- 3
- 2 976
ALFRED NKOSWE
เข้าร่วมเมื่อ 10 ก.ย. 2022
Karibu kwenye channel rasmi ya Mtumishi wa Injili wa Tanzania ALFRED NKOSWE!
Hapa utapata maudhui ya kiroho, nyimbo za ibada, na mafundisho ya Neno la Mungu yanayogusa roho na kubadilisha maisha. Channel hii inatoa fursa ya kushirikiana na huduma ya injili kupitia nyimbo za sifa na ibada, hotuba za kiroho, na mafundisho ya kikristo yatakayokuinua na kukuimarisha katika imani yako.
Jiunge nasi kwa kusikiliza nyimbo mpya, mafundisho yenye nguvu yatakayokufundisha namna ya kuishi maisha ya kumtumikia Mungu kwa moyo safi. Subscribe ili kuwa sehemu ya familia yetu ya kiroho na kushiriki katika kazi ya Ufalme wa Mungu kupitia TH-cam.
Pamoja, tutaimba, tutafundisha, na tutaishi kwa utukufu wa Mungu!
Hapa utapata maudhui ya kiroho, nyimbo za ibada, na mafundisho ya Neno la Mungu yanayogusa roho na kubadilisha maisha. Channel hii inatoa fursa ya kushirikiana na huduma ya injili kupitia nyimbo za sifa na ibada, hotuba za kiroho, na mafundisho ya kikristo yatakayokuinua na kukuimarisha katika imani yako.
Jiunge nasi kwa kusikiliza nyimbo mpya, mafundisho yenye nguvu yatakayokufundisha namna ya kuishi maisha ya kumtumikia Mungu kwa moyo safi. Subscribe ili kuwa sehemu ya familia yetu ya kiroho na kushiriki katika kazi ya Ufalme wa Mungu kupitia TH-cam.
Pamoja, tutaimba, tutafundisha, na tutaishi kwa utukufu wa Mungu!
Alfred Nkoswe - UWE NA UHAI ( Live Recording Video )
SPECIAL CREDITS
Song Writter : ALFRED NKOSWE
Vocal Arrangements: DANY MUSIC
Lights : OBIMO LIGHTS
FOH Mixing & Capturing : MOSE MWAMBOPO
Audio mixing & Mastering :MOSE MWAMBOPO & DJ VANK
Video Captured & Directed by MAXD STUDIOS
Producion Manager : MAX AFRICA
Social Media Manager : ALBAN RICHAD
BAND
Main Keys & Sterm Prep: DANIEL MASOLWA
Aux : HENRY BUCHUMI ( MD)
Bass : ELISHA BASLEE
Guitar : GIDION
Drummer : EDDY DRUMMER
SPECIAL THANKS
MAX D STUDIOS
MAX AFRICA
Song Writter : ALFRED NKOSWE
Vocal Arrangements: DANY MUSIC
Lights : OBIMO LIGHTS
FOH Mixing & Capturing : MOSE MWAMBOPO
Audio mixing & Mastering :MOSE MWAMBOPO & DJ VANK
Video Captured & Directed by MAXD STUDIOS
Producion Manager : MAX AFRICA
Social Media Manager : ALBAN RICHAD
BAND
Main Keys & Sterm Prep: DANIEL MASOLWA
Aux : HENRY BUCHUMI ( MD)
Bass : ELISHA BASLEE
Guitar : GIDION
Drummer : EDDY DRUMMER
SPECIAL THANKS
MAX D STUDIOS
MAX AFRICA
มุมมอง: 2 081
วีดีโอ
Karibu Katika Channel Ya Mtumishi Wa MUNGU Ndg.ALFRED NKOSWE
มุมมอง 541หลายเดือนก่อน
Karibu Katika Channel Ya Mtumishi Wa MUNGU Ndg.ALFRED NKOSWE
Mifupa mikavu iwe na uhai 😢🎉 Whata wonderful a song
Hongeraaaa sana Alfred kazi nzuri ubarikiwe
Hongera Mtumishi wa Mungu akubariki zaidi azidi kukupaka mafuta Roho Mtakatifu akuongoze🎉
👊🙏🙏
Amina kaka🎉❤
Be blessed kaka MUNGU akuzidiahie katika huduma yako
Hongera sana mwanangu hakika huyu ni Mungu ndani yako
@@FeristaSanga-k1e amina mama tunamshukuru Mungu
Kazi nzuri
Aminaa 🙏🙏🙏
Kazi njema kaka, Mungu akuinueni zaidi
@@RobertKapela-g5q amina kaka Mungu atukuzwe
Hongera brother Mungu azidi kukubariki na akupe nguvu usichoke wala kukata tamaa kuinjilisha
🙏🙏🙏
Congratulation sana hakika Mungu azidi kukubaliki Kwa uimbaji. Uzidi kufika mbali
Hongera sana my classmate
Asante danstan
May God bless you all
Barikiwa sana Mungu azidi kukuinua
Amina 🙏
Be blessed mtumishii, hakika MUNGU atukuzwee
Amina dadangu 🙏
Hongera sana mwanangu Mimi waooo😂❤kazi nzuri vyote nilivyo navyo vitainuka Tena vitakuwa na uhai mungu akutumie kwa kiwango Cha juu
Amina mama yangu mimi , MUNGU atukuzwe katika yote 🙏
Good work brother be blessed
Amina🙏
Hongera sana mtumishi. Barikiwa na Bwana.
