- 6
- 640 312
kwaya ya mt.joseph mfanyakazi kijenge Arusha
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 24 พ.ค. 2020
MIGUU YANGU- KWAYA YA Mt. JOSEPH MFANYAKAZI KIJENGE _ ARUSHA 720p
Huu ni miongoni mwa nyimbo za Kumsifu na kumtukuza Mungu kutoka kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo, Kijenge Arusha. Wimbo huu mtunzi wake Sebastian Ndibalema.
มุมมอง: 351
วีดีโอ
NGOME IMARA
มุมมอง 354Kปีที่แล้ว
Karibu kutazama na kusikiliza wimbo huu wa Pasaka 'NGOME IMARA' Mtunzi: Ray Ufunguo Waimbaji: Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Kijenge Arusha Audio & Video: RAJO Productions Organist: Ray Ufunguo Tunawatakia Pasaka Njema.
MTAKATIFU YOSEFU UTUOMBEE _Kwaya ya Mt.JosephMfanyakazi ,Kijenge ,Arusha
มุมมอง 187K3 ปีที่แล้ว
Kwaya ya Mt.Josephmfanyakazi parokia ya wat.petro na paulo kijenge ,Arusha Wanapenda kukukaribisha ndugu mtazamaji kuutazama wimbo huu Maalum wa MTAKATIFU YOSEFU utunzi wake Ray Ufunguo kwaajili ya Mwaka wa Mtakatifu Yosefu .....KARIBUNI
SIFA NA ZIVUME __kwaya ya mt.joseph mfanyakazi kijenge ,Arusha
มุมมอง 11K4 ปีที่แล้ว
Huu ni miongoni mwa nyimbo za Kumsifu na kumtukuza Mungu kutoka kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo, Kijenge Arusha. Wimbo huu ni utunzi wake Sebastian Ndibalema.
NJOONI TUMSIFU MUNGU _kwaya ya mt.joseph mfanyakazi kijenge ,Arusha
มุมมอง 51K4 ปีที่แล้ว
Huu ni miongoni mwa nyimbo za Kumsifu na kumtukuza Mungu kutoka kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo, Kijenge Arusha. Wimbo huu ni utunzi wake Tumaini Swai.
Kwaya ya mt.joseph mfanyakazi kijenge ,arusha ENEZA SHANGWE By F.Shimanyi
มุมมอง 38K4 ปีที่แล้ว
Tunaalikwa wote tumsifu na kueneza shangwe za mungu wetu katika kusambaza upendo huu basi usisahau kusubscribe channel yetu ubarikiwe...
Padre comrade nakuona ...gatuna
Nota za huu wimbo please
Nyiee hii ilikua wap jaman kwan hii mnaichukiliajeee!? Glory to God
So beautiful, i love the interloods
Kazi safi kweli.
Spiritual choir very attractive in my soul if Am sick always.good.
Wanderful voices, keep up
Waaooh 🤗🤗❤️❤️❤️🙏❤❤❤
Wimbo.umetulia.vzr.hongera sana
St. Joseph, pray for us
❤️♥️♥️♥️❤️♥️♥️♥️
Jamani kijenge mnanikosaga mbaya nakuona mdogo angu Debora hongera
Hao wakaka wanaimba vizuri mno
Blessed
Asanteni sana, huu wimbo inatuliza 🙏
Mungu awabark sana
Nice song
Asanteeeee kijenge nilikuwa Pao sana nikiwa apo kanisan mwaka 2022
Yeye ni Mwamba na Ngome Imara kweli kweli!! Alleluia.❤😂🎉
Wawoooo hongereni mnooo watumishi......Mungu awabariki sana ❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mtamu Sana ..
smarter
Good job Ray congratulation
Sauti ya keanza mko vizuri
Pray for us ooh st. Joseph ❤❤❤
Hongera wimbo mzuriii…mbarikiwe sana🙏🙏🙏🙏🙏
Nalia ninapoimba wimbo huu ... I feel the message
Jamani wimbo umenigusa sana❤❤🙏
Jamani wimbo umenigusa sana❤❤🙏
Jamani wimbo umenigusa sana❤❤🙏
My patron saint at my SCC . We're celebrating him today. St Joseph pray for us🙏
Ujumbe mwema❤❤❤
Hongera sana@Ray This is great piece. Kindly naomba mziki wake.
🙏🙏🙏
This song is powerful
❤❤❤Saafi saana
Nice songs congratulations ❤
Good song nahitaji copy yake
Nimependa ujumbe wenu kaz nzur
Wimbo mtamu hakika narudiarudia kuusikiliza.... Mbarikiwe Sana kwa sauti zenu nzuri. Mungu awape nguvu ya kusambaza upendo wake kwetu binadamu
Nice song
Mubarikiwe sana
Ongereni kwa staili yenu nzuri na wimbo wenu ni mzuri sana mbarikiwe sana
nice song unanibariki sana
Ray ufunguo man..bro you're talented..Asante kwa kipaji chako Cha utunzaji na uimbaji na upigaji wa keyboard ⌨️🎹..ubarikiwe kaka mkuu milele na milele Amina..Kenya twakuinamia
Hongera sana kaka
Vp
,👍👍saf san ray ufunguo nakukubali sana mwamba napenda kazi zako brooo
Napenda hii wimbo sana;
Wimbo wangu pendwa huu,hongera kwako mtuzi na waimbaji kiujumla, hauchoki kuusikiliza