- 107
- 99 427
Brand kidigitali
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 31 พ.ค. 2018
Karibu kwenye channel yetu pendwa ya brand kidigitali , tunafundisha na kutoa mwongozo sahihi namna ya kujifunza fulsa mbambali za teknolojia na kuwa kama sehemu ya ajira .
Mafunzo yetu yanalenga kuandaa vijana na kuwa wataalamu kwenye mambo haya :
- Graphics Design
- Motion Graphics
- Video Editing
- Social Media Management
- Digital Marketing
Mafunzo yetu yanalenga kuandaa vijana na kuwa wataalamu kwenye mambo haya :
- Graphics Design
- Motion Graphics
- Video Editing
- Social Media Management
- Digital Marketing
TEMPLATE YA MILLARDAYO ILIVYOTENGENEZWA HATUA KWA HATUA KWENYE ADOBE PHOTOSHOP #begginers
USISAHAU , KUSUSBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU.
#begginers
#fullcourse
#adobepremierepro
#news
#update
#tanzania
#millardayo
#begginers
#fullcourse
#adobepremierepro
#news
#update
#tanzania
#millardayo
มุมมอง: 52
วีดีโอ
JINSI YA KUTENGENEZA TEMPLATE YA MILLARDAYO NA KUITUMIA KWENYE POST ZA VIDEO. #begginers
มุมมอง 18612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USISAHAU , KUSUSBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. #begginers #fullcourse #adobepremierepro #news #update #tanzania #millardayo
JIFUNZE KUTENGENEZA MAANDISHI YANAYOTEMBEA , KWA KUTUMIA ADOBE PREMIER PRO.
มุมมอง 18714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. #tanzaniandesigner #tanzaniagraphicdesign #designertanzania #madeintanzania #tanzaniaart #tanzaniacreative #dar es salaam #arusha #mwanza #zanzibar #tanzaniagram
JINSI YA KUTENGENEZA NA KUTUMIA LIGHT OVERLAY EFFECT KWENYE VIDEO , #begginers
มุมมอง 148วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. #videoviral #videoshort #graphicbasics #begginers #contentcreator
SQUID GAME 2 DESIGN KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR 2025 #begginers
มุมมอง 14614 วันที่ผ่านมา
USISHAU KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. LIKE & SHARE
NJIA RAHISI KUTENGENEZA SOCIAL MEDIA POSTER , Kwenye Adobe Photoshop #begginers
มุมมอง 29114 วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBE NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. NIPIGIE KWA NAMBA : 0687680811
NJIA RAHISI KUTENGENEZA COMPANY PROFILE COVER , ADOBE ILLUSTRATOR FULL TUTORIALS #begginers
มุมมอง 29414 วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. LIKE & SHARE VIDEO KWA NDUGU NA MARAFIKI. #photoshop #begginers #adobeillustrator #graphicbasics #graphicdesign
Happy New Year , Simple Animation Kwenye ADOBE AFTER EFFECT STEP BY STEP #begginers
มุมมอง 13521 วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBU ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU.
SABABU 03 ZINAZOPELEKEA GRAPHIC DESIGNER AKOSE UBUNIFU. #begginers
มุมมอง 14321 วันที่ผ่านมา
SUBSCRIBE CHANNEL Uendelee kujifunza na kuongeza Maarifa kila siku
WAPI NI SAHIHI KUPATA ELIMU YA GRAPHIC DESIGN , CHUO AU MTAANI .#begginers
มุมมอง 14621 วันที่ผ่านมา
USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. #begginers #tanzania #millardayo
Jifunze Kutengeneza TYPEWRITER EFFECT Kwenye Adobe After Effect #begginers
มุมมอง 249หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU , UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU #begginers #photoshop #subscribers #subscriber #subscribenow
NJIA RAHISI KUTENGENEZA EVENT IDENTITY CARD KWENYE ADOBE PHOTOSHOP #begginers
มุมมอง 415หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU #begginers #graphicbasics #adobeillustrator #adobephotoshop #photoshop
JIFUNZE KUZUNGUSHA MAANDISHI KWENYE DUARA , HATUA KWA HATUA KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR #begginers
มุมมอง 2372 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU. #begginers #graphicbasics #adobesoftware #logo #adobeillustrator #learngraphic #graphicdesign
NJIA RAHISI KUTENGENEZA COMPANY ROLLUP BANNER , KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR #begginers
มุมมอง 3122 หลายเดือนก่อน
USISAHAU KULIKE NA KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUJIFUNZA KILA SIKU @graphixtanzania #adobeillustrator #adobephotoshop #fullcourse #tutorial #branding #marketing
KUONDOA BACKGOUND YA PICHA BILA KUHARIBU ENEO LA NYWELE ( REFINE HAIR ) ADOBE PHOTOSHOP.
มุมมอง 3042 หลายเดือนก่อน
KUONDOA BACKGOUND YA PICHA BILA KUHARIBU ENEO LA NYWELE ( REFINE HAIR ) ADOBE PHOTOSHOP.
