- 1 015
- 136 268
majiDigital Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 31 ม.ค. 2019
Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira.
Wizara ya Maji
S.L.P 456
Dodoma
www.maji.go.tz
Wizara ya Maji
S.L.P 456
Dodoma
www.maji.go.tz
MajiNiUhai: Wananchi wanavyoshirikishwa katika kuendeleza na kulinda rasilimali za maji
MajiNiUhai: Wananchi wanavyoshirikishwa katika kuendeleza na kulinda rasilimali za maji
มุมมอง: 35
วีดีโอ
MajiNiUhai: Mafanikio ya ushirikishwaji wa wananchi katika kulinda na kuendeleza rasilimali za maji
MajiNiUhai: Mafanikio ya ushirikishwaji wa wananchi katika kulinda na kuendeleza rasilimali za maji
Kigoma Ujiji ilivyoboresha huduma ya majisafi miaka mitatu ya Rais Samia
มุมมอง 529 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hali ya huduma ya majisafi Kigoma ujiji imeimarika kutokana nauwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia
MajiNiUhai: Sekta ya Maji na uwezeshaji katika kuleta maendeleo nchini
มุมมอง 3514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MajiNiUhai: Sekta ya Maji na uwezeshaji katika kuleta maendeleo nchini
Mangaka: Mradi wa Maji wa Miji 28, katika mto Ruvuma kufikisha huduma kwa 100%
มุมมอง 12119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mangaka: Mradi wa Maji wa Miji 28, katika mto Ruvuma kufikisha huduma kwa 100%
MajiNiUhai: Serikali inavyowezesha sekta nyingine kupitia rasilimali za maji
มุมมอง 55วันที่ผ่านมา
MajiNiUhai: Serikali inavyowezesha sekta nyingine kupitia rasilimali za maji
MajiNiUhai: Serikali inavyohakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi kwa kiwango stahiki
มุมมอง 71วันที่ผ่านมา
MajiNiUhai: Serikali inavyohakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi kwa kiwango stahiki
MajiNiUhai: Ujue utaalamu wa kuhakikisha maji yanapatikana kwa gharama nafuu
มุมมอง 5014 วันที่ผ่านมา
MajiNiUhai: Ujue utaalamu wa kuhakikisha maji yanapatikana kwa gharama nafuu
Aweso awataka wamiliki wa mabwawa ya tope sumu kuzingatia usalama
มุมมอง 2421 วันที่ผ่านมา
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) amewataka wamiliki wa mabwawa ya tope sumu kuhakikisha wanaweka miundombinu bora ili kuzuia utililishaji wa maji ya sumu katika mazingira. Wito huo ameutoa leo kupitia Naibu Waziri, Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini ambaye alimwakilisha katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Usalama wa mabwawa.
MajiNiUhai:Benki ya Dunia yakubali utekelezaji wa Serikali katika miradi ya maji
มุมมอง 7221 วันที่ผ่านมา
MajiNiUhai:Benki ya Dunia yakubali utekelezaji wa Serikali katika miradi ya maji
Ushuhuda Rais Samia alivyoleta neema ya huduma ya majisafi SImiyu
มุมมอง 6228 วันที่ผ่านมา
majisafi Maswa
MajiNiUhai: Benki ya Dunia na sapoti kubwa kwa Mhe. Rais Samia kuhusu huduma ya maji
มุมมอง 8728 วันที่ผ่านมา
MajiNiUhai: Benki ya Dunia na sapoti kubwa kwa Mhe. Rais Samia kuhusu huduma ya maji
Waziri Mstaafu wa Maji aitabiria Tanzania ya Samia kung'ara kwa huduma ya majisafi
มุมมอง 463หลายเดือนก่อน
Waziri Kamwelwe anaitaibiria Tanzania kuwa na huduma ya maji ya kutosha na kuwezesha huduma zingine za kijamii kusonga mbele
MajiNiUhai: Rais Mhe. Dkt. Samia aongoza katika miradi ya maji kati ya nchi 60
มุมมอง 82หลายเดือนก่อน
MajiNiUhai: Rais Mhe. Dkt. Samia aongoza katika miradi ya maji kati ya nchi 60
MajiNiUhai: Dkt. Samia kinara programu ya matokeo katika maji
มุมมอง 115หลายเดือนก่อน
MajiNiUhai: Dkt. Samia kinara programu ya matokeo katika maji
