Kwaya  ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza-Chalinze
Kwaya  ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza-Chalinze
  • 6
  • 5 724
MWANGAZA UMETUNG'ARIA, Kwaya ya Mt Karoli Lwanga Vigwaza#(OFFICIAL VIDEO). SKAS MEDIA Pro.
Wimbo; mwangaza umetung'aria
Mtunzi; Frt. Norbert Nyabahili
Kwaya: Mt. Karoli Lwanga Vigwaza
Kinanda; Olivian S.Kasigara
STUDIO. SKAS MEDIA Pro (AUDIO and VIDEO)
#musicians
#gospelmusic#song#rajo
มุมมอง: 1 554

วีดีโอ

Bwana ni Tayari, :Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza-Chalinze
มุมมอง 1.1K5 หลายเดือนก่อน
Waimbaji🎶 : Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga -Vigwaza Mtunzi :Frt.Patrick Martin ,SDS Organist: Olivian S.Kasigara Audio & Video: SKAS MEDIA PRO Karibuni kutazama wimbo huu wenye tafakari ya juu kabisa juu ya kujitoa kwetu kwa ajili ya Kristu ambapo Kama wakristu tunakumbushwa kujitoa sadaka bila kujibakiza katika utume mbalimbali katika kulitegemeza Kanisa Ili Mungu daima atukuzwe na wanadamu watakat...
Mtakatifu Anthon wa Padua Utuombee ,: Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza-Chalinze
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
Wimbo : Mt.Anthon wa Padua Waimbaji :Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza- Chalinze Organist: Osca Kasigara Audio & Video: SKAS MEDIA PRO Karibu kwa ku like,Ku view, Ku komenti na ku Subscribe Ili uweze kuwa wa kwanza kupata taarifa pindi ambapo tutaweka wimbo mpya Asante #cfproduction #choir #holytrinity #rajopro #swahili #kwayakatoliki #catholiconlinetv #skasmediapro
Njoo Kwetu Masiha ,: Kwaya ya Mt Karoli Lwanga Vigwaza
มุมมอง 378ปีที่แล้ว
Karibuni ndugu waamini na wote wenye mapenzi mema kusikiliza wimbo huu maalumu kabisa wa Kipindi Cha Majilio unaoletwa kwenu na kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Vigwaza CHALINZE Wimbo : Njoo Kwetu Masiha Mtunzi : Sosypeter Kasigala Kinanda : Olivian Kasigala Audio : SKAS MEDIA PRO Tunaomba support Yako kwa Ku Bonyeza SUBSCRIBE, Ku "like" , share na Kwa kucomment... Asante na Mungu akubariki

ความคิดเห็น