- 1 176
- 990 264
Bazo tv Online
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 8 ส.ค. 2013
Bazo tv online and G Sounds Record Studio 🎙️ Dodoma, Dealling with
1. News and Documentary
2. Audio recoeding (gospel Music).🎧
3. Music sound for any Event
4. Keyboard maintanacy (piano)🎹
5. Enterprenur Education.(Industrial goods).
6. Playing music instument (live event)🎸
7. Forex trade trainning💰💰
1. News and Documentary
2. Audio recoeding (gospel Music).🎧
3. Music sound for any Event
4. Keyboard maintanacy (piano)🎹
5. Enterprenur Education.(Industrial goods).
6. Playing music instument (live event)🎸
7. Forex trade trainning💰💰
MTATURU AZIDI KUWANADI WAGOMBEA WA CCM SINGIDA MASHARIKI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu Ameendelea kuwanadi wagombea wa Serikali za Vijiji ikiwa ni sehemu ya kuomba kura za Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
มุมมอง: 73
วีดีโอ
TAFITI ZIFANYIKE KUWEZESHA MPANGO WA AFYA - MAJALIWA
มุมมอง 10หลายเดือนก่อน
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza idara na taasisi za utafiti na elimu ya juu ziendelee kufanya tafiti za kisayansi ili kutafuta suluhisho za changamoto zenye mwingiliano wa afya ya binadamu, afya ya wanyama, na afya ya mazingira. Ameongeza kuwa idara na taasisi za Serikali zinapaswa kutumia matokeo ya tafiti hizo katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kitaifa. Ametoa maagizo hayo jan...
CHADEMA YAKOSA MWELEKEO: DR SLAA
มุมมอง 931หลายเดือนก่อน
Dr Slaa Kiongozi Mwandamizi wa zamani wa Chadema aanika mbinu za Chama hicho kushindwa kwenye uchaguzi.
WAZIRI MKUU AMSHUKURU RAIS SAMIA
มุมมอง 213 หลายเดือนก่อน
Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Majaliwa amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapelekea Wananchi wa Ruangwa Maendeleo kedekede ya Mabilioni ya Fedha.
MAUAJI YA ALLY KIBAO MBOWE ATOA NENO, MAUAJI YA KIKATILI #azamnews #ajali #chadema #ccm #cuffsleeves
มุมมอง 8263 หลายเดือนก่อน
Mauaji ya Kikatili yaliyotekelezwa na watu wasiojulikana ya Ally Kibao wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo Chadema yameleta taswira mpya nchini Tanzania.
SIMANZI NA VILIO DODOMA MTOTO NA MAMA AKE WABAKWA NA KUUWAWA KINYAMA. #azamnews #ajali #moto #news
มุมมอง 5943 หลายเดือนก่อน
SIMANZI NA VILIO DODOMA MTOTO NA MAMA AKE WABAKWA NA KUUWAWA KINYAMA. #azamnews #ajali #moto #news
WAFANYA BIASHARA SINGIDA WAFUNGA BARABARA, RC DENDEGO AWATAKA KUWA WAPOLE WAFIKE OFISINI #azamnews
มุมมอง 3893 หลายเดือนก่อน
Wafanya Biashara Mkoani Singida wamefunga Barabara kuu ya Singida mwanza kwa takribani dakika 45. Wakiishinikiza Serikali kutoa mfumo wa stakabadhi Ghalani kwenye mazao ya mbaazi ufuta na Dengu, ili wauze kwenye soko la kawaida kuepuka urasimu wa mfumo huo wa stakabadhi. Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Singida Bi. Halima Dendego baada ya kufuatwa na Waanddishi wa Habari ili kujua majibu ya kili...
MTOTO MDOGO ATUPIWA KISIMANI DODOMA AFARIKI, JESHI LA ZIMA MOTO LALAANI UKATILI HUO #ajali #moto
มุมมอง 1993 หลายเดือนก่อน
kubaki na Mishangao na Hofu kwa kile walichodai kuwa ni matukio ya Watoto kuwawa na kutupwa Majalalami, Vyooni na Kwenye Visima vya maji, Akiongea kwenye tukio la Mtoto aliyekadiriwa kuwa na Umri wa zaidi ya Mwaka mmoja kutupwa Kisimani na kupoteza uhai wake, Mwenyekiti wa Mtaa wa Muungano Kata ya Nkuhungu Jijini Dodoma Ndugu Nelson Mpolo amesema baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia mwema al...