Rais Samia aridhishwa na kasi ya Aweso. Asema hana shaka na kufikiwa kwa lengo la CCM
มุมมอง 136หลายเดือนก่อน
Rais Samia aridhishwa na kasi ya Aweso. Asema hana shaka na kufikiwa kwa lengo la CCM
#MajiMwa. Clouds TV 360 Ndani ya Morogoro katika kampeni ya maji Mwa Mwa Mwa
มุมมอง 159หลายเดือนก่อน
#MajiMwa. Clouds TV 360 Ndani ya Morogoro katika kampeni ya maji Mwa Mwa Mwa
MajiNiUhai:Mbeya; wananchi washirikishwa katika kulinda na kuendeleza vyanzo vya maji
มุมมอง 67หลายเดือนก่อน
MajiNiUhai:Mbeya; wananchi washirikishwa katika kulinda na kuendeleza vyanzo vya maji
#MajiMwa Uhifadhi Bonde la Mto Ruvuma ulivyonufaisha wananchi
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
#MajiMwa Uhifadhi Bonde la Mto Ruvuma ulivyonufaisha wananchi
#MajiMwa DC Newala na Simulizi ya wanaNewala walivyopika wali kwa kutumia matikiti maji
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
#MajiMwa DC Newala na Simulizi ya wanaNewala walivyopika wali kwa kutumia matikiti maji
#MajiMwaMwa Shuhudia Rais Samia alivyoleta mageuzi makubwa sekta ya maji Mtwara
มุมมอง 84หลายเดือนก่อน
#MajiMwaMwa Shuhudia Rais Samia alivyoleta mageuzi makubwa sekta ya maji Mtwara
#MajiMwa Kutokea Songea uzinduzi wa Maji Mwa 360, Katibu Mkuu aeleza makubwa aliyofa Rais Samia
มุมมอง 89หลายเดือนก่อน
#MajiMwa Kutokea Songea uzinduzi wa Maji Mwa 360, Katibu Mkuu aeleza makubwa aliyofa Rais Samia
#MajiMwa Kutokea Songea, Waziri Aweso azindua kampeni ya Maji Mwa! Mwa! Mwa! kupitia 360 Clouds TV
มุมมอง 69หลายเดือนก่อน
#MajiMwa Kutokea Songea, Waziri Aweso azindua kampeni ya Maji Mwa! Mwa! Mwa! kupitia 360 Clouds TV
Vijiji vya Lindi vinavyonufaika na uwekezaji mkubwa wa Rais Samia katika sekta ya maji
มุมมอง 44หลายเดือนก่อน
Vijiji vya Lindi vinavyonufaika na uwekezaji mkubwa wa Rais Samia katika sekta ya maji
Mbunge Mkuchika asema anastaafu kwa amani baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Samia
มุมมอง 3Kหลายเดือนก่อน
Mbunge Mkuchika asema anastaafu kwa amani baada ya kuridhishwa na utendaji wa Rais Samia
Shuhudia makubwa yaliyofanywa na Dkt Samia mkoani Pwani, Sekta ya maji
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Shuhudia makubwa yaliyofanywa na Dkt Samia mkoani Pwani, Sekta ya maji
Rais Samia alivyowatua ndoo akinamama wa Lindi kupitia Ng'apa
มุมมอง 86หลายเดือนก่อน
Rais Samia alivyowatua ndoo akinamama wa Lindi kupitia Ng'apa
Tandahimba mia kwa mia huduma ya majisafi
มุมมอง 146หลายเดือนก่อน
Tandahimba mia kwa mia huduma ya majisafi
MajiNiUhai: Serikali yawagusa wananchi uhifadhi wa vyanzo vya maji
มุมมอง 74หลายเดือนก่อน
MajiNiUhai: Serikali yawagusa wananchi uhifadhi wa vyanzo vya maji
MajiNiUhai: Rais Samia na uwekezaji katika maji eneo la Kwala
มุมมอง 75หลายเดือนก่อน
MajiNiUhai: Rais Samia na uwekezaji katika maji eneo la Kwala
Bure kabisa paa za nyumba zote kutu tupu mkuchika achia tu
Sorry naweza kujua maabara hii Iko mwanza sehem Gani? Nahitaji kuchimba kisima na maji yatakayo patikana yapimwe
Mzuri sana kweli ❤️🩹💖💖🙏👍
maneno mengi kazi ndoto.... Dar imekuwa chafu, maji taka kile eneo. jiji baya
Acha Uppuuuzi Mzee, Niko Mwanza, Lakini hamna maji Nyamagana baadhi ya Maeneo mengi.
HONGERA SANA MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI KWA HOTUBA NZURI SANA .
Mweliw
Duwasa juu wizara ya maji safiii
Tanzania Darsalam mzuri Sana kweli 💖
Congrats Dr Karia and the entire Team of Water Institute
Baada ya ufunguzi mgao ukaanza na sasa hayatoki kabisa.
