Sophyyummy Recipes
Sophyyummy Recipes
  • 27
  • 439 423
JINSI YA KUPIKA MARBLE CAKE | Keki za Rangirangi. |How to make marble cake loaf
Mable cake ni mchanganyiko wa keki za ranhi tofauti ila mara nyingi watu wanapendelea nyeupe na chocolate.ni keki tamu sana usiache kujaribu kutengeneza.usisahau kusubscribe kama bado hujasubscribe ili kuwa wakwanza kupata video zetu pale znapotoka ahsante
Mahitaji
Unga wa ngano kikombe kimoja na nusu utaugawa
Baking powder 1/2 kijiko cha chakula
Baking soda 1/2 kijiko cha chai
Siagi 3/4 (robotatu)kikombe
Sukari3/4(robotatu) kikombe
Mayai makubwa mawili
Vanilla kijiko 1 cha chai
Buttermilk kikombe 1
Unga wa cocoa 1/4 kikombe
มุมมอง: 557

วีดีโอ

JINSI YA KUTENGEZA JUICE YA NANASI YENYE LADHA KAMA SODA | How to make pineapple juice.
มุมมอง 3564 ปีที่แล้ว
Juice hii ya nanasi inalandha ya soda, usiache kujaribu kuitengeneza rahisi sanah.angalia recipe kuanzia mwanzo paka mwisho.Bila kusahau kusubsctibe kwenye channel yetu kama bado hujasubscribe ili kuwa wakwanza kupata video zetu pale zinapotoka ahsante.
JINSI YA KUOKA SKONZI NYUMBANI /How to make pav at home. Yummy Recipe!
มุมมอง 5194 ปีที่แล้ว
Jinsi yakutengeneza skonzi nyumbani.nikitafunwa kizuri sanah usiache kujaribu kuitengenezea familia na rafiki zako bila kusahah kusubscribe na kushare na rafiki zako ili waweze kufaidika. Mahitaji Hamira vijiko viwili vya chai Sukari vijiko vinne vya chakula Maziwa ya vuguvugu 3/4 kikombe Siagi vijiko vitatu vya chakula Unga wa ngano nusu kilo Maji kama yanavyohitajika Ingredients 3/4cup warm m...
JINSI YA KUWEKA VIUNGO ILI NYAMA IWE TAMU SANA. | Tuweke kwa staili hii.
มุมมอง 7K4 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUWEKA VIUNGO ILI NYAMA IWE TAMU SANA. | Tuweke kwa staili hii.
JINSI YA KUPIKA CUPCAKE ZA VANILLA KWA USAHIHI | How to make Vanilla Cupcakes | Very Simple!
มุมมอง 5384 ปีที่แล้ว
Mahitaji Unga wa ngano kikombe kimoja na robo Baking powder kijiko cha chai kimoja na robo Siagi nusu kikombe Sukari robo tatu kikombe Butter milk nusu kikombe Vanilla kijiko kimoja na nusu Mayai mawili
JINSI YA KUPIKA NDIZI NYAMA IWE TAMU SANA | HATUA KWA HATUA.
มุมมอง 5364 ปีที่แล้ว
Salaam,tafadhal subscribe kwenye channel ili uweze kujifunza zaidi.shukran
Jinsi ya kupika mkate wa mayai kwa vipimo vya vijiko/sponge cake
มุมมอง 4914 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika mkate wa mayai kwa vipimo vya vijiko/sponge cake
JINSI YA KUPIKA MKATE WA NDIZI MBIVU MTAMU SANA | How to make banana bread.
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
Salaaam, hii recipe ya mlate inatumia ndizi tatu.ni recipe ambayo inaweza kutumika kama breakfast,brunch au kama desert Mahitaji Ndizi mbivu tatu Siagi 1/2 kikombe Sukari 3/4 kikombe Mayai 2 Vanila 1/2 kijiko cha chai Unga wa ngano kikombe kimoja na nusu(1 1/2) Baking soda kijiko cha chai kimoja(1) Chumvi 1/2 kijiko cha chai Muhimu Washa oven moto wa 200°C kisha wakati wa kubake unapunguza paka...
Jinsi ya kupika viazi vya nazi na nyama/potatoes in coconut milk
มุมมอง 4694 ปีที่แล้ว
Ni recipe rahisi ambayo inafaa zaid kwa chajio(dinner) na nimionhoni mwa recipe tahisi.tafadhali subscribe kwa channel hii na usiache kuahare na ndugu jamaa na marafiki. #mapishiyaviazi, #viazi vya karai, #mapishiyaviazimviringonanyama, mapishi ya viazi mviringo, mapishi ya viazi vitamu, mapishi ya viazi mbatata, mapishi ya viazi vitamu na nyama, viazi karai vya masala, jinsi ya kupika viazi mv...
JINSI YA KUPIKA PILAU LA NYAMA KWA HARAKA | HOW TO MAKE BEEF PILAO FAST.
มุมมอง 2004 ปีที่แล้ว
Hii ni recipe rahisi ambayo unaweza kutengeneza ndani ya dakika 30 paka 45 tuu usiache kujaribu kuitengenezea familia yako waweze kufurah usisahau kusubscribe kama bado hujasubscribe na kushare na rafiki zako ili waweze kufaidika. mahitaji mchele kikombe 1 na 1/2 nyama robo iliyochemshwa na supu yake viazi viwili vilivyomenya na kukatwa karoti nusu ikate kwa cubes pilipili boga nusu kitunguu ma...
