TulaskaBeauty
TulaskaBeauty
  • 26
  • 57 620

วีดีโอ

Tumia mafuta ya blue magic, kufanya natural hair kua curly/ mawimbi/Bantu knots
มุมมอง 291ปีที่แล้ว
mafuta ya blue magic kufanya nywele natural kua na mawimbi/ curly Music: All Yours All Mine Musician: Young Ginseng
Tumia Aunt Jackie's curl la la... kufanya nywele natural kua curly/ bantu knots
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
nywele ziwe na mawimbi kua curly tumia Aunt Jackie's curl la la Music: All Yours All Mine Musician: Young Ginseng
Tengeneza kibanio kwa dakika tano BILA kucrochet.....
มุมมอง 53ปีที่แล้ว
kibanio bila kucrochet
TENGENEZA HEADBAND WIG KWA RASTA YA KAWAIDA
มุมมอง 97ปีที่แล้ว
TENGENEZA HEADBAND WIG KWA RASTA YA KAWAIDA
How to use steamer at home/jinsi ya kutumia steamer nyumbani
มุมมอง 6342 ปีที่แล้ว
How to use steamer at home/jinsi ya kutumia steamer nyumbani
suka rasta ya selfie bila KUCROCHET..
มุมมอง 882 ปีที่แล้ว
rasta ya selfie.. bila KUCROCHET rahisi mno
TENGENEZA RASTA ZA KAWAIDA KUA PASSION TWIST...
มุมมอง 1954 ปีที่แล้ว
passion twist Kwa Rasta za kawaida mtindo mzuri wa nywele
SUKA DREADS KWA RASTA ZA KAWAIDA
มุมมอง 1664 ปีที่แล้ว
SUKA DREADS KWA RASTA ZA KAWAIDA
WIGI LA KUBANA STYLE 3 KWA RASTA YA KAWAIDA
มุมมอง 3664 ปีที่แล้ว
WIGI LA KUBANA STYLE 3 KWA RASTA YA KAWAIDA
TENGENEZA VIBANIO KWA MABUTU YA RASTA
มุมมอง 6954 ปีที่แล้ว
TENGENEZA VIBANIO KWA MABUTU YA RASTA
WIGI LA DREAD KWA KUTUMIA NEW SELFIE.
มุมมอง 1504 ปีที่แล้ว
WIGI LA DREAD KWA KUTUMIA NEW SELFIE.
TENGENEZA WIGI LA KOFIA
มุมมอง 5584 ปีที่แล้ว
TENGENEZA WIGI LA KOFIA
JINSI YA KUTUNZA WIGI LAKO LIDUMU MDA MREFU
มุมมอง 5014 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUTUNZA WIGI LAKO LIDUMU MDA MREFU
PUNGUZA TUMBO KWA WIKI MOJA.. KWA KUTUMIA MDALASINI NA ASALI
มุมมอง 12K5 ปีที่แล้ว
PUNGUZA TUMBO KWA WIKI MOJA.. KWA KUTUMIA MDALASINI NA ASALI
Jinsi ya kutengeneza wigi kwa kutumia sufuria na kofia ya nywele/ make a wig using a pot
มุมมอง 20K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kutengeneza wigi kwa kutumia sufuria na kofia ya nywele/ make a wig using a pot
TENGENEZA KIBANIO CHA MAWIMBI KWA RASTA YA KAWAIDA
มุมมอง 1.9K5 ปีที่แล้ว
TENGENEZA KIBANIO CHA MAWIMBI KWA RASTA YA KAWAIDA
Style ya nywele rahisi mno...uwe na rasta tu
มุมมอง 8455 ปีที่แล้ว
Style ya nywele rahisi mno...uwe na rasta tu
Kutengeneza kibanio kwa kutumia Rasta tu, rahisi mno
มุมมอง 16K5 ปีที่แล้ว
Kutengeneza kibanio kwa kutumia Rasta tu, rahisi mno

ความคิดเห็น

  • @minaruganyira26
    @minaruganyira26 15 วันที่ผ่านมา

    Na je niki chemsha maji na mdalasini alafu natiya asali baadayi ?

