- 100
- 40 111
LUDEWA ONLINE TV
เข้าร่วมเมื่อ 15 มี.ค. 2022
TH-cam channel ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa,inayopatikana mkoani Njombe.
MKURUGENZI LUDEWA ATEMBELEA KUKAGUA UJENZI WA SHULE YA AMALI
MKURUGENZI LUDEWA ATEMBELEA KUKAGUA UJENZI WA SHULE YA AMALI
มุมมอง: 319
วีดีโอ
KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ZIMEANZA KWA KISHINDO.
มุมมอง 17หลายเดือนก่อน
KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ZIMEANZA KWA KISHINDO.
Hamasa ya uchaguzi ludewa yapamba moto
มุมมอง 352 หลายเดือนก่อน
Hamasa ya uchaguzi ludewa yapamba moto
MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA;JOSEPH KAMONGA AKIWA BUNGENI ASEMA HAYA...
มุมมอง 2412 หลายเดือนก่อน
MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA;JOSEPH KAMONGA AKIWA BUNGENI ASEMA HAYA...
MRADI WA MAJI MTAA WA FOKASI WAKAMILIKA WANANCHI WAMSHUKURU MBUNGE NA MKURUGENZI WA MAJI MJINI
มุมมอง 178ปีที่แล้ว
MRADI WA MAJI MTAA WA FOKASI WAKAMILIKA WANANCHI WAMSHUKURU MBUNGE NA MKURUGENZI WA MAJI MJINI
TARURA MKOA WA NJOMBE YAENDELEA KUZIFUNGUA BARABARA ZOTE WILAYANI LUDEWA
มุมมอง 323ปีที่แล้ว
Document from Drone Pilot
ZAHANATI YA MBONGO YAANZA KUJENGWA MANDA, ZAIDI YA MILIONI 90 ZATOLEWA KUKAMISHA UJENZI HUO
มุมมอง 237ปีที่แล้ว
ZAHANATI YA MBONGO YAANZA KUJENGWA MANDA, ZAIDI YA MILIONI 90 ZATOLEWA KUKAMISHA UJENZI HUO
DIWANI WA KATA YA MANDA AIPONGEZA TARURA LUDEWA KWA KUIFUNGUA KATA YA MANDA
มุมมอง 361ปีที่แล้ว
DIWANI WA KATA YA MANDA AIPONGEZA TARURA LUDEWA KWA KUIFUNGUA KATA YA MANDA
TARURA YAENDELEA KUIFUNGUA TARAFA YA MASASI WILAYANI LUDEWA
มุมมอง 298ปีที่แล้ว
TARURA YAENDELEA KUIFUNGUA TARAFA YA MASASI WILAYANI LUDEWA
MTENDAJI WA KATA YA NKOMANG'OMBE AELEZA MAFANIKIO KATANI KWAKE
มุมมอง 185ปีที่แล้ว
MTENDAJI WA KATA YA NKOMANG'OMBE AELEZA MAFANIKIO KATANI KWAKE
ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI, KUSIKILIZA KERO, NA KUPOKEA MAONI TARAFA YA MASASI WILAYANI LUDEWA
มุมมอง 51ปีที่แล้ว
ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI, KUSIKILIZA KERO, NA KUPOKEA MAONI TARAFA YA MASASI WILAYANI LUDEWA
LUDEWA TUMEHITIMISHA MAONESHO YA SIDO NJOMBE
มุมมอง 158ปีที่แล้ว
LUDEWA TUMEHITIMISHA MAONESHO YA SIDO NJOMBE
HIZI NI SHANGWE KUTOKA HAPA UWANJA WA SABASABA NJOMBE MAPOKEZI YA MAKAMU WA RAIS
มุมมอง 277ปีที่แล้ว
HIZI NI SHANGWE KUTOKA HAPA UWANJA WA SABASABA NJOMBE MAPOKEZI YA MAKAMU WA RAIS
DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE
SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEFANIKIWA KWA KUBORESHA NA KUONGEZA VIFAA TIBA PAMOJA NA DAWA
มุมมอง 41ปีที่แล้ว
SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEFANIKIWA KWA KUBORESHA NA KUONGEZA VIFAA TIBA PAMOJA NA DAWA
ELIMU YA LISHE INAZIDI KUTOLEWA KWA VITENDO WILAYANI LUDEWA ILI KUTOKOMEZA UDUMAVU
มุมมอง 159ปีที่แล้ว
ELIMU YA LISHE INAZIDI KUTOLEWA KWA VITENDO WILAYANI LUDEWA ILI KUTOKOMEZA UDUMAVU
TAZAMA BARABARA BORA BARANI AFRICA KUTOKA LUDEWA ILIYOJENGWA KWA ZEGE
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
TAZAMA BARABARA BORA BARANI AFRICA KUTOKA LUDEWA ILIYOJENGWA KWA ZEGE
MAKAA YA MAWE NA CHUMA YANAKWENDA KUFUIFUNGUA NJOMBE KIUCHUMI
มุมมอง 286ปีที่แล้ว
MAKAA YA MAWE NA CHUMA YANAKWENDA KUFUIFUNGUA NJOMBE KIUCHUMI
DIWANI WA KATA YA MLANGALI APIGA MAGOTI KUMSHUKURU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
มุมมอง 157ปีที่แล้ว
DIWANI WA KATA YA MLANGALI APIGA MAGOTI KUMSHUKURU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAFANIKIO YAMIMINIKA KAMA MAJI KATA YA MLANGALI
มุมมอง 52ปีที่แล้ว
MAFANIKIO YAMIMINIKA KAMA MAJI KATA YA MLANGALI
KATA YA MILO TUMEPOKEA ZAIDI YA BILIONI MOJA KUTEKELEZA MIRADI YA KIMAENDELEO KWA WANANCHI
มุมมอง 98ปีที่แล้ว
KATA YA MILO TUMEPOKEA ZAIDI YA BILIONI MOJA KUTEKELEZA MIRADI YA KIMAENDELEO KWA WANANCHI
BILIONI 7.5 ZATEKELEZA MIRADI YA KIMAENDELEO KATA YA LUGARAWA
มุมมอง 360ปีที่แล้ว
BILIONI 7.5 ZATEKELEZA MIRADI YA KIMAENDELEO KATA YA LUGARAWA
ZAIDI YA BILIONI 1.5 ZATEKELEZA MIRADI KATA YA MAVANGA, MAIKO MKEWELA AWEKA BAYANA
มุมมอง 105ปีที่แล้ว
ZAIDI YA BILIONI 1.5 ZATEKELEZA MIRADI KATA YA MAVANGA, MAIKO MKEWELA AWEKA BAYANA
MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA AULIZA MASWALI 3 BUNGENI NA SERIKALI YATOA MAJIBU
มุมมอง 837ปีที่แล้ว
MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA AULIZA MASWALI 3 BUNGENI NA SERIKALI YATOA MAJIBU
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AELEZA HAYA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI
มุมมอง 145ปีที่แล้ว
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AELEZA HAYA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI
MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA WAANZA KUTEKELEZWA LUDEWA
มุมมอง 14ปีที่แล้ว
MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA WAANZA KUTEKELEZWA LUDEWA
Nyembamba sana
Nakupenda lugarawa ulinilea kwa miaka 3 nikiwa mtoto iko mwaka nitakuja kukuletea zawadi
MashaAllah!!!