JIFUNZE KUTENGENEZA BUSINESS CARD KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR 2024 #begginers
มุมมอง 3212 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE KUTENGENEZA BUSINESS CARD KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR 2024 #begginers
JIFUNZE TECHNIQUES ZENYE MSAADA KWENYE LOGO DESIGN ADOBE ILLUSTRATOR , #begginers
มุมมอง 3712 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE TECHNIQUES ZENYE MSAADA KWENYE LOGO DESIGN ADOBE ILLUSTRATOR , #begginers
Jifunze Njia Rahisi Kutengeneza PASSPORT SIZE KWA DAKIKA 2 , KWENYE ADOBE PHOTOSHOP #begginers
มุมมอง 9822 หลายเดือนก่อน
Jifunze Njia Rahisi Kutengeneza PASSPORT SIZE KWA DAKIKA 2 , KWENYE ADOBE PHOTOSHOP #begginers
Njia rahisi ya kupunguza au Kurekebisha vipimo na FILE SIZE YA PASSPORT KWAAJIRI YA KU - UPLOAD .
มุมมอง 2223 หลายเดือนก่อน
Njia rahisi ya kupunguza au Kurekebisha vipimo na FILE SIZE YA PASSPORT KWAAJIRI YA KU - UPLOAD .
Jifunze Video Editing kwa kutumia Adobe Premier Pro HATUA KWA HATUA , SOMO LA 1 #begginers
มุมมอง 8893 หลายเดือนก่อน
Jifunze Video Editing kwa kutumia Adobe Premier Pro HATUA KWA HATUA , SOMO LA 1 #begginers
Njia Rahisi Kutumia Mask Effect Kwenye Program ya ADOBE ILLUSTRATOR , HATUA KWA HATUA #begginers
มุมมอง 3833 หลายเดือนก่อน
Njia Rahisi Kutumia Mask Effect Kwenye Program ya ADOBE ILLUSTRATOR , HATUA KWA HATUA #begginers
NJIA RAHISI KUTENGENEZA FLYER KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR HATUA KWA HATUA #begginers
มุมมอง 3893 หลายเดือนก่อน
NJIA RAHISI KUTENGENEZA FLYER KWENYE ADOBE ILLUSTRATOR HATUA KWA HATUA #begginers
Njia rahisi kutengeneza MOVIE & BOOK COVER kwenye ADOBE PHOTOSHOP FULL COURSE #begginers
มุมมอง 4534 หลายเดือนก่อน
Njia rahisi kutengeneza MOVIE & BOOK COVER kwenye ADOBE PHOTOSHOP FULL COURSE #begginers
HATUA ZA KUTENGENEZA LOGO ZA MIHURI ( STAMP LOGO ) FULL TUTORIAL ( ADOBE ILLUSTRATOR ) #begginers
มุมมอง 4904 หลายเดือนก่อน
HATUA ZA KUTENGENEZA LOGO ZA MIHURI ( STAMP LOGO ) FULL TUTORIAL ( ADOBE ILLUSTRATOR ) #begginers
Jifunze kutengeneza GLOSSY LOGO ANIMATION hatua kwa hatua ( ADOBE AFTER EFFECT ) #begginers
มุมมอง 4314 หลายเดือนก่อน
Jifunze kutengeneza GLOSSY LOGO ANIMATION hatua kwa hatua ( ADOBE AFTER EFFECT ) #begginers
Epuka Makosa 06 wakati wa KUDESIGN LOGO kwenye ADOBE ILLUSTRATOR #begginers
มุมมอง 3314 หลายเดือนก่อน
Epuka Makosa 06 wakati wa KUDESIGN LOGO kwenye ADOBE ILLUSTRATOR #begginers
MAFUNZO YA KUTENGENEZA GOOGLE FORM , HATUA KWA HATUA SEHEMU YA 2 #begginers #digitalmarketing
มุมมอง 1654 หลายเดือนก่อน
MAFUNZO YA KUTENGENEZA GOOGLE FORM , HATUA KWA HATUA SEHEMU YA 2 #begginers #digitalmarketing
CHALLENGE YA KUDESIGN SECURITY SYMBOL ( BEGINNER VS PRO ). KWENYE PROGRAM YA ADOBE ILLUSTRATOR.
มุมมอง 2064 หลายเดือนก่อน
CHALLENGE YA KUDESIGN SECURITY SYMBOL ( BEGINNER VS PRO ). KWENYE PROGRAM YA ADOBE ILLUSTRATOR.
MAFUNZO YA KUTENGENEZA GOOGLE FORM , HATUA KWA HATUA SEHEMU YA 1 #begginers #digitalmarketing
มุมมอง 3004 หลายเดือนก่อน
MAFUNZO YA KUTENGENEZA GOOGLE FORM , HATUA KWA HATUA SEHEMU YA 1 #begginers #digitalmarketing
FOOD POSTER IDEA , KWENYE PROGRAM YA ADOBE PHOTOSHOP #designer #begginers
มุมมอง 3754 หลายเดือนก่อน
FOOD POSTER IDEA , KWENYE PROGRAM YA ADOBE PHOTOSHOP #designer #begginers
Daaah I was really Really searching for a Video like this In swahili. And finally I found it🎉
Hope you enjoyed it!
