Official Rahma Tashtity
Official Rahma Tashtity
  • 22
  • 1 115 317
Barik | Rahma Tashtity
Kila Mmoja Anatamani Kubarikiwa Na Mola Wetu Juu Ya Kile Anachokifanya Kujitafutia Rizk kila Siku Sikiliza Qaswida Hii Halafu Share, like,Subscribe and spread the love! ❤️
MOLA WETU AITIKIE DUA YA KILA MMOJA WETU KWA KUSHARE
SUBSCRIBE ON TH-cam AT @Official_Rahma_Tashtity #BARIK #Qaswida #SpiritualMusic"**
มุมมอง: 487

วีดีโอ

Kupata Mwana|Official_Rahma_Tashtity
มุมมอง 2.5K5 หลายเดือนก่อน
Kwenye Hii Dunia Unaweza Kununua Kila Kitu Lakini Huwezi Kuinunua Furaha Ya Kupata Barka Za Kujaaliwa Mtoto Na Hata Furaha na Amani Ya Ndoa Hupatikana Allah Awajaalie Malezi yaliyomema Kwa Wote Tuliyojaaliwa Baraka Hii Pia Na Wale Wasiobahatika Mola Awape Uvumilivu Na Kuwabariki Kupata Watoto Walio Wema Na Bora Katika Jamii Yetu . Nipende Kuwakaribisha Kuusikiliza Wimbo Wangu Pendwa Na Mahususi...
Rahma Tashtity|Halali Yangu|Video
มุมมอง 246Kปีที่แล้ว
Halali Yangu Ni Kaswida Mpya ya #queenofbashraf karibu Kuangalia Video Akiimuimbia Mumewe Ukumbini Nina Imani Utaipenda Video by @chapchapfilm785 Usiache Kusubscribe Kulike Kucomment n Kushare Video Hii
Halali Yangu|Rahma Tashtity
มุมมอง 154Kปีที่แล้ว
Halali Yangu Ni Jina la Qaswida lenye Maana Ya Mke au Mume Aliyehalalishwa Kwa Misingi ya Dini Na Ni Nyimbo Ya Faraja wanandoa Na Inapendeza Kumuimbia Umpendae Kama Ishara Ya Upendo Wako Kwake. karibu kusikiliza kaswida hii pia usiache kulike Kucomment pamoja na kusubscribe channel hii Instagram Official Rahma Tashtity #kaswida #kaswidatanzania
Mahari|Rahma Tashtity
มุมมอง 15Kปีที่แล้ว
Hivi ushajiuliza *MAHARI* ni nini, binafsi nasikia mengi kuhusu mahari wengine Wanasema mahari inatolewa na mwanaume kuwashukuru wazazi wa mwanamke anayetaka kumuoa bint yao,lkn pia kama ni shukran je wazazi wa mwanaume hawastahili shukran hiyo? wengine Wanasema *MAHARI* ni Kwa ajili ya bibi harusi, na kwanini iwe Kwa mwanamke,Je mwanaume hastahili kupewa mahari? sikiliza kazi yangu hii mpya Ki...
SALIM MVUTO Ft NURDIN MBIGILI song:night of bashraf
มุมมอง 4252 ปีที่แล้ว
SALIM MVUTO Ft NURDIN MBIGILI song:night of bashraf
Rahma Tashtity | Pande La Nazi
มุมมอง 17K2 ปีที่แล้ว
Usiache kulike kucomment na kusbscribe TH-cam chanel yetu
JIHADHARI NA MASHOGA | RAHMA TASHTITY (OFFICIAL AUDIO)
มุมมอง 74K2 ปีที่แล้ว
Habari yako! Karibu kuisikiliza kaswida mpya kutoka Kwa #QueenOfBashraf @official_rahma_tashtity #JihadhariNaMashoga Nikuombe support yako ya kuisikiliza na kushare na wenzio Ili wapate burudani hii whatsap no 255784654519 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Rahma tashtity/Waalikwa
มุมมอง 23K3 ปีที่แล้ว
Share,like & Comment Pia usiache kusubscribe TH-cam channel yetu
