- 25
- 2 089 624
KATAPILA SHOW
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 26 พ.ย. 2018
POPOTE ULIPO TUPO, ENDELEA KUBURUDIKA...
Katapila _ R.I.P MZEE MWINYI. (Official audio.)
PUMZIKA KWA AMANI RAISI MSTAAFU MZEE MWINYI. Tutakuenzi na kukumiss.
มุมมอง: 568
วีดีโอ
MAMA HII SIO DAMU YETU, UTAKUWA ULIMSALITI BABA NA KUTOKA NJE YA NDOA.....
มุมมอง 6249 หลายเดือนก่อน
Mapenzi ni utumwa, kuingia ni Bure ila kujinasua yahitaji ujasiri wa kijeshi..
Katapila _ PUMZIKA KWA AMANI (JOSEPH BUNOGU) (Official audio.)
มุมมอง 610ปีที่แล้ว
NI PIGO KUBWA KWA FAMILIA NA JAMII KWA UJUMLA 😭😭😭😭😭😭😭
Katapila - KWAHERI TUTAONANA. ( Official Music audio.)
มุมมอง 810ปีที่แล้ว
REST IN PEACE, WE LOVED YOU BUT GOD LOVED YOU MOST. ( KWAHERI TUTAONANA).
KENYA NI TAIFA LA MUNGU. BY KATAPILA. ( Official Video)
มุมมอง 3.4Kปีที่แล้ว
RAISI WA KENYA HAKIKA NI MCHA MUNGU
DUUUH SIO KWA KIZUNGU HIKI.😂😂😂😂😂😂😂
มุมมอง 4.1K2 ปีที่แล้ว
KIZUNGU TUWAACHIE WAZUNGU, TUBAKI NA MATEMBERE YETU😂😂😂😂😂😂😂
SENSA 2022 TANZANIA. BY KATAPILA ft MADAM ANITHA
มุมมอง 3.4K2 ปีที่แล้ว
SENSA NI MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA....
DJ AFROO.... A.K.A KEMODA 2022 GENERAL ELECTION.
มุมมอง 4002 ปีที่แล้ว
DJ AFROO. KIMODA KIPIGO CHA MBWA MWITU NI VITA KALI KATI YA RAILA NA RUTO NCHINI KENYA.
AMANI KWA UCHAGUZI SONG WITH LIVE ACAPELLA #2022KENYAELECTION #PEACELOVEANDHARMONY #ELECTIONS
มุมมอง 1.5K2 ปีที่แล้ว
@kenyacitizentv @TV47Kenya @ktnnews_kenya @ntvkenyaonline @KBCChannel1News @K24tv This is a song to all Kenyans sang by our fellow Tanzanians. They've seen the need for us being together and that we all need peace, love and harmony in this electioneering period. We need not to be divided by politics and politrics of tribalism and hatred.
MOTATIGHA NDOGHOREE.. By Katapila. (Official Video)Subscribe to Katapila Show contact +255 747749116
มุมมอง 3K2 ปีที่แล้ว
LET ME WONDER THE NATURE AND THE CREATION OF GOD, From the Seas, Mountains, wild animals and human.
MKOMBOZI NI JIMMY BY KATAPILA.
มุมมอง 3612 ปีที่แล้ว
2022 NI MWAKA WA MABADILIKO NA JIMMY WANJIGI NDIO MKOMBOZI WA NCHI YETU YA KENYA. FAGIA WOOOTE.
RUTO, MASIKINI TUMECHOKA.
มุมมอง 3.1K3 ปีที่แล้ว
2022 NI MWAKA WA MTOTO WA MASIKINI KUINGIA IKULU. TUMECHOKA MASIKINI KUNYANYASWA NI ZAMU YA MAHUSTLER IKULU.
Amani kwa Uchaguzi Kenya 2022. official video
มุมมอง 1.6K4 ปีที่แล้ว
Amani kwa Uchaguzi Kenya 2022. official video
OKIA OMTATA DECIDE UHURUTO FATE TO STATE HOUSE...