Amina 🙏
Mungu azid kutukuzwa kupitia wewe zaidi na zaidi hongera sana
Amina asante sana
Uninuliwe na Mungu zaidi na zaidi
Amina 🙏
MUNGU akutumie kwa viwango vya juu zaidi nimetiwa na kupuliziwa uhai tena
Amina tunamshukuru Mungu
Yesu akutunze sana kaka
Amina
Hakika Mambo yangu yote yawe hai
Amina 🙏
Na nistawi katika kila nyanja niwe na uhai katika jina la yesu kristo be blessed more my brother
Amen🙏
Niwe na uhai katika mipango yangu, mahusiano yangu, elimu yangu,afya yangu,ndoa yangu,nyota yangu,uchumi wangu, huduma yangu,ajira yangu,kazi zangu, kilimo, familia na biashara zangu ziwe na uhai tena nistawi katika kila nyanja
Amina🙏
Hongera sana kaka. Praise Lord... CCR TZ
Àminaa🙏🙏🙏
Ameeen Nirejeshewe Aaaaaamen
Amen 🙏
Mungu awe nanyi
Aminàaa
BLESSED sanaaa kaka...hongera
Amina 🙏🙏
Waoh very powerful message Mungu awatuze watumishi🙏
Amina 🙏
Hongera sana Alfred
🙏
🙏🙏🙏🙏
🤲🤲🤲
Big up my brother Alfred may lord bless you more and more
Amen brother 🙏
Hongereni sana, mubarikiwe sana!!🙏🙏
Amina 🙏
Powerful mesage
🙏
Waooh wonderful be blessed my brother
Amen You too
Wow hongerasana Kaka hakika nami kupitia hili natoa unabii juu ya huduma yangu itainuka tena hakika nitarudi kutoa ushuhuda Mungu wangu anaweza yote
Amina, Mungu atukuzwe 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🌹🥰🥰 hongera sana kaka
Asante dada tunamshukuru Mungu 🙏
Good beginning Nakuombea upungue kwa kunyenyekea ili Mungu aongezeke ndani yako. Kitu chenye uhani kina tabia ya kukua, Mungu akuze huduma ndani yako yaani huduma yako iwe na uhai
Amina, asante rafiki yangu napokea 🙏
Hakika achanue
Ongera kaka mungu akutangulie akabariki kazi ya mikono yako
🙏🙏🙏
Ndoa yangu iwe na uhai🙏🙏🙏
Aminaa
Waaaaaoh ubarikiwe sanaaa Mtumishi wa Mungu ,,,Mungu azidi kukuinua zaidii
In JESUS NAME unainuka zaidiii
Hongera sana mtumishi wa Mungu wimbo waa uwe na uhai umenigisa sana zidi kuchanua
Aminaa 🙏🙏🙏
Mungu azid kuwainua
Amina🙏
Ubarikiwe sanaaaa 🥰🎉
Amina 🙏
Waaaaooo hongera sana mtumishi wa Mungu, kaz nzuri sana nmebarikiwa
Aminaa🙏🙏
Mungu akuzidishe
Aminaaa 🙏🙏
Glory to God🎉
Amen
Hongera.kaka. Mungu. Akubariki. Sana.
Aminaaa 🙏🙏🙏