Rahma Tashtity | Punguzeni
มุมมอง 199K3 ปีที่แล้ว
⛲PUNGUZENI⛲ najua mtaniuliza maswali mengi kwa nini imekuwa ⛲PUNGUZENI⛲ tumeita punguzeni kwa sababu Siku zote imani yako juu ya kitu unachokipenda ni kufanya kwa bidii ndio itakayokufanya ufike kweny malengo usiangalie mtazamo wa watu ila jiangalie mwenyewe na unachokipambania jiamini jithamini jali unachokifanya tambua kuwa malengo yako yanatimizwa na wewe mwenyewe pambania unapopataka ongeza...
#happybirthday #QueenOfBashraf #rahmatashtiy
มุมมอง 19K3 ปีที่แล้ว
assalam alaikum ni kwa mara nyengine tena mimi mtumishi wenu RAHMA TASHITY leo hii nimewaletea kaswida yangu mpya inayotambulika kwa jina la HAPPY BIRTHDAY Siku hii huwa siku ya Furaha isyokuwa na kifani ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ingawa imeambatana na machungu makubwa aliyopata mzazi lakini bado alifurahi akasahau maumivu yote alipomuona kwa mara ya kwanza duniani mtoto wake lakini haiku...
Rahma Tashtity | Mama Usilie
มุมมอง 62K3 ปีที่แล้ว
Kila Mmoja wetu anaye *MAMA* Mwenye Nguvu aliyepambana kuhakikisha kila kitu Cha mwanawe kinakwenda Sawa Na ndiyo Maana Mtume Muhammad *S.A.W* amempa thamani Kubwa mama kwa Nafasi *3* Bora Zaidi ya wengine Hii Ni Kaswida maalum kwaajili ya Wakina *MAMA* wote Duniani *#MAMA USILIE* Unaweza kumtumia mama yako au Mama yeyote unayemuheshimu ikawe zawadi yake na Kutambua Thamani yake kwenye ulimweng...
SI AJABU | Rahma Tashtity ft Hurairah (Official Video)
มุมมอง 125K3 ปีที่แล้ว
Hakika Tuna kila sababu ya Kumswalia Mtume Muhammad (S.A.W) Kwakuwa Allah Mtukufu na malaika wake wamekwisha mswalie Hivyo kwetu SI AJABU Kufanya Jambo Hili Directed by : MATRIX Produced by : K6 Follow us on Instagram - @Official_rahma_tashtity @Official_hurairah WhatsApp - 255 784 654 519 #SiAjabu, #RahmaTashtity, #Hurairah, #Tanzania,
SHUKURU AU KUFURU RAHMA TASHTITY
มุมมอง 23K4 ปีที่แล้ว
*SHUKURU AU KUFURU* Hii Ni Kaswida Inayokukumbusha Juu ya yale Ambayo Umepewa na kuruzukiwa na Allah Kisha Akakupa Khiyari *Kushukuru* au *Kukufuru* Juu ya Neema Zake Hizo Produced by : *K6* Nikuombe Uisikulize kwa makini pia usiache kusubcribe channel yetu
#PANDE LA NAZI | RAHMA TASHTITY
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
Usiache kusubscribe channel yetu
RAMADHAN RAHMA TASHTITY
มุมมอง 2.7K4 ปีที่แล้ว
RAMADHAN RAHMA TASHTITY
TUBADILIKENI RAHMA TASHTITY
มุมมอง 49K4 ปีที่แล้ว
TUBADILIKENI RAHMA TASHTITY
MAHARUSI WANAWIRIKE RAHMA TASHTITY
มุมมอง 32K4 ปีที่แล้ว
MAHARUSI WANAWIRIKE RAHMA TASHTITY
Kaswida mpya Ya Rahma tashtity (Wanadama)coming soon......
มุมมอง 7K4 ปีที่แล้ว
Kaswida mpya Ya Rahma tashtity (Wanadama)coming soon......

