![MAZAUG TZ](/img/default-banner.jpg)
- 19
- 4 193 879
MAZAUG TZ
เข้าร่วมเมื่อ 18 ก.ย. 2017
Karibu kwenye chaneli rasmi ya Burudani na Matukio mbalibali ya KASWIDA na Sherehe zenye maudhui ya kiislam.
Mawasiliano 0715717272/
0687686811 Ilala Dar es Salaam
Mawasiliano 0715717272/
0687686811 Ilala Dar es Salaam
Alhabeeb Sulesh - For the rest of my life (live session) - MAZAUG TZ
Alhabeeb Sulesh - For the rest of my life (live session) - MAZAUG TZ
มุมมอง: 397
วีดีโอ
Ukhty Sitty - Deen Salaam (Live Session) - MAZAUG TZ
มุมมอง 62210 หลายเดือนก่อน
Ukhty Sitty - Deen Salaam (Live Session) - MAZAUG TZ
Sudy Ally - Usijidhulumu (live session) - MAZAUG TZ
มุมมอง 27910 หลายเดือนก่อน
Hii ni moja kati ya kaswida bora sana iliyoimbwa na Msanii toka MAZAUG TZ Suleyman Massanza almaarufu Alhabeeb Sulesh, inakwenda kwa jina la USIJIDHULUMU kaswida yenye ujumbe wa kukutia moyo na kukuondoa kwenye dhana ya kukata tamaa kutokana na hali au mapito ya nyakati ngumu ambayo huwa hayadumu. Katika Programu hii imefanyiwa Copy na muimbaji Suddy Ally Kutoka kundi hili hili la MAZAUG TZ Kar...
Hashim Kivoja - Chuki (live session) - MAZAUG TZ
มุมมอง 83110 หลายเดือนก่อน
Kaswida yenye lahni na mahadhi ya pwani iliyoimbwa katika ufanisi na uhodari wa hali ya juu na kijana Hashim Kivoja kutoka MAZAUG TZ Kaswida hii inaitwa CHUKI ikituelezea namna ambavyo tunapaswa kuishi bila kuchukiana ikiwa sote ni wanadamu na njia yetu ni moja tu ARDHINI Hii ni moja kati ya zile zilizo kwenye project hii ya MAZAUG LIVE SESSION pasi na shaka utafurahia na uandishi mzuri uliyoja...
Alhabeeb Sulesh - Alhamdulillaah (Live session) - MAZAUG TZ
มุมมอง 96110 หลายเดือนก่อน
Kila sifa njema anastahiki Allah pekee kwa kila hali na utukufu wake ni maana halisi na tafsiri pana ya Kaswida hii ya ALHAMDULILLAAH iliyoimbwa na Alhabeeb Sulesh Kutoka MAZAUG TZ Kumshukuru Allah ni kwa mambo yote anayotutendea tukianza na Afya zetu lakini pia kutuongoa na kuyulltupeleka kwenye njia sahihi kubwa zaidi ni Kumshukuru Allah Endelea kuburudika!!
QASWIDA - TUMPENDENI By Ustaadh Omar Kikopa (MazaugTz)
มุมมอง 439ปีที่แล้ว
QASWIDA - TUMPENDENI By Ustaadh Omar Kikopa (MazaugTz)
Husna &Fadhili Massanza - Wasiwasi Qaswida Mazaug
มุมมอง 371K5 ปีที่แล้ว
Husna &Fadhili Massanza - Wasiwasi Qaswida Mazaug
Fareed Fadhil Massanza - Fanya Hisab (Official Video)
มุมมอง 1.2M6 ปีที่แล้ว
Fareed Fadhil Massanza - Fanya Hisab (Official Video)
Amina Kalea - Fadhil Massanza (Anayo alama mtume)
มุมมอง 499K6 ปีที่แล้ว
Nashukuru Allah Kazi hii ya Mwaka 2009 mpk leo bado ipo kwenye pick ya juu Alhamdulillah Namuomba Mungu ajaalie kazi zangu zinjazo zipendwe kama hii na zaidi Inshallah.. Pia zilete Manufaa kwa jamii Inshallah. Ustaadh Fadhili Massanza.
NDOA NI SUNNA ADHIM NA MADARASATUL MAZAUG
มุมมอง 110K7 ปีที่แล้ว
NDOA NI SUNNA ADHIM NA MADARASATUL MAZAUG
hii kaswida nzuri sana mashallah
Amin yaarambi ustadh
Allahu akbar!iko poa maashalah
Ustadh asalamualehkum allah atujalie mwisho
@mc masanza mashaAllah 2025 sasa alhamdulilah ❤
Manshallah ❤❤❤❤🙏
Manshallah
Fadhili dunia
Mashallah
Ila naidanlodi inakataaa
Hiii kaswida nimeupend sana
Masha Allah ❤❤❤
❤❤❤❤
Ya Muhammad
Allah Allah mtunze Mr Masanza Hakika Islam dini ya kweli
3:19
Allah Hafiz
Mashaallah inanikumbush mbali san
Alhamdulilah nilifika Makkah ila namuomba Allah aniwezeshe kufika na madina
Mashall
Hapa kuna kaswida au taarabu inayodanganyia maneno ya kiislamu ?, Ikiwa ni njia ya kufanya daawa ingefanyika wakati wa mtume saw kulipokuwa na uhitaji mkubwa sana lakini kwa kuwachezesha hapa wasichana wakubwa hawa na lipshiner na kuyumba sio katika mafundisho ya dini tena hadharani kiasi hiki, jiulizeni mnapotosha uislamu au mnausambaza na isitoshe wanaume kucheza kwa kunengua uislamu uliruhusu tangu lini ukhabithi huo ? sio kila wanalofanya manaswara kwetu lafaa, pia hizo gitaa na zumari uhalali wake umeanza lini katika uislamu, msipoteze watu kuwapeleka wenyewe kwa shaytwani kisha mkaanza kuwalaumu. Barakallahu fykum
Mungu Nijalie Nikawe Mke Bora nasio Bora Mke Nikawe Mfano Kwaa Jamii
2024
Mashallah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Waooooh naipenda san ❤❤❤❤❤❤❤
Ukhty aisha kidavashori cjui ndyo hvy mpka nmesahau jina kw kwel maan mud san cjasikiliz qaswida zao
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah familia nzima wanasema qaswida, nakumbuka nilikuwa nafuatilia Kwa njia ya kununua CD zikitoka tu nipo mpka nilikuwa chizi qaswida
Aisee hizi qaswida Huwa zinakufanya mtu uwez na amani sana unapozisikiliza
Mashaallah
Manshaallah! stara nzur
Manshaallah! mumejitahidi sana mavazi kwa wadada inapendeza
ni nzuri mashaallah
Ashura juma
Allahu Akbar❤
Wasiwasi❤
🤲🤲🤲❤️❤️❤️🌹🌹🌹💐💐💥🥰🥰🕋🕌📿
Jazakallahu khayra
Mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah Allah akupe umri mrefu Allahumma amina 🤲🤲🤲
Mashallah qaswida nzuri sana❤
Masha Allah❤❤
mashallah nisa wa tanzania
Nikweli taabu ni nyingi ila mola ndo jibu
Mashaalah ❤❤🎉🎉
Mashaalah ❤❤🎉
Mashaalah ❤❤🎉🎉
Mashaalah ❤❤🎉🎉
Mashaalah ❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
Mashallah Allah azid kukuongoza mtoto mzuri
Nampenda sana faridi