Iko vizur sana
Tunamshukuru Sanaa maana Barbara NI fursa ya biashara
Hongera sana kwetu. ila niliomba rami kutoka madaba kupita mavanga kwenda rudewa ipite
Barabara ya mbeya hadi Ludewa kupitia Makete mtaanza lini acheni maneno weka vitendo
❤
Naomba namba ya wahusika wa utalii tuwasiliane ili tufanye biodiversity assessment ya milima ya Livingstone
Hongereni kwa ngoma
ACHENI ROHO ZA KIMASIKINI,ETI HAMTAKI WAWEKEZAJI!! NJOMBE ARDHI KUBWA INAFAA KWA KILIMO CHA AVACADO,HAMJAWEZA KUPANDA HATA MICHE KUMI!!
Wananjombe mwungeni mkono mwanamapinduzi huyo wa maendeleo Mhe.mkuu wa mkoa, Njb itapaa kiuchumi.
Hm is just home
Fuga nywele wew zitakuludia utagundua kitu ila icho kipala hautojua kitu apo ila subili ipo siku utasema
Hujitambui
SIRI IMEFICHUKA KUMBE MKATANA SIO BANDARI YA DAR TU DUUH HADI NJOMBE
Hao DP. World, wameenda kwenye makaa ya mawe, chuma cha Liganga na Mchuchuma. 😭😭😭😭😭😭
❤❤❤❤❤
hakiri ninywele kweri kila mtu anazake.
Duh! Maskini kweli wote hakuna mwenye kuona mbele kama Magufuli? Ee mwenyezi Mungu tufungulie akili hata kwa watu wawili tu
O God!
Watanzania tuweni macho na wawekezaji..tuna mifano mingi wawekezaji wanaliza sana Watanzania maskini...huko kwenye madini ...mmmmhMungu tuongoze kuiona thamani ya nchi yetu..
Yaani ninyi akili hazitoshi kama Barabara ya mchuchuma mshimo tuu halafu mnashangalia
Acha upumbafu mnauza nchi kiduwAnz
Kaeni macho kesho mtahamishwa Kama ngologolo nyie chekeleeni
Ila wewe mjinga sana Tena sana wameleta Nini kwenye mkoa wa njombe au unashangilia
Endeleeni kutudanganya tu ila ipo siku ntaondoka tu maongo nyie na uongo huu mnaoendelea kutudanganya ili mtatutesa na kutukandamiza kutunyonya mateso haya yatakuwa juu ya watoto wenu na watu wanaopotea ipo siku tutajua walikuwa wanaenda wote
Wakoloni wa sasa wanaitwa wawekezaji.
Magufuli tumekumic jamani duu
Hiyo mikataba iwe inakuwa wazi
Acha story tunatak matokeo
Wanataka makaa ya mawe haooo.
Hapana KULA mbegu mwalimu AKISEMA Sasa Yana tokea
Mungu utuokoe watanganyika
👎👎
Wabena Amkeni du Tanganyika yetu Magu RIP
Hamjui kitu nyie tumeuzwa wasilizeni kina Madeleka muwe makini wangalieni ndugu zetu wamasai 😭😭😭 ujinga mwingi
Ubongo wangu unaona Tanzania 🇹🇿 mpya
Kuna siku utajikuta umekuwa mtumwa na ndio utakuwa mpya kwenye Tanzania mpya
Tanzania ilishakua mpya kitambo we slave😓
Asante wa kunyumba mwee
Mimi ni wa ntumbati ♥️🤍 naipenda ludewa yangu
Karibu sana Ludewa
Mimi wa lipangara siipendi ludewa
🫡🫡
Mungu awasimamie my origin
Amen
LUDEWA hoyeeeeedddd
Pamoja sana sr
Ludewa yetu, najivunia kuwa mwana Ludewa
Karibu ludewa dada yetu -kazi iendelee
Safi sana Mwalimu
Duu bonge la dude
Hongereni sana Ludewa kumpata mtu sahihi ktk wakati sahihi
Nadhani wananchi ndio wameahauriwa (ambao kimsingi ndio watumiaji). Ila kongole kwa kutuhabarisha umma.