JINSI YA KUTENGENEZA BISKUTI NYUMBANI | How to make Butter cookies at home | Simple!
มุมมอง 40K4 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUTENGENEZA BISKUTI NYUMBANI | How to make Butter cookies at home | Simple!
JINSI YA KUPIKA KACHORI ZA VIAZI | Rahisi sana | How to make potato balls at home.
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
Dont forget to subscribe to this channel if you havent,remember to share this video with your friends and family.thanks
JINSI YA KUPIKA MKATE WA KUMIMINA/SINIA | BILA OVEN rahisi sanah/rice cake.
มุมมอง 40K4 ปีที่แล้ว
Usisahau kusubscribe nakubofya kengele inayofuata baada ya kusubscribe na usisahu kushare na kuacha coment hapo chini.ahsante
JINSI YA KUPIKA BOGA LA NAZI | Tamu na rahisi sanah | Pumpkin in coconut milk.
มุมมอง 29K4 ปีที่แล้ว
Pishi hili ni pishi rahisi na la haraka unaweza kupika ndani ya dakika 15 tu. Usisahau kusubscribe,like na kushare na rafiki zako waweze kufaidika.ahsantee.
JINSI YA KUTENGEZA ICE CREAM YA CHOCOLATE /homemade chocolate ice cream recipe
มุมมอง 7025 ปีที่แล้ว
Asalam aleykum,leo nmekuleteeni recipe ya ice cream ya chocolate bila kicaa maalum.ni recipe rahisi na inapendwa sanah na watu wengi.usisahau kusubscribe na kushare na rafiki zako ili waweze kufaidika Mahitaji 1/4 kikombe chocolate iliyoyeyushwa 1/2 kikombe Unga wa cocoa Vikombe 2 au 500mls whiping cream iliyopozwa frijini Kikombe kimoja au 250ml maziwa mazito Kijiko kimoja cha chakula arki ya ...
JINSI YA KUTENGEZA MAZIWA MATAMU NA MAZITO NYUMBANI | Home made condensed milk
มุมมอง 8835 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUTENGEZA MAZIWA MATAMU NA MAZITO NYUMBANI | Home made condensed milk
Maandazi/mahamri ya nazi na iliki laini(coconut and cardamom doughnut)
มุมมอง 6765 ปีที่แล้ว
Maandazi/mahamri ya nazi na iliki laini(coconut and cardamom doughnut)
Jinsi ya kupika chapati za maji(mkate wa maji)/PANCAKE
มุมมอง 3.7K5 ปีที่แล้ว
Jinsi ya kupika chapati za maji(mkate wa maji)/PANCAKE
MAPISHI: KATLESI ZA KUKU /how to make chicken cutles
มุมมอง 1.6K5 ปีที่แล้ว
MAPISHI: KATLESI ZA KUKU /how to make chicken cutles
Mapishi:SPRING ROLLS WITH HOME MADE WRAP/jinsi ya kutengeneza spring rolls
มุมมอง 7245 ปีที่แล้ว
Mapishi:SPRING ROLLS WITH HOME MADE WRAP/jinsi ya kutengeneza spring rolls
MAPISHI:BAJIA ZA DENGU/ HOW TO MAKE LENTILS BAJJ recipe. (Simple and yummy)
มุมมอง 3.8K5 ปีที่แล้ว
MAPISHI:BAJIA ZA DENGU/ HOW TO MAKE LENTILS BAJJ recipe. (Simple and yummy)
MAPISHI: SIAGI YA KARANGA TAMU NA RAHISI.
มุมมอง 12K5 ปีที่แล้ว
MAPISHI: SIAGI YA KARANGA TAMU NA RAHISI.
JUISI YA KAROTI TAMU / HOW TO MAKE CARROT JUICE (SIMPLE AND YUMMY)
มุมมอง 16K5 ปีที่แล้ว
JUISI YA KAROTI TAMU / HOW TO MAKE CARROT JUICE (SIMPLE AND YUMMY)
MAPISHI: MKATE MTAMU NA LAINI / HOW TO MAKE SWEET AND YUMMY BREAD
มุมมอง 3985 ปีที่แล้ว
MAPISHI: MKATE MTAMU NA LAINI / HOW TO MAKE SWEET AND YUMMY BREAD
JINSI YA KUPIKA DONATI TAMU NA RAHISI / DOUGHNUTS RECIPE
มุมมอง 2.5K5 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUPIKA DONATI TAMU NA RAHISI / DOUGHNUTS RECIPE
RANGI YA DAMU YA HEDHI INASEMA MENGI KUHUS AFYA YAKO/COLOUR OF UR MENSES TELL A LOT ABOUT UR HEALTH.
มุมมอง 52K6 ปีที่แล้ว
RANGI YA DAMU YA HEDHI INASEMA MENGI KUHUS AFYA YAKO/COLOUR OF UR MENSES TELL A LOT ABOUT UR HEALTH.
8 NATURAL WAYS TO TIGHTEN YOUR VA***A(Make it as sweetest as ever) /NJIA 8 ZA KUBANA UKE ULIOLEGEA.
มุมมอง 210K6 ปีที่แล้ว
8 NATURAL WAYS TO TIGHTEN YOUR VA A(Make it as sweetest as ever) /NJIA 8 ZA KUBANA UKE ULIOLEGEA.