  • @MuntaMudeer
    @MuntaMudeer หลายเดือนก่อน

    Tunapata wapi kwa huku Oman pls

  • @hawaally7466
    @hawaally7466 ปีที่แล้ว

    Nice mdogo angu. Kazana Ivo Ivo utafika tu

  • @desmondmwaipula9526
    @desmondmwaipula9526 2 ปีที่แล้ว

    Umekaushia hand dryer au Kuna njia nyingine

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 2 ปีที่แล้ว

      Sikutumia hand dryer niliiacha ikauke yenyewe.. Lakini unaweza kutumia hand dryer pia

  • @noraskamyamba3508
    @noraskamyamba3508 2 ปีที่แล้ว

    Asantee

  • @rosembaga2658
    @rosembaga2658 3 ปีที่แล้ว

    Aionekani vyemaa

  • @joselynshirati4892
    @joselynshirati4892 3 ปีที่แล้ว

    Nimejaribu na nimeweza Asante sana

  • @santielmmbaga738
    @santielmmbaga738 3 ปีที่แล้ว

    Unakunywaaaa loteeeeeeee

  • @sakiikassim308
    @sakiikassim308 3 ปีที่แล้ว

    Umeanzaje kusuka

  • @salmalaga3132
    @salmalaga3132 3 ปีที่แล้ว

    Nijibu Mimi nimepata wakenya utafaa?

  • @officialsophy6622
    @officialsophy6622 3 ปีที่แล้ว

    Daaa good idea

  • @phareedtztelevision5711
    @phareedtztelevision5711 3 ปีที่แล้ว

    Unapungua au unapunguza tumbo

    • @safiakimolo8948
      @safiakimolo8948 3 ปีที่แล้ว

      Hapa ndio si elewagi,kuna akina sie, tunahitaji kutoa kitamba tu na sio kupunguza mwili wote

  • @leilahmohamed2225
    @leilahmohamed2225 4 ปีที่แล้ว

    Tofauti na kutengeneza ktk kofia unaweza kutengenezea nin tena

  • @leilahmohamed2225
    @leilahmohamed2225 4 ปีที่แล้ว

    Sorry hiyo kofia huuzwa how much ????

  • @hellenhelenanjoki8679
    @hellenhelenanjoki8679 4 ปีที่แล้ว

    Wow,NYC video,av been trying but ckua na head so am so happy kwa kuona hi video

  • @daddyveller4511
    @daddyveller4511 4 ปีที่แล้ว

    Mbona usemi unakunywa kiasi gan

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Mi nilikua nakunywa lita moja asubuhi na usiku

  • @onesphoryndeu976
    @onesphoryndeu976 4 ปีที่แล้ว

    Ua a very good editor

  • @livefreeallways
    @livefreeallways 4 ปีที่แล้ว

    Fam -give respect to this thought provoking music. Nattali Rize - Rebel Frequency Full Album. The time is now to rise up!! We are on the precipice of an open air prison if we allow the wicked to succeed with their agenda. We all unite. All colors, All warriors. th-cam.com/video/xfGBl76wKuw/w-d-xo.html

  • @happydunstan9631
    @happydunstan9631 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri ila video haionekani pia sauti iko ndogo

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Ntajitaidi kuongeza sauti na kufanya video zingine kuonekana vzur

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 ปีที่แล้ว

    Thanks you keep it up

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Thanks for ur support

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 ปีที่แล้ว

    Keep it up . Hongeraa

  • @amansaimon8809
    @amansaimon8809 4 ปีที่แล้ว

    Kax nzur sister hongera

  • @ozanalibolio4119
    @ozanalibolio4119 4 ปีที่แล้ว

    Nice,but video yako hainekan well

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Sorry...Mwanga dear ulikua unasumbua...