ความคิดเห็น

  • @NansubugaJalia-vc3tg
    @NansubugaJalia-vc3tg 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anyone from Tanzania ready for a ugandan Muslim wedding

  • @naymashasareva7863
    @naymashasareva7863 4 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah 🎉

  • @WardaOmary-f9e
    @WardaOmary-f9e 4 วันที่ผ่านมา

    Masha allha ❤

  • @salehalkharousy7317
    @salehalkharousy7317 6 วันที่ผ่านมา

    Allah atubarik sote

  • @salehalkharousy7317
    @salehalkharousy7317 6 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢 hisia

  • @hemeyd673
    @hemeyd673 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @EmyAbdalah
    @EmyAbdalah 10 วันที่ผ่านมา

    Nitapata WA kwangu inshaalahh

  • @MwanaMvungi
    @MwanaMvungi 15 วันที่ผ่านมา

    Mashallahh❤❤❤❤❤

  • @RahmaMbilu-j1s
    @RahmaMbilu-j1s 20 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah wajina

  • @MwanamisiNadzua-h4u
    @MwanamisiNadzua-h4u 23 วันที่ผ่านมา

    Na nn?

  • @SabinaShauli
    @SabinaShauli 27 วันที่ผ่านมา

    Hatariiii

  • @SabinaShauli
    @SabinaShauli 27 วันที่ผ่านมา

    Mashallaaa dada yangu nakupenda sn

  • @saidiyahya558
    @saidiyahya558 28 วันที่ผ่านมา

    Good job Mashallah

  • @azizsoud4319
    @azizsoud4319 29 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Nasheed nzuri, ila mimi imenitiashaka apo ,asiomkubali alafu mwengine anasema Allah Allah, Sasa Allah hajamkubal au, ni bora mukaweka Sawa apo Kuna watu wengine watachukulia ufahamu tofauti na baada kupata swaabu kuingia kwenye dhambi

  • @SalmaMakame-t7l
    @SalmaMakame-t7l หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o หลายเดือนก่อน

    Mashalaa mung awalinde

  • @FatumaMosa
    @FatumaMosa หลายเดือนก่อน

    Mashaallahu ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️

  • @JamilaMoha-p5u
    @JamilaMoha-p5u หลายเดือนก่อน

    Mahshaallah mahshaallah 🙏 Allah awazidishie Kila la kher ndoa yenu 🤲🤲👋

  • @HaithamAlly-j3e
    @HaithamAlly-j3e หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @FrolidaAdam
    @FrolidaAdam หลายเดือนก่อน

    😊😊inshallah na mimi mungu anijaalie nipate mume

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuombea Dua kwamungu atupe uhayi nikuonage juu nakupendaga sana❤

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuombea Dua kwamungu atupe uhayi nikuonage juu nakupendaga sana❤

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuombea Dua kwamungu atupe uhayi nikuonage juu nakupendaga sana❤

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuombea Dua kwamungu atupe uhayi nikuonage juu nakupendaga sana❤

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuombea Dua kwamungu atupe uhayi nikuonage juu nakupendaga sana❤

  • @IrakozeSanura
    @IrakozeSanura 2 หลายเดือนก่อน

    Mm na kupendaga sana ❤❤

  • @HamisaJuma-e8e
    @HamisaJuma-e8e 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @HamisiMwalole
    @HamisiMwalole 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ALLAH akubariki

  • @tumainiamosi2040
    @tumainiamosi2040 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @anosisyembetwa8935
    @anosisyembetwa8935 2 หลายเดือนก่อน

    Ipo pwa Cna

  • @RauhiyaYussuf
    @RauhiyaYussuf 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa naomba kuuliza hao watoto wamefidhi angalau hata juzuu moja tu

  • @wadaabdalla5343
    @wadaabdalla5343 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @AffectionateCroissant-he5fc
    @AffectionateCroissant-he5fc 3 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah

  • @AsiaAwadhi
    @AsiaAwadhi 3 หลายเดือนก่อน

  • @jamilahjuma9273
    @jamilahjuma9273 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @suleimaneussene4406
    @suleimaneussene4406 3 หลายเดือนก่อน

    Pambeeee

  • @AgfaUssi
    @AgfaUssi 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana rahma kwa kufiwa na mama yako mzaz

  • @ameali1251
    @ameali1251 3 หลายเดือนก่อน

    Hahaha bwana harusi hoyeeee❤❤

  • @IbrahimuMussa-g1g
    @IbrahimuMussa-g1g 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @ElizabethShirima-g1u
    @ElizabethShirima-g1u 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ Penda chana wewe❤❤

  • @fat-hiyamasoud1605
    @fat-hiyamasoud1605 3 หลายเดือนก่อน

    Cerqsq4juonio7nluon❤

  • @muhammedraj4640
    @muhammedraj4640 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah congrats my daughter Allah akuhifadhi ktk ndoa yako

  • @AshuraAshura-t3o
    @AshuraAshura-t3o 4 หลายเดือนก่อน

    yaah rabby nijaalie na mimi nipate halali yangu yenye kheri na me inshaallah

  • @SalamaIsajuma
    @SalamaIsajuma 4 หลายเดือนก่อน

    Namimi mwenyezi mungu nijalie nipate Hali yangu

    • @AMARNsengi
      @AMARNsengi 6 วันที่ผ่านมา

      Miniko hapa

  • @fatumahassan636
    @fatumahassan636 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @KhadijaMussaIsmail
    @KhadijaMussaIsmail 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah nyimb nzur sana❤❤❤

  • @SiniraAhmad
    @SiniraAhmad 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤,,,, umenoga

  • @AbdulqadirThabit
    @AbdulqadirThabit 4 หลายเดือนก่อน

    Na mimi nipate halali yangu yaarabbal'aalamiin

  • @AbdulqadirThabit
    @AbdulqadirThabit 4 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadhi na macho ya hasadi ammin thumma amiiin ❤

  • @lalaidrisa8127
    @lalaidrisa8127 4 หลายเดือนก่อน

    Nani kaona mwanzo bwana harusi kasema kumamae 😂😂mwanzo kabisa😂anyway it was lit🎉