Naomba utengeneze ya video editing mfano songs
Namna ya kuedit hiyo poster mpaka imekamilika kwa photoshop?
ndio Nimetumia Photoshop
kongole mkuu
naombeni fonts zilizotumika apa wakuu
Kuna gharama zozote kujiunga kwa Group bro Nahitaji uniunge na mimi
docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSfgFcrTo2j-gBp2qif4Pp1DVmnSI87NYaRhBeQmzq80eUFUDg/viewform?usp=pp_url
Nicheki Whatsap Kwa namba 0676301606
Yaani nilivyokuwa nahangaika Bora umenisaidia leo Pamoja sana kaka
Ahsante sana kaka
Perfect 👍
Kaka somo la after effect ndio ulishia somo la tano tu
Tunaendelea
kwenye adobe hizo point mbona azitokei ili Ku modify ilo umbo la rectangular
Bro ur the best
Ahsante sana 🤝🤝
Sante sana kaka Mungu akubariki kwa darasa lako unatufunulia mengi
Pamoja Kiongozi
Kaka tupo pamoja
Ahsante sana
jambo kaka mm naitwa jastin natumiya iyo program ila nataka nijuwe zaindi
Vip unaweza nipa namba ya sim
0676301606
Habari Boss unaweza kunitumia Link ya AI 2024
🙌🙌🙌
🏆🏆
Utafikiri uliuona udhaifu wangu dahh.vyote ulivyosema mimi ninavyo
Nasubiria Part 2🔥🔥🔥
Wewe ni mwalimu mzuri sana.God bless you
Ahsante sana 🤝🤝
Lkn nmegindua nkitoa kitu changu ndy inakua nzur zaidi 😢
Tena mm huyu jmn mwee pia asanteh saana mwl🎉
Hahaha 😂😂
Hatimae😅😅😅
Yaaani kiongozi hilo ndo tatizo kubwa nililonalo , mpaka nakosa kazi nyingi sana sometimes nakosa idea ya kufanya kazi kabisaaaa
Yaaani kiongozi kama mungu kakuongoza kwenye tatizo langu moja kwa moja, umenigusa sana😢
Kwa maoni yangu mimi elimu inayohusisha graphic design itafute mtaani chuo unafuata cheti tu na sio utaalamu skills kali unapata mtaani
Naomba kuwa mwanafunzi wako unapatikana wap kaka
Nitafute kwa namba hizi : 0687680811
Congratulation my brother i like this video
Ahsante sana
Sir hiyo layer mm siioni
Sir mbn hiyo layer mask mm siion
Binafsi mimi sio beginner ila kipindi najifunza miongoni mwa vitu vilivyonifsnya nijue mapema ni kupewa materials ya vile vitu nilivyofundishwa na designers ili rahisi kujifunza all in all good job
Nmechelewa jomon😢😢
Good
Mh ngumu sana
🎉🎉🎉 Tuelekeze iyo kaka jinsi ya kuitumia bila kuilipa 🙏 🙏
🎉🎉 Broo inawezekana kuitumia after effects bila kuilipia?
Ndio kaka
@brandkidigitali unaweza kuelakeza iyo kaka
Jomba kwanza nikushukuru kwa mafunzo mazuri nimefuatilia na nimeweza kufanya kitu kwa kutumia mafunzo haya. Somo la kwanza nimemaliza la pili liko wapi mkuu?
Mbn kwa baadhi ya picha inagoma An inakata vitu kama nywele
Nimeelekeza njia nyingine unaweza tazama video za hivi karibuni , Namna ya kuepuka kukata nywele
Asanteh mwl😊😊
Brother uko vizur sana Yaan unaeleweka vizuri sana
Hiyo background pattern inaitwaje bro..?
Nakubali sana Mwl wangu Umenifanya niwe vizuri kwenye ps from 0 to something. Endelea kutupa masomo kaka MUNGU akubariki sana
Ahsante na hongera sana , 👏👏
KAZI mzuri kaka.nimejifunza mengi
Asante sana 💪🏾💪🏾
kaka samahani nimeenda properties ila sijafanikiwa kuona option zile za Remove Background na ile ya chini yake nifanye nini hapo
Mwalimu Natoa shukurani zangu za dhati toka Moyoni . Kwa hakika wewe una karama ya kufundisha, Asante sana . uko Vizuri nakuombea ufike mabali ❤❤❤❤❤❤
Kwenye photoshop haiwezekani?
@@TUMSIFUKAMALA-z2c inakua na mb nyingi sana unaweza kushindwa kui export
@@msolekaonlinemedia Ahsante mkuu
safiiii