มุมมอง 1.1K4 ปีที่แล้ว
OKIA OMTATA DECIDE UHURUTO FATE TO STATE HOUSE...
A LUHYA CAN KILL FOR UGALI AND ENGOHOOO..
มุมมอง 3414 ปีที่แล้ว
A LUHYA CAN KILL FOR UGALI AND ENGOHOOO..
MAGUFULI RUDISHA NGOMBE NA KUKU ZA KENYA...
มุมมอง 1.8K4 ปีที่แล้ว
MAGUFULI RUDISHA NGOMBE NA KUKU ZA KENYA...
MAAJABU YA KIFREEMASON KWENYE KABURI LA KANUMBA
มุมมอง 45K4 ปีที่แล้ว
MAAJABU YA KIFREEMASON KWENYE KABURI LA KANUMBA
❤
Lala sama rafikiyangu😢😢😢
😅😅
Ata Kenya hatutawahi kusahau
❤
Jaman kifo wacha tu😢😢😢😢
Jaman
Hata Burundi tunamkumbuza kanumba king wama filam
Kweli kanumba miss you from kenya
Mungu awepamoja nae huko aliko amina
Bro let me ask u, something ( R u Christian ) kweli Au R u Mocking us how is the earth 🌍 what kind of Sign of the Cross is that, as we Catholic we don't do that such of the Sign of the Cross like that, if u, don't have something to do i can advice u, to Go to the Beach & in enjoy your the rest of your day ( usitutania ) okay.
Even in Zambia we really miss you may our load Jesus protect grave till meet to the other side
May your beautiful soul continues to rest in peace kanumba😢🕊💐💔
Namkumbuka pia sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hata mimi nimekumiss Kanumba😭😭😭😭 Who will fill the Gap😭😭endelea kupumzika kwa Imani🙏
Rip dear brother
😭😭😭😭
Aki Kanumba pumzika salama
Kanumba was very talented. He made our childhood life sweet. RIP
Still crying for kanumba from kenya poleni jirani zng mlipoteza mtu wa maana xna 😢
Hata Kenya bado twakukumbuka Kanumba never ever like yuo man
😭😭😭nimejaa machozi juu ya iyinyimboo 🇧🇮🇧🇮
MUNGU afariji Family yote
RIP
Asantnii❤❤❤❤🎉🎉🎉
😢😢😢😢😢❤❤❤
Kanmba.ilemort.danguedat
Kanmba.anakufa.lecobin
Tumekumis hakika kanumba na tutaendelea kukums hakika ulikua mwamba
R.i.p kanumba😭😭😭😭😭😭😭😭no one like you wallah
Huu wimbo wanitoa machozi kwakweli rest in peace kanumba🇰🇪
Rest. In. Peace. Bahati. Bukuku 😢
😢😢😢😢 I wish Heaven wangekua na time ya visiting kdg 😢😢
Mbona munafa nana kiasi
Jamani nili jifunza mengi hapa duniani kupotia uigizaji wake hodari wa kanumba
Sasa mnajua watoto ndiyo mna wapee stress 😂😂😂😂 kwani amerudi Ako wapi Sasa mnataka arudi achukue watoto
Ndiyo watu ajue Freemason unajua 😢😢😢😢😢😢
Miss you all time rest in peace my love
Jamani nikisikia huu wimbo nalia Sana inasiktisha Sana kanumba kutuacha
Mungu amulaze maali pema anko jeije ndugu yetu kanumba
Tumekumis Kanumba 😭😭😭😭😭
Ndoto ya mchana hiyo
Namkumbu kanumba sana napatikana congo bkv
Kanumba mungu akuweke pahala pema sana
😢😢😢😢😢😢😢
❤❤❤❤❤
R p
Hongera sana
Ulikuwa ww mwenye moves zako ukaondoka na bongo moves yako hamna kama wwe kwa sasa kanumba you forever
Mimi niko Congo muji wa kalemie apa kwetu Tanganyika na mupenda sana kanumba yani alinibariki filamu za johari😂😂😂😂