SAINT VERONICA
SAINT VERONICA
  • 1
  • 78 023
BWANA ATAWALE [Official Video]
Kwaya ya Mtakatifu Veronica Kigango cha Ijitu Parokia ya Ilumya - Masanza kona
Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu uitwao Bwana Atawale ukiwa ni utunzi wake Marco Lulu. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo zilizomo katika album yao mpya iitwayo UMENIBARIKI BWANA iliyoandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu na Kurekodiwa katika studio za DADY Productions.
Ili kupata album hii usiache kuwasiliana nao kupitia namba zifuatazo +255 769 216 948 & +255 768 898 575
Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
_Sound Engineer: Dady Rutta
_Video Shot & Directed By Dady Rutta
Contact DADY Productions for booking
dadyrutta88@gmail.com
+255 745 260 131/+255 715 068 534
Get more videos from DADY Productions
TWAJA KUKUSHUKURU
th-cam.com/video/R98_ybLClic/w-d-xo.html
MBEBA MIUJIZA
th-cam.com/video/yglSj5hjWFo/w-d-xo.html
WEMA WA MUNGU
th-cam.com/video/SUDclitqbco/w-d-xo.html
มุมมอง: 78 029

วีดีโอ

ความคิดเห็น

  • @josephabunde5480
    @josephabunde5480 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mungu milele. Pongezi sana, Mwenyezi Mungu awabariki kabisa.

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 2 ปีที่แล้ว

    Deus abençoe todos vcs 🙏

  • @bonifacemusau8074
    @bonifacemusau8074 2 ปีที่แล้ว

    safi kabisa!

  • @emmanuelondoua5358
    @emmanuelondoua5358 2 ปีที่แล้ว

    Nice song congratulation

  • @gasparymwakanyamale4429
    @gasparymwakanyamale4429 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mmenikosha sana hongela wanakwayawote

  • @ireenmunga3558
    @ireenmunga3558 2 ปีที่แล้ว

    Good work

  • @clementmazik5381
    @clementmazik5381 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni kwa utume

  • @pauljarju6127
    @pauljarju6127 2 ปีที่แล้ว

    Oh the song is very nice

  • @paschaledward4681
    @paschaledward4681 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wapendwa taifa la Mungu tusichoke tumuachie Mungu atawale milele

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni wanakwaya

  • @estherkithure4749
    @estherkithure4749 2 ปีที่แล้ว

    It's wonderful and best songs

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka huu nitanenepa kwa Nyimbo za nyumbani hongereni IJITU na KILOLELI . Mzee Nyese hongera , vs LUKA HONGERENI SANA ninafurahi nikiwa hapa Zanzibar Unguja. Mungu awabariki Ktk Utumie wenu.

  • @yovinampale4873
    @yovinampale4873 2 ปีที่แล้ว

    Zangu ni pongezi Kwa utume huu wa uimbaji. Hakika mnamwagilia moyo wangu na kunifanya niwe na Imani kubwa Kwa Mungu. Safi sana.

  • @wabulegrace6335
    @wabulegrace6335 2 ปีที่แล้ว

    Wonderful song. Thank s

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 ปีที่แล้ว

    WI WI Safi kabisa wimbo mzuri na waimbaji walivyo jipanga vizuri sana na mpiga kinanda wote safi. Kumtukuza Mungu mimi napenda sanaa.

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 2 ปีที่แล้ว

    Nice song congratulations

  • @edwinsande8237
    @edwinsande8237 2 ปีที่แล้ว

    Kenyans really love Tanzanian songs keep it up. good work

  • @matirdequesada4725
    @matirdequesada4725 2 ปีที่แล้ว

    Poketelefonadikematidejimindeshilijiramira

  • @matirdequesada4725
    @matirdequesada4725 2 ปีที่แล้ว

    Dimenata