  • @chimamyroza2395
    @chimamyroza2395 4 ปีที่แล้ว

    Nilikumic dea

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Mekumic pia dear

  • @felisterjoseph5663
    @felisterjoseph5663 4 ปีที่แล้ว

    My favorite. Nitajaribu na kuleta mrejesho

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 ปีที่แล้ว

    All the best you gonna make ii

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Thank yuuuu so very much

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 ปีที่แล้ว

    All the best my friend

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Thank you for ur support... It means alot

  • @annamaronga5282
    @annamaronga5282 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @judithjumwa3673
    @judithjumwa3673 4 ปีที่แล้ว

    Creativity iko juu

  • @godlistensembuly8354
    @godlistensembuly8354 4 ปีที่แล้ว

    Safiiii mrembo ,mambo mazuriii hayaaa

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Thanks dear for ur support

  • @marydamas5359
    @marydamas5359 4 ปีที่แล้ว

    Nice thanx

  • @zuu99lfaa57
    @zuu99lfaa57 4 ปีที่แล้ว

    Jaman dada mimi mbona nimetumia wiki ya pili sasa lakin bado sijaona matokeo sijui nakwama wapi

  • @axsarhodajaphes712
    @axsarhodajaphes712 4 ปีที่แล้ว

    Upungui mwili mzima??

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Unapungua pia...

    • @axsarhodajaphes712
      @axsarhodajaphes712 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nataka kupungua tumbo tu

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Na mwili pia utapungua kidogo maana unatoa mafuta... Tumbo litaisha lakn mwili pia utapungua kdogo dear

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Usijali mwili hupungui sana... We ukiona tumbo limeisha usiendelee kutumia

    • @axsarhodajaphes712
      @axsarhodajaphes712 4 ปีที่แล้ว

      Duh, kwaiyo ntakonda mwili uishe

  • @muhammadmahmoud1068
    @muhammadmahmoud1068 4 ปีที่แล้ว

    Ukikosa mdalasini wa India 🇮🇳 je?? +974🇶🇦🇶🇦🇶🇦

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Basi hapo huna namna tumia mdalasini wowote. . Lakini wa india ndo mzuri

  • @reginamayebele5718
    @reginamayebele5718 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo ecco jely naipata WAP na sh ngap

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Unaipata kwny maduka ya urembo... bei ni kwanzia elfu 8..

  • @joycemasaki8876
    @joycemasaki8876 5 ปีที่แล้ว

    Umetishaa khaaa

  • @mariamelia8688
    @mariamelia8688 5 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @fransiscathadeypeter7797
    @fransiscathadeypeter7797 5 ปีที่แล้ว

    Nzur sana🥰🥰

  • @mathamisala5187
    @mathamisala5187 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @lydiakangongole6783
    @lydiakangongole6783 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @dicksonelias5879
    @dicksonelias5879 5 ปีที่แล้ว

    Keep going dearest

  • @hendricahendry5929
    @hendricahendry5929 5 ปีที่แล้ว

    Ni lazima nitumie ecogell au gell yyte

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 4 ปีที่แล้ว

      Tumia gell yoyote

  • @queenchance9316
    @queenchance9316 5 ปีที่แล้ว

    I like it

  • @nurujacob5940
    @nurujacob5940 5 ปีที่แล้ว

    Yaan simple kabisa 😍

  • @mwaijatvonline895
    @mwaijatvonline895 5 ปีที่แล้ว

    Nawezapaka ecogel kwenye nywele yenye dawa?

  • @omanoman9226
    @omanoman9226 5 ปีที่แล้ว

    Sawa mamii

  • @stellaelia7017
    @stellaelia7017 5 ปีที่แล้ว

    nakupenda sn dada

    • @TulaskaPaul
      @TulaskaPaul 5 ปีที่แล้ว

      Nakupenda pia dear

  • @Bianca-vo6yg
    @Bianca-vo6yg 5 ปีที่แล้ว

    Wawouuu nice job Thank you I Will try👌👌👌

  • @SalamSalam-dt6hl
    @SalamSalam-dt6hl 5 ปีที่แล้ว

    Thx dear for sharing

  • @fridaordnaa4591
    @fridaordnaa4591 5 ปีที่แล้ว

    So nice