- 6
- 157 593
Venance Blog
เข้าร่วมเมื่อ 3 พ.ย. 2016
Karibu Venance Blog. Channel hii ni mahsusi kwa nyimbo za Bongofleva ambazo mara nyingi hazipo mtandaoni ama ni adimu sana kuzipata. Una wimbo ambao mtandaoni haupatikani? nitumie kwa barua pepe venancegilbert@hotmail.com
BANANA ZORRO - SOGEA NIKUSHIKE
Picha zote zinazoonekana kwenye video hii zimechukuliwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Banana Zorro @bananazorro8022 nyimbo hizi haziwekwi hapa kibiashara. Hatimiliki zote ni za mwanmuziki husika
มุมมอง: 15 863
วีดีโอ
THE INAFRIKA BAND - JULIE
มุมมอง 31K2 ปีที่แล้ว
copyright to this music belongs to The InAfrika Band.
MR. EBO - BODABODA
มุมมอง 29K3 ปีที่แล้ว
Ni zaidi ya miaka 10 tangu Abel Motika 'Mr. Ebo' alipoiaga dunia kwa maradhi ya saratani ya damu. Huenda utakua umeutafuta sana wimbo huu mjini TH-cam bila mafanikio na hatimaye leo nimeusogeza hapa. Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha Mr. Ebo mahala pema peponi. Tuendelee kuenzi kazi zake za muziki kwa kusikiliza nyimbo zake.
HUSSEIN MACHOZI - NIELEZE
มุมมอง 14K3 ปีที่แล้ว
Yawezekana uliutafuta wimbo huu kwa muda mrefu kama mimi bila kuupata humu TH-cam, haya wimbo ndiyo huo. Hakuna faida inayopatikana kwa kuweka nyimbo adimu katika channel hii. Subscribe kwenye channel rasmi ya @HusseinMachozi kwa nyimbo zake nyingine nyingi.
SAIDA KAROLI FT BANANA ZORO - MPENZI NAKUPENDA
มุมมอง 65K5 ปีที่แล้ว
SAIDA KAROLI FT BANANA ZORO - MPENZI NAKUPENDA
2025
Ukweli sijui nimekumbuka nn mm dahh😢 huu wimbo kuna mdada ananipa tabu sijui nijieleze vp ila mapenzi ni vita mbaya sana
RIP MNGU AILAZE NAFSI YAKO MAHALAPEMA PEPONI😢😢
Naskia kama salsa umo ndani
2024 🥰🥰
Naitafuta videoo ya hii nyimbo
Kuna mahali flan anadai anakupa pensi wakat umevaa viatu apo ndo Nimesikitika sanaaa🤔🤔🤔🤔
Duh umepotereawap jembe ret
2024 to 2025 tupo hapa
Nataka kudonlod
❤❤❤❤
Ngoma kali sana na video yake ndo imepotea tangu niangalie 2005
Watch 2024 g
Ngoma inaishi bdo................Video naipataje?
2024 good old folk songs with my babe here ❤
Inspired rapper back n days ..also Mwiju, mamzese crew. And all rappers in 2005
Huu wimbo nimeusaka mnooo hatimaye umepatikana woii asanteee
2024_Aug_05 ...i love this song.
2024 gather here😍😍😍
Lala salama Mr ebbo
Walikua wana itafuta ile pure Rhythm and Blues ❤
Such a romantic classic, it canever gets old. so much nostalgia with this one❤
Enzi ya djaro 2009
bonge ngoma yan hii
nakumbuka tulikuwa wadogo sana mm na dada yangu na mdogo wangu kipindi hicho bonga na star tv dah❤
favorite of all time...hit like kama umekumbuka mbali na zile momets
December 20 mwaka 2023
2023
Nauhtaj sana huu wimbo naupataje??
1990s Era tulikuwa twasikiliza lakini hatukuelewi vizuri, kumbe Haya masongi yalijaa mambo mubashara ❤️
We come back to search for gold not old 🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Kipindi ndio nimebalee ndio nimelimbukia mapenzi daah niliteseka wewe
R. I. P
Rest in peace
Safi sana hakika brother ukituliza sana akili kwenye huu wimbo
❤❤
Kitu bomba sana hiki, Inafrica❤
👊✌️🙏.
Rest in paradise
Rest in paradise
😢😢😢😢😢😢
Good song long time a go
Huyu mwamba ...Mwaka 2006 nakumbuka mbali sana
Hatimae nimeupata huu wimbo
Twende pa1
Safi saana
MWENYE HII VIDEO YAKE🙏
I remember long time ago still shule ya msing m Moja dah mpaka roho inauma
Sogeaaaa nikushikeeee... bonge la dude
Kwel siku hazigandi, nataman kuona wanamuziki kama hawa lakini haiwezekan