God's Blessings Studio 🎙️#azamnews #bbc #cnn #müzik #music #musicvideo #learningmusic #createmusic
มุมมอง 94 หลายเดือนก่อน
God's Blessings Studio 🎙️#azamnews #bbc #cnn #müzik #music #musicvideo #learningmusic #createmusic
MAAMUZI YA CLUB YA YANGA KESI YA VIONGOZI WAKE: MWANASHERIA
มุมมอง 3685 หลายเดือนก่อน
Club ya YANGA yatoa Ufafanuzi kuhuu KESI ya viongozi wanao daiwa kutakiwa kuondoka madarakani.
MTATURU AMRARUA TUNDU LISU, TUKUTANE 2025 ACHA KUPOTOSHA #ikulu #official #azamnews #bbc #cnn #tbc
มุมมอง 1.6K5 หลายเดือนก่อน
Wananchi wametakiwa kutobabaika na Porojo za Wanasiasa wachache ambao wameendelea kupotosha jamii ili kutoshiriki shughuli zao za Maendeleo Kwa kile kilichodaiwa ni viongozi wa vyama vya upinzani kuwahamasisha Vijana kutoshiriki vyema katika kujenga familia zao na kudanganywa Serikali itafanya kila kitu, hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu, Wakati akisalimi...
SINGIDA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWALETEA FEDHA ZA MIRADI: #kaziiendelee #ikulu #bungelatanzania
มุมมอง 657 หลายเดือนก่อน
Wananchi Mkoani Singida wamesherekea miaka 60 ya Muungano kwa Kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuupatia mkoa wa Singida fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imeleta mabadiliko makubwa katika Sekta mbalimbali za Kijamii.
WANAOTAKA KUVURUGA AMANI SINGIDA KUKIONA CHA MOTO: RC DENDEGO #ikulutanzania #singida
มุมมอง 1088 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego ameonya kuwa atawachukulia hatua kali watu wanaotaka kuvuruga au kuvunja amani kwa Wananchi wa Mkoa huo. Ametoa kauli hiyo (leo 23/Apr/2024 ) mjini Singida, katika uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya Soko Kuu la Singida. Mkuu huyo wa mkoa wa Singida amewasisiti...
RC DENDEGO APIGA MARUFUKU UNYWAJI POMBE MUDA WA KAZI. #kaziiendelee #ikulu #samiasuluhuhassan
มุมมอง 1418 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego, amepiga marufuku Wananchi wa Mkoa huo kuanza kunywa pombe wakati wa kazi (asubuhi) na kuwataka kutumia muda huo kufanya shughuli za maendeleo ili kuweza kujikwamua kiuchumi na kujenga uchumi wa Taifa kwa ujumla. Dendego, ametoa kauli hiyo leo (19 Aprili, 2024) katika Kijiji cha Kashangu, Halmashauri ya Itigi kwenye ziara yake ya kikazi ya Siku Mbili ...
RAS SINGIDA AWAAGIZA WATENDAJI WA SERIKALI MKOANI HUMO KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI #kaziiendelee
มุมมอง 508 หลายเดือนก่อน
Katibu Tawala Mkoa wa Ssingida Dkt. Fatuma Mganga, amewataka Watendaji wa Halmashauri na Kata kusimamia vizuri ujenzi wa miradi ya maendeleo hasa umaliziaji wa majengo mbalimbali ili kudhibiti vitendo vya wizi wa vifaa vya ujenzi. Dkt Fatuma, ameyasema hayo leo (19 Aprili, 2024) katika Kijiji cha Kashangu, Halmashauri ya Itigi kwenye ziara ya kikazi ya Siku Mbili ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhes...
