WAKWETU ONLINE TV
WAKWETU ONLINE TV
  • 27
  • 2 347
RUVUMA COAL
Serikali yapongeza kampuni ya Ruvuma Coal inayosafirisha makaa ya mawe kutoka mkoani Ruvuma kwenda nje ya nchi kupitia bandari ya mtwara kwa jitihada zake za kuandaa mihundombinu inayokwenda kumaliza changamoto ya uchafuzi wa mazingira
มุมมอง: 10

วีดีโอ

KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA KIISLAMU CHA DARUL,HADITH MTWARAKITUO CHA KULELEA WATOTO CHA KIISLAMU CHA DARUL,HADITH MTWARA
KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA KIISLAMU CHA DARUL,HADITH MTWARA
มุมมอง 12317 วันที่ผ่านมา
USHINDANI WA KUNYWA SODA WAZAZI MTWARAUSHINDANI WA KUNYWA SODA WAZAZI MTWARA
USHINDANI WA KUNYWA SODA WAZAZI MTWARA
มุมมอง 80218 วันที่ผ่านมา
Hawa ni wazazi wa wanafunzi wa shule ya watoto wa kiislamu ya darul,hadith,wameshindana kunywa soda mbele ya watototo wao. Shindano hilo limefanyika shuleni hapo katika maafali ya wananfunzi hao yaliyoudhuriwa na wakazi mjini mtwara,yakiongozwa na michezo mbalimbali ikiwemo ya kitaaluma.
WATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKAWATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKA
WATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKA
มุมมอง 922 วันที่ผ่านมา
WATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKAWATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKA
WATUMIAJI WA VYOO MASASI WALALAMIKA
มุมมอง 222 วันที่ผ่านมา
Tatizo la ubovyu wa mihundombinu ya vyoo katika stand kuu ya mabus mjini masasi imekuwa kero kwa wafanyabiashara,wasafiri na wasafirishaji.Wadai hatua za haraka zichukuliwe kutatua changamoto hiyo.
WAZIRI WA KILIMO AVITAKA VYA VIKUU KUMLINDA MKULIMAWAZIRI WA KILIMO AVITAKA VYA VIKUU KUMLINDA MKULIMA
WAZIRI WA KILIMO AVITAKA VYA VIKUU KUMLINDA MKULIMA
มุมมอง 7322 วันที่ผ่านมา
Vyama vikuu vya ushirika vimetakiwa kuwajibika endapo mkulima atapotesa kilo ya mazao yake anayoyaingiza soko. Agizo hilo limetolewa na waziri wa kilimo HUSSEN BASHE MKOANI DODOMA akiwa na wadau wa tasnia ya korosho mapemwa mwaka huu.
RAIS SAMIA ACHANGIA UJENZI WA MSIKITI MTWARARAIS SAMIA ACHANGIA UJENZI WA MSIKITI MTWARA
RAIS SAMIA ACHANGIA UJENZI WA MSIKITI MTWARA
มุมมอง 3429 วันที่ผ่านมา
Rais samia suluhu Hassan amechangia kiasi cha shillingi million 100 katika ujenzi wa msikiti wa wilaya ya Tandahimba mkoani mtwara,ahadi aliyoitoa wakati wa ziara yake mkoani mtwara. Akikabidhi mchango huo kwaniamba ya Rais Samia mkuu wa mkoa wa mtwara Kanali Patric Sawala amesma mchango huo ni kuunga mkono jitihada za ujenzi huo
RC AWAHAMASISHA WANANCHI MTWARA KUJITOKZA KUPIGA KURARC AWAHAMASISHA WANANCHI MTWARA KUJITOKZA KUPIGA KURA
RC AWAHAMASISHA WANANCHI MTWARA KUJITOKZA KUPIGA KURA
มุมมอง 429 วันที่ผ่านมา