Asante sana Mha.Rais wetu hakika kila sekta umeupiga mwingi ,kwa mwaka 2024:Mungu akubariki tuna lmani nawe kuelekea 2025 inshallah alla ataendelea kutenda kwako na nchi yetu
Tanzania mnafahamu umuhimu wa udugu Jamani, hapa qwetu,,,we,, hata mafuriko qwetu yaonekana kitu ya kawaida.
Asante sana Viongozi wetu
Uyu mbona kama sio kiongozi ana maneno ya kiuni
Mama hongereni sana mnafanyakazi nzuri watendajiwenu wanawaangusha sukumandani iliwajifunze
Kakonko maji hakuna sasa
Mchezo huu upo sehemu nyingi hapa nchini. Fuatili sana mama utaona vitimbwi vya hawa DMs
Hongereni sana...Mahafali imekuwa na mafanikio sana. CHUO CHA MAJI MMEPIGA HATUA KUBWA Kitaaluma na Mazingira ya Kujifunzia
congratulations
Hongera sana Water Institute kwa Maendeleo haya ya Technology
🎉🎉🎉
Wooow fanyakazi mh. Maryprisca
Mhe. Hii kero ya Maji Idweli ina zaidi ya miaka mitano mpaka leo, Pesa zishatoka lkn inavyo onekana zimepigwa, Mhe. Aweso tunaomba ufatilie hili swala, huu mradi ni tegemezi kubwa LA wananchi zaidi ya vijiji 4 vikubwa vinautegemea, vijiji vyenye shule tano za msingi, secondary 2, just imagine watu wote hao wanaishije, wataalamu Wanatupunguzia hoja kwa wananchi, kero yoyote ikiwa ni ya mda mrefu kwenye jamii kibinadamu inapunguza nguvu ya kuisemea serkali yako. Maana wanao teseka ni wananchi, ni sisi wenyewe, Mhe. Nakuamin naomba ufatilie huu mradi. By Tyson Ngeka Katibu mwenezi chama cha mapinduz kata ya Isongole, Mbeya wiraya Rungwe
Duuuu. Ila Kuna maisha baada ya hapo jamani.
Nitakuweka lockup sasa hivi..😮
Hata mkiwawakali mkuuwanchi mpole kwahyonikazibule
Waziri nenda na kijiji cha Matemanga huko Wilaya ya Tunduru.ukaone tabu ya maji,watu hawana maji,yakitoka mwezi mara 1 au mbili ni shida kweli Mhe.
Wafanyakazi wengi wa serikali hawajitambui na ni wavivu mno ni hadi wasukumwe kama muheshimiwa waziri anavyofanya. Mngewaajiri kwa miaka 5 halafu watathiminiwe upya ili atakayeshinda aongezewe tena
Mungu ni mwema kwa kuwapa maji ili watoto watumie muda mwingi wa kusoma, hongera kiula na staff yote ya mangaka, japo wetu wamemaliza ila wenzao wanaokuja watasoma kwa ufanisi
Ila duuu bac bhana
Kidole du
Nzuguni karibu mwaka watatu huu mabomba hayajawai kutoa maji, kila nyumba ina kisima cha mkono, jambo ambalo limekua ni hatari kwa watoto wetuu
Hongeren wizara kazi inaonekana
WIZARA YA MAJI IMEUPIGA MWINGI
Hongeren wizara kazi inaonekana
Fantastic. Hongera Buwassa, Hongera wizara ya maji.
Much congratulation for the hard work🤝
Asate chifu
Mungu ndo Kila kitu bariki maji mbeya
Kashwasa hongereni kwa kazi nzuri 👍👍
Asante na ubarikiwe sana
Upo vizuri Mkuu ila kuna baadhi ya watendaji wanakuangusha...uwizi, ufisadi wa namna mbalimbali kupitia manunuzi, kufanya estimate kwenye miradi ya maji juu zaidi ya takiwa.
🙏🏾🙏🏾💧🌱
Iyumbu iyumbu iyumbu mtaa wa Mwinyi mheshimiwa waziri tafadhali. Tumechoka kubeba vidumu kila siku kwenda kwa majirani kuomba maji
Sio Kijiji kipya msomera ni Kijiji cha zamani semeni tuu nguvu ya serkali imepitiliza sana hapa msomera
Nia ya Serikali ni njema. Tuombe Mungu tufike salama
Hongereni sana Wizara ya maji Mungu awabariki sana
Asante sana/Amina
Bonge la Nyimboo... Naikumbuka Dodomaaa.
Kwangu kuna mijus
Mimi nataka fimbo
Na unga jee?