off mpo sawa
Uncle kama Uncle hustlers God protects u
Asante sana Uncle
Noumaaa Sanaaaa
Noma salama
Ongera sana mjomba Mungu ni mwema ❤❤
Endelea kukaza uncle
Hongera sana Kaka. Maendeleo mazuri sana. 😂