Kuelekea changuzi za serikali za mitaa zinazotarajia kufanyika novemba 27 mwaka huu wa 2024 mkuu wa mkoa wa mtwara kanali Patric Sawala amewahamasisha wananchi kujitokea katika kushiriki kikamilifu kupiga kura. Amesema kupiga kura ni haki ya kila mtanzania aliyefikisha umri wa kupiga kura,na kuwataka wananchi hao kuendelea kutunza amani ya mkoa na Tanznaia kwa ujumla wake.
SAA6 USIKU BADO NAWASILIANA NA MUME WANGU YUPO CHINISAA6 USIKU BADO NAWASILIANA NA MUME WANGU YUPO CHINI
SAA6 USIKU BADO NAWASILIANA NA MUME WANGU YUPO CHINI
มุมมอง 13หลายเดือนก่อน
MAMCU WAKABILIANA NA UCHACHE WA MAGARI ZAIDI YA 50 YAANZA KAZIMAMCU WAKABILIANA NA UCHACHE WA MAGARI ZAIDI YA 50 YAANZA KAZI
MAMCU WAKABILIANA NA UCHACHE WA MAGARI ZAIDI YA 50 YAANZA KAZI
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
Katika kukabiliana na tatizo la uchahe wa magari ya kusafirishia korosho za wakulima kulikochangiwa na ongezeko la uzalishaji msimu huu wa mwaka 2024/2025,chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa wilaya za masasi,nanyumbu na mtwara(MAMCU)kimefanikiwa kupokea magari zaidi ya 50 na kuanza kazi za usafirishaji. Hatua hiyo inakwenda kumaliza changamoto zilizosababisha baadhi ya wakulima kushindwa k...
VYAMA VYA WAKULIMA VYAONYWA,ACHENI KUWAIBIA WAKULIMA WA KOROSHOVYAMA VYA WAKULIMA VYAONYWA,ACHENI KUWAIBIA WAKULIMA WA KOROSHO
VYAMA VYA WAKULIMA VYAONYWA,ACHENI KUWAIBIA WAKULIMA WA KOROSHO
มุมมอง 50หลายเดือนก่อน
Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini ameonya juu ya vitendo vya wizi vinavyotokea wakati wa malipo ya wakulima yasiyofanana na kilo za korosho anazopima na kuziingiza ghalani hatua inayoleta malalamiko kwa wakulima. Akitoa maelekezo kwa viongozi wa vyama vya ushirika na warajisi wasaidizi katika mikoa ya lindi,mtwara,Ruvuma na pwani katika kikao cha tathimini ya awali kwa msimu wa soko la koros...
WAKULIMA WA CHAMA CHA MSINGI NDANDA WAFUNGA BARABARA MADAI HAWAJALIPWA ELA ZAO ZA KOROSHOWAKULIMA WA CHAMA CHA MSINGI NDANDA WAFUNGA BARABARA MADAI HAWAJALIPWA ELA ZAO ZA KOROSHO
WAKULIMA WA CHAMA CHA MSINGI NDANDA WAFUNGA BARABARA MADAI HAWAJALIPWA ELA ZAO ZA KOROSHO
มุมมอง 547หลายเดือนก่อน
WAKWETU ONLINE TV Live StreamWAKWETU ONLINE TV Live Stream
WAKWETU ONLINE TV Live Stream
หลายเดือนก่อน
MALIPO YA ZAO LA UFUTA MTWARAMALIPO YA ZAO LA UFUTA MTWARA
MALIPO YA ZAO LA UFUTA MTWARA
มุมมอง 36หลายเดือนก่อน
Wakulima wa ufuta walipwe pesa zao swala la utaratibu ufuate,hawa ni madiwani wa halmashauri ya wilaya ya masasi wakieleza vilio vya wakulima waodai pesa zao
MKURUGENZI MKUU WA BODI YA KOROSHO TANZANIAMKURUGENZI MKUU WA BODI YA KOROSHO TANZANIA
MKURUGENZI MKUU WA BODI YA KOROSHO TANZANIA
มุมมอง 33หลายเดือนก่อน
Mkurungezi mkuu wa bodi ya korosho Tanzania amebainisha hatua za kuepukana na changamoto zikiwemo mvua ili kuhakikisha korosho zote zilizopo zinzkusanywa,kusafirisha na kuuzwa zikiwa na ubora unao takiwa.

ความคิดเห็น