MTATURU AIBANA SERIKALI UJENZI WA BARABARA. #ikulu #bungelatanzania #bbcnews #bazotvonline #tbc
มุมมอง 738 หลายเดือนก่อน
MTATURU AIBANA SERIKALI UJENZI WA BARABARA. #ikulu #bungelatanzania #bbcnews #bazotvonline #tbc
MTATURU AMPONGEZA RC HALIMA DENDEGO #bungelatanzania #ikulu #kaziiendelee #singidabigstars
มุมมอง 798 หลายเดือนก่อน
MTATURU AMPONGEZA RC HALIMA DENDEGO #bungelatanzania #ikulu #kaziiendelee #singidabigstars
MTATURU AGONGEA MSUMARI BAJETI TAMISEMI, SERIKALI IMEFANYA KAZI KILA MTAA, KIJIJI NA VITONGOJI
มุมมอง 608 หลายเดือนก่อน
MTATURU AGONGEA MSUMARI BAJETI TAMISEMI, SERIKALI IMEFANYA KAZI KILA MTAA, KIJIJI NA VITONGOJI
WAZIRI KIKWETE ATOA MAJIBU YA SERIKALI BUNGENI DODOMA
มุมมอง 208 หลายเดือนก่อน
WAZIRI KIKWETE ATOA MAJIBU YA SERIKALI BUNGENI DODOMA
Mtaturu alia na Ujenzi wa Madaraja Singida Mashariki, Serikali yatoa Majibu Bungeni. #ikulu #azamtv
มุมมอง 938 หลายเดือนก่อน
Mtaturu alia na Ujenzi wa Madaraja Singida Mashariki, Serikali yatoa Majibu Bungeni. #ikulu #azamtv
Ratiba kamili ya Mazishi ya Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi hii hapa: Kassim MAJALIWA #ikulu
มุมมอง 99 หลายเดือนก่อน
Ratiba kamili ya Mazishi ya Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi hii hapa: Kassim MAJALIWA #ikulu
BWAWA LA NYERERE TAYARI KUFUA UMEME: Mha. Dismas Mbote
มุมมอง 29110 หลายเดือนก่อน
BWAWA LA NYERERE TAYARI KUFUA UMEME: Mha. Dismas Mbote
Mwili wa Hayati Edward Lowasa ukitolewa Lugalo kwenda Nyumbani kwake
มุมมอง 40810 หลายเดือนก่อน
Mwili wa Hayati Edward Lowasa ukitolewa Lugalo kwenda Nyumbani kwake
Kula Agano na Mungu kwanza: Pastor Frank Muro BUAG CHURCH DODOMA
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
Kula Agano na Mungu kwanza: Pastor Frank Muro BUAG CHURCH DODOMA
G Sounds Record Tanzania #gospeltanzania #audiorecording #dodoma #dodomajijifc
มุมมอง 30ปีที่แล้ว
G Sounds Record Tanzania #gospeltanzania #audiorecording #dodoma #dodomajijifc
Anajibu Maombi by Joel Bwenge coming Soon. Prod Bazil. G Sounds Record Tanzania
มุมมอง 155ปีที่แล้ว
Anajibu Maombi by Joel Bwenge coming Soon. Prod Bazil. G Sounds Record Tanzania
Mungu Anajibu #ComingSoon by Joel Bwenge #gospeltanzania @gsoundsrecord #gsoundsrecordtanzania
มุมมอง 139ปีที่แล้ว
Mungu Anajibu #ComingSoon by Joel Bwenge #gospeltanzania @gsoundsrecord #gsoundsrecordtanzania
Audio Recording Studio Dodoma fika ufanyiwe kazi ya uhakika #jeshilapolisi #gospeltanzania #jwtz
มุมมอง 38ปีที่แล้ว
Audio Recording Studio Dodoma fika ufanyiwe kazi ya uhakika #jeshilapolisi #gospeltanzania #jwtz
MADHARA YA KUTOKUJUA: Pastor Amos Shango. 0765851188
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
MADHARA YA KUTOKUJUA: Pastor Amos Shango. 0765851188
Mzee shwashwa na. Mzee okelo jaman
🇹🇿 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
❤❤❤
Da tukumbuke ni kwa Rami nasi handeni songe ti gairo maana,kura nyingi kilindi
Ikungi
sawa kaka chaya enderea kuwapigia kelele hiyo barabara tunaitaka kwa kiwango cha rami
home home 🏡
Ni.miaka 6 baba tunakukumbuka
Chadema haina mpango wa kushinda na chadema aliongoza Dr slaaa ndio ilikuwa na chadema hasa
Chadema haina mpango wa kushinda na chadema aliongoza Dr slaaa ndio ilikuwa na chadema hasa
Weee ndio umekosa mwelekeo tangu ulipokihama chama na inaonekana unakipenda sana CHADEMA
Kwahi wafanyaje sasaa???
Mashalaaa najiskia vizr kumuona mealim wang
Barikiwa Sana
Huu wimbo unanipa huzun kwa heri BWM
daaah,
Wajifia muhaja😂😂
Jamn ukhaya gwalombaaa❤❤❤❤
Mnyanpa fandiya fang'e😂😂😂😂
Ndiyo wapo marekani kwa jili ya Usala wao, mana wangekuwa hapa wasingekuwa salama.
Huu wimbo unaitwaje na unapatikana youtube
Najivunia kuwa munyaturu❤❤❤❤
Wajefya
❤❤
Sitaionea haya injili ya bwana,
😂😂 Cjawah kuona wazee wa singida wakicheza nyimbo za asili
Kaza mwendo
Eti niyuka kumuganga 😂😂😂🎉🎉
❤❤nilikupenda magu pumuzika kwa amani
Kaz nzur
Walipenda watu tujitume
Hapo ulienda kutaja majina ya wakuu mbalimbali ? Nani hajui ubora na UDHAIFU wao ? Unaleta hadithi kwa kipofu gani ?nilifikiri ana uwezo kumbe 0%!!!
Kwa mtazamo hotuba hii ni hafifu sana !! Haina mvuto ni kelele zaidi haina POINTI zaidi ya mashambilizi .UOGA wa nini?
Baba niliumia huyu mbaya zaidi walikua sambamba na jpm 😢😢 walikua wanapambania sana sisi watu wa chini sema 😢😢😢
*#4YearsDown**💔☹️* Big BEN🇹🇿 24.07.2020🕊️
🤝🤝👏👏👏🙌
Amen
Mars
Wew zeruzeru la fisiyemu acha majigambo umesomba watu lisu anawafuata walipo jalamba kata. Kwa kata
Umewakusanya kwa maroli lisu anapiga kata kwa kata
Huwezi pambana na lisu bhn
mtaturu huo ubunge umepewa ww mwenyewe unajua na mungu anajua lissu anachukua nchi si ubunge
Ndio watoto wapo marekani vp usaidiweje ww
Lisu hana kitu hata kama anajua kuogea amefanya nn miaka yote hiyo muweza mnasema ukweli jaman hata msipomchagua mtaturuu kumbukeni amewatoa kwenye giza Kuna mwanga upo uliko mtaturuu mm nilikuwa nakujaga na miguu leo magari yanapita hamuonili hilo mlipoteshwa na lisu semeni ukweli
Anajua kuongea ninii??? Unamfariji huyo mtaturu and wako, sasahivi hamyapata kitu mafisiemu
Maviiiiiiiiiiii Mwanzo Mwisho unachokiongea ni Pumba Lissu ni Mwamba Tanzania hii,Achana na huyo poyoyo Hana hoja, na wewe Akili iko Matakoni Hovyo Mno Kakojoe,
matako wewe
tundu lisu anafaa kuwa rais wa nchi hii kwa sababu ana tabia ya kuongea ukweli na kuwa muwazi
Tuwape paper la sheria mtaturu na Lissu
Bugeni hakuna wabunge wanaojali wananchi bali wanaojali mtumbo yao
Mtaturuuu!!! Bila polisi hamna uwezo huo,
Ubunge huna shenzi sana unaenda bungeni kustarehe unasaini